Simama katika zamu yako
Tumsifu Yesu Kristo. Nakusalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo aliye hai. Ni matumaini...
Dk Mwigulu ataka uwazi kwenye fedha za miradi
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amezielekeza halmashauri zote kuweka wazi kuhusu fedha za...
Mtaalamu wa hali ya hewa aonya kuhusu mvua kubwa katika kaunti kadhaa leo, Machi 8
Idara ya Hali ya Hewa ya Kenya ilionya kuhusu mvua kubwa hadi Machi 8, huku mafuriko yakiharibu nyumba. Baadhi ya kaunti ni pamoja na Nairobi, Mombasa, na Kisumu.
Mbeya City yafuta gundu Sokoine ikiitibulia rekodi Bandari
Pamoja na kufuzu hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB, Mbeya City imefuta gundu katika Uwanja wa Sokoine kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Bandari FC…
Rungwe awapa ujumbe wanawake Chaumma, kuanza operesheni Katiba mpya
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa...
‘Simu, TV sio malezi, unyanyasaji kwa wanawake bado changamoto’
Wazazi na walezi wametakiwa kuwalea watoto katika maadili yanayoendana na dini zao badala ya...
Serikali kutoa Sh8.1 bilioni kurejesha vivuko, madaraja Serengeti
Serikali imesema itatoa Sh 8.1 bilioni kwa ajili ya kurejesha vivuko na madaraja saba...
‘Bundi’ alivyotua CCM Moshi, tafrani zaibuka kikaoni
Hali si shwari, ndivyo unaweza kuelezea misuguano iliyopo ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM)...
Wakulima kurahisishiwa upatikanaji wa mbegu bora
Tanzania imelenga kuongeza tija ya uzalishaji wa kilimo katika mazao 13 ya kimkakati baada ya...
Fei Toto awaibua wakongwe Ligi Kuu Bara
WAKATI Ligi Kuu Bara ikiwa imesimama kupisha Kombe la Shirikisho la CRDB (FA), Feisal Salum ‘Fei Toto’ ndiye kinara anayehusika kwenye mabao hadi sasa akikaribiwa na mshambuliaji wa Yanga, Prince…
Michango mashuleni kikwazo kwa watoto wenye mazingira magumu
Walezi wa watoto wanaoishi katika mazingira magumu wametaja wingi wa michango ya wanafunzi...
Wastani wanawake wanne hukatwa matiti kila wiki KCMC
Wakati takwimu zikionesha kuwa asilimia 14.4 ya wanawake nchini wanaugua saratani ya matiti...
Kambi ya figo Arusha kunufaisha wananchi 500 Kanda ya Kaskazini
Katika kuadhimisha Siku ya Figo Duniani, Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC)...
Kaya 1,000 Lindi, Pwani zafikiwa na huduma ya gesi asili majumbani
Kaya 1,000 Lindi na Pwani zafikiwa na huduma ya gesi asili majumbani.
Mastaa Ligi Kuu wavunja rekodi CRDB Federation Cup
WACHEZAJI wanaocheza timu za Ligi Kuu Bara, wameanza vyema katika Michuano ya Kombe la Shirikisho (FA), baada ya kufunga 'Hat-Trick' tatu hadi sasa, ikiwa ni idadi kubwa kwa nyota hao…
Minister urges banks to back Vision 2050
DAR ES SALAAM: Minister of Finance, Ambassador Khamis Mussa Omar, has urged financial institutions across Tanzania to play a stronger and more active role in supporting the implementation of the…
RC Burian: Tutoe taarifa za ukatili wa kijinsia, wanawake wachangamkie mikopo ya halmashauri
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk Batilda Burian, ametoa wito kwa wananchi kushirikiana kupambana na...
Aliyechezesha Dabi ya Kariakoo apewa Kombe la Dunia 2026
Mwamuzi Amin Mohamed Amin Omar wa Misri, aliyewahi kuchezesha mechi ya 'Kariakoo Derby' kati ya Yanga dhidi ya Simba iliyopigwa, Juni 25, 2025, amechaguliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa…
Kihongosi: CCM baba wa demokrasia
TILIMA: KATIBU wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema CCM ndiyo baba wa demokrasia nchini kwani ndiyo chanzo cha kuzaliwa kwa vyama vingine…
Iran yachagua mrithi wa Khamenei, jina la mteule mpya lafanywa siri
Tume ya kuchagua kiongozi mkuu mpya wa Iran imetangaza Jumapili kuwa imefikia uamuzi, ingawa...
Simba Queens yarudi kambini kujiandaa mzunguko wa pili WPL
SIMBA Queens imeingia kambini mapema kuanza maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Wanawake nchini, huku benchi la ufundi likieleza lengo kubwa ni kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri…
Chabruma: Mabinti msikate tamaa kupambania ndoto zenu
ALIYEWAHI kuwa kocha mkuu wa JKT Queens, Esta Chabruma amewaasa mabinti wanaocheza soka kuendelea kupambania ndoto zao bila kukata tamaa licha ya changamoto wanazokutana nazo njiani.
Aliyechezesha fainali AFCON, Dabi ya Kariakoo wapewa Kombe la Dunia 2026
Mwamuzi Amin Mohamed Amin Omar wa Misri, aliyewahi kuchezesha mechi ya 'Kariakoo Derby' kati ya...
Ceasiaa yapania pointi 18 nyumbani
KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema mipango ya timu hiyo ni kuvuna pointi 18 katika mechi sita za nyumbani zilizosalia ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kumaliza nne bora.
CCM yataka Kituo cha Afya Mwamapalala kianze huduma Juni
Wakati Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi akitaka...
Bawacha walivyoadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, Chadema yasema…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kimeungana na wanawake wa Tanzania na...
Unyanyapaa unavyowarudisha wanawake katika uraibu wa dawa za kulevya
Vitendo vya unyanyapaa dhidi ya wanawake waliowahi kutumia dawa za kulevya vimeelezwa kuwa...
Washington Post: Trump anakabiliwa na “upande mweusi” wa vita na Iran; majeneza yameanza kuwasili
Gazeti la Washington Post limeitaja shughuli ya kupokea miili ya wanajeshi sita wa Marekani waliouawa katika operesheni kali ya Iran kuwa ni ishara kwamba vita vinamwendea vibaya rais wa nchi…
Meja Jenerali Abdullahi: Uwezo wa makombora wa Iran ni zaidi ya mawazo ya adui
Meja Jenerali Ali Abdullahi, amesema majeshi ya ulinzi ya Iran yamejitayarisha kikamilifu kuendeleza mapambano dhidi ya adui na kwamba adui atapata jibu la makosa yake uwanjani na kwenye medani ya…
Mbunge aeleza chanzo cha ajali yake msafara wa PM
Mbunge wa Moshi Mjini (CCM), Ibrahim Shayo amesema ajali aliyopata Februari 18, 2026...
Sichone aanza kufunga UAE
WINGA Mbongo Morice Sichone anayeitumikia Gulf FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili ya Falme za Kiarabu ameanza vizuri akifunga mabao mawili licha ya hali ya taharuki inayosababishwa na machafuko ya…
Aliyeiba bunduki mali ya Gereza la Songwe akwaa kisiki Mahakama Kuu
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Mbeya imetupa rufaa iliyowekwa na Braison Sanga, aliyekuwa...
Flowteller startup excels in services beyond cash transactions
DAR ES SALAAM: A Tanzanian digital company, Flowteller, cashed 1.8m/- after emerging as the top venture during the 11th edition of Harambe Evening startup pitch held in Masaki, Dar es…
Said anaandika rekodi zake Malaysia
MSHAMBULIAJI Said Hamis Said Jr anayekipiga Imigresen, anaendelea kuonyesha makali yake katika Ligi Kuu ya Malaysia baada ya kuwa miongoni mwa wachezaji wanaoibeba timu hiyo.
Mwalimu Lihepanyama, mkemia anayekuza sayansi Sekondari Pugu
Katika mazingira ya kihistoria ya Shule ya Sekondari Pugu Boys, jina la Mwalimu Venancia...
Msuva alitoa zawadi bao lake kwa Iran, awatoa hofu Watanzania
WINGA wa Tanzania, Simon Msuva anayekipiga Al Talaba ameendelea kuonyesha kiwango bora katika Ligi Kuu ya Iraq baada ya kufunga bao muhimu na kisha kulitoa zawadi kwa taifa la Iran…
Msuva alitoa sadaka goli lake, awatoa hofu Watanzania
WINGA wa Tanzania, Simon Msuva anayekipiga Al Talaba ameendelea kuonyesha kiwango bora katika Ligi Kuu ya Iraq baada ya kufunga bao muhimu na kisha kulitoa zawadi kwa taifa la Iran…
Wanaodaiwa kumteka Mtanzania Kenya wasota mahabusu siku 16
Mahakama nchini Kenya, kesho itatoa uamuzi wa iwapo raia wawili wa Kenya na Mtanzania...
ZFDA yateketeza kilo 2,447 za nyama zilizoharibika
Baada ya mzigo huo kuwasili nchini, mamlaka hiyo ilichukua sampuli za bidhaa hizo na kuzifanyia...
Dk Tulia kujenga nyumba 13 kila kata
Kufuatia kuwepo kwa changamoto ya baadhi ya wazee kuishi mazingira magumu kwa kukosa makazi...
Siku ya Kimataifa ya Wanawake: Viongozi UN wataka hatua zaidi kuimarisha haki
Dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, viongozi waandamizi wa Umoja wa Mataifa wametoa wito wa kuchukuliwa hatua zaidi duniani kote kulinda na kuendeleza haki za wanawake na wasichana, wakionya…
Wanawake wanaolinda utoto dhidi ya mpox nchini DRC
Wakati ugonjwa wa mpox ulipoenea katika sehemu mbalimbali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, familia zilikumbana na hali ya kutokuwa na uhakika inayoongezeka. Katika maeneo ya wakimbizi, mitaa ya…
Sh mil 250 kujenga zahanati Mwamapalala
SIMIYU: SERIKALI imetoa fedha kiasi cha Sh milioni 250 kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati ya Mwamapalala iliyopo katika Kata ya Mwamapalala wilayani Itilima mkoani Simiyu. Lengo likiwa ni kuwezesha…
Tanesco yapewa siku 7 kufikisha umeme bweni la wasichana sekondari Shishiyu
SIMIYU: KATIBU wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi ametoa siku saba kwa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) kuhakikisha umeme umefika katika bweni ya wasichana…
KCMC kuanza kutoa matibabu ya moyo rasmi 2027
Wakati tafiti zikionesha asilimia 30 ya watu wanaougua matatizo ya moyo wanatoka Kanda ya...
Vyombo vya habari vya Algeria: Kesi ya Epstein ndiyo chanzo cha moja kwa moja cha vita vya Trump dhidi ya Iran
Gazeti la Algeria "Al-Shorouk" limeandika kuwa kashfa iliyotokana na kesi ya bilionea mashuhuri na mhaifu wa ngono wa Marekani, Jeffrey Epstein, na kuhusika Rais Donald Trump katika kashfa hiyo ndiyo…
Watunisia waunga mkono Iran na kulaani vita vya Marekani
Watunisia wamefanya maandamano ya kuiunga mkono Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kukosoa kauli ya Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo ambayo haikulaani mashambulizi ya Marekani na utawala…
‘No popular support’: China warns against government change in Iran
BEIJING: CHINA has warned against seeking government change in Iran amid the ongoing US-Israeli offensive, saying any such move lacks public support. “Plotting a ‘colour’ revolution or seeking government change…