🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 25, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 25, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 25, 2025
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabiri Makame, amefanya oparesheni ya kushtukiza kukamata wafanyabiashara wa mbolea Wilaya ya Mbozi ambao wamekuwa wakiuza mbolea ya Ruzuku kinyume na bei elekezi ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, NOVEMBA 25, 2025
Mapitio ya #MAGAZETI leo Novemba 25,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: SEKTA YA MAUA..NOVEMBA 25, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 25, 2025
#MEZAHURU: Hivi ni kweli Mwanaume akijaliwa kipato anaijali familia yake na Mwanamke akipata kipato anahitaji kuwa peke yake..? Tupe sababu. #SaaTisaKamiliMchana #Mezuhuru
🔴#KUMEKUCHA MICHEZO..NOVEMBA 25, 2025
🔴KUMEKUCHA: UMUHIMU WA STADI ZA MAISHA NOVEMBA 25, 2025
🔴#MAGAZETI: WAZIRI MKUU AAGIZA KANISA LA GWAJIMA LITOLEWE KIFUNGONI- 25 NOVEMBA 2025
Uamuzi wa kuadhibu Viongozi wa Taasisi zilizofanya makosa badala ya kufungia Taasisi husika, Je, utaondoa malalamiko yaliyokuwa yanajitokeza
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 25, 2025
Zaidi ya waendesha bajaji 4,000 kutoka mikoa ya Dodoma, Arusha, Morogoro na Tanga wanatarajia kunufaika na mpango wa kuongeza vituo vya usambazaji na ujazaji wa gesi katika mikoa hiyo unaotarajiwa…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 24 NOVEMBA 2025
#HABARI: Mwanaume mmoja, mkazi wa Makoko, Manispaa ya Musoma, Mkoa wa Mara, amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kubaka na kulawiti watoto wake wa kambo nyakati tofauti. Polisi…
🔴DAKIKA 45 NA DKT.DONALD MMARI MKURUGENZI MTENDAJI REPOA, NOVEMBA 24, 2025
Siku ya kimataifa ya pacha walioungana imeadhimishwa leo, na katika kuikumbuka siku hiyo Azam News inaangazia hali ya watoto mapacha waliotenganishwa baada ya kuzaliwa wakiwa wameungana, ambao kwa sasa wanaendelea…
Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) amewaondolea mashtaka jumla ya watu 208 waliokuwa wameshtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo uhaini, unyang’anyi wa kutumia silaha, uharibifu wa mali pamoja na njama za kuvuruga…
Wadau wa afya wameishauri serikali kuhakikisha kuwa katika kutekeleza sera ya bima ya afya kwa wote wanazingatia vifurushi kulingana na uwezo tofauti wa wananchi ili kila mmoja aweze kunufaika na…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU- 24 NOVEMBA 2025- WAZIRI MKUU ATOA SIKU 10 HUDUMA ZA MWENDO KASI
#HABARI: Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb), ametoa wito kwa viongozi na watendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) pamoja na Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa…
#HABARI: Serikali ya Jamhuri ya Korea kupitia Shirika lake la Maendeleo KOICA imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji safi na salama wenye thamani ya shilingi bilioni 27, mradi utakaowanufaisha…
#HABARI: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Hamad Chande, amekabidhi pikipiki ya miguu mitatu (BAJAJI) kwa mtumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Bw. Elihuruma Rashid, Askari…
#HABARI: Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati Mhe. Salome Makamba ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kuimarisha njia bora na ya haraka ya usafirishaji wa…
Je, unashauri nini kifanyike katika kuhakikisha utekelezwaji wa sera ya bima ya afya kwa wote unafanikiwa Tuandikie maoni yako, tutayasoma kwenye #AzamNews leo kuanzia saa 2:00 usiku kupitia #UTV.
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUVUMA - 24 NOVEMBA 2025 -
“….vitu hivi sio mali ya Serikali inaitwa miundombinu ya Umma, hii si mali ya serikali….” - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: -…
LICHA ya kuwa na mabao matatu katika akaunti ya Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa Pamba Jiji, Peter Lwasa, amesema bado anaamini ana nafasi ya kuwa bora zaidi mbele ya lango…
#HABARI: Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ameielekeza Wizara ya Mambo ya Ndani kufungulia Kanisa la Ufufuo na Uzima pamoja na taasisi nyingine za kidini zilizokuwa zimefungwa, lakini…
NA leo tena! Ndivyo unavyoweza kusema wakati KMC iliyotoka kupasuka nyumbani katika mechi iliyopita mbele ya maafande wa JKT Tanzania, leo itashuka tena uwanjani kuvaana na Mtibwa Sugar iliyopoteza pia…
NA leo tena! Ndivyo unavyoweza kusema wakati KMC iliyotoka kupasuka nyumbani katika mechi iliyopita mbele ya maafande wa JKT Tanzania, leo itashuka tena uwanjani kuvaana na Mtibwa Sugar iliyopoteza pia…
#HABARI: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM imewaachia huru watuhumiwa 47 wa kesi ya uhaini waliokuwa wakishikiliwa tangu Oktoba 29, 2025, kufuatia matukio ya vurugu za baada ya uchaguzi. Uamuzi…
BAADA ya Fountain Gate kupoteza mechi iliyopita dhidi ya Pamba Jiji, kocha wa kikosi hicho, Mohamed Laizer amesema haikuwa bahati yao huku akielekeza nguvu zake katika kuikabili Tanzania Prisons wikiendi…
BAADA ya kuvuna pointi tatu dhidi ya waajiri wake wa zamani wa Mbeya City, kocha wa Mashujaa, Salum Mayanga amezisifu timu pinzani na kuwakingia kifua washambuliaji kwa kuzipa timu zao…
“….na mimi niungane na Mheshimiwa Rais pamoja na waheshimiwa Mawaziri waliotangulia kusema na wasemaji, kutoa pole kwa wale wote walioathirika na tukio hili poleni sana…lakini tukio hili lina madhara ya…
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu), Ummy Nderiananga, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya mbio za baiskeli yanayolenga kukusanya zaidi ya Sh100…
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, imewaachia huru watuhumiwa 57 wa kesi ya uhaini waliokuwa wakishikiliwa tangu Oktoba 29, 2025 kufuatia matukio ya vurugu za baada ya uchaguzi.…
🔴MEZA HURU - UMUHIMU WA BIMA...NOVEMBA 24- 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 24, 2025
BAADA ya Timu ya Taifa ya Wanawake ya Futsal kupoteza mechi ya kwanza ya kundi C ya michuano ya Kombe la Dunia la Futsal kwa mabao 10-0 dhidi ya Ureno,…
Usikose ofa hii katika msimu wa sikukuu... #ITVDIGITAL #ITVUpates #ITV #christmas #newyear
Wanafunzi wengine 50 kati ya wanafunzi zaidi ya watu 300 waliotekwa wiki mbili zilizopita nchini Nigeria wamewatoroka watekaji na kurejea kwenye familia zao huku Rais wa nchi hiyo, Bola Tinubu…
Umoja wa watu wenye ulemavu wa macho (wasioona) nchini amewaomba wadau mbalimbali kuwasaidia katika kupata maarifa na ujuzi unaoendana na maendeleo ya sasa na hali ya ulemavu was ili waendelee…
Katika kupunguza utegemezi wa upatikanaji wa hewa ya oksijeni Kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wake sambamda na kuongeza wigo wa utoaji wa huduma zinazohitaji hewa hiyo, hospitali ya rufaa ya…
Katika kuongeza jitihada za kukabiliana na jinamizi la rushwa katika mataifa wanachama wa Umoja wa Afrika (AU), taasisi hiyo kupitia bodi yake ya Ushauri na Kupambana na Rushwa (AUABC) imeanza…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 24, 2025