Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia askari magereza mwenye umri wa miaka 31 (jina limehifadhiwa kwa sababu za kiuchun…
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia askari magereza mwenye umri wa miaka 31 (jina limehifadhiwa kwa sababu za kiuchunguzi) kwa tuhuma za kumuua mke wake aliyetambulika kwa jina la Betia…
Azam FC, Singida Black Stars kuliamsha upya Ligi Kuu
BAADA ya kumaliza majukumu ya mechi za kimataifa, wawakilishi wanaoshiriki hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Azam FC na Singida Black Stars kesho watarudi katika Ligi Kuu kuanza…
Sababu Mwangata kubaki Mbeya City
UONGOZI wa Mbeya City umefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Malale Hamsini ikiwa ni saa chache tangu ichapwe bao 1-0 na Namungo katika mechi iliyopigwa…
Kinachombeba Fabrice Ngoy Namungo hiki hapa
MSHAMBULIAJI wa Namungo, Fabrice Ngoy amesema kitu pekee kinachombeba kwa sasa ni kutokana na ushirikiano wa wachezaji wenzake na kuaminiwa na benchi la ufundi, jambo linalomuongezea motisha ya kupambana kila…
Kinachombeba Fabrice Ngoy Namungo hiki hapa
MSHAMBULIAJI wa Namungo, Fabrice Ngoy amesema kitu pekee kinachombeba kwa sasa ni kutokana na ushirikiano wa wachezaji wenzake na kuaminiwa na benchi la ufundi, jambo linalomuongezea motisha ya kupambana kila…
LALIGA Jumanne hii
LALIGA Jumanne hii FC Barcelona watakuwa uwanja wa nyumbani Camp Nou wakiwakaribisha Atletico Madrid. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 5:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports4HD. Katika msimamo wa LALIGA,…
Sh317 milioni zatua Ligi ya Kikapu Taifa
LIGI ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL) inayoendelea kuchezwa kwenye Uwanja wa Chinangali mkoani Dodoma imelamba udhamini wa Sh317,025,900 kutoka kampuni ya BetPawa.
Sh317 milioni zatua Ligi ya Kikapu Taifa
LIGI ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL) inayoendelea kuchezwa kwenye Uwanja wa Chinangali mkoani Dodoma imelamba udhamini wa Sh317,025,900 kutoka kampuni ya BetPawa.
Ni kosa kisheria kupekua simu ya mume au mke wako, mwanasheria wetu anaelezea kwa undani
Ni kosa kisheria kupekua simu ya mume au mke wako, mwanasheria wetu anaelezea kwa undani. #SheriaUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Maema: Hatuna cha kujitetea, tumejiangusha wenyewe
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Neo Maema, amesema kitendo cha timu hiyo kupoteza mechi mbili za kwanza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, hakuna wa kulaumiwa zaidi ya…
Hali ya sintofahamu imeendelea kukumba makaburi ya Dodoma, yaliyopo Mtaa wa Mageuzi, Manispaa ya Shinyanga kufuatia kuibuka kwa …
Hali ya sintofahamu imeendelea kukumba makaburi ya Dodoma, yaliyopo Mtaa wa Mageuzi, Manispaa ya Shinyanga kufuatia kuibuka kwa wizi wa vyuma vilivyotumika kujengea makaburi. Mwenyekiti wa Mtaa wa Mageuzi, Vitalis…
Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC), kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati, imeanza mikakati ya kuhakikisha matumizi ya ngu…
Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC), kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati, imeanza mikakati ya kuhakikisha matumizi ya nguvu ya nyuklia yanakuwa na manufaa, hasa katika uzalishaji wa nishati…
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itahakikisha inaongeza bajeti katika kusimamia utoaji wa huduma za afya kwa watu wanao…
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itahakikisha inaongeza bajeti katika kusimamia utoaji wa huduma za afya kwa watu wanaoishi na virusi vya ukimwi, ili kuimarisha upatikanaji wa huduma hizo kwa…
Today
Today Jumapili hii Desemba 07, katika NBC Premier League inapigwa Derby ya Mzizima Mnyama Simba SC atakuwa dimba la Benjamin Mkapa akiwakaribisha AzamFC. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 11:00 jioni…
NBC Premier League Jumatano hii
NBC Premier League Jumatano hii Saa 3:00 usiku, AzamFC watakuwa uwanja wa nyumbani Azam Complex wakiwakaribisha Singida BS. Ni mechi inayowakutanisha kocha Florient Ibenga na Miguel Gamondi kwa mara ya…
Shirika la Afya Duniani linaeleza kuwa, baada ya miongo kadhaa ya maendeleo, vita dhidi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) sasa ipo njia…
Shirika la Afya Duniani linaeleza kuwa, baada ya miongo kadhaa ya maendeleo, vita dhidi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) sasa ipo njia panda kutokana na ukweli kwamba huduma za kuokoa…
NBC Premier League leo Jumatau
NBC Premier League leo Jumatau. Saa 10:15 jioni, Mashujaa watakuwa dimba la nyumbani Lake Tanganyika wakiwakaribisha Coastal Union. Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD. Je, ni Wazee wa mapigo na…
Tazama video zilizotolewa na jeshi la Israel zinaonesha, kwa mujibu wa maelezo yao, wanajeshi wake wakitekeleza operesheni na ku…
Tazama video zilizotolewa na jeshi la Israel zinaonesha, kwa mujibu wa maelezo yao, wanajeshi wake wakitekeleza operesheni na kutoboa tundu la handaki katika eneo la Rafah, kusini mwa Ukanda wa…
🔴HABARI ZA SAA, TATU NA DAKIKA 55, DISEMBA 01, 2025
🔴HABARI ZA SAA, TATU NA DAKIKA 55, DISEMBA 01, 2025 (Feed generated with FetchRSS)
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 1, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 1, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
#MEZAHURU: Kwanini wafiwa mara nyingi wanapinga wosia wa Marehemu?
#MEZAHURU: Kwanini wafiwa mara nyingi wanapinga wosia wa Marehemu? (Feed generated with FetchRSS)
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: KIPATO NA ELIMU YA BIASHARA…DESEMBA 01, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: KIPATO NA ELIMU YA BIASHARA...DESEMBA 01, 2025 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo nchini Sri Lanka imezidi watu 330, huku nchi hiy…
#HABARI: Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo nchini Sri Lanka imezidi watu 330, huku nchi hiyo ikikabiliana na mojawapo ya maafa mabaya zaidi ya hali…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ….DISEMBA 01, 2025
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ....DISEMBA 01, 2025 (Feed generated with FetchRSS)
Dakika 810 zamtosha Malale Mbeya City, atemwa na wenzake kikosini
Baada ya kuitumikia Mbeya City kwa takribani miezi nane pekee, Kocha Mkuu, Malale Hamsini na wenzake wa benchi la ufundi wamesitishiwa mkataba leo Jumapili Novemba 30, 2025.
Tchakei aiokoa Singida, ikivuna pointi ya kwanza CAF
BAO la penalti katika dakika za majeruhi lililofungwa na mtokea benchi, Marouf Tchakei imeiwezesha Singida Black Stars kuandika historia ya kuvuna pointi ya kwanza ya katika mechi za makundi ya…
Imekuwa Jumapili ngumu kwa Simba
LICHA ya wenyewe kujinasibu kwamba Jumapili huwa ni siku nzuri kwa klabu yao, lakini hali kwa Jumapili ya leo imekuwa kinyumw kwa Simba baada ya awali kuvurugana katika Mkutano Mkuu…
Mashabiki City ‘wamtimua’ Kocha Malale, Namungo ikitakata Sokoine
Mbeya. Hali imeendelea kuwa tete kwa Mbeya City baada ya kupoteza mechi ya tatu mfululizo katika Ligi Kuu kwa kufungwa bao 1-0 na Namungo, huku mashabiki wakionekana kumkatia tamaa kocha…
Championship kumeanza kuchangamka, vita ipo hapa
UHONDO wa Ligi ya Championship kwa msimu wa 2025-2026, unaendelea tena leo kwa mechi sita za raundi ya nane kupigwa na ushindani umekuwa ni mkubwa, hasa kwa timu kuanzia ya…
Mashujaa, Coastal patachimbika Kigoma
WAGOSI wa Kaya iliyotoka kuopata ushindi wa mabzo 2-0 nyumbani, imesafiri hadi Kigoma tayari kwa pambano la Ligi Kuu Bara dhidi ya wenyeji wao, Mashujaa huku namba zikiwabeba.
Meneja wa Yusuph Athuman afichua jambo
MENEJA wa Yusuph Athuman anayekipiga Napsa Stars inayoshiriki Ligi Kuu ya Zambia, Hon Simbeye amesema kama mshambuliaji huyo wa zamani wa Yanga ataendelea kupata nafasi ya kucheza huu unaweza kuwa…
Takwimu za mbwana Samatta Le Havre
INGAWA nahodha wa timu ya taifa Tanzania, Taifa Stars Mbwana Samatta hajafunga bao lolote akiwa na kikosi cha Le Havre ya Ufaransa katika dakika 518, takwimu zinaonyesha ni mchezaji hatari…
Aisha Masaka kumfuata Opah Hispania
MABOSI wa Brighton & Hove Albion wanaangalia uwezekano wa kumtoa kwa mkopo mshambuliaji wa Kitanzania, Aisha Masaka kwenda Hispania baada ya kutopata nafasi ya kucheza kikosini hapo.
Sababu ya Suzana Adama kurejea Bongo
MENEJA wa mchezaji Suzana Adam, James Mlaga amesema sababu za kiungo huyo kurejea Bongo na kujiunga na Tausi FC inayoshiriki Ligi ya Wanawake ni kumjengea hali ya kujiamini baada ya…
Mkutano Simba waacha maswali kibao, Mangungu atakiwa kujiuzulu
MKUTANO Mkuu wa Simba wa mwaka 2025, umeisha saa 5:59 asubuhi, huku ukiibua maswali kwa wanachama kutokana na aina ya ulivyomalizika.
Simba inazitaka Sh 29 Bilioni msimu huu
SIMBA imetangaza kuwa, inakusudia kukusanya kiasi cha Sh 29.5 Bilioni kwenye msimu huu wa 2025/26 kama bajeti ya klabu hiyo.
MO apigiwa shangwe mkutano Simba
WAKATI wanachama wa Simba wakisomewa ripoti ya mapato na matumizi, wameonyesha kukoshwa na rais wao wa heshima Mohammed Dewji 'MO' na namna anavyoipa fedha klabu hiyo.
Mkutano Mkuu Simba tafrani tupu
WAKATI Mkutano Mkuu wa mwaka wa Simba ukiendelea leo Kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, wanachama wa klabu hiyo wameonekana wakiwa katika hali ya tafrani huku baadhi…
Mangungu abanwa mkutano mkuu Simba
Wakati ikisomwa ripoti ya mapato na matumizi ya mwaka uliopita, umeibuka mzozo baada ya hoja kumbana Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu.
Sakata la marekebisho ya Katiba Simba, Mwana FA ang’ata na kupuliza
NAIBU Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA), amesema licha ya maneno mengi kuhususiana na mabadiliko ya Katiba ya Klabu ya Simba, ila serikali haitoingilia uamuzi wa…
CEO Simba aanika mafanikio ya msimu wa 2024-2025
OFISA Mtendaji Mkuu wa Simba (CEO), Zubeda Sakuru, amesema klabu hiyo imepata mafanikio makubwa kwa msimu wa 2024-2025, licha ya changamoto mbalimbali zilizojitokeza.
Elimu inayotolewa kwa wananchi kuhusu ulinzi na Usalama wa miundombinu ya bomba la gesi alisia
Elimu inayotolewa kwa wananchi kuhusu ulinzi na Usalama wa miundombinu ya bomba la gesi alisia. Je, iambatane na uanzishwaji ulinzi shirikishi katika maneno hayo kudhibiti wahalifu?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…NOVEMBA 30 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 30 2025
Ufundi seremala na ufundi uashi ni miongoni mwa fani zenye mahitaji makubwa kila siku katika jamii, lakini changamoto ni uhaba w…
Ufundi seremala na ufundi uashi ni miongoni mwa fani zenye mahitaji makubwa kila siku katika jamii, lakini changamoto ni uhaba wa wanafunzi katika vyuo vinavyofundisha fani hizo. Habari Wikiendi imezungumza…
Walimu wa Sekondari ya Mndeme iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Vijijini, wameanzisha kilimo cha kabeji ili kurahisisha up…
Walimu wa Sekondari ya Mndeme iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Vijijini, wameanzisha kilimo cha kabeji ili kurahisisha upatikanaji wa mboga kwenye chakula cha wanafunzi shuleni. #AzamTVUpdates Mhariri | John…
Wakazi wa Kijiji cha Kankwale, Manispaa ya Sumbawanga, wameiomba serikali kujenga miundombinu bora ya barabara na kivuko ili kur…
Wakazi wa Kijiji cha Kankwale, Manispaa ya Sumbawanga, wameiomba serikali kujenga miundombinu bora ya barabara na kivuko ili kurahisisha usafiri. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi