#HABARI: Hali ilivyo barabara ya Morogoro kuelekea Kimara jijini Dar es Salaam
#HABARI: Hali ilivyo barabara ya Morogoro kuelekea Kimara jijini Dar es Salaam.
#HABARI: Hali ilivyo barabara ya Morogoro kuelekea Kimara jijini Dar es Salaam.
#HABARI: Hali ilivyo barabara ya Sam Nujoma jijini Dar es Salaam.
Bisura amerudi nyumbani na kutaka Maega awaambie watoto wao kuwa yeye ndio mama yao...Watoto wamemkataa na hawataki kabisa kumsikia...Kumbuka Bisura pia amelipia kikundi cha kijasusi kitafute zilipo hazina za mume…
BAADA ya kupoteza pointi tatu dhidi ya Yanga, Kocha mkuu wa Coastal Union, Mohammed Muya amesema kipigo cha Yanga kilichangiwa na wenyewe kushindwa kushikilia bomba, japo ubora wa wachezaji wa…
#HABARI: Hali ilivyo katika baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam kukionekana kukiwa na utulivu na magari machache barabarani hususan magari binafsi huku Daladala, Bajaji na Pikipiki zikiadimika.
📶 Gharama ya 1GB Duniani: Nchi Zinazoongoza Kwa Ugali na Urahisi wa Data Ripoti ya Cable.co.uk ya mwaka 2023 imeonesha tofauti kubwa ya bei ya 1GB ya intaneti duniani. Baadhi…
TANZANIA Prisons imesema licha ya matokeo kuwa magumu, lakini inaridhishwa na kiwango bora cha wachezaji na namna wanavyojituma uwanjani, huku benchi la ufundi likianza kusaka nyota wawili wa kuongeza nguvu…
Leo ni siku ya Uhuru wa Tanganyika (#Disemba 9) ambapo Wananchi wametakiwa kubaki majumbani kwao kama hakuna sababu ya kutoka nje ili kudumisha zaidi amani huku hali ya mitaa mingi…
KOCHA Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema anatambua ugumu wa kuwaachia wachezaji katikati ya mashindano na kuwabana akiwapa programu maalumu ili waitumie wakiwa mapumziko kusudi wakirudi wawe timamu kimwili.
#HABARI: Hari ilivyo katika kuadhimisha miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Desemba 09, 2025 maeneo ya Salasala barabara ya kuelekea Kinzudi.
Soko la Kawe lililopo Manispaa ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam limeendelea kutoa huduma zake kama kawaida ambapo Clouds imeshuhudia Wananchi wakiendelea kujipatia mahitaji yao mbalimbali ya nyumbani. #CloudsDigitalupdates
#HABARI: Hali ilivyo eneo la Wazo jijini Dar es Salaam ambapo maduka yamefungwa barabara nyeupe. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo…
Kadri Osman anavyotanua mbawa zake za utawala ndivyo anakutana na miamba mingine mizito. Usikose leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamTWO
KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Francis Baraza amekiri Ligi Kuu Bara msimu huu, presha ni kubwa kwa nafasi iliyopo timu hiyo, huku akitoa mapumziko kwa mastaa hadi Januari 3, mwakani.
HALI ILIVYO KATIKA BAADHI YA MAENEO MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM..
Lady Boss ana wakati mgumu kwa sasa. Usipange kukosa uhondo wa Mines of Passion leo saa 3;00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
Kila kitu kina gharama zake kwenye maisha. Ndivyo ilivyo kwa ‘Single Mama’ SARAH kupitia tamthilia ya ‘THE PRICE,’ utakayoanza kuitazama kuanzia Desemba 10, 2025 kupitia #AzamTWO makao makuu ya burudani…
"Wapo wananchi ambao bado wanahofu na wapo ambao nimeona wameenda sokoni wananunua vitu vya muda mrefu kwamba labda kutakuwa na 'lockdown' sisi kama kamati ya amani katika mkoa wetu tunaamini…
Ni siku nyingine huko Mystery Bay, Stella anarudishwa na kujikuta akiwa na maiti na watoto wake hawajulikani walipo; mji haujapoa. Usikose kutazama BAY OF FIRES leo saa 4:00 usiku ndani…
Hivi Camila ana hamu hata ya kujua kinachoendelea kupotea kwa mume wake? Mama Juana amlalamikia mwanaye kisa kuwa na uhusiano wa karibu na Gaby. Juana inaendelea kutema burudani na leo.…
#HABARI: Hii ndiyo hali halisi katika maeneo ya Mwenge Stendi jijini Dar es Salaam asubuhi ya leo, Desemba 9, 2025. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma…
Bisura ameleta mpasuko nyumbani kwa mzee Maega...Watoto wameanza kukwaruzana...Shakei anampanga Sheiza nani wa kumsikiliza kwenye jumba la mzee Maega. Usikose kutazama #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
KANISA LA UFUFUO NA UZIMA 'KITANZINI'! Hili ni jengo la Kanisa la Ufufuo na Uzima pale Kibaha. Hasi sasa utepe bado upo na Kanisa hilo halijafunguliwa ingawa Waziri Mkuu Dkt.…
Happy #IndependecyDay #2025 #Tanzania @officialbakhresagroup
#HABARI: Jeshi la Polisi limeeleza kuwa, kuna hii picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza. “Hakuna jambo kama hilo kwani vyombo…
Kaka kama Hasmet ni mtihani mkubwa 😅 Yavuz anataka kuwauwa watoto wote wa Rifat ila abaki Aziza pekee yake 🥹 Usikose kutazama 6 OF US leo saa 2:00 usiku ndani…
Uongozi na wafanyakazi wa Azam Media Limited unawatakia Watanzania wote heri ya maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara. #HappyIndependeceDay
SUDAN IMEINGIA MKATABA NA RUSSIA WA MIAKA 25 UNAO RUHUSU RUSSIA KUJENGA BASE YA KIJESHI AMBAYO ITAKUWA NA WANAJESHI 300. HII NDIO ITAKUWA BASE YA KWANZA YA RUSSIA BARANI AFRIKA.
🔴#MAGAZETI: RAIS: BAKI NYUMBANI KAMA HUNA DHARURA -DESEMBA 09- 2025
Kuanzisha kituo maalum cha kusaidia vijana kuanzisha miradi ya uwekezaji Je. kutaongeza motisha kwa vijana kuwa wabunifu zaidi?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DESEMBA 09, 2025
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA MAWASILIANO YA RAISI, IKULU Dodoma 08 Desemba, 2025 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI (KWA KUTOLEWA MARA MOJA) TANZANIA NA MAREKANI ZASONGA MBELE KUKAMILISHA…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, Ikulu ya Chamwino kujadili ushirikiano wa pande mbili na…
Karibu kwenye msimu mpya Ottoman 🙌
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 08 DESEMBA 2025
KUTOKA MITANDAONI Taarifa kwa wanaojua kingereza watutafsirie...
Viongozi wa Kata ya Chanika,wilaya ya Handeni mkoani Tanga wakiongozwa na Diwani wa Kata hiyo, Habibu Mbota, wameunda rasmi Kamati ya Amani ngazi ya kata na mitaa, lengo likiwa ni…
Serikali ya Tanzania na Marekani zimefikia hatua ya mwisho ya majadiliano, ili kutia saini na kuanza rasmi utekelezaji wa Mradi wa Gesi Asilia ya Kimiminika (LNG) wenye thamani ya Dola…
Wataalamu kutoka Taasisi ya Udhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) wamewashauuri wakulima nchini kununua mbegu zilizofanyiwa utafiti na kuhakikiwa ili kuepuka kupata hasara kwenye mavuno yao. Joyce Mwakalinga amewashuhudia wataalamu…
Ni kwa namna gani unaweza kujifunza kuwa mvumilivu? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 Hosted by @missloloh_ @djfantastic255 #TheSparkShow
"Kwenye hili suala la mwisho wa mwaka, kila mwaka huwa lipo, mahitaji makubwa ya usafiri...inapotokea dharura kama hii ya wasafiri kuwa wengi... tunatoa vibali vya muda watu wanaomba wenye magari…
"Katika Mafanikio Yangu Alikiba Anahusika Asilimia 60"-Amesema Niffer.
Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu ametembelea kambi maalumu iliyoandaliwa na Ubalozi wa India nchini kwa lengo la kutoa viungo mbadala kwa wahitaji 600. Viungo hivyo vitakayogharimu Dola…
Mussa amewasili Lushoto na kupokelewa na mwenyeji wake Baba Hamida, huku amepewa utambulisho mpya kama Sheiza pasina kujua kuwa ni jasusi aliyekuja kumpeleleza Mzee Maega ambaye anadhani ni msaidizi wa…