Ndejembi aelekeza wabunge kutumia maonyesho kufuatilia miradi ya nishati
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) kwa...
Mudathiri kuikosa Dabi ya Kariakoo, Simba ikitozwa faini Sh15 milioni
Kiungo wa Young Africans SC, Mudathir Yahya, amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Sh milioni moja kufuatia kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji FC, Ibrahim Abraham, wakati…
Mudathiri kuikosa Dabi ya Kariakoo, Simba ikitozwa faini Sh10 milioni
Kiungo wa Young Africans SC, Mudathir Yahya, amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Sh milioni moja kufuatia kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji FC, Ibrahim Abraham, wakati…
Nage, Mdako na Kukimbiza Kuku Kutikisa maadhimisho ya Muungano 2026
KATIBU wa michezo ya Jadi Wilaya ya Temeke, Juma Kilima, amesema chama hicho kipo tayari kwa ajili ya mapokezi ya timu zinazotokea visiwani Zanzibar kwa maadhimisho ya miaka 62 ya…
Kilio barabara Tarime, Ulega asema viporo vyote vitakamilishwa
Wananchi wilayani Tarime Mkoa wa Mara wameiomba Serikali kutoa fedha za dharura ili kukarabati...
Ni mambo gani unayazingatia kabla ya kufanya maamuzi ya kuchukua mkopo?
Ni mambo gani unayazingatia kabla ya kufanya maamuzi ya kuchukua mkopo? Nijulishe kwenye comments. #AzamTVUpdates Imeandaliwa na John Mbalamwezi (Feed generated with FetchRSS)
Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kariakoo wameiomba serikali kupunguza baadhi ya tozo katika mafuta ili kuepuka kupanda kwa gharama…
Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kariakoo wameiomba serikali kupunguza baadhi ya tozo katika mafuta ili kuepuka kupanda kwa gharama za bidhaa, ambazo tayari zimeanza kuonekana. Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa…
Vijana mkoani Rukwa wametakiwa kutumia vyuo vya ufundi stadi vilivyopo mkoani humo kwa kujifunza teknolojia ya kisasa ambayo ita…
Vijana mkoani Rukwa wametakiwa kutumia vyuo vya ufundi stadi vilivyopo mkoani humo kwa kujifunza teknolojia ya kisasa ambayo itawasaidia kukabiliana na soko la ajira linalohitaji ujuzi katika sayansi na teknolojia,…
Vita Mashariki ya Kati yazidisha shinikizo la uchumi wa dunia, aonya Guterres
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameonya kuwa mzozo unaoendelea Mashariki ya Kati unasababisha mtikisiko mpya katika uchumi wa dunia, huku athari zake zikienea kwa kasi nje ya…
Umoja wa Mataifa waadhimisha miaka 25 ya Jukwaa linalojikita katika haki za Watu wa Asili mkazo ukiweka zaidi katika changamoto za afya na mabadiliko ya tabianchi
Jukwaa la Kudumu la Umoja wa Mataifa kuhusu Masuala ya Watu wa Asili (UNPFII) limefungua kikao chake cha ishirini na tano leo Aprili 20 katika Makao Makuu ya Umoja wa…
FAO: Mgogoro Mashariki ya Kati waongeza hatari ya uhakika wa upatikanaji wa chakula
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO limeonya kuwa mgogoro unaoendelea Mashariki ya Kati unaongeza shinikizo kwa mifumo dhaifu ya uzalishaji na usambazaji wa chakula, hali inayoweza…
UNESCO: Watengeneza maudhui nchini Kenya waaswa kuwa walinzi wa amani na ukweli mtandaoni
Ni dhahiri hivi sasa watu wengi zaidi wanatumia mitandao ya kijamii katika shughuli mbalimbali na pia kupata taarifa, na kwakuzingatia ukweli huo, Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi…
Lishe yarejesha matumaini ya elimu Kigoma.. Magdalena arejea shuleni na kuwa chanzo cha mabadiliko
Elimu imeanza kung’aa tena kwa watoto katika kijiji cha Twabagondozi, ambapo njaa iliyokuwa kikwazo kikubwa cha masomo sasa inapungua kupitia mpango wa lishe na malezi bora unaoungwa mkono na shirika…
UN/EU: Dola bilioni 71.4 zahitajika kwa ujenzi mpya Gaza, maendeleo ya binadamu yakirudi nyuma miaka 77
Dola bilioni 71.4 zahitajika kwa ujenzi mpya Gaza Zaidi ya nyumba 371,000 zimesambaratishwa au kuathirika Zaidi ya nusu ya hospitali hazifanyi kazi Karibu shule zote zimeharibiwa au kuathirika Uchumi umeporomoka…
Oscar Sudi amlima James Orengo kuhusu maandamano ya Gen Z: “Yeye sio Mwanamageuzi”
Mbunge Oscar Sudi alikosoa maandamano yajayo ya gavana wa Siaya James Orengo, akidai kutokuwepo maendeleo katika historia ya kisiasa ya Orengo mvutano ukiongezeka
Rais Samia aagiza fedha za Muungano zikarabati barabara
Wabunge wakati wakijadili bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu ya mwaka 2026/27 ya Sh12 trilioni...
Ushindi wa Vunjabei Isimani wazua maswali mapya
IRINGA: Matokeo ya kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Isimani yametangazwa rasmi na msimamizi wa zoezi…
Susan Kihika apakia picha tamu za pacha wake na Sam Mburu
Gavana wa Nakuru Susan Kihika anatoa shukrani kwa marafiki zake baada ya kuwakaribisha pacha, Jay na Jon, wakishiriki tafakari ya dhati kuhusu familia na upendo.
Aliyeshtakiwa kwa kumuua mkewe kisa Sh20,000 aachiwa
Jaji Itemba amesema baada ya kupitia ushahidi wa pande zote mbili, Mahakama imebaini kuwepo kwa...
MUUNGANO CUP 2026 | “Tunaishukuru serikali kwa kutupa uwanja wa mazoezi bure kila Jumamosi na Jumapili”
MUUNGANO CUP 2026 | "Tunaishukuru serikali kwa kutupa uwanja wa mazoezi bure kila Jumamosi na Jumapili". Neno kutoka kwa mwanandinga wa zamani visiwanj Zanzibar, Abdulkadir Tash. (Feed generated with FetchRSS)
MUUNGANO CUP 2026: Michuano ya Kombe la Muungano 2026 inaanza Jumanne hii Aprili 21, 2026
MUUNGANO CUP 2026: Michuano ya Kombe la Muungano 2026 inaanza Jumanne hii Aprili 21, 2026. Mechi ya ufunguzi ni Saa 1:15 usiku, Yanga SC dhidi ya Muembe Makumbi City FC.…
Usiku wa Kisasi Aprili 24, 2026
Usiku wa Kisasi Aprili 24, 2026. Ambapo pambano Kuu ni Ibrahim Mafia dhidi ya Alvin Camique kutoka Philippines. Hizi hapa Takwimu za Ibrahim na Alvin. Usiku huu wa Kisasi utaruka…
Kutoka kwa Appolo hadi Artemis: Jinsi dunia ilivyobadilika katika miaka 58
Tofauti na mwaka wa 1968, mwaka 2026 satelaiti nyingi zimekuwa zikipiga maelfu ya picha za dunia kila siku.
Jamaa Kakamega adaiwa kumuua bintiye, na kuwajeruhi wengine 2 kufuatia mzozo na mkewe waliyeachana
Mwanaume wa Kakamega, Nathan Shimenga, alidaiwa kumuua bintiye na kuwajeruhi pacha wake kwa panga baada ya mzozo wa kinyumbani. Uchunguzi unaendelea.
Kero ya barabara yaibuka bungeni, Serikali yajibu
Hoja ya ubovu wa barabara iliibuliwa tena na wabunge wakati wakichangia bajeti ya Ofisi ya...
Rekodi nane Bayern ikitwaa taji la 35 Bundesliga
Rekodi nane tofauti zimewekwa jana Jumapili, Aprili 19, 2026 wakati Bayern Munich ilipotwaa...
Waziri Nanauka aeleza uanzishwaji baraza la vijana
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema Serikali imeanza...
Nanauka aomba Sh35.9 bilioni kutekeleza vipaumbele vinne
Katika utekelezwaji wa vipaumbele hivyo, Nanauka ameliomba Bunge limuidhinishie zaidi ya Sh35.9...
Serikali yafichua kilio cha vijana Tanzania
Uhaba wa ajira, masilahi duni katika vibarua, ugumu wa miundombinu ya biashara na hofu ya kutoa...
Idris Elba kukiwasha Kombe la Dunia 2026
Nyota wa filamu za Hollywood, Idris Elba, ameongeza msisimko mkubwa kwa mashabiki wa soka...
‘Waliniambia amekufa’: Wanajeshi wa Uingereza waliotelekeza watoto Kenya kufuatiliwa
Vipimo vya DNA na mchakato wa kisheria umefanikiwa kuwabaini baba wa watoto 20 wanajeshi wa Uingereza waliozaliwa karibu na kambi ya jeshi la Uingereza nchini Kenya.
“Waliniambia amekufa”: Watoto waliozaliwa karibu na kambi ya jeshi Kenya wafichua ukweli kuhusu baba zao Waingereza
Vipimo vya DNA na mchakato wa kisheria umefanikiwa kuwabaini baba wa watoto 20 wanajeshi wa Uingereza waliozaliwa karibu na kambi ya jeshi la Uingereza nchini Kenya.
Serengeti Girls cruise past Botswana in World Cup qualifier
DAR ES SALAAM: SERENGETI Girls have advanced to the second round of the FIFA Under-17 Women’s World Cup 2026 qualifiers after a 3-0 victory over Botswana at the Azam Complex…
Wanajeshi wa Marekani, Japan na Ufilipino washiriki mazoezi ya pamoja
Maelfu ya wanajeshi wa Marekani na Ufilipino, walijiunga kwa mara ya kwanza na kikosi kikubwa zaidi cha wanajeshi wa Japani, kwa mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya kila mwaka, mazoezi…
Nyota wa Sikinde anayepitia magumu
Dar es Salaam. Msanii wa muziki wa dansi kutoka bendi ya Mlimani Park Orchestra ‘Sikinde Ngoma...
Zanzibar eyes DSE funding for public entities
ZANZIBAR: ZANZIBAR is stepping up efforts to reduce public institutions’ reliance on bank borrowing, following a new partnership with the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) that will open alternative…
Is Tanzania prepared for the new game-changer in capital markets: Tokenisation and retailisation for financial stability?
WASHINGTON: AT the 2026 Spring Meetings in Washington, a range of critical issues affecting the global economy were addressed. Some of these issues were discussed at the parallel sessions attended…
Lady Jaydee kwenye Bongofleva amezungukwa na mambo haya….
Kwa miaka mingi mwanamuziki Judith Wambura maarufu Lady Jaydee ameachia nyimbo zilizogusa hisia...
Mwanamke wa Kisumu asimulia masaibu baada ya wanaume 2 kuvamia na tindikali
Mwanamke wa Kisumu mwenye umri wa miaka 34, Mercy Awuor, aliungua vibaya baada ya kumwagiwa tindikali. Alisimulia masaibu hayo huku polisi wakianzisha uchunguzi.
Why reconciliation matters for national unity, growth
DAR ES SALAAM: RECONCILIATION is steadily shedding its image as a distant, abstract ideal and emerging as a powerful, practical force one that anchors stability, nurtures inclusion and paves the…
Green season begins in Serengeti
SERENGETI: APRIL marks a stunning transformation in the Serengeti National Park as the “Green Season” officially takes hold. The dusty plains of the dry months are replaced by a vibrant,…
Optimism high as government moves to fix fiscal drain
DAR ES SALAAM: FOR decades, the performance of our State-Owned Enterprises (SOEs) has been a tale of two realities. On one hand, we have seen stellar performers in banking and…
Over 700,000 to benefit from KCMC eye health project
MOSHI: MORE than 700,000 people are expected to benefit from an eye health improvement project to be implemented at the Moshibased KCMC Zonal Referral Hospital (KCMC ZRH). This was stated…
Fake ‘Facebook brigadier’ nabbed
DODOMA: THE Police Force has arrested a motorcycle taxi (bodaboda) rider Samweli Mwita for allegedly creating a fake Facebook account using the name and photo of JKT Brigadier Hassan Mabena…
William Ruto aeleza mbona mafuta ni ghali nchini Kenya ikilinganishwa na Tanzania na Uganda
Rais William Ruto alitetea ongezeko la bei ya mafuta hivi majuzi. Alisema kupanda kwa bei ya mafuta kunalingana na hadhi ya Kenya kama nchi ya kipato cha chini kati.
Tanzania, Canada explore opportunities in agriculture
DODOMA: DEPUTY Minister for Agriculture, David Silinde held talks with a delegation from the Canadian Association of Former Parliamentarians (CAFP) in Dodoma recently focusing on how the two countries can…
Zanzibar CAG seeks stronger cybersecurity through partnership with India
ZANZIBAR: THE Office of the Controller and Auditor General (CAG) of Zanzibar is set to strengthen international cooperation through a planned partnership with India’s Supreme Audit Institution (SAI India) to…
Baba aua watoto wake saba kwa risasi, naye auawa
Kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa na kituo cha habari cha CBS, watoto hao walikuwa na umri...
#HABARI: Rais William Ruto amekashifu watu wanaolinganisha gharama ya mafuta ya Kenya na ya majirani zake huku akidokeza kuwa ha…
#HABARI: Rais William Ruto amekashifu watu wanaolinganisha gharama ya mafuta ya Kenya na ya majirani zake huku akidokeza kuwa hatua hiyo ni kwa kile alichokitaja kuwa ni kutokana na Kenya…
Passenger bridge project takes shape at Zanzibar airport
ZANZIBAR: ZANZIBAR government is pressing ahead with strategic investments in air transport infrastructure, with steady progress recorded in the construction of a passenger connecting bridge at Abeid Amani Karume International…