Ujenzi kongani ya viwanda 150 kuanza Bagamoyo
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imetangaza kuanza rasmi kwa ujenzi wa kongani ya kisasa ya viwanda zaidi ya 150 Bagamoyo Eco Maritime…
CRDB BANK FEDERATION CUP: “….tutaanza kuwa na mchezaji bora katika kila mchezo”
CRDB BANK FEDERATION CUP: “….tutaanza kuwa na mchezaji bora katika kila mchezo” TFF yaongeza ‘chachandu’ kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank ambayo inaingia hatua yake ya 16…
Tanzania lures Qatar’s Shaheen Energy to invest in the oil and gas sector
DOHA: THE Tanzanian envoy to Qatar, Habibu Awesi Mohamed, met with Sheikh Abdullah bin Faisal Al Thani of Shaheen Energy to discuss ways to expand investment opportunities in Tanzania’s oil…
KCMC launches a 2.7bn/-fundraising drive for the construction of the Cardiac Unit
DAR ES SALAAM: THE Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC), a referral hospital serving Tanzania’s northern zone, has launched a fundraising drive to collect 2.7bn/-to complete the construction of a major…
Godfrey Osotsi anadai washambuliaji walitaka kumuua: “Walionekana na nia mbaya”
Seneta wa Vihiga alidai kuwa watu wanaoshukiwa kuwa wahuni waliomvamia Kisumu walinuia kumuua. Alisimulia jinsi masaibu hayo yalivyotokea, na kumuacha na majeraha.
Tanzania yaanika fursa ya uwekezaji katika sekta ya makazi
Tanzania imewaita wawekezaji wa ndani na kimataifa kuchangamkia fursa zilizopo nchini huku...
Msanii Matonya kizimbani nchini Kenya kwa tuhuma za ubakaji
Kenya. Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Sefu Shabani 'Matonya', leo Alhamisi Aprili 9...
Shambulio la Godfrey Osotsi: Kalonzo Amtaka PS wa Usalama wa Ndani Raymond Omollo Ajiuzulu
Viongozi wa upinzani wanamtaka Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani Raymond Omollo kujiuzulu baada ya seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi kumhusisha na wahuni waliomchapa.
Dk Jafo kupeleka hoja binafsi bungeni kuhusu bodaboda, bajaji
Mbunge wa Kisarawe (CCM), Dk Seleman Jafo ameapa kupeleka hoja binafsi bungeni kwa ajili ya...
Kortini Dar wakidaiwa kutoa taarifa za uongo, nyeti zao zimeibiwa
Vijana sita wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni...
Azam yafikisha sare kumi Ligi Kuu Bara
AZAM imeendelea kuangusha pointi katika Ligi Kuu Bara msimu huu kupitia matokeo ya sare baada ya kumaliza dakika 90 zingine bila kufungana ugenini dhidi ya Mbeya City.
Polisi yathibitisha kumkamata Pauline Pallangyo
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema baadhi ya taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu...
Mali za urithi zaivuruga familia, waomba Serikali kuingilia kati
Familia ya Ordinary Sanga iliyopo jijini Mbeya, imeiomba Serikali kuingilia kati mgogoro wa...
Kamati ya Marehemu David Kiaraho Yamlaani Rigathi Gachagua, Marafiki Zake kwa Kuleta Siasa Mazishini
Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua na washirika wake wamekashifiwa kwa kugeuza ibada ya mazishi ya mbunge wa Ol Kalou David Kiaraho kuwa uwanja wa ksiasa.
Simba, Azam zavutwa shati Ligi Kuu
Matokeo ya 0-0 ambayo Simba imepata Alhamisi dhidi ya TRA United, huku Azam nayo ikibanwa na...
Wadau watia neno vyeti kudhamini mikopo
Wakati Serikali ikisema ipo mbioni kupeleka bungeni muswada wa sheria utakaoruhusu vyeti vya...
TBL commends gvt crackdown as illicit alcohol crisis deepens
DAR ES SALAAM: Tanzania Breweries Limited has called for sustained and coordinated action to address illicit alcohol in Tanzania, warning that the issue continues to pose serious risks to public…
Simba yaangusha pointi kwa TRA United ikiichongea barabara Yanga
SIMBA imeshindwa kupunguza gepu la pointi dhidi ya vinara wa Ligi Kuu Bara, Yanga, baada ya kubanwa mbavu leo Alhamisi Aprili 9, 2026 na TRA United, mechi ikipigwa Uwanja wa…
Chadema yaanzisha kampeni kushinikiza kuachiwa Lissu
Wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maedeleo (Chadema), Tundu Lissu, akitimiza mwaka...
Watu 12 wameuawa katika shambulio kaskazini mwa Darfur, Sudan
Watu 12 wakiwemo watoto sita wameuawa Kaskazini mwa jimbo la Darfur nchini Sudan, baaada ya kushambuliwa na ndege isiyokuwa na rubani katika mji wa Kutum. Imechapishwa: 09/04/2026 – 17:22 Dakika…
Mbunge ataka uwajibikaji kwa mawaziri wenye majibu yasiyo na tija
Suala la uwajibikaji wa watumishi wa umma katika kushughulikia kero za wananchi na kusimamia...
KCMC yasaka bilioni 2 kukamilisha ujenzi kituo cha moyo
DAR ES SALAAM: HOSPITALI ya Rufaa Kanda ya Kaskazini (KCMC) imeanzisha mchakato wa kukusanya shilingi bilioni 2.7 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo kikubwa cha magonjwa ya moyo kitakachokuwa…
CRDB FA Cup: JKT, Mbuni, Geita Gold na Mashujaa kazini leo
KUNA mechi mbili za Kombe la Shirikisho la CRDB (FA) hatua ya 16 bora zinachezwa leo Ijumaa ambapo JKT Tanzania itaikaribisha Mbuni kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo jijini Dar,…
Maximo bado alia na wachezaji KMC
KABLA ya kuondoka KMC Desemba 2025, Kocha Mbrazili, Marcio Maximo amesema kupitia usajili wa dirisha dogo la Januari 2026, lazima kikosi hicho kifanye maboresho ya kusajili wachezaji watakaoipambania timu kukaa…
Minerals Ministry instructs GST staff to perform their duties efficiently
DODOMA: THE Permanent Secretary in the Ministry of Minerals, Engineer Yahya Samamba, has urged the management of the Geological Survey and Research Institute of Tanzania to create a conducive work…
Ruto Afichua Sehemu ya Ikulu Imejengwa kwenye Ardhi ya Mkondo wa Maji na Lazima Ibomolewe
Rais Ruto aliamuru kubomolewa kwa ukuta wa Ikulu kwani umejengwa kwenye mkondo wa maji akiwaonya kuhusu hatua kali zinazohitajika kuchukuliwa kukabiliana na mafuriko
Lebanon: Mashambulio ya Israel yaibua maswali kuhusu makubaliano ya amani Iran
Hatua ya Israeli, kuendelea kutekeleza mashambulio mazito nchini Lebanon, kunazua maswali iwapo mkataba wa kusitisha vita kwa wiki mbili kati ya Marekani na Iran, utaendelea kutekelezwa. Imechapishwa: 09/04/2026 – 16:52Imehaririwa:…
Pombe haramu chanzo cha magonjwa na vifo, TBL yaonya
Kauli hiyo imekuja huku kampuni hiyo ikipongeza juhudi za Serikali katika kukamata na kuondoa...
Tanzania merges TANCIS-TRA and RIMS-TMDA systems to boost electronic imports, exports
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Medicines and Medical Devices Authority (TMDA) said that the TANCIS-TRA and RIMS-TMDA systems have been integrated to increase efficiency in importing and exporting goods into…
Marekani yatoa tahadhari kwa raia wake wanaozuru nchini Nigeria
Marekani inawataka raia wake kufikiria tena kuzuru Nigeria, kwa sababu za kiusalama, kutokana na matukio ya ugaidi, machafuko na utekaji. Imechapishwa: 09/04/2026 – 16:41 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo…
UN kuamua hatima ya Mahakama ya mauaji ya kimbari
Hatima ya safari ya zaidi ya miaka 32 ya kutafuta haki kwa waathirika takriban milioni moja wa...
Tanzania engages 7 hospitals with specialized services for medical tourism mission
DODOMA: THE Tanzanian government has intensified efforts to strengthen medical tourism by engaging seven hospitals to provide specialized and super-specialized healthcare services. Of the seven hospitals, five are public and…
Mfumo mpya kuajiri madereva kidijitali Afrika, wazinduliwa Tanzania
Tanzania imepata bahati kuwa nchi ya kwanza Afrika kuzindua mfumo mpya wa kidijitali wa...
Wadau wapongeza, kutilia shaka ziara ya Chakwera nchini
Jumuiya ya Madola imemtuma Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera, kuja nchini kujadili...
Mwanafunzi afariki dunia kwa kupigwa na radi Tabora
Mtoto mmoja, Aishara Shingu (11), aliyekuwa mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi...
Dr Mwinyi commends the Zanzibar Law Society’s support in legal matters
ZANZIBAR: ZANZIBAR President, Dr Hussein Ali Mwinyi, has reaffirmed the government’s commitment to supporting the Zanzibar Law Society, commending its role in assisting citizens in legal matters. The Isle’s President…
Ian Mbugua Aondoka Katika Shoo ya Jeff Koinange Live baada ya Kukwaruzana na Cleophas Malala
Ian Mbugua alikuwa miongoni mwa wageni kwenye shoo ya Jeff Koinange. Ila alilazimika kuondoka kwenye mahojiano baada ya Cleophas Malala kusema anapendelea serikali
Tanzania amends promotion system for its public servants
DODOMA: THE Tanzanian government has stated that promotions for public servants will no longer be based on years of service, but on performance outcomes. The statement was made today, April…
Malawi’s Chakwera in Dar for the Commonwealth diplomatic mission
DAR ES SALAAM: THE Former Malawian President and Special Envoy of the Commonwealth Secretary-General, Lazarus Chakwera, has met Tanzania’s Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Mahmoud Thabit Kombo,…
Haya hapa maeneo muhimu kukuza sekta ya fedha
Serikali imeainisha maeneo nane ya kipaumbele ndani ya sekta ya fedha ambayo yakitumika...
Ngorongoro launches Safari Field Challenge competition
NGORONGORO: CONSERVATION Commissioner of the Ngorongoro Conservation Area Authority, Abdul-Razaq Badru, has today, April 9, 2026, officially launched the month-long Safari Field Challenge competition, emphasizing that Ngorongoro is home to…
Kyombo asaini mmoja Zambia
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Mbeya City, Habib Kyombo, amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Klabu ya Napsa Stars ya Ligi Kuu Zambia.
Jafo proposes short-term employment for youth to boost employment
DODOMA: KISARAWE Member of Parliament, Selemani Jafo, has proposed the establishment of a special short-term employment program for youth, aimed at addressing the challenge of unemployment among graduates in the…
Tanzania and China deepen ties in the health sector after the Chinese medical team’s mission
DAR ES SALAAM: TANZANIA, and China have reaffirmed their long-standing partnership in the health sector following the completion of the mission of the 27th Chinese medical team and the official…
“….zamani kulikuwa na vipaji vikubwa sana sema changamoto ni kwamba ile kuwatambua kwamba tunawafahamu sasa kipaji hiki kitaen…
"....zamani kulikuwa na vipaji vikubwa sana sema changamoto ni kwamba ile kuwatambua kwamba tunawafahamu sasa kipaji hiki kitaenda sehemu flani ikawa inafikia sehemu kwamba kuna ukomo, na ukomo unakuja pale…
TBS yasisitiza viwango kulinda afya, usalama
DAR ES SALAAM: Shirika la Viwango Tanzania (TBS) imesisitiza umuhimu wa matumizi ya viwango katika kuboresha ubora wa bidhaa na huduma, kuimarisha ushindani wa kibiashara na kulinda afya na usalama…
Sayansi yatajwa kuwa msingi wa kuboresha afya Tanzania
Maadhimisho ya Siku ya Afya Duniani 2026 yamekuja na wito mzito kwa Watanzania kusimama na...