KCMC kuanza kutoa matibabu ya moyo rasmi 2027
Wakati tafiti zikionesha asilimia 30 ya watu wanaougua matatizo ya moyo wanatoka Kanda ya...
Vyombo vya habari vya Algeria: Kesi ya Epstein ndiyo chanzo cha moja kwa moja cha vita vya Trump dhidi ya Iran
Gazeti la Algeria "Al-Shorouk" limeandika kuwa kashfa iliyotokana na kesi ya bilionea mashuhuri na mhaifu wa ngono wa Marekani, Jeffrey Epstein, na kuhusika Rais Donald Trump katika kashfa hiyo ndiyo…
Watunisia waunga mkono Iran na kulaani vita vya Marekani
Watunisia wamefanya maandamano ya kuiunga mkono Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kukosoa kauli ya Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo ambayo haikulaani mashambulizi ya Marekani na utawala…
‘No popular support’: China warns against government change in Iran
BEIJING: CHINA has warned against seeking government change in Iran amid the ongoing US-Israeli offensive, saying any such move lacks public support. “Plotting a ‘colour’ revolution or seeking government change…
TSN Women join International Women’s Day celebrations in Dar es Salaam
DAR ES SALAAM: WOMEN from Tanzania Standard Newspapers(TSN) participated in the climax of the International Women’s Week celebrations today. In the Dar es Salaam region, the event was held at…
Tanzania strengthens security ahead of AFCON 2027
DAR ES SALAAM: TANZANIA is stepping up efforts to ensure the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON 2027) is hosted safely and efficiently, with security a top priority. The National…
Kariakoo Derby at “Guantanamo”: When Bundi started checking lease again
DAR ES SALAAM: IN the long and occasionally unbelievable history of the Kariakoo Derby, last Sunday’s encounter at the New Amaan Stadium Complex in Zanzibar secured its own peculiar corner…
Rafiki wa kike mwandani wa Nick Kosgei amwaga chozi zito wakati akisoma taabini yake Bomet
Mpiga picha wa Johana Ng'eno, Nick, alifariki katika ajali ya helikopta. Mazishi yake katika Kaunti ya Bomet yalijaa salamu za rambirambi za familia na marafiki.
One way you might be manipulating your loved ones without realising it
DAR ES SALAAM: WE’VE all heard that setting boundaries is a good thing. Boundaries keep you safe from people or situations that might be hurtful, upsetting, or toxic. But when…
Muthee Kiengei: Marafiki 6 wa mhubiri maarufu ambao wamelikimbia kanisa lake la JCM
Askofu Muthee Kiengei anakabiliwa na msukosuko huku viongozi wakuu wakitoka katika Jesus Christ Compassion Ministries baada ya ziara ya Rais Ruto yenye utata.
Maandamano ya kuunga mkono Iran yamefanyika nchini Afrika Kusini
Wananchi wa Afrika Kusini walifanya maandamano na mikusanyiko mikubwa wakionyesha uungaji mkono wao kwa Iran kufuatia uvamizi wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Siku ya Wanawake 2026: Safari ya usawa inayoendelea
Kauli mbiu ya mwaka huu ni "Haki, usawa na matendo kwa wanawake na wasichana wote", ikisisitiza kwamba haki na usawa si ndoto tu bali ni malengo yanayohitaji matendo halisi (hatua…
Madawati 250 kupunguza uhaba Shule ya Msingi Kiromo
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Charles Kamoto, pamoja na timu yake wametembelea Shule...
Washirika wa Edwin Sifuna ODM waapa kutohudhuria NDC wa Oburu Oginga mwezi huu
Waasi wa ODM, wakiongozwa na James Orengo, waapa kususia NDC ya Machi 27, wakihoji mamlaka ya Catherine Omanyo na uhalali wa Oburu Oginga kama kiongozi wa chama.
Wataalamu walaani kuwanyima watoto haki za msingi
Wataalamu wa malezi na makuzi ya watoto mkoani Tanga wametahadharisha kuwa kuwanyima watoto...
Siku ya tisa ya vita; Iran yaendeleza mawimbi ya makombora na ndege zisizo na rubani
Katika siku ya tisa ya uchokozi wa Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) alfajiri ya leo limetangaza kutekelezwa kwa mawimbi…
Johanna Ngeno, Francis Ogolla na watu wengine 9 waliofariki katika ajali za ndege Kenya
TUKO.co.ke walitafakari historia ya Kenya ya watu mashuhuri waliopotea katika majanga ya ndege kufuatia kifo cha Mbunge Johana Ng'eno katika ajali ya helikopta.
Sintofahamu CUF, mwenyekiti mpya akosa mapokezi Kondoa
Makundi yanayoendelea kukigawa Chama cha Wananchi (CUF) yameibuka tena, baada ya mwenyekiti...
Video: Waombolezaji kutoka mazishi ya Johanna Ng’eno waponea kifo, basi lao lakaribia kuzama mtoni
Waombolezaji huko Emurua Dikirr waliponea chupuchupu mkasa baada ya mafuriko kuzamisha daraja la Mto Mogondo. Basi lao lilikaribia kuzama ndani ya mto huo.
Man United wamuweka Tavernier kwenye rada
Manchester United imeongeza jina la mshambuliaji wa Bournemouth, Marcus Tavernier, kwenye...
IGP mstaafu Mahita atimiza umri wa miaka 80
MOROGORO; MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu Omari Mahita (kulia), akiwa na Diwani wa Kata ya Kariakoo Dar es Salaam na msemaji wa zamani wa klabu za Simba na…
Je, binti wa Kim Jong Un anaweza kuwa kiongozi wa Korea Kaskazini?
Kim Jue Ae anaonekana zaidi pamoja na baba yake, lakini mengi kumhusu bado ni fumbo.
Rosenior amkubali Joan Pedro
Kocha wa Chelsea, Liam Rosenior amesema hawezi kubadilishana mshambuliaji mwenye moto, Joao...
Gabriel ajibu tuhuma za kupoteza muda
Beki wa kati wa Arsenal, Gabriel Magalhaes amesema hawajali kabisa madai ya kocha wa Brighton...
Why you should tell your partner that thing you have been holding back on
USA: TELLING your boss or date that thing you weren’t sure you should reveal could be good for you. People often hold back too much, according to behavioral scientist Leslie…
TANAPA plans five new bridges in Serengeti National Park
MARA: THE Tanzania National Parks (TANAPA) has unveiled ambitious plans to construct five modern bridges within Serengeti National Park in its latest bid to enhance infrastructure resilience and visitor safety…
Majasusi wa US: Haiyumkiniki kubadilisha mfumo wa uongozi Iran
Baraza la Ujasusi la Marekani limesema katika tathmini yake 'ya siri' kwamba, ni muhali kubadilisha mfumo uliokita mizizi wa kisiasa na kiusalama nchini Iran, hata kwa kutumia mashambulizi makali ya…
Hatari wenza kutumiana picha za faragha
Picha iliyotumwa kwa kuaminiwa kama ishara ya upendo, huenda ikageuka silaha ya fedheha...
Samia Ardhi Clinic champions women’s land rights
DAR ES SALAAM: ACROSS Tanzania, from the dusty footpaths of rural villages to the busy streets of growing towns, land has never been just a piece of earth but the…
Malima ataka uwajibikaji changamoto za wanawake
MOROGORO: MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amewaagiza watendaji wa mitaa, vijiji na kata za mkoa huo kushughulikia kikamilifu migogoro ya ardhi inayowakabili wanawake wanaponyang’anywa umiliki baada ya wanaume…
Furahia ndoa duniani kabla ya mbinguni
Katika jamii nyingi, ndoa imekuwa ikizungumziwa zaidi kama jukumu kuliko baraka, kama mzigo...
Babu Owino adai serikali ina njama ya kumkamata kisa chapisho lake kwenye mitandao ya kijamii
Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino amedai serikali inapanga kumkamata kwa chapisho lake mitandaoni linalomlenga Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani Raymond Omollo.
Wazazi na walezi wilayani korogwe mkoani Tanga wametakiwa kuwajibika ipasavyo katika malezi ya watoto kwani baadhi yao wamekuwa …
Wazazi na walezi wilayani korogwe mkoani Tanga wametakiwa kuwajibika ipasavyo katika malezi ya watoto kwani baadhi yao wamekuwa ndio chanzo cha watoto kuwa na tabia sisizo pendeza kwenye jamii. Rai…
Rais Samia atoa ujumbe wa siku ya wanawake duniani
Rais Samia Suluhu Hassan amehimiza kuendeleza juhudi za kuhakikisha wanawake na wasichana...
Jua tofauti za mitazamo kati ya wanawake na wanaume
Mitazamo hii mara nyingi imejenga vichekesho, mshangao, migogoro na wakati mwingine kutoelewana...
Arsenal na Manchester City katika mbio za kipekee za mataji manne
Huku Arsenal na Manchester City zikiwa bado katika mbio za kuwania mataji manne msimu huu, BBC inaangalia ni klabu gani nyingine alikaribia kutwaa mataji manne.
Walinzi 3 wa amani wa Ghana wajeruhiwa katika shambulio Lebanon, Accra yalalama
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ghana, Samuel Okudzeto Ablakwa, amewasilisha malalamiko ya serikali yake mbele ya Umoja wa Mataifa Jumamosi, Machi 7, 2026, kufuatia shambulio lililowajeruhi wanajeshi watatu wa…
Magazeti ya Kenya: James Orengo ataka uchunguzi ufanyike kuhusu kifo cha Raila Odinga
Gavana wa Siaya James Orengo anataka uchunguzi wa kati ya mataifa kuhusu kifo cha "ajabu" cha Raila Odinga, akihoji kuhusu kupelekwa kwake India.
Ruto aagiza serikali kulipa bili za hospitali na kuwapa chakula cha msaada waathiriwa wa mafuriko
Rais William Ruto ameagiza uokoaji wa mashirika mbalimbali, utoaji wa chakula cha msaada, na usaidizi wa kimatibabu kwa waathiriwa wa mafuriko jijini Nairobi.
Kwa nini rais wa Iran ameomba msamaha
Msamaha wa Rais Pezeshkian unaweza kudokeza kujipanga upya kisiasa ndani ya Iran, anaandika mwandishi wa BBC Persian Amir Azmi.
Mzazi tambua mipaka ya kusaka maisha, malezi ya watoto
Katika ulimwengu wa leo, wazazi wengi wanajikuta wakiwa katika mbio zisizokwisha za kutafuta...
Guinea: Sheria ya Waziri kuvunja vyama arobaini vya upinzani yatia wasiwasi wanasiasa
Nchini Guinea, serikali imetangaza usiku wa Ijumaa, Machi 1, kuvunjwa kwa vyama arobaini vya siasa, vikiwemo vitatu vikubwa zaidi: chama cha RPG, kinachoongozwa na rais wa zamani Alpha Condé; chama…
Moto mkubwa waunguza mnara wa Jiji la Kuwait
Mashambulizi makali yamekumba maghala ya mafuta mjini Tehran, huku baadhi wakiambia BBC kwamba ilikuwa ni kana kwamba usiku umegeuka mchana.
James Orengo adai wafanyakazi wake wamekamatwa Siaya kutanguliza ziara ya William Ruto
Gavana wa Siaya James Orengo anadai kukamatwa kwa wafanyakazi kunakohusiana na ziara ya Rais Ruto, analaani mwenendo wa polisi kama kinyume cha katiba.
DRC: Serikali yakubali kuchelewa kwa malipo ya mishahara ya watumishi wa umma
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) inakubali mivutano kwenye hazina ya serikali. Matokeo yake, malipo ya mishahara kwa wafanyakazi wa serikali na watumishi wa umma yamecheleweshwa katika miezi…
Oscar Sudi ajitolea kulipa salio la Ksh 350k ili familia ya Nick Kosgei ipate hati miliki ya ardhi
Oscar Sudi alihudhuria mazishi ya Nick Kosgei ambapo alitoa KSh 350,000 kwa baba wa marehemu ili aweze kulipa salio linalohitajika ili kupata hati ya umiliki.
ONGEA NA AUNT BETTIE: Anapenda sana ‘mchezo’ nahisi kuishiwa nguvu
Anti siyo kama ninajihami ila naona kabisa ubavu wangu ni mdogo kumtosheleza huyu nimpendaye.
Rais wa Cuba asema mkutano ulioitishwa na Donald Trump huko Florida ni ‘ukoloni mamboleo’
Rais wa Cuba Miguel Díaz-Canel ameuelezea kama “ukoloni mamboleo” mkutano ulioitishwa Jumamosi, Machi 7, huko Florida na mwenzake wa Marekani, Donald Trump, ambaye amedai katika tukio hilo kwamba Cuba “inaishi…
Tanzania’s Vision 2050 will be built by its women, girls
DAR ES SALAAM: IF Tanzania is to achieve its ambitions for prosperity, resilience and inclusive growth, one fact is impossible to ignore: the country’s future will depend on the full…
Norway: Mlipuko wasikika nje ya ubalozi wa Marekani Oslo
Mlipuko mkubwa umesikika usiku wa Jumamosi, Machi 7 kuamkia Jumapili, Machi 8, 2026, nje ya ubalozi wa Marekani huko Oslo, Norway, lakini hakuna majeraha yaliyoripotiwa, polisi ya Norway imetangaza. Imechapishwa:…