Vijana wanaomaliza masomo ya ufundi stadi kutoka Mamlaka ya Ufundi Stadi nchini (VETA) wametakiwa kutumia fursa tatu zilizopo ka…
Vijana wanaomaliza masomo ya ufundi stadi kutoka Mamlaka ya Ufundi Stadi nchini (VETA) wametakiwa kutumia fursa tatu zilizopo katika jamii kupitia maarifa waliyovuna katika vyuo vinavyoendeshwa na mamlaka hiyo. Fursa…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 25 NOVEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 25 NOVEMBA 2025
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Simbachawene, amewasihi wananchi kudumisha amani na kushirikiana na Jeshi la Polisi ili kuhakikisha usalama wa Taifa unaendelea kuimarika. Mhe. Simbachawene…
DRFA: Yanga freshi, zingine zisikate tamaa
Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam, Lameck Nyambaya, ameipongeza Yanga kwa kuanza vyema hatua ya makundi michuano ya kimataifa, huku akizitaka Simba, Azam na…
#HABARI: Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Judith Kapinga, amewataka watumishi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kuboresha u…
#HABARI: Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Judith Kapinga, amewataka watumishi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kuboresha utendaji kazi na kuongeza ubunifu ili kuendana na mahitaji ya soko la…
#HABARI: Watuhumiwa 20 kati ya 22 waliokuwa wanashtakiwa kwa makosa ya uhaini wameachiwa huru leo Novemba 25, 2025
#HABARI: Watuhumiwa 20 kati ya 22 waliokuwa wanashtakiwa kwa makosa ya uhaini wameachiwa huru leo Novemba 25, 2025. Shauri lililokuwa linawakabili watuhumiwa hao leo lilikuwa linaendelea katika Mahakama ya Hakimu…
#HABARI: Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaanza kutekeleza mradi wa kutandaza nyaya za Umeme (Wiring) kwa wan…
#HABARI: Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaanza kutekeleza mradi wa kutandaza nyaya za Umeme (Wiring) kwa wananchi kupitia miradi ya kusambaza umeme inayotekelezwa na wakala kote nchini. Hayo…
CAS yatupilia mbali rufaa ya Guinea, Taifa Stars ikihakikishiwa AFCON 2025
Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imetupilia mbali rufaa ya Guinea iliyoomba timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ipokonywe haki ya kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika…
Wakati baadhi ya vijana wananufaika na elimu ya mafunzo ya ufundi stadi kupitia mpango wa wanagenzi, kundi la vijana wasiopata f…
Wakati baadhi ya vijana wananufaika na elimu ya mafunzo ya ufundi stadi kupitia mpango wa wanagenzi, kundi la vijana wasiopata fursa hizo limeiomba Serikali kupanua mpango huo ili uwafikie wengi…
Wavuvi katika Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma wamedai kuwa takribani mashine 50 za uvuvi zimeporwa ziwani humo kuanzia Januari had…
Wavuvi katika Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma wamedai kuwa takribani mashine 50 za uvuvi zimeporwa ziwani humo kuanzia Januari hadi sasa, jambo lililofanya wavuvi hao kumuombaMkuu wa Mkoa huo, Simon Sirro…
Wajasiriamali wadogo katika maeneo mbalimbali nchini wameiambia #AzamNews kuwa wanasubiri kwa hamu utekelezaji wa ahadi ya kuras…
Wajasiriamali wadogo katika maeneo mbalimbali nchini wameiambia #AzamNews kuwa wanasubiri kwa hamu utekelezaji wa ahadi ya kurasimisha shughuli zao, wakiamini kuwa endapo hilo litatekelezwa vyema, litaboresha na kurahisisha ustawi wa…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU- 25 NOVEMBA 2025-WAZIRI MKUU:TUHAKIKISHE VURUGU HAZITOKEI TENA
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU- 25 NOVEMBA 2025-WAZIRI MKUU:TUHAKIKISHE VURUGU HAZITOKEI TENA
Changamoto ya ukosefu wa zahanati ya kijiji katika Kijiji cha Matale, mkoani Simiyu, uliosababisha wananchi kutembea zaidi ya ki…
Changamoto ya ukosefu wa zahanati ya kijiji katika Kijiji cha Matale, mkoani Simiyu, uliosababisha wananchi kutembea zaidi ya kilomita sita kufuata huduma za afya, imeanza kupatiwa ufumbuzi kupitia ujenzi wa…
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezitaka mamlaka zinazohusika kwa mujibu wa sheria kushirikiana ki…
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezitaka mamlaka zinazohusika kwa mujibu wa sheria kushirikiana kikamilifu katika kudhibiti uchafuzi wa mazingira unaotokana na kelele na mitetemo, ili…
“Nije na lile (swali) la watu wangapi (waliofariki wakati na baada ya vurugu Oktoba 29), na mmoja aliyeuliza amenisaidia kabisa …
"Nije na lile (swali) la watu wangapi (waliofariki wakati na baada ya vurugu Oktoba 29), na mmoja aliyeuliza amenisaidia kabisa anasema mbona majengo mnataja, mbona vitu mnataja Na hiyo ndiyo…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro, ameendelea na ziara ya kupambana na ujambazi unaofanywa ndani ya Ziwa Tangan…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro, ameendelea na ziara ya kupambana na ujambazi unaofanywa ndani ya Ziwa Tanganyika kufuatia malalamiko ya wavuvi na wajasirimali wa mazao ya…
#HABARI: Mkoa wa Mtwara umeweka rekodi mpya katika mauzo ya zao la Korosho baada ya kuuza zaidi ya tani 147,410 kupitia minada s…
#HABARI: Mkoa wa Mtwara umeweka rekodi mpya katika mauzo ya zao la Korosho baada ya kuuza zaidi ya tani 147,410 kupitia minada sita iliyofanyika hadi sasa kupitia mfumo wa stakabadhi…
Baada ya kuanzishwa kwa anuani za makazi, sasa Serikali imeleta programu tumizi ya ‘National Physical Addressing’ (NaPA), ambayo…
Baada ya kuanzishwa kwa anuani za makazi, sasa Serikali imeleta programu tumizi ya ‘National Physical Addressing’ (NaPA), ambayo inamwezesha Mtanzania kupata barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa bila kulazimika…
#AIBUYAKO: Usikose kufuatilia kipindi hiki Jumatatu ijayo kupitia Televisheni yako pendwa ya ITV, Super Brand Afrika Mashariki s…
#AIBUYAKO: Usikose kufuatilia kipindi hiki Jumatatu ijayo kupitia Televisheni yako pendwa ya ITV, Super Brand Afrika Mashariki saa 4:00 usiku. Kipindi hiki kinapatikana pia Katika Youtube yetu #ITVTANZANIA.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MARA- 25 NOVEMBA 2025- AMUUA MKE WAKE KWA KUMYONGA NA RASTA
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MARA- 25 NOVEMBA 2025- AMUUA MKE WAKE KWA KUMYONGA NA RASTA
Ibenge awapa maujanja mastaa Azam
AZAM FC tayari ipo Zanzibar ikijiandaa kuikaribisha Wydad Athletic kutoka Morocco katika mechi ya pili Kundi B la Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kupoteza mechi ya kwanza ugenini kwa…
Kiswanya hataki mchezo Namungo
KIUNGO wa Namungo, Abdulkarim Kiswanya amesema kupata nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha timu hiyo si jambo jepesi kutokana na ubora wa nyota waliopo.
“Pakitokea fujo, pakitokea vurugu, haijawahi kutokea vurugu isiyo na madhara, natoa rai kwa Watanzania tukae eneo ambalo haliko …
"Pakitokea fujo, pakitokea vurugu, haijawahi kutokea vurugu isiyo na madhara, natoa rai kwa Watanzania tukae eneo ambalo haliko sawa tujadiliane tusiruhusu tena jambo la aina hii,"-Dkt.Mwigulu Nchemba - Waziri Mkuu…
Mashaka: Mchongo ni nafasi tu
MSHAMBULIAJI wa Simba anayecheza JKT Tanzania kwa mkopo, Valentino Mashaka amesema kwa sasa anachotaka ni nafasi tu ndani ya kikosi hicho ili kuonyesha ubora wake.
Pamba Jiji yavunja rekodi yake
PAMBA Jiji imevunja rekodi ya msimu uliopita ndani ya raundi saba za kwanza Ligi Kuu Bara kiasi cha kuwaibua wakongwe wa timu hiyo akiwemo Khalfan Ngassa.
“Mimi kwenye Imani yangu, kumwaga damu ya mtu mmoja asiye na hatia siyo baraka katika Ardhi husika,tunatoa pole kwa familia amba…
"Mimi kwenye Imani yangu, kumwaga damu ya mtu mmoja asiye na hatia siyo baraka katika Ardhi husika,tunatoa pole kwa familia ambazo zimekutana na madhila hayo, ombi langu kila mmoja kwenye…
Simulizi ya Dar City ikiishia njiani BAL
BAADA ya Johannesburg Giants ya Afrika Kusini kuiondoa Dar City City katika nusu fainali ya mashindano ya kikapu Road to BAL Elite 16, kocha wa timu hiyo, Florsheim Ngwenya amesema…
“….Watanzania hawa wote hawa awe na duka lake gari yake, ni watu wanaojikusanyana sana…….umechoma vituo vya mwendokasi una…
"....Watanzania hawa wote hawa awe na duka lake gari yake, ni watu wanaojikusanyana sana.......umechoma vituo vya mwendokasi unataka ukachome stendi ya Magufuli, unataka ukawashe Kinyerezi ambako ndio inatoa nishati ya…
“….hawa wanaofanya kazi na mikesha wameajiri vijana wanalipwa, huyo anayewalipa ana maslahi gani na Tanzania, atarejeshaje hiz…
"....hawa wanaofanya kazi na mikesha wameajiri vijana wanalipwa, huyo anayewalipa ana maslahi gani na Tanzania, atarejeshaje hizo fedha, na Watanzania amkeni wale wenzenu wako na familia zao na watoto wao,…
Yanga ilivyofanya kufuru Algeria ikitua kuikabili JS Kabylie
Iko hivi! Soma zaidi hapa
“.….nimesema wanahabari wenzangu kwa sababu nilipomaliza chuo kikuu, kazi yangu ya kwanza yenye mkataba yenye ujira yenye mshaha…
“.….nimesema wanahabari wenzangu kwa sababu nilipomaliza chuo kikuu, kazi yangu ya kwanza yenye mkataba yenye ujira yenye mshahara, nililipwa nikiwa nafanya kazi kwenye sekta ya habari, nikiwa IPP media….”-Waziri Mkuu…
🔴MEZA HURU – UMUHIMU WA KIPATO KWENYE FAMILIA…NOVEMBA 25- 2025
🔴MEZA HURU - UMUHIMU WA KIPATO KWENYE FAMILIA...NOVEMBA 25- 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 25, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 25, 2025
Wakulima wa chama kikuu cha wakulima wa korosho MAMCU wilayani Masasi na Nanyumbu mkoani Mtwara wamefanikiwa kukusanya zaidi ya …
Wakulima wa chama kikuu cha wakulima wa korosho MAMCU wilayani Masasi na Nanyumbu mkoani Mtwara wamefanikiwa kukusanya zaidi ya Shilingi Bilioni 149 baada ya kuuza korosho zao katika minada miwili…
Hospitali ya Mtakatifu Elizabeth ya Arusha imeanzisha kitengo maalum cha kuhudumia watoto wwanaozaliwa kabla ya wakati wao ili k…
Hospitali ya Mtakatifu Elizabeth ya Arusha imeanzisha kitengo maalum cha kuhudumia watoto wwanaozaliwa kabla ya wakati wao ili kuongeza wigo wa upatikanaji wa huduma mahsusi kwa watoto hao. Kitengo hicho…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amekubali kubadilishwa kwa baadhi ya vipengele via mpango wa amani kati ya nchi yake na Urusi…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amekubali kubadilishwa kwa baadhi ya vipengele via mpango wa amani kati ya nchi yake na Urusi ili kumaliza mgogoro unaoendelea baina ya nchi hizo. Taarifa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 25, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 25, 2025
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzanja (TAA) imesema imeanza maboresho ya sehemu mbalimbali za Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ju…
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzanja (TAA) imesema imeanza maboresho ya sehemu mbalimbali za Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) ikiwemo mifumo ya ulinzi kwa lengo la…
Wajasiriamali wadogo wanaofanya shughuli zao katika Soko Kuu la Iringa wameiomba serikali na taasisi za bima kuwafikia na kuwapa…
Wajasiriamali wadogo wanaofanya shughuli zao katika Soko Kuu la Iringa wameiomba serikali na taasisi za bima kuwafikia na kuwapa elimu ya manufaa ya kuzikatia bima biashara zao ili kukabiliana na…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 25, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 25, 2025
Inaelezwa kuwa, mapenzi yakipungua kati ya wenza, ni moja ya sababu za kuwepo kwa vitendo vya ukatili wa kihisia, hasa kwa wanaw…
Inaelezwa kuwa, mapenzi yakipungua kati ya wenza, ni moja ya sababu za kuwepo kwa vitendo vya ukatili wa kihisia, hasa kwa wanawake, msikilize Mkurugenzi wa Taasisi ya Woman of Substance,…
#HABARI: Polisi Mkoa wa Morogoro wanamtafuta dereva wa basi la ABC, Mussa Omary Mbaga, baada ya kutoroka kutokana na ajali iliyo…
#HABARI: Polisi Mkoa wa Morogoro wanamtafuta dereva wa basi la ABC, Mussa Omary Mbaga, baada ya kutoroka kutokana na ajali iliyotokea usiku wa Novemba 23, 2025 katika eneo la Ng’apa,…
Licha ya kuongezeka kwa wajasirimali wengi katika nyanja mbalimbali za biashara za shughuli za uzalishaji mali lakini tishio la …
Licha ya kuongezeka kwa wajasirimali wengi katika nyanja mbalimbali za biashara za shughuli za uzalishaji mali lakini tishio la kufilisika kutokana na ukosefu wa elimu ya kukinga mitaji na mali…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, NOVEMBA 25, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, NOVEMBA 25, 2025
#HABARI: Mwanamke mmoja nchini Thailand aliwashangaza wafanyakazi wa hekalu, alipoanza kusogea akiwa ndani ya jeneza lake, baada…
#HABARI: Mwanamke mmoja nchini Thailand aliwashangaza wafanyakazi wa hekalu, alipoanza kusogea akiwa ndani ya jeneza lake, baada ya kuletwa kama maiti kwa ajili ya kuchomwa. Wat Rat Prakhong Tham, hekalu…
#HABARI: Takriban watoto tisa na mwanamke mmoja wameuawa baada ya vikosi vya Pakistan kushambulia kwa bomu nyumba ya mkazi wa en…
#HABARI: Takriban watoto tisa na mwanamke mmoja wameuawa baada ya vikosi vya Pakistan kushambulia kwa bomu nyumba ya mkazi wa eneo hilo katika Mkoa wa Khost nchini Afghanistan, Msemaji wa…
#MEZAHURU: Je kipi bora kwenye familia kati ya mke au mume awe na kipato?
#MEZAHURU: Je kipi bora kwenye familia kati ya mke au mume awe na kipato?
Inawezakana ugomvi miongoni mwa wanafamilia kusababisha matatizo katika uhusiano wa kidiplomasia baina ya mataifa
Inawezakana ugomvi miongoni mwa wanafamilia kusababisha matatizo katika uhusiano wa kidiplomasia baina ya mataifa Hili linaweza kuwa swali la kiufundi linalohitaji wataalamu wa diplomasia kulichambua kwa kina na kuishibisha jamii…