George Muchai: 4 wahukumiwa kifo kwa mauaji ya mbunge wa zamani wa Kabete na wengine 3
Hakimu mkuu wa mahakama ya Milimani Lucas Onyina aliwahukumu kifo wafungwa 4 kwa mauaji ya aliyekuwa mbunge wa Kabete George Muchai, walinzi wake wawili na dereva
Iran na Marekani kukutana Pakistan usiku; nani wanahudhuria na nini kiko mezani?
Trump pia alionya kuwa mataifa yanayoiuzia Iran silaha zitawekewa vikwazo vya 50% kwa bidhaa zao zinazouzwa nchini Marekani.
Walioghushi kadi za benki kuiba Sh147 bilioni wakamatwa
Mamlaka zimeanza uchunguzi wa tuhuma za utapeli wa Sh147.5 bilioni, zilizotolewa katika...
Wataalamu wa afya wanashauri kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi mara tu baada ya kuamka
Wataalamu wa afya wanashauri kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi mara tu baada ya kuamka. Tabia hii rahisi inaweza kusaidia kuamsha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, kuimarisha kinga ya mwili na…
Mke wa Rais Melania Trump amekanusha kuwa na uhusiano na Jeffrey Epstein, akiwaambia waandishi wa habari katika Ikulu ya White H…
Mke wa Rais Melania Trump amekanusha kuwa na uhusiano na Jeffrey Epstein, akiwaambia waandishi wa habari katika Ikulu ya White House kwamba madai yoyote yanayowaunganisha wawili hao "yanahitaji kumalizika haraka".…
#MZOZOIRANINAMAREKANI
#MZOZOIRANINAMAREKANI Rais wa Marekani Donald Trump ameishutumu Iran kwa "kushughulikia vibaya" meli za mafuta zinazopita kwenye Mlango-Bahari wa Hormuz, akisema "sio makubaliano tuliyo nayo". Maoni hayo yanaonyesha udhaifu wa makubaliano…
Mhitimu wa KU ageukia shughuli za ukuli kwa sababu ya ukosefu wa ajira
James Okello, mhitimu wa KU, amegeukia kubebea watu mizigo Nairobi kutokana na uhaba wa kazi, akisimulia safari yake ya maisha licha ya changamoto za kifedha.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanya mabadiliko makubwa ya safu ya uongozi wake wakiwamo makamisha na wakurugenzi wa idara
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanya mabadiliko makubwa ya safu ya uongozi wake wakiwamo makamisha na wakurugenzi wa idara. Viongozi hao wapya wameteuliwa hivi karibuni na Bodi ya Wakurugenzi chini…
Mvutano Lebanon utaathiri vipi mwelekeo wa mazungumzo ya Iran na Marekani?
Afisa mmoja wa Marekani alisema kuwa mpango wa kusitisha mapigano wenye pointi kumi uliochapishwa na Iran sio masharti sawa na ambayo Ikulu ya Marekani ilikubali ili kumaliza vita.
Uhakika wa chakula unavyojenga ustawi wa familia
Uhakika wa chakula na lishe ni hali ambapo familia ina uhakika wa kupata chakula cha kutosha...
Mafuta yaanza kupaisha bei za bidhaa, vikao vyapishana bungeni
Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwataka wafanyabiashara kuzingatia uhalisia wa...
Zilizovuma wiki hii: Jamaa amjengea nyumba baba wa kambo Kisii, watoto wamnunulia baba Mercedes-Benz
Mwanaume wa Kisii anamjengea baba yake wa kambo nyumba nzuri kama ishara ya shukrani kwa kujitolea kwake. Gundua hadithi hii ya kutia moyo ya upendo na kujitolea.
Boresha afya kwa bustani ya nyumbani
Kulima bustani ya nyumbani si tu mapambo ya mazingira, bali ni uwekezaji wa moja kwa moja...
Vita Nchini Sudan: Ethiopia yaunga mkono wanajeshi wa FSR, kulingana na Chuo Kikuu cha Yale
Inaripotiwa kwamba Ethiopia inaunga mkono vikosi vya kijeshi vya Jenerali Hemedti, ambao wamekuwa wakipigana na jeshi la Sudan kwa karibu miaka mitatu, kulingana na ripoti ya Maabara ya Utafiti wa…
Sammy Kioko: Mcheshi aliyejeruhiwa akidai pesa zake kwa gavana akongowea huku marafiki wakimtembelea
Mchekeshaji Sammy Kioko atoa shukrani kwa usaidizi wa jamii wakati wa kupona kutokana na shambulio la kikatili na maafisa wa kaunti huku akidai KSh milioni 19.
Djibouti inafanya uchaguzi wa rais
Wanachi wa Djibouti wanapiga kura leo Ijumaa, Aprili 10, kumchagua rais wao. Ismaïl Omar Guelleh, aliye madarakani tangu 1999, anagombea muhula wa sita. Anayemkabili ni Mohamed Farah Samatar, ambaye anawakilisha…
Iran inavyoshughulikia Hormuz ‘sio makubaliano tuliyo nayo’ – Trump
Hili limewadia huku Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akisema serikali yake inaanza mazungumzo ya moja kwa moja na Lebanon.
Mwonekano wa ndani nyumba za bei nafuu Ruto aliahidi wachezaji wa Harambee Stars wakati wa CHAN 2024
Harambee Stars inatathmini maendeleo katika Mradi wa Nyumba za Bei Nafuu mtaani Starehe, kufuatia ahadi ya Rais Ruto ya baada ya kutia fora CHAN 2024.
Nigeria: Aisa wa cheo cha juu auawa katika shambulio la wanajihadi kwenye kambi ya jeshi
Mashambulizi yalmelenga vituo vya kijeshi huko Benisheikh, Pulka, na Munguno, kaskazini mashariki mwa Nigeria, kitovu cha uasi wa wanajihadi kwa zaidi ya miaka 17, usiku wa Jumatano, Aprili 8, kuamkia…
KONA YA MSTAAFU: Sh5.5 milioni zipate ‘uteuzi’ wa dharura kwa wastaafu!
Kibubu cha akiba ya wafanyakazi, ambacho kimemtunzia akiba yake kwa miaka 40 ya ajira, huyu...
Umuhimu wa ujenzi wa imani katika jamii ya Kiislamu
Tatizo la jamii ya Kiislamu leo hii, si ukosefu wa mwonekano wa kidini au ukosefu wa misikiti...
Kenya na Ufaransa zapiga hatua katika mkataba wa ulinzi
Bunge la Kenya limeidhinisha kuidhinishwa kwa makubaliano ya pande mbili na Ufaransa siku ya Alhamisi, Aprili 9, yaliyosainiwa mwezi Oktoba 2025. Mchakato rasmi wa kuidhinishwa sasa uko mikononi mwa serikali.…
Mataifa 10 yanayoongoza katika uzalishaji wa mafuta duniani
Kulingana na mamlaka ya nishati duniani EIA, Iran ina hifadhi kubwa ya mafuta ghafi duniani.
Tetesi za Soka Ulaya: Arsenal, Man United na Chelsea vitani kumwania Rogers
Morgan Rogers anatarajiwa kuwa kitovu cha vita kubwa ya usajili katika majira haya ya kiangazi, Juventus wana matumaini makubwa ya kumsajili Alisson Becker, huku wamiliki wa Liverpool wakiamini kuwa Arne…
Minara 758 yazinduliwa, wananchi milioni 8.5 kunufaika na mapinduzi ya mawasiliano
Serikali imezindua minara 758 ya mawasiliano iliyojengwa katika maeneo mbalimbali nchini, hatua...
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 10, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
BUNDESLIGA EXPERIENCE | Kilwa Finest @gharib_mzinga23 kutoka Kusini mwa Tanzania hadi Bay Areba nchini Ujerumani
BUNDESLIGA EXPERIENCE | Kilwa Finest @gharib_mzinga23 kutoka Kusini mwa Tanzania hadi Bay Areba nchini Ujerumani. Huyu hapa akiiwakilisha Azam TV kupitia program ya Bundesliga Experience kuelekea mbungi kali kati ya…
CRDB BANK FEDERATION CUP: Geita Gold FC wanakutana na Mashujaa FC kwenye Dimba la Nyankumbu Geita kusaka tiketi ya kwenda robo f…
CRDB BANK FEDERATION CUP: Geita Gold FC wanakutana na Mashujaa FC kwenye Dimba la Nyankumbu Geita kusaka tiketi ya kwenda robo fainali…. Makocha wa timu zote mbili, Zuberi Katwila na…
CRDB BANK FEDERATION CUP: Hatua ya 16 bora inaanza rasmi Aprili 10, 2026 kwa mechi mbili, mojawapo ikiwa ni JKT Tanzania dhidi y…
CRDB BANK FEDERATION CUP: Hatua ya 16 bora inaanza rasmi Aprili 10, 2026 kwa mechi mbili, mojawapo ikiwa ni JKT Tanzania dhidi ya Mbuni FC. Kuelekea mchezo huo makocha wa…
Ujenzi kongani ya viwanda 150 kuanza Bagamoyo
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imetangaza kuanza rasmi kwa ujenzi wa kongani ya kisasa ya viwanda zaidi ya 150 Bagamoyo Eco Maritime…
CRDB BANK FEDERATION CUP: “….tutaanza kuwa na mchezaji bora katika kila mchezo”
CRDB BANK FEDERATION CUP: “….tutaanza kuwa na mchezaji bora katika kila mchezo” TFF yaongeza ‘chachandu’ kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank ambayo inaingia hatua yake ya 16…
Tanzania lures Qatar’s Shaheen Energy to invest in the oil and gas sector
DOHA: THE Tanzanian envoy to Qatar, Habibu Awesi Mohamed, met with Sheikh Abdullah bin Faisal Al Thani of Shaheen Energy to discuss ways to expand investment opportunities in Tanzania’s oil…
KCMC launches a 2.7bn/-fundraising drive for the construction of the Cardiac Unit
DAR ES SALAAM: THE Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC), a referral hospital serving Tanzania’s northern zone, has launched a fundraising drive to collect 2.7bn/-to complete the construction of a major…
Godfrey Osotsi anadai washambuliaji walitaka kumuua: “Walionekana na nia mbaya”
Seneta wa Vihiga alidai kuwa watu wanaoshukiwa kuwa wahuni waliomvamia Kisumu walinuia kumuua. Alisimulia jinsi masaibu hayo yalivyotokea, na kumuacha na majeraha.
Tanzania yaanika fursa ya uwekezaji katika sekta ya makazi
Tanzania imewaita wawekezaji wa ndani na kimataifa kuchangamkia fursa zilizopo nchini huku...
Msanii Matonya kizimbani nchini Kenya kwa tuhuma za ubakaji
Kenya. Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Sefu Shabani 'Matonya', leo Alhamisi Aprili 9...
Shambulio la Godfrey Osotsi: Kalonzo Amtaka PS wa Usalama wa Ndani Raymond Omollo Ajiuzulu
Viongozi wa upinzani wanamtaka Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani Raymond Omollo kujiuzulu baada ya seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi kumhusisha na wahuni waliomchapa.
Dk Jafo kupeleka hoja binafsi bungeni kuhusu bodaboda, bajaji
Mbunge wa Kisarawe (CCM), Dk Seleman Jafo ameapa kupeleka hoja binafsi bungeni kwa ajili ya...
Kortini Dar wakidaiwa kutoa taarifa za uongo, nyeti zao zimeibiwa
Vijana sita wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni...
Azam yafikisha sare kumi Ligi Kuu Bara
AZAM imeendelea kuangusha pointi katika Ligi Kuu Bara msimu huu kupitia matokeo ya sare baada ya kumaliza dakika 90 zingine bila kufungana ugenini dhidi ya Mbeya City.
Polisi yathibitisha kumkamata Pauline Pallangyo
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema baadhi ya taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu...
Mali za urithi zaivuruga familia, waomba Serikali kuingilia kati
Familia ya Ordinary Sanga iliyopo jijini Mbeya, imeiomba Serikali kuingilia kati mgogoro wa...
Kamati ya Marehemu David Kiaraho Yamlaani Rigathi Gachagua, Marafiki Zake kwa Kuleta Siasa Mazishini
Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua na washirika wake wamekashifiwa kwa kugeuza ibada ya mazishi ya mbunge wa Ol Kalou David Kiaraho kuwa uwanja wa ksiasa.
Simba, Azam zavutwa shati Ligi Kuu
Matokeo ya 0-0 ambayo Simba imepata Alhamisi dhidi ya TRA United, huku Azam nayo ikibanwa na...
Wadau watia neno vyeti kudhamini mikopo
Wakati Serikali ikisema ipo mbioni kupeleka bungeni muswada wa sheria utakaoruhusu vyeti vya...
TBL commends gvt crackdown as illicit alcohol crisis deepens
DAR ES SALAAM: Tanzania Breweries Limited has called for sustained and coordinated action to address illicit alcohol in Tanzania, warning that the issue continues to pose serious risks to public…
Simba yaangusha pointi kwa TRA United ikiichongea barabara Yanga
SIMBA imeshindwa kupunguza gepu la pointi dhidi ya vinara wa Ligi Kuu Bara, Yanga, baada ya kubanwa mbavu leo Alhamisi Aprili 9, 2026 na TRA United, mechi ikipigwa Uwanja wa…
Chadema yaanzisha kampeni kushinikiza kuachiwa Lissu
Wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maedeleo (Chadema), Tundu Lissu, akitimiza mwaka...