🔴DAKIKA 45 NAMKURUGENZI MKUU LATRA, CPA DKT
🔴DAKIKA 45 NAMKURUGENZI MKUU LATRA, CPA DKT. HABIBU SULUO, DESEMBA 08, 2025
🔴DAKIKA 45 NAMKURUGENZI MKUU LATRA, CPA DKT. HABIBU SULUO, DESEMBA 08, 2025
#LIVE:DIRA YA DUNIA YA BBC SWAHILI
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini Dkt. Emanuel Nuwas amewataka vijana kulinda tunu ya amani na kujiepusha na vitendo vya uvunjifu wa amani na badala yake wawasilishe hoja zao…
Mama yake Maryam ameanza kuunganisha nyaya.
NENO MOJA KWA BABA KAYLA SHETA😀
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini, Bi. Hawa Mwaifunga, amekagua maendeleo ya Vituo vya Afya vya kata tatu za Manispaa ya Tabora, ambapo katika kituo kipya cha Kata ya…
😱🚗| MBAPPE HAWEZI KUENDESHA GARI !? Mwanzoni mwa msimu, Kylian Mbappé alipokea BMW yake ya kifahari iliyotengenezwa maalum kupitia ushirikiano wa Real Madrid na kampuni hiyo — lakini bado HAIWEZI…
Tuzo Kubwa ya Utalii Duniani ambazo ni sawa na tuzo za Oscars au Grammy kwa tasnia za filamu na muziki imetua nchini baada ya Tanzania kutangazwa kuwa nchi inayovutia zaidi…
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 08, 2025 - MAANDAMANO YANAYO HAMASISHWA MTANDAONI NI HARAMU
UYU MTOTO ANATARAJIWA KUWA KIONGOZI NKUBWA SANA HAPO BADAYE SREKALINI🙏 WATOTO WA SHETA❤️ Watoto wa Msanii / Mwanasiasa Nurdin Bilal wakiwa kwenye picha📸ya pamoja . Tu Follow
#HABARI: Wananchi wa Mkoa wa Shinyanga wameshauriwa kuhakikisha tunu za taifa zilizoachwa na waasisi wa taifa la Tanzania ikiwemo tunu ya amani na utulivu zinalindwa kwa maslahi ya kizazi cha…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Geita, limesema hakuna zuio la uuzwaji wa mafuta katika vituo vya mafuta kwa mkoa huo, wala hakuna zuio la watu kutotoka nje badala yake wananchi…
Mfanyabiashara Niffer amejibu mashabiki waliomkosoa wakidai kuwa amepoteza mwelekeo na kusahau kilicho cha muhimu. Kupitia mitandao ya kijamii, Niffer amesisitiza kuwa hajawahi kuwatolea kauli yoyote ya kuwakera, bali anajaribu kuendelea…
#HABARI: Zaidi ya Maafisa Usafirishaji 1,000, mkoani Pwani, wameihakikishia Serikali kuwa wataendelea kudumisha amani na uzalendo nchini, huku wakisisitiza kwa kuwa vijana ndio nguvu kazi ya taifa na chachu ya…
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso, amewaomba wanawake wote nchini wawe mstari wa mbele katika kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA DODOMA - DESEMBA 08, 2025 -
Usikose kutazama msimu mpya wa OTTOMAN leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamTWO, mambo yanazidi kuwa yamoto...Maisha yamebadilika. Tukutane nyumbani kwa burudani.
Usikose kutazama UMMY leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamTWO, msako unaendelea na maisha ya kujificha ya Maryam yanazidi kuwatatiza ndugu zake.
Safari ya kumtafuta Aslan inaendelea...Wametajwa kuwa ni wezi na wamefukuzwa eneo walilopokelewa. Mateso bado yako nao watoto sita wa marehemu Rifat na Bala. Usikose kutazama 6 OF US kuanzia saa…
Disemba to remember, mwezi ambao hubeba mambo mengi sana, KACHERO wa Usiku Kama Mchana @ntibashima_tz anatusanua mengine ya usiku kwenye Shubiri ya usafiri wa Mikoani imekuwaje Mwezi huu… Ni kuanzia…
Watu wameanza kuchimba ukweli wote kuhusu Lady Boss. Usipange kukosa uhondo wa Mines of Passion leo saa 3;00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, ameitaka TRA SACCOS kuongeza elimu ya uwekezaji ili kuwawezesha wanachama kuchukua mikopo na kuanzisha shughuli za kiuchumi, hatua ambayo amesema…
Usikose JUANA leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamONE, tunaendelea tulipoishia...Si unajua tena bado Gaby hajui mama mtoto wake ni nani japo anaendelea kumsaka wakati kila siku yuko naye. 🫢
"Hali ya Barabara ni shwari, inaonekana watu wengi wameshaanza kusafiri kwenda mikoani, kwa hiyo hata ule msongamano wa magari umepungua"Inspekta Dina Mosi - Dawati la Elimu Kikosi cha Usalama Barabarani.…
"Mpaka leo tumetoa vibali 102 kwa nchi nzima, kwa kituo chetu cha mabasi cha Magufuli tumetoa vibali 40 katika eneo lile tu, ikimaanisha mabasi ambayo yanaanzia hapa Dar es Salaam…
Kipindi maalum cha kuitambulisha tamthilia ya #PichaYangu inayoanza leo saa 1:30 usiku kupitia #SinemaZetuHD Watangazaji @anamalinzi na @abuuyusuftz waliwakutanisha jukwaa moja waandaaji wa tamthilia za #PichaYanguSeries, @stickmotela, #NomaSeries @adamoo14 pamoja…
Changamoto ya usafiri wa wagonjwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma, hatimaye inakwenda kufikia tamati baada ya Serikali kuleta gari jipya la kubeba wagonjwa kwa ajili…
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso(CCM) amesema atashirikiana wabunge wanawake wa mkoa huo ili kufanya kazi ya kuwaletea maendeleo wananchi. Ameyasema hayo leo Disemba 6, 2025 akizungumza…
towa maoni yake kuhusu chuki zinazo endelea kwa wasanii wakubwa Ameandika yafwatayo "Daaah wasanii tunachukiwaa na baadhi ya watu wengiisana ambao tunaishi nao kila siku na sijui kwanini tuna pigwa…
"Jiji la Dar es Salaam linategemea upatikanaji wa maji na kuhudumiwa na Mamlaka ya Maji ya DAWASA. Na Ina vyanzo vyake vikuu vya maji inavyovitegemea ambavyo ni Ruvu Juu/Chini na…
"Diaspora wengi tuliokuwepo huku Uingereza tunapenda kuonyesha mchango ambao Tanzania unaifanya" @prukimiti_mbe, Pudencia Kimiti, Mshindi wa Tuzo ya Malkia UK #Clouds360 #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
@prukimiti_mbe, Pudencia Kimiti, Mshindi wa Tuzo ya Malkia UK akitoa wito kwa Watanzania kulinda amani. #Clouds360 #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
DESEMBA YA SHEREHE SINEMA ZETU Orodha tamu ya burudani ndani ya chaneli namba 106 #SinemaZetuHD mwezi huu wa rangi nyekundu, nyeupe na kijani...Usikose uhondo wote kupitia #SinemaZetuHD
#HABARI: Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, katika kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Novemba katika mwaka wa fedha 2025/2026, imefanikiwa kukusanya mapato ya fedha kwa asilimia 62. Powered…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema kuwa Serikali haina mpango wa kuzima mtandao wa Intaneti nchini, na kwamba hatua hiyo inachukuliwa tu kama kutatokea tishio…
🔴UTARATIBU WA LATRA KUTOA LESENI MAALUM KWA MABASI , NI NJIA SAHIHI KUONGEZA MAPATO 08 DESEMBA 2025
LEO USIKU KWENYE PICHA YANGU Baada ya mazonge mengi kutokea, Bisura amerudi kwa Mzee Maega...Watoto hawamjui mama yao. Mussa anapewa misheni ngumu anaonekana kuiwekea ugumu...Je, ni misheni gani na wapi?…
LEO USIKU KWENYE PICHA YANGU Baada ya mazonge mengi kutokea, Bisura amerudi kwa Mzee Maega...Watoto hawamjui mama yao. Mussa anapewa misheni ngumu anaonekana kuiwekea ugumu...Je, ni misheni gani na wapi?…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....DESEMBA 08 2025
Wanafunzi 100 wa Shule ya Kikatoliki ya St Mary, Papiri ambao walitekwa wiki iliyopita, wameokolewa na vikosi vya usalama, huku 165 wakiwa hawajulikani walipo. Mwenyekiti wa Chama cha Wakristo wa…
Mkuu wa wilaya ya Tabora mjini Upendo Wella amewataka wananchi wa eneo hilo kutojihusisha na vurugu zilizopangwa kufanywa na baadhi ya watu wasioitakia mema nchini na badala yake wawe walinzi…
KAMATI ya Usimamizi wa Ligi Kuu Bara imeshusha adhabu Mbeya City, Namungo, Coastal Union, waamuzi na maofisa wengine.
Mapigano yameendelea kupamba moto mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo siku moja Rais Trump wa Marekani kuwaalika viongozi wa Kongo na Rwanda mjini Washington kusaini makubaliano mapya ya amani…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....DESEMBA 08 2025
Baadhi ya mabasi ya masafa marefu mkoani Shinyanga yameripotiwa kuendesha safari kwa kuzidisha idadi ya abiria, kinyume na taratibu zilizowekwa na LATRA, hali inayochochea ongezeko la gharama kwa wasafiri katika…
Wafugaji wadogo wamehimizwa kuanza kutumia teknolojia za kidijitali katika shughuli za ufugaji ili kupunguza hasara na kuongeza tija, katika hali ambayo mabadiliko ya tabianchi na magonjwa ya mifugo yamekuwa yakiongeza…
Mkoa wa Rukwa unapanga kutoa zaidi ya leseni 700 za uchimbaji na utafiti wa madini kwa wachimbaji wakubwa na wadogo, huku wawekezaji 10 tayari wakijitokeza kuonesha nia ya kuwekeza katika…
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi George Simbachawene amesema maandamano yanayopangwa kufanyika kesho Desemba tisa hayakubaliki na ni haramu, kwani mpango huo haujulikani anayeuongoza na hakuna kibali kilichoombwa kwa…
Klabu ya soka ya England Arsenal imesema haitoingia mkataba mpya na serikali ya Rwanda mkataba ambao ulikua na lengo la Arsenal kuitangaza Rwanda na kuhamasisha watu kwenda nchini humo. Kwa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....DESEMBA 08 2025