Simbu atetea nafasi ya pili Boston Marathon
Mwanariadha nyota wa Tanzania, Alphonce Simbu amepeperusha vyema bendera ya nchi baada ya kumaliza katika nafasi ya pili kwenye Mbio za Boston Marathon ambazo zimefanyika leo huko Boston Marekani.
Kaya 300 zilizokumbwa na athari ya mafuriko Mbarali zashikwa mkono
Mbeya. Zaidi ya kaya 300 zilizokumbwa na mafuriko wilayani Mbarali, mkoani Mbeya zimerejeshewa...
Wananchi wapata ahueni, Zahanati ya Tangini Kibaha ikizinduliwa
Kibaha. Wananchi wa kata za Tangini, Pangani na Kidimu katika Manispaa ya Kibaha mkoani Pwani...
Simbu atetea amaliza nafasi ya pili Boston Marathon
Simbu ameshika nafasi hiyo akitumia muda wa saa 2:02:47 huku kinara akiwa ni John Korir wa...
Simulizi ya walioathiriwa na mafuriko Moro, Serikali yatoa matumaini
Baadhi ya wakazi wa wilaya za Kilosa na Mvomero, wameendelea kukumbwa na mafuriko, huku wengi...
LHRC: Haki ya kuishi imekiukwa zaidi 2025
Mwananchi pia ilimtafuta Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ambaye amesema atatoa...
Utitiri masharti ya mikopo kwa vijana watikisa Bunge
Fedha zinazozungumziwa na wabunge hao ni zile Sh200 bilioni zilizotolewa na Serikali kwa ajili...
Wabunge wataka Sh200 bilioni ziende Wizara ya Vijana
Wabunge wametaka njia rahisi ya upataji mikopo kwa vijana ikiwemo unafuu wa masharti, dhamana...
Huzuni mwanafunzi akizimia na kufariki chuoni akijiandaa kuhitimu
Msiba ulitokea baada ya mwanafunzi kuzimia na kufariki akiwa chuoni saa chache kabla ya kuhitimu, na kuwaacha familia na marafiki katika huzuni na wenye maswali.
Miti 500 yapandwa Olmoti Sekondari kukabili mabadiliko tabianchi
Katika Shule ya Sekondari Olmoti, jumla ya miti 500 imepandwa, ambapo 200 ni miti ya vivuli na...
Watanzania wahimizwa kupima mapema ini
Ingawa hakuna takwimu kamili, ametoa rai kwa jamii kuhusu umuhimu wa uchunguzi afya zao mapema...
Monica kortini akidaiwa kujipatia Sh60 milioni kwa udanganyifu
Mshtakiwa ameshindwa kutimiza masharti ya dhamana hivyo amepelekwa rumande.
Wataalamu kunolewa kukabili upungufu wa dawa
DAR ES SALAAM: Wataalamu wa afya kutoka vituo mbalimbali nchini wanatarajiwa kunufaika na mafunzo maalumu yatakayofanyika kwa wiki moja jijini Dar es Salaam, yakilenga kuboresha uwezo wa kufanya maoteo sahihi…
Shughuli za uokozi maduara yaliyotitia Geita, zahitimishwa
Mwakasitu amesema shughuli hiyo imefanyika kwa mafanikio makubwa huku akitaja baadhi ya vitu...
Wananchi Monduli wawezeshwa vifaa kuvuna maji ya mvua
Zaidi ya wakazi 10,000 katika Wilaya ya Monduli watanufaika na ugawaji wa matenki 500 ya...
Mafunzo kuboresha haki waathirika wa ukatili
DAR ES SALAAM: Katika kuhakikisha waathirika wa ukatili wa kingono wanakuwa na mazingira rafiki wakati wa uendeshwaji wa mashauri Mahakamani, Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) kwa kushirikiana na…
Edwin Njuguna: Mwili wa Dereva wa Lori Aliyeuawa DRC Wawasili Kenya kwa Mazishi
Mwili wa dereva Mkenya Edwin Njunguna, aliyeuawa nchini DRC, uliwasili Bungoma. Baadhi ya Wakenya walikuwa na hisia huku wakisimulia tukio lake la kuhuzunisha.
Wanasheria EWURA wanolewa utatuzi migogoro
TANGA: Wanasheria wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) wanapatiwa mafunzo maalumu ya usuluhishi yaliyoandaliwa na Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) kwa lengo la…
Ndejembi awaita wabunge kutembelea maonyesho wiki ya nishati
Waziri wa Nishati, Deogratus Ndejembi amewahamasisha wabunge wa kutembelea maonyesho ya Wiki ya...
Mrithi wa Lukuvi, madiwani 12 kupatikana Juni mosi
Lukuvi alikuwa ameliongoza jimbo hilo kwa miaka 31 tangu 1995. Wakati anafariki dunia alikuwa...
Jubilee Insurance yahamasisha utunzaji mazingira shuleni
DAR ES SALAAM: KAMPUNI za Jubilee Life Insurance na Jubilee Health Insurance zimeongeza juhudi za kuhamasisha utunzaji wa mazingira katika shule mbalimbali ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Malengo ya…
Wataalamu wapewa mafunzo kutibu uti wa mgongo
DAR ES SALAAM; Zaidi ya Wataalumu wa Afya 100 wa Ubongo, uti wa mgongo na mishipa ya fahamu Duniani wameanza kupatiwa mafunzo ya uti wa mgongo kwa siku tatu jijini…
Judiciary steps up training to protect sexual violence survivors in court
KAGERA: The Institute of Judicial Administration Lushoto (IJA), in collaboration with Irish Rule of Law International (IRLI), has intensified efforts to safeguard survivors of sexual violence during court proceedings through…
Yona Amosi aifukuzia rekodi yake Ligi Kuu
KIPA wa Pamba Jiji, Yona Amosi amesema anapambania kuifikia rekodi ya msimu uliopita ambayo alimaliza akiwa na clean sheet 11, na anaamini hilo linawezekana katika mechi zilizosalia, hivyo anachokifanya ni…
Tanzania signs deal to host the 74th Miss World pageant
DAR ES SALAAM: TANZANIA has secured a landmark global spotlight after signing a deal to host the 74th Miss World pageant in 2027, a move expected to draw over 20,000…
Hesabu za KVZ Kombe La Muungano 2026
BAADA ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi katika Ligi Kuu Zanzibar, sasa KVZ imebadilisha upepo na nguvu zote kuhamishia kwenye Kombe la Muungano.
Mifumo mingi ya taarifa bandarini yatajwa changamoto, suluhu yatajwa
Kulingana na mkataba wa IMO, nchi wanachama wa shirika hilo ikiwemo Tanzania, wanapaswa kuwa na...
Tanzania yapata uwenyeji Miss World 2027
Tanzania kuandika historia mpya kwenye ramani ya dunia baada ya kuthibitishwa rasmi kuwa...
Wiki ya Nishati yaanza Dodoma
DODOMA: Maonesho ya Wiki ya Nishati yanayohusisha Wizara ya Nishati na taasisi zake yameanza katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma huku yakilenga kutoa elimu ya nadharia na vitendo kuhusu Sekta…
Serikali kuja na mbinu mpya kukabili malaria 2030
Hafua zingine ambazo Serikali imesema zitatumika pamoja kukabiliana na ugonjwa huo ni matumizi...
Tazama: Dakika za mwisho kabla ya Marekani kukamata meli ya Iran
Marekani imekamata meli ya mizigo iliyokuwa na bendera ya Iran katika eneo la Ghuba kama sehemu ya kutekeleza zuio la majini, Donald Trump asema.
Tanzania yapata bingwa wa kwanza wa magonjwa ya mfumo wa chakula kwa watoto
Akiwa anatarajia kurejea katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), uwepo wake unatarajiwa...
Manusura ajali ya meli Nungwi asimulia kilichotokea
Hatua hiyo iliwapa nafasi mpya ya kuishi baada ya kupitia mateso makubwa yaliyotishia uhai wao...
Mapya yaibuka fedha za vijana
Kwa mujibu wa taarifa ya kamati hiyo, kitendo hicho kinakwamisha juhudi za kuwafikia vijana...
Kilimanjaro mwenyeji ya Siku ya Mkunga Duniani
KILIMANJARO: Mkoa wa Kilimanjaro unatarajiwa kuwa kitovu cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mkunga Duniani (IDM) mwaka 2026, ambapo Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA) kwa kushirikiana na wadau wa…
Tanzania pledges to complete all stalled road and bridge projects heading into the wet season
MUSOMA: THE Tanzanian government has reaffirmed its commitment to complete all stalled road and bridge projects across the country, upgrading them to bitumen standard as part of efforts to improve…
MOI provides spinal treatment training to 150 Tanzanian health professionals
DAR ES SALAAM: THE Muhimbili Orthopedic and Brain Institute (MOI), in collaboration with Weill Cornell Medicine in the United States, has begun providing spinal treatment training to more than 150…
Reconstructive surgery camp benefits over 300 patients
DAR ES SALAAM: MORE than 300 patients have benefited from a free reconstructive surgery camp organised through a trilateral partnership involving Aga Khan Hospital, Muhimbili National Hospital (MNH) and the…
Midwife Half Marathon set to brighten IDM celebration in Kilimanjaro
DAR ES SALAAM: THE Kilimanjaro Region is expected to host major celebrations for the International Day of the Midwife (IDM) in 2026, as the Tanzania Midwives Association, in collaboration with…
Tanzania readies to host COP12 for protecting marine and coastal ecosystems
DAR ES SALAAM: TANZANIA has secured the prestigious role of hosting the 12th Conference of the Parties to the Nairobi Convention (COP12), with more than 500 international delegates expected in…
NCBA Tanzania yaendelea kukua kifedha
Katika kipindi ambacho taasisi nyingi za kifedha zinakabiliwa na msukumo wa kuongeza faida...
Tanzanians see wonders in Nawwi Wellness
DAR ES SALAAM: ACADEMICIANS, business leaders, students, and artists were among the beneficiaries of Nawwi Wellness, an event that helps people to unwind, slow down, reconnect and create meaningful moments…
Mudathir afungiwa mechi tatu, kuikosa Simba
Mchezo wa mzunguko wa kwanza baina ya Yanga na Simba ulimalizika kwa sare ya bila kufungana.
Barrick Tanzania commits to grooming mining experts as it backs EISEC Forum
DAR ES SALAAAM: BARRICK Tanzania has awarded a scholarship to five Tanzanian students from UDSM to enable them to study mining science and geology at Johannesburg University in South Africa.…
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya maadhimisho ya m…
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zielekezwe kwenye ukarabati wa…
Tanzanian athletes sparkle at Tanfoam Marathon as it gains global status
ARUSHA: TANZANIAN runners displayed remarkable performance by topping the Tanfoam International Marathon held here over the weekend. Local athletes emerged as winners in both 42-kilometer and 21-kilometer races for both…
Ndejembi aelekeza wabunge kutumia maonyesho kufuatilia miradi ya nishati
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) kwa...