#MALUMBANOYAHOJA: WIZARA YA MAENDELEO YA VIJANA IANGAZIE MAENEO GANI ILI KUWANUSURU KIUCHUMI?”
#MALUMBANOYAHOJA: WIZARA YA MAENDELEO YA VIJANA IANGAZIE MAENEO GANI ILI KUWANUSURU KIUCHUMI?"
#MALUMBANOYAHOJA: WIZARA YA MAENDELEO YA VIJANA IANGAZIE MAENEO GANI ILI KUWANUSURU KIUCHUMI?"
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma Dinah Mathamani ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama kufanya doria za kudhibiti wizi na ujambazi ziwa Tanganyika usiku na mchana katika mialo…
KIKOSI cha Azam FC tayari kimeshaanza mazoezi ya kujifua na mechi ya kesho dhidi ya Wydad, huku mastaa wakionekana kuwa na morali ya kutosha.
#HABARI: Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo, amewataka watumishi wa sekta ya Ardhi kuhakikisha wanazingatia utu wakati wa kuwahudumia wanachi. Amewataka watumishi hao Kufanya…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA NJOMBE- 27 NOVEMBA 2025- WANANCHI WAPATIWA MAJIKO BANIFU KWA BEI YA RUZUKU
#HABARI: Wanafunzi katika Shule ya Msingi Azimio iliyopo Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, waliokuwa wanakabiliwa na changamoto ya uhaba wa madawati hali iliyokuwa inatishia ustawi wao wa kupata elimu bora,…
#HABARI: Vurugu na machafuko zimeshuhudiwa katika majimbo mbalimbali, ambako unafanyika uchaguzi mdogo nchini Kenya, huku madai ya kuwahonga wapiga kura yakishamiri katika chaguzi, ambapo maeneo sita mbalimbali yanawachagua wabunge wake.…
LIGI Kuu Bara inaendelea leo kwa mechi moja kupigwa Uwanja wa Lake Tanganyika, mjini Kigoma kwa wenyeji Mashujaa kuikaribisha Dodoma Jiji katika pambano la kisasi kutokana na rekodi za timu…
KIUNGO mshambuliaji wa JKT Tanzania, Said Ndemla amesema ugumu na ubora wa Ligi Kuu Bara ni chachu kwao kukuza viwango vyao vya uchezaji huku akitaja sababu ya kuendelea kudumu kwenye…
🔴MEZA HURU - UWANJA WA NYUMBANI ..NOVEMBA 27 2025
🔴HABARI ZA SAA, NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 27, 2025
Wadau wa maendeleo barani Afrika wameshauri kubuniwa kwa mifumo ya Akili Unde (AI) inayoakisi uhalisia wa maisha ya jamii za Kiafrika, badala ya kutegemea teknolojia kutoka mataifa ya nje ambazo…
Chuo cha Benki Kuu kimesema kipo mbioni kuunda sera mpya ya kuboresha mtaala wa mafunzo yatakayowawezesha wafanyakazi katika sekta ya fedha kujiandaa ipasavyo kwa maisha ya kustaafu. Sera hiyo inalenga…
#HABARI: Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, alitembelea na kukagua Kituo cha kuzalisha umeme cha Mtera kilichopo mpakani mwa mikoa ya Iringa na Dodoma na kuridhishwa na hali ya…
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amesema wakati wanakutana na Wydad Athletic kesho Ijuma Novemba 28, 2025, matokeo pekee wanayoyataka ni kushinda au sare, lakini sio kupoteza.
KOCHA Mkuu wa Wydad Athletic, Amine Benhachem, amesema mechi ya kesho dhidi ya wenyeji Azam haitakuwa rahisi kutokana na ubora wa wapinzani wao wakiongozwa na Kocha Mkuu, Florent Ibenge.
#HABARI: Zaidi ya watu 40 wamefariki katika moto mkubwa ulioteketeza majengo ya ghorofa jijini Hong Kong, huku 45 wakilazwa hospitalini na zaidi ya 279 wakitoweka. Polisi wamewakamata wakurugenzi wawili wa…
#HABARI: Mahakama ya Wilaya Temeke jijini Dar es Salaam imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka 20 jela Rashidi Ruambo mwenye umri wa miaka 56 fundi ushonaji Mkazi wa Yombo Makangarawe kwa…
🔴HABARI ZA SAA, SITA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 27, 2025
Wadau wa kupinga vitendo vya udhalilishaji nchini wameitaka jamii kuimarisha usimamizi wa malezi ya watoto na kuwa karibu nao ili kuwakinga dhidi ya hatari ya udhalilishaji. Kauli hiyo imetolewa Kitogani,…
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Bw. Raymond Mweli, amechukua maamuzi magumu akiwa soko la Rujewa, lenye changamoto ya uchakavu wa vyoo na kutuama maji…
🔴HABARI ZA SAA, TANO NA DAKIKA 55, NOVEMBA 27, 2025
#HABARI: Takriban nusu ya wakenya wanaishi katika umaskini uliokithiri - kwa chini ya shillingi 130 kwa siku kulingana na ripoti mpya ya Shirika la Kiuchumi la Oxfam Kenya. Ripoti hiyo…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 27, 2025
#MEZAHURU: Unafikiri kwa nini Timu za mipira zinaamini UWANJA WA NYUMBANI ndio fursa ya ushindi.?
#HABARI: Bondia Mrembo ambaye pambano lake la kwanza alimwaga machozi baada ya kupoteza, amesema sasa amekomaa na yuko tayari kwa mara ya kwanza kupigana pambano la Kimataifa dhidi ya Mariam…
Pantev apewa sharti zito Simba BAADA ya Simba kupoteza mechi ya kwanza hatua ya makundi katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, unaambiwa ndani ya klabu hiyo moto umewaka, huku…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, NOVEMBA 27, 2025
#HABARI: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amekagua na kuridhishwa na hatua mbalimbali za ujenzi wa madaraja ya dharura yaliyoko katika Mkoa wa Lindi ambayo utekelezaji wake umefikia zaidi ya asilimia…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Novemba 27, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, kutoka timu ya Jeshi la Wananchi (JWTZ), Staff Sajenti Alphonce Simbu, ameondoka nchini leo asubuhi Novemba 27, 2025 kuelekea Ufaransa kwa ajili ya kushiriki sherehe…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: NOVEMBA 27 2025
#HABARI: Serikali imetenga Shilingi Bilioni 1 kwa ajili ya ujenzi wa jengo jipya la kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa Mawenzi, hatua inayolenga kuboresha huduma na kuondoa changamoto…
#HABARI: Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa na Naibu wake Mhe. Ng’wasi Damas Kamani wameanza ziara ya kukagua shughuli mbalimbali za sekta ya Mifugo mkoani…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 27, 2025
#HABARI: Wanajeshi wawili wa Ulinzi wa kitaifa wamejeruhiwa vibaya, baada ya kupigwa risasi huko Washington DC karibu na Ikulu ya White House, tukio ambalo Meya wa jiji hilo ameliita shambulio…
#HABARI: Rais wa Nigeria Bola Ahmed Tinubu, ametangaza hali ya dharura ya usalama wa kitaifa, kutokana na ongezeko kubwa la mashambulizi ya mauaji na utekaji nyara wa watu wengi katika…
🔴#KUMEKUCHA MICHEZO. SIMBA WAANZA KUJIFUA DHIDI YA STADE MALIEN-.NOVEMBA 27, 2025
🔴#MAGAZETI: IGP ABURUTWA MAHAKAMANI- 27 NOVEMBA 2025
Madereva wa Serikali wanaoendelea kukiuka Sheria za barabarani kwa makusudi. Je, wako juu ya Sheria za nchi.? #swalilakipimajoto. #27Novemba 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 27, 2025
Ukuaji wa sekta ya utalii nchini Tanzania unatajwa kuwa miongoni mwa nguzo muhimu za ukuaji wa uchumi wa taifa na pato la wajasiriamali wengi waliopo kwenye mnyoroor wa thamani wa…