🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 26 NOVEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 26 NOVEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 26 NOVEMBA 2025
#HABARI: Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) limetangaza mafanikio makubwa katika msimu wa minada ya Korosho baada ya kuuza jumla ya tani 273,000 za Korosho ghafi kupitia minada 17, ambapo thamani…
Tanzania imeendelea kufanya utafiti wa kina wa jiofizikia kwa kutumia teknolojia ya ndege nyuki (drone) katika Kata ya Basotu, wilayani Hanang, mkoani Manyara ili kubaini maeneo yenye hifadhi madini kwa…
Wakulima kutoka vijiji vya Kitandililo na Mlowa, Halmashauri ya Mji wa Makambako, wamekuwa na uelewa tofauti kuhusu elimu ya upimaji wa afya ya udongo. Hali hiyo imesababisha kuwepo kwa makundi…
Wanafunzi kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi hapa nchini wamebuni mashine ya kidijitali inayowawezesha wateja kujihudumia bila kumtegemea mhudumu, ikiwemo kuona orodha ya vyakula, kuagiza na kulipia moja kwa moja…
Huenda mwarobaini wa kukabiliana na ajali za barabarani ukapatikana hivi karibuni, baada ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kumuagiza Waziri wa Uchukuzi kukaa na wadau wa usafirishaji, ikiwemo Wizara ya…
#HABARI: Jeshi la Polisi katika mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji mkoani humo, limeendesha msako maalum kwenye maeneo ya barabara Kuu ya kutoka Nyakahula hadi Nyakanazi iliyoko…
Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na China umetajwa kuongeza fursa kwa wanafunzi kujifunza lugha ya Kichina, hatua inayosaidia kuimarisha tamaduni, ujuzi na upatikanaji wa fursa…
Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya imeanza kutoa mafunzo ya magonjwa ya dharura na mahututi kwa watoa huduma za afya na wanafunzi wa kada za afya kwa lengo la kuokoa…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU- 26 NOVEMBA 2025-WANAOVUNJA SHERIA BARABARANI WAWEKWA MTEGONI
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, amepokea Kompyuta 10 kutoka kwa wadau wa elimu, ikiwa ni sehemu ya Kompyuta 50 alizoomba kwa ajili ya kufadhili Chuo cha…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA DODOMA- 25 NOVEMBA 2025- WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA TEKNOLOJIA ZA KILIMO
BAADA ya kukosekana uwanjani kwa muda mrefu, kipa wa Azam FC, Aishi Manula amesema anapambana kwa nguvu kumshawishi kocha Florent Ibenge ampe nafasi kwani yupo tayari kuitumikia timu hiyo.
MSIMU wa saba wa mashindano ya Riadha ya Wanawake utafanyika kuanzia Novemba 28, 2025 hadi 30, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeufungia Uwanja wa Mkwakwani uliopo Tanga kutumika kwa michezo ya Ligi kwa kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu.
MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Maabad Maulid Maabad, ameibuka shujaa wa kikosi hicho kufuatia kufunga mabao mawili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Mbeya City.
BAADA ya kukaa nje ya uwanja karibu nusu msimu, kiungo wa zamani wa Simba na Yanga, Jonas Mkude anahesabu siku tu kwa sasa kwani anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha…
IWAPO ulikuwa unadhani panga pangua ya ratiba ya Ligi Kuu Bara imemalizika baada ya wiki iliyopitwa kutangazwa mpya, basi pole yako, kwani Bodi ya Ligi (TPLB) imetangaza mabadiliko mengine kwa…
Una maoni gani juu ya tabia ya baadhi ya wazazi waliotengana kuzuia watoto wao kuwa na mawasiliano na mmoja wao (mzazi asiyeishi na watoto/mtoto)? Hii ina madhara gani kwa makuzi…
MSHAMBULIAJI wa JKT Tanzania, Paul Peter amesema anataka kuvunja rekodi binafsi alizonazo Ligi Kuu Bara kila nafasi atakayopewa.
Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Madaba, iliyopo katika Halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma, wameungana kuchangia ujenzi wa bweni la wasichana ili kupunguza hatari na changamoto wanazokumbana nazo wanafunzi…
WATETEZI wa Ligi Kuu Bara Wanawake (WPL), JKT Queens wanaingia kambini kesho Alhamisi kuanza kazi ya kutetea taji kwa kuvaana na Bunda Queens.
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imeteketeza dawa za kulevya aina ya mirungi, zenye uzito wa zaidi ya kilo 900, zilizokamatwa mjini Bariadi, mkoani Simiyu. Wakati zoezi…
🔴MEZA HURU - UFAHAMU UGONJWA WA PSORIASIS ..NOVEMBA 26 2025
KAMA ni shabiki wa Coastal Union (Wagosi wa Kaya) na ulikuwa na mipango ya kutaka kushuhudia mechi za usiku kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga wakati wababe hao wa zamani wa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 26, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 26, 2025
Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Madaba wameamua kuchangia ujenzi wa bweni la wasichana ili kulinda watoto dhidi ya changamoto za usalama na kusitisha mimba za utotoni. Je,…
#HABARI: Kutokana na kuenea kwa uvumi wa taarifa katika mitandao ya kijamii zikidai kuwepo kwa maandamano yanayotajwa kufanyika Desemba 9, mwaka huu, Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Paschal…
#MICHEZO: Wekundu wa Misimbazi Simba SC, wameanza maandalizi ya mchezo wao wa pili wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi ya Stade Malien ya nchini Mali. Simba walianza vibaya mashindano…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, NOVEMBA 26, 2025
TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake kwa mchezo wa Futsal, imeitandika New Zealand mabao 4-2 kwenye mechi ya kundi C ya kuwania ubingwa wa Kombe la Dunia.
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 26, 2025
#MEZAHURU: Je, Psoriasis ni ugonjwa gani?
Haya ni baadhi ya maoni, matarajio ya wananchi mara baada ya kuundwa kwa wizara mpya ya maendeleo ya vijana, ambapo kuongezeka kwa fursa na kusikilizwa kwa matatizo kwa uharaka ni…
#HABARI: Wakulima wa zao la mwani zaidi ya 700 kutoka kata 4 zilizopo wilayani Mkinga wameiomba Serikali kuingilia kati haraka kabla madhara makubwa hayajajitokeza kufuatia wavuvi haramu wanaotumia makokoro kuendelea…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, NOVEMBA 26, 2025
#HABARI: Serikali nchini Nigeria imesema watoto wa shule 24 waliotekwa nyara katika Jimbo la Magharibi la Kebbi wiki iliyopita wameachiliwa huru. Katika taarifa yake, Rais wa Nigeria Bola Ahmed Tinubu…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: .....NOVEMBA 26, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 26, 2025
#HABARI: Kundi la tatu lililokuwa na washtakiwa ishirini na sita wakikabiliwa na makosa ya uhaini katika Mahakama ya Wilaya ya Ilemela, wameachiwa huru wote baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka kutokuwa…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Novemba 26, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: NOVEMBA 26, 2025
Kaa tayari… #AzamONEUnlocked 🔓
🔴#MAGAZETI: NIFFER, MWENZAKE MAMBO MAGUMU MAHAKAMANI / YANGA YARUKA KIUNZI CHA KWANZA.....
#KIPIMAJOTO: Kusuasua kwa ujenzi wa barabara ya njia nne katika barabara kuu ya Tanzania - Zambia eneo la Momba Songwe. Je, Wizara ya Ujenzi imeshindwa kutimiza ahadi yake ya kuikamilisha…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 26, 2025