Chama la Allarakhia lasaka ubingwa England
CHAMA la Mtanzania Tarryn Allarakhia, Rochdale AFC inayoshiriki Ligi Daraja la tano England (National League) ina kibarua kigumu cha kusaka ubingwa dhidi ya York City, itakayopigwa Jumanne, Aprili 21.
Chomelo azidi kutesa Ligi ya Uturuki
KIUNGO mshambuliaji Mtanzania, Ramadhan Chomelo ameendelea kuonyesha ubora wake katika kikosi cha Despas Enerji inayoshiriki Ligi Kuu ya Walemavu licha ya kujiunga na timu hiyo dirisha dogo.
Zizou achekelea ubingwa Sierra Leone
BAADA ya Mogbwemo Queens inayoshiriki Ligi ya Wanawake Sierra Leone kutwaa ubingwa wa ligi mapema, kiungo Mbongo, Zuwena Aziz ‘Zizou’ amesema ilikuwa lazima wanyakue taji kutokana na mwendelezo mzuri waliokuwa…
Habib Kyombo aanza vizuri Zambia
BAADA ya kutambulishwa rasmi katika kikosi cha Napsa Stars ya Zambia, mshambuliaji wa Kitanzania Habib Kyombo ameanza kwa kasi kwa kufunga bao lake la kwanza akiwa na timu hiyo, jambo…
Kocha Yanga ampa mzuka Tico Tico
KOCHA Msaidizi wa TMA FC ya jijini, Arusha, Omary Matwiko 'Tico Tico' amesema mazungumzo aliyofanya na Kocha Mkuu wa Yanga, Mreno Pedro Goncalves, yamemwongezea morali ya kupambana katika majukumu yake…
Rural energy revolution: TZ’s journey towards Universal Electricity Access by 2030
MWANZA: IN recent years, Tanzania has been writing a new chapter in its energy sector, particularly in efforts to expand electricity access to rural areas. As the country moves toward…
Joseph Mkele afichua siri ya makali yake Mbuni FC
KIUNGO mshambuliaji wa Mbuni FC ya jijini Arusha, Joseph Mkele 'Jojo' amesema licha ya ushindani uliopo katika Ligi ya Championship ila mwenendo wake ni mzuri tangu alipojiunga na timu hiyo…
Kocha Gunners FC kiroho safi kwa Wandiba
UONGOZI wa Gunners FC ya Dodoma umemwachia Henry Mkanwa kibarua cha kuiongoza timu hiyo hadi mwisho wa msimu huu, baada ya aliyekuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, Mathias Wandiba kujiunga…
Kijuso aanika mikakati mipya Bigman FC
KOCHA Mkuu wa Bigman FC, Mohamed Kijuso amesema kutimiza malengo ya awali ya timu hiyo ya kumaliza nafasi nne za juu ni ngumu kwao kutokana na ushindani uliopo, ingawa kwa…
Silaha ambazo Iran ilizitengeneza chini ya vikwazo vilivyobadilisha sheria za mapigano ya angani
Ni silaha ya bei nafuu, inayoweza kutupwa ambayo inaweza kuzalishwa kwa urahisi na kwa wingi. Silaha ambayo haihitaji rubani, haihitaji ardhi adimu, na inaweza kuzalishwa hata chini ya shinikizo la…
Kocha Bai aachiwa msala African Sports
BAADA ya aliyekuwa Kocha wa African Sports 'Wanakimanumanu', Khalid Adam kuachana na timu hiyo, uongozi wa kikosi hicho umefikia makubaliano ya kumwajiri Kocha Ally Salimu Mdoe 'Bai', kuiongoza hadi mwisho…
Ex AfDB Chief hails East African innovation receiving lifetime honour
ACCRA,GHANA: DR. Akinwumi A. Adesina, the immediate past President of the African Development Bank (AfDB) Group, has called on global investors and African policymakers to lead a “structural revaluation” of…
Namungo face Simba test
RUANGWA: SIMBA SC will take on Namungo FC in a Mainland Premier League clash today at Majaliwa Stadium in Ruangwa, with the visitors determined to extend their long-standing dominance over…
From Hormuz to Sinza Madukani: How global tensions end up in your pocket
DAR ES SALAAM: HISTORY, as it turns out, is not merely a collection of dusty events and longdead personalities. It is, in fact, that one relative who insists on reminding…
#HABARI: Kamandi Kuu ya Jeshi la Iran hapo jana ilitangaza kuwa itarejesha vizuizi vyote kwenye Mlango Bahari wa Hormuz, hatua i…
#HABARI: Kamandi Kuu ya Jeshi la Iran hapo jana ilitangaza kuwa itarejesha vizuizi vyote kwenye Mlango Bahari wa Hormuz, hatua inayobadili msimamo wake iliyouchukua juzi Ijumaa wa kuufungua mlango huo…
Iran yasema iko mbali na makubaliano ya amani na Marekani, huku mlango bahari wa Hormuz ukifungwa tena
Spika wa bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, anasema pande hizo mbili "hazijakaribia kufikia makubaliano ya mwisho" ya mazungumzo ya kukomesha vita na Marekani.
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Makete mkoani Njombe imewahukumu maofisa wawili wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), Thadeus Mtui …
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Makete mkoani Njombe imewahukumu maofisa wawili wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), Thadeus Mtui na Florian Kilango, kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini…
How the let them theory can transform your relationships
USA: TO some extent, we all want to control our environments and circumstances. It’s natural, normal, and a survival instinct.1 But sometimes, we take that instinct too far and try…
Kelele za nje mwiba ustawi wa familia
Kadri kelele hizi zinavyozidi kuingia ndani ya familia, ndivyo ustawi wa familia unavyozidi...
Sudan Kusini: Ukosefu wa usalama wa kibinadamu unaongezeka kwa wakimbizi wa Sudan
Vita nchini Sudan vilipoingia mwaka wake wa nne Aprili 15, 2026, wakimbizi wa Sudan waliokimbilia nchi jirani wanakabiliwa na matatizo makubwa. Matatizo haya yanazidishwa na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa…
Malezi ya mtoto wa kike na safari ya kumjenga mama bora wa kesho
Kwenye familia yoyote ile, nafasi ya mwanamke huanza kujengwa tangu akiwa utotoni. Mtoto wa...
Jiongeze: Sanaa ina warembo wengi kuliko wasanii
Unamkumbuka yupi katika sanaa ya uigizaji. Aliyetamba zamani na sasa yupo nje ya sanaa. Vipi...
DRC: Uchunguzi wafunguliwa kuhusu makosa yanayoshukiwa katika ufadhili wa hati kuhusu Genocost
Wakati madai mapya yakiibuka tena kuhusu matumizi mabaya ya fedha zilizokusudiwa kwa waathiriwa wa vita vya Kisangani, nchini DRC, katika miaka ya 2000, Waziri wa Sheria ameamuru uchunguzi ufanyike kuhusu…
Iran yatangaza kukamatwa kwa watu kadhaa wanaohusishwa na Israel na makundi adui
Karibu watu 70 wamekamatwa na mamlaka ya Iran, wakituhumiwa kwa kuhusishwa na mitandao ya ujasusi ya kigeni katika jimbo la Mazandaran, kulingana na shirika la habari la Tasnim. Imechapishwa: 19/04/2026…
Spika wa Bunge la Iran asema makubaliano ‘bado yako mbali’ licha ya maendeleo katika mazungumzo
Mazungumzo ya amani kati ya Iran na Marekani “yamepiga hatua,” lakini makubaliano ya mwisho “bado yako mbali,” spika mwenye wa bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, amesema siku ya Jumamosi,…
Iran yafunga tena Mlango-Bahari wa Hormuz
Iran imetangaza siku ya Jumamosi, Aprili 18, kwamba imerejesha “udhibiti mkali” wa Mlango-Bahari wa Hormuz kujibu kizuizi kinachoendelea cha Marekani kwenye bandari za Iran, ikibadilisha uamuzi wake siku iliyopita wa…
Tetesi za soka Jumapili:Bayern Munich wanavutiwa na Rogers wa Aston Villa
Morgan Rogers wa Aston Villa analengwa na Bayern Munich, ambao wamejiunga na Chelsea na Manchester United katika kumtaka mshambuliaji huyo wa Uingereza.
🔴KUMEKUCHA: QR CODE NA AKILI UNDE (AI)…APRILI 19, 2026
🔴KUMEKUCHA: QR CODE NA AKILI UNDE (AI)...APRILI 19, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴#MAGAZETI:SABABU ADO KUBANWA NA ABUNGE WA CCM..APRILI 19, 2026
🔴#MAGAZETI:SABABU ADO KUBANWA NA ABUNGE WA CCM..APRILI 19, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Mshirikishe Mungu migogoro inapoinuka kwenye familia
Bwana Yesu asifiwe, karibu katika mahubiri ya leo Jumapili. Ninaitwa Mchungaji Gasper Madumla...
VISION 2050: Clear path toward a trillion-dollar economy by 2050
MWANZA: ACCORDING to Vision 2050, by the year 2050, Tanzania aims to attain upper-middle-income country status, with a Gross Domestic Product (GDP) of approximately one trillion US dollars and an…
Integrity must remain key to lifelong prosperity
DAR ES SALAAM: WE must admit that the journey of youth is a delicate season of learning, patience and preparation for the future. Many young people today are tempted to…
‘Inclusive economy fosters unity’
ARUSHA: THE government has reaffirmed its commitment to building an inclusive economy, emphasising that it remains a cornerstone for strengthening peace, unity and shared prosperity among all citizens. Prime Minister…
Soil mapping plan covers 19 regions
DODOMA: THE government has made significant strides in implementing the National Soil Health Testing Programme, which has so far covered 19 regions across the country. About 90,000 soil samples have…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 19, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Government eyes gas for power boost
WASHINGTON: TANZANIA is ramping up natural gas use in electricity generation as it targets 8,000 megawatts by 2030, placing the resource at the core of its energy expansion strategy. Energy…
INQUIRY COMMISSION: Homegrown solution lauded
DAR ES SALAAM: TANZANIANS have been urged to embrace homegrown reconciliation efforts following the government’s decision to establish a commission of inquiry into the October 29, 2025 incidents, a move…
Mamelodi, FAR Rabat zatinga fainali Ligi ya Mabingwa Afrika
Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini na FAR Rabat ya Morocco zimefanikiwa kutinga hatua ya...
Serikali kuimarisha miundombinu Mara
MARA: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa Serikali itaendelea kujenga na kukamilisha barabara zilizopo mkoani Mara kwa kiwango cha lami. Hatua hiyo itafungua fursa za kiuchumi na kurahisisha huduma…
Ruto asema viongozi wa Upinzani ni wagonjwa wanahitaji kumuona daktari: “Tutawapeleka hospitali”
Rais William Ruto alidai kughadhibika na kukemea hadharani ni dalili za ugonjwa, akiongeza kuwa wakosoaji wake wameonyesha dalili kama hizo na huenda wanaugua.
Kenya Police waisogeza Gor karibu na lango la ubingwa baada ya kuwafunga AFC Leopards
AFC Leopards walipata pigo kubwa katika kinyang'anyiro cha ubingwa baada ya kupoteza 3-0 dhidi ya Kenya Police FC mechi nzito iliyopigwa katika Uwanja wa Nyayo
Chadema kusaka mrithi wa Wenje Kanda ya Victoria
Ezekiel Wenje alihamia Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2025.
Emmanuela Mtatifikolo, ameonesha dhamira yake ya dhati ya kuwatumikia wananchi kwa kuchukua na kurejesha fomu ya kuwania nafasi …
Emmanuela Mtatifikolo, ameonesha dhamira yake ya dhati ya kuwatumikia wananchi kwa kuchukua na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Isimani. Hatua hii inaakisi utayari wake wa…
18 CCM wachukua, kurudisha fomu kumrithi Lukuvi Isimani
Imeelezwa kuwa idadi hiyo inajumuisha wanamume 16 na wanawake wawili.
Bodaboda walioshtakiwa kwa kusafirisha bangi kilo 150 waachiwa
Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewaachia huru waendesha...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi dk Charles Msonde amepongeza Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania TEMESA kwa kuweza kuboresha m…
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi dk Charles Msonde amepongeza Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania TEMESA kwa kuweza kuboresha muundo wa mpya wa watumishi na kutatua changamoto mbalimbali za…
Serikali: Tuitumie AFCON 2027 kukuza utalii
Amesema waongoza watalii ni wadau muhimu katika kukuza sekta hiyo, wakichangia ongezeko la...