Umoja wa Mataifa wakosoa vitisho vipya vya Trump dhidi ya Iran
Msemaji wa Umoja wa Mataifa amekosoa wazi vitisho vipya vya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu kushambulia miundombinu ya Iran endapo matakwa ya Washington hayatatekelezwa.
Makundi ya Kiislamu ya Marekani yatoa wito wa kuwachiwa huru kiongozi wa jumuiya ya Wapalestina
Muungano wa mashirika ya kutetea haki za kiraia ya Kiislamu Jumatatu wiki hii ulikusanyika nje ya Mahakama ya Juu ya Marekani ukitaka kuachiwa huru haraka iwezekanavyo Salah Sarsour, kiongozi wa…
Qalibaf: Hakuna mazungumzo chini ya vitisho, Iran iko tayari kufichua kadi mpya uwanjani
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amesema Tehran haitakubali kufanya mazungumzo na Washington chini ya kivuli cha vitisho.
Rais Samia aihakikishia AFLN mageuzi na demokrasia Tanzania
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameuambia ujumbe wa Mtandao wa Viongozi Wanawake Afrika...
Baba wa Vihiga Adaiwa Kumtupa Mtoto wa Miezi 2 Mtoni Baada ya Kumchukua kutoka kwa Mamake
Ghadhabu zilipanda Vihiga baada ya jamaa kukamatwa kwa madai ya kumtupa mtoto wake wa miezi miwili katika Mto Ehedwe kwa sababu zisizojulikana....
Moto wawaka kwa P-Square, Mr P abadili tarehe ya kuzaliwa
Nigeria. Mwanamuziki maarufu wa Nigeria na mmoja wa waliokuwa wanaunda kundi lililovunjika la...
Kipa Pamba Jiji bado nne kufikia rekodi
Katika mechi 11 zilizobaki ili kumaliza msimu huu wa Ligi Kuu Bara 2025-2026, kipa wa Pamba...
Iran yailaani Israel kwa kukiuka mamlaka ya kitaifa ya Somalia
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema hatua ya utawala wa kizayuni wa Israel ya kuteua mjumbe wa kidiplomasia huko Somaliland ni ishara wazi ya njama ya…
Peter wa P-Square abadili tarehe ya kuzaliwa
Hata hivyo, hadi taarifa hii inaandikwa, Peter hakutoa maelezo zaidi kuhusu sababu zilizomfanya...
Kadiri muda wa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Marekani, Israel na Iran unavyokaribia kuisha, bado hakuna uthibitisho …
Kadiri muda wa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Marekani, Israel na Iran unavyokaribia kuisha, bado hakuna uthibitisho wa mazungumzo zaidi ya amani. Spika wa bunge la Iran aliandika kwenye…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa nchi yake haitaondoa kizuizi ilichoweka kwenye bandari za Iran hadi pale makubaliano …
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa nchi yake haitaondoa kizuizi ilichoweka kwenye bandari za Iran hadi pale makubaliano rasmi yatakapofikiwa na Tehran. Kauli hiyo imekuja wakati ambapo bado kuna…
Waziri Mkuu mpya wa Hungary: Netanyahu atakamatwa kama ataingia nchini
Péter Magyar Waziri Mkuu mpya wa Hungary, amesema kuwa iwapo Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel ataingia nchini humo, atakamatwa kwa kesi ya uhalifu wa kivita.
Basi Lililokuwa Likielekea Mazishini Lapindukia na Kuacha Jeneza Likiwa Limeharibika, Mtu 1 Afariki
Basi lililokuwa limebeba mwili wa Christine Nancha lilipindukia likielekea Kisumu, na kusababisha kifo cha mtu mmoja huku waombolezaji wakikabiliwa na hali ya kiwewe
Spika akemea ukiukwaji wa kanuni bungeni, amtaja Ado Shaibu
Spika wa Bunge, Mussa Zungu, amewakumbusha wabunge kuzingatia kikamilifu taratibu na kanuni za...
Kauli ya Guardiola kuhusu Ubingwa wa EPL
Kwa mashabiki wa soka duniani, juzi zilipigwa mechi nyingi katika ligi mbalimbali, lakini lile...
#HABARI: Pakistan inaendelea na maandalizi ya mazungumzo ya kusitisha Vita baina ya Marekani na Iran, huku taarifa zikieleza kuw…
#HABARI: Pakistan inaendelea na maandalizi ya mazungumzo ya kusitisha Vita baina ya Marekani na Iran, huku taarifa zikieleza kuwa Makamu wa rais wa Marekani JD Vance atasafiri siku ya Jumanne…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55….APRILI 21, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....APRILI 21, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#MEZAHURU: Je wewe kama Mtanzania unafahamu WAJIBU WAKO KATIKA ULINZI NA USALAMA kwenye kulinda Amani la taifa letu..?
#MEZAHURU: Je wewe kama Mtanzania unafahamu WAJIBU WAKO KATIKA ULINZI NA USALAMA kwenye kulinda Amani la taifa letu..? -Weka maoni yako -SaaTisa Alasiri (Feed generated with FetchRSS)
#MICHEZO: Lamine Yamal ametajwa kuwa Mchezaji Bora Chipukizi Duniani katika hafla ya Laureus World Sports Awards 2026 iliyofanyi…
#MICHEZO: Lamine Yamal ametajwa kuwa Mchezaji Bora Chipukizi Duniani katika hafla ya Laureus World Sports Awards 2026 iliyofanyika katika Palacio de Cibeles, Madrid. Katika hafla hiyo iliyoongozwa na Novak Djokovic…
“…..wakati wa jioni Bunge lilipokuwa limerejea Mheshimiwa Ado Shaibu Ado Mbunge, alipata fursa ya kuchangia hotuba ya Bajeti y…
".....wakati wa jioni Bunge lilipokuwa limerejea Mheshimiwa Ado Shaibu Ado Mbunge, alipata fursa ya kuchangia hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora......mara…
Magazetini, Aprili 21: Gachagua Ampa William Ruto Makataa Kabla ya Maandamano ya Kitaifa
Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua ametishia kuongoza maandamano kote nchini iwapo rais William Ruto hatapunguza bei ya mafuta. TUKO.co.ke..
Vijue vizuizi vingine saba vya majini vilivyowahi kutokea duniani
Marekani na Iran zote zimetumia vizuizi vya majini katika vita hivi. Historia inatufundisha nini kuhusu vizuizi hivi?
Hizi hapa hesabu za Yanga Kombe la Muungano
Kocha Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves baada ya kuiweka timu hiyo kileleni mwa msimamo wa Ligi...
Watafiti toeni mrejesho kwa jamii
Kila siku, katika miji na vijiji vyetu, tunaona watafiti wakizunguka kama “vipepeo” wakiingia...
‘Mijadala, maboresho ya elimu vijikite kwenye ujifunzaji’
“Elimu siyo mfumo unaolinganishwa na mifumo ya mashine. Elimu ni mfumo wa watu; ni mfumo...
Tanzania na Ireland zinavyoweka nguvu kwenye sayansi
Ushirikiano mpya wa elimu kati ya Tanzania na Chuo Kikuu cha Limerick cha Ireland unaibuka kama...
Vitu vilivyompa heshima Matonya!
Mwanamuziki wa Bongofleva, Sefu Shabani maarufu Matonya ni kati ya waimbaji waliotikisa Afrika...
Mapigano mapya yaripotiwa Minembwe mashariki ya DRC
Mapigano mapya yameshuhudiwa tena Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, siku mbili baada ya mazungumzo mapya kati ya waasi wa M23/AFC na serikali ya Kinshasa, kukamilika nchini Uswizi ambapo…
Sababu 4 kwa nini mazungumzo ya Iran na Marekani yako shakani
Hatma ya mazungumzo kati ya Iran na Marekani imeingia katika hali ya sintofahamu kubwa huku muda wa kusitisha mapigano ukikaribia kuisha.
Marekani haitaondoa kizuizi cha kijeshi Hormuz hadi makubaliano na Iran yafikiwe – Trump
Kauli hiyo imekuja wakati ambapo bado kuna sintofahamu kuhusu uwezekano wa kufanyika kwa mazungumzo mapya ya kumaliza vita kati ya pande hizo mbili huko Pakistan.
Slowjamastan: Taifa jipya nchini Marekani
Ingawa Sultan anasema wageni wanakaribishwa katika eneo la jangwa la Slowjamastan, kwa sasa hakuna sehemu ya kulala kwa wageni wanaotaka kukaa usiku.
Chad kutuma wanajeshi wake nchini Haiti kupambana na majambazi
Chad itatuma wanajeshi elfu 1 na 500 nchini Haiti ikiwa ni sehemu ya kikosi cha kimataifa kinachoungwa mkono na umoja wa Mataifa kusaidia kukabiliana na makundi ya majambazi kwenye taifa…
TPLF chatangaza kurejesha bunge la kikanda kaskazini mwa Ethiopia
Chama cha TPLF ambacho kinaongoza eneo la kaskazini mwa Ethiopia, Tigray, kimetangaza kurejeshwa kwa bunge la ukanda, ambalo uchaguzi wake ulikuwa moja ya vichocheo vya vita na serikali kuu, uamuzi…
Maandamano ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta yatarajiwa Kenya
Nchini Kenya hivi leo kunatarajiwa kushuhudiwa maandamano ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta. Imechapishwa: 21/04/2026 – 05:29Imehaririwa: 21/04/2026 – 05:29 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma…
Iran yasema haina mpango wa kushiriki awamu ya pili ya mazungumzo
Iran inasema haina mpango wa kutuma wajumbe wake nchini Pakistan kushiriki kwenye mazungumzo mapya na Marekani, hatua ya Tehran ikija wakati huu mkataba wa kusitisha vita ukielekea kukamilika. Imechapishwa: 21/04/2026…
FARDC na UPDF wafanikiwa kuwaokoa raia waliokuwa wametekwa na ADF
Wanajeshi wa Uganda na wenzao wa DRC, wamefanikiwa kuwaokoa raia zaidi ya 200 waliokuwa wametekwa na kundi la kigaidi la ADF, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Imechapishwa: 21/04/2026…
Tetesi za soka Ulaya: Gordon kuuzwa Bayern kwa £75m
Newcastle United wako tayari kumuuza Anthony Gordon kwenda Bayern Munich kwa dau la pauni milioni 75, huku Manchester United wakimfuatilia kwa karibu Aurelien Tchouameni na Yan Diomande kumrithi Mo Salah…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 21, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Club ya Michezo ya Wizara ya Maliasili na Utalii leo tarehe 20 Aprili ,2026 imeungana na Club zingine za Wizara na Taasisi mbali…
Club ya Michezo ya Wizara ya Maliasili na Utalii leo tarehe 20 Aprili ,2026 imeungana na Club zingine za Wizara na Taasisi mbalimbali pamoja na wakazi wa Njombe, kwenye ufunguzi…
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kuendelea kutekeleza azma ya Serikali ya…
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kuendelea kutekeleza azma ya Serikali ya kuwaletea maendeleo wananchi kwa kufikisha nishati ya umeme vijijini kupitia Usambazaji wa…
“Tumbo Litapasuka”: Oburu Oginga Awajibu Wakosoaji Wanaodai ODM Inamezwa kwa UDA
Kiongozi wa ODM Oburu Oginga amewajibu Gachagua na wakosoaji wakidai chama kinamezwa na Ruto akisisitiza ODM ni chama kikubwa na hakiwezi kufyonzwa
Simbu atetea nafasi ya pili Boston Marathon
Mwanariadha nyota wa Tanzania, Alphonce Simbu amepeperusha vyema bendera ya nchi baada ya kumaliza katika nafasi ya pili kwenye Mbio za Boston Marathon ambazo zimefanyika leo huko Boston Marekani.
Kaya 300 zilizokumbwa na athari ya mafuriko Mbarali zashikwa mkono
Mbeya. Zaidi ya kaya 300 zilizokumbwa na mafuriko wilayani Mbarali, mkoani Mbeya zimerejeshewa...
Wananchi wapata ahueni, Zahanati ya Tangini Kibaha ikizinduliwa
Kibaha. Wananchi wa kata za Tangini, Pangani na Kidimu katika Manispaa ya Kibaha mkoani Pwani...
Simbu atetea amaliza nafasi ya pili Boston Marathon
Simbu ameshika nafasi hiyo akitumia muda wa saa 2:02:47 huku kinara akiwa ni John Korir wa...
Simulizi ya walioathiriwa na mafuriko Moro, Serikali yatoa matumaini
Baadhi ya wakazi wa wilaya za Kilosa na Mvomero, wameendelea kukumbwa na mafuriko, huku wengi...
LHRC: Haki ya kuishi imekiukwa zaidi 2025
Mwananchi pia ilimtafuta Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ambaye amesema atatoa...
Utitiri masharti ya mikopo kwa vijana watikisa Bunge
Fedha zinazozungumziwa na wabunge hao ni zile Sh200 bilioni zilizotolewa na Serikali kwa ajili...