Chakula silaha ya siri dhidi ya maradhi
Unapokula tunda, mboga, au nafaka, usitazame tu ladha au shibe; tazama mchanganyiko wa kemikali...
Maofisa elimu wakumbushwa nidhamu, itifaki kazini
Wakati jitihada za kuboresha sekta ya elimu nchini zikiendelea kuchukua nafasi kubwa katika...
Masauni atoa maagizo matano bodi ya NCMC
DAR ES SALAAM: Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa maagizo matano kwa Bodi ya Kituo Taifa cha Kuratibu Kaboni (NCMC)…
Vijana kupewa nafasi ushirikiano CCM, Frelimo
DAR ES SALAAM: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Frelimo cha Msumbiji vimekubaliana kuwashirikisha vijana ili wafahamu uhusiano uliopo kati ya vyama hivyo na kuhakikisha wananchi wa mataifa hayo…
Rigathi Gachagua Atoa Heshima ya Kugusa kwa Johana Ng’eno, Ashutumu Maombolezo ya Kinafiki
Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua alimuenzi mbunge marehemu Johana Ng’eno, akisifu ujasiri wake huku akikashifu maombolezo ya kinafiki kutoka kwa watesi wake.
BRAC lures women to embrace financial literacy, heading to the IWD celebrations
DAR ES SALAAM: TANZANIAN women have been encouraged to embrace financial literacy and have a full understanding of terms and conditions before accessing any type of loan. This has been…
Siku ya 7 ya Vita; Vikosi vya Iran Vyalenga Kitovu cha Tel Aviv
Katika siku ya saba ya vita vya kukabiliana na uchokozi wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel, Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza wimbi…
Mkandarasi aelekezwa kuongeza kasi ujenzi stendi
SINYANGA: MKANDARASI aliyepewa kazi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya Katunda mkoani shinyanga ameelekezwa kuongeza kasi ya utekelezaji ili mradi uweze kukamilika na kutoa…
RC Mara ashusha zigo la elimu ya udumavu kwa wahudumu wa afya
Wakurugenzi wa halmashauri tisa za wilaya mkoani Mara, wametakiwa kutenga bajeti ya kuwezesha...
Mbarali kutumia Sh2.5 bilioni kukamilisha miradi viporo
Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, imekuja na mikakati maalumu ya kufanya tathmini...
Wawekezaji wanawake soko la hisa bado kiduchu
Wakati zaidi ya Watanzania 800,000 wakiwa wamewekeza katika Soko la Hisa la Dar es Salaam...
TRA inaugurates Women and Tax Forum to empower businesswomen
DAR ES SALAAM: THE Commissioner General of the Tanzania Revenue Authority (TRA), Yusuph Mwenda, has officially launched the Women and Tax Forum aimed at empowering women engaged in business by…
Gavana wa Narok afichua jinsi Johanna Ng’eno alivyomuoa mpwa wake
Gavana wa Narok Patrick Ole Ntutu alieleza jinsi Johana Ng'eno alijikuta amemuoa mpwa wake baada ya kusukumwa kwa muda mrefu atafute mke..........
Social Security funds open doors for self-employed Tanzanians
DAR ES SALAAM: The Minister of State in the Prime Minister’s Office responsible for Labour, Employment and Industrial Relations, Deus Sangu, has urged the self-employed Tanzanians to join social security…
SHIMMUTA hands over Workers’ Sports Policy to NSC
DAR ES SALAAM: THE Chairperson of the Tanzania Public Institutions, Agencies and Private Companies Sports Federation (SHIMMUTA), Roselyne Massam, has officially handed over the Workers’ Sports Policy titled “Sports for…
Marekani kuwanyima visa viongozi wa juu wa Rwanda
Siku chache baada ya kutangaza kuliwekea vikwazo jeshi la Rwanda pamoja na maofisa wake wa juu wa kijeshi, waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Marco Rubio, amesema nchi yake…
Katavi RC orders MUWASA to timely complete the 22bn/-Water Project
MPANDA: KATAVI Regional Commissioner Mwanamvua Mrindoko has directed the Mpanda Water Supply and Sanitation Authority (MUWASA) to intensify supervision of the 28 Towns Water Project to ensure it is completed…
Planet Labs inachuja picha za satalaiti za hasara za kambi za Marekani zinazotwangwa na Iran
Kampuni ya huduma za satalaiti ya Marekani imetangaza kuwa, inachelewesha kutoa picha zake kwa siku nne ili kuzuia tathmini na uchambuzi wa hasara zilizosababishwa kwenye kambi za kijeshi za Marekani…
Afisa wa zamani wa Marekani: Washington imeshindwa kutimiza malengo yake dhidi ya Iran
Afisa wa zamani wa shirika la ujasusi la jeshi la majini la Marekani amesema Washington imeshindwa kutimiza malengo ya uvamizi wake wa kijeshi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Makueni: Watu 7 wafariki baada ya mafuriko kuwasomba wakaazi kufuatia mvua kubwa inayonyesha
Watu saba walipoteza maisha Makueni huku mafuriko yakiendelea kuwasomba wakaazi. Bernard Wambua, 67, ndiye mwathirika wa hivi punde huku kiwango cha maji Kikipanda
Wakulima Bonde la Kalenga walia na uharibifu wa mazao baada ya mvua kubwa
Baadhi ya wakulima wanaolima katika Bonde la Kalenga mkoani Iringa wameeleza kilio chao...
Sababu Lissu kuomba kuunganishwa kesi ya mali Chadema
Tarehe hiyo ya uamuzi wa maombi hayo imepangwa na Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi leo...
Nsajigwa aanza hesabu za Yanga
BAADA ya kuanza na pointi moja dhidi ya Azam FC, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Shadrack Nsajigwa amesema hesabu zinahamia kwa Yanga kabla ya mchezo wa Kombe la Shirikisho la…
AG awataka watumishi wa umma kulinda taswira ya Serikali
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, amewataka watumishi wa umma kuepuka vitendo...
Ufugaji watajwa chanzo cha magugu maji Ziwa Victoria
Bodi ya Maji ya Bonde la Ziwa Victoria imeeleza kuwa shughuli za kibinadamu, hususan ufugaji...
PM graces the construction of 38.4bn/- Eyasi Basin irrigation scheme
ARUSHA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has today, March 6, 2026, laid the foundation stone for the construction of irrigation schemes in the Eyasi Basin worth 38.4bn/- located in Karatu District,…
Shahidi aeleza alivyokamata vielelezo kesi ya Malisa
Shahidi wa pili wa upande wa Jamhuri katika kesi ya makosa ya kimtandao inayomkabili Mchungaji...
Serikali yataja magari ya umeme muarobaini wa bei ya mafuta
Kwa mujibu wa Serikali, gharama ya kuendesha chombo cha umeme ni nafuu kuliko mafuta. Ametolea...
Kihongosi ataka ujenzi stendi Shinyanga ukamilike, ang’aka mkwamo malipo ya vibarua
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi...
Arusha AICC braces for EAC’s Heads of State Summit
ARUSHA: THE Arusha International Conference Centre (AICC) is set to host the 25th Ordinary Summit of the East African Community (EAC) Heads of State tomorrow, March 7, 2026, to discuss…
Kenya yakabiliwa na uhaba wa chanjo ya watoto wachanga ya Rotavac
Waziri wa Afya Aden Duale amesema kampuni inayotengeneza chanjo hiyo, Bharat Biotech, inakabiliwa na ucheleweshaji wa uzalishaji kutokana na uboreshaji katika vituo vyake. Imechapishwa: 06/03/2026 – 15:03 Dakika 2 Wakati…
Pezeshkian: Iran imesimama kidete katika kujihami, kulinda heshima ya taifa
Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haitasita kuendelea kujihami na kujilinda mkabala wa mashambulizi ya kichokozi ya maadui wa taifa hili.
Kuna kombe linatafutwa
BAADA ya mabingwa mara tatu wa Kombe la Shirikisho la FA, Simba kutoka suluhu (0-0), dhidi ya watani zao wa jadi, Yanga katika mechi ya Ligi Kuu, iliyopigwa Machi 1,…
Tanzania envisions a nationwide implementation of community health projects
DODOMA: THE Tanzanian government has partnered with the Tanzania Health Alliance (THA) to boost the implementation of community health programmes nationwide. The agreement was met in a discussion between the…
Wakuu EAC kuja na jina la Katibu Mkuu, ugumu wa kumpa watajwa
Mkutano wa 25 wa dharura wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
Dharura ya kibinadamu nchini DRC: Kinshasa yaomba dola Bilioni 1.4 kwa mwaka 2026
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imezindua rasmi ombi la dola bilioni 1.4 kwa washirika wake wa kimataifa siku ya Jumatano, Machi 4, huko Kinshasa. Ufadhili huu unalenga kushughulikia…
ATCL seeks to repatriate passengers stranded in the Middle East
DAR ES SALAAM: Tanzania’s national carrier, Air Tanzania Corporation Limited(ATCL), has announced plans to repatriate passengers affected by the suspension of flights to the Middle East following escalating hostilities involving…
Mamake Johana Ng’eno Asema Mwanae Alimtaka Amfanyie sala Kabla Ya Kuabiri Chopa: “Niliomba”
Mamake Ng'eno alikumbuka mazungumzo yake ya mwisho na mwanawe alipomtembelea. Mama aliyevunjika moyo alibaini kwamba alimuomba amfanyie sala kabla ya kuabiri ndege.
Afya: Baadhi ya nchi za Afrika zinakataa kusaini mkataba wa misaada ya pande mbili na Marekani
Nchini Afrika, zaidi ya nchi ishirini zimesaini makubaliano ya pande mbili na Marekani kama sehemu ya “Mkakati wa Afya wa Kimataifa wa – America First.” Programu hii, iliyozinduliwa na utawala…
Dar picks 36 health facilities to pilot maternal, child health services
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has begun to implement an integrated maternal and child health services package in a bid to improve the quality of health services and reduce…
Mkurugenzi Mtendaji TSN asifu mchango wanawake
DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Asha Dachi, amepongeza kuongezeka kwa ushiriki wa wanawake katika nafasi za uongozi na maendeleo ya taifa, akisema mchango…
Afisa wa zamani wa Pentagon: Hatukudhani makombora ya Iran yatakuwa ya kisasa kiasi hiki
Mshauri wa zamani wa Wizara ya Vita ya Marekani (Pentagon) amekiri kuhusu uwezo mkubwa wa makombora ya Iran na udhaifu wa mifumo ya ulinzi wa anga ya Marekani na utawala…
Aliyekataa bao, aliyefunga wafungiwa
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imetoa adhabu kwa klabu, wachezaji na waamuzi kufuatia matukio yaliyojitokeza katika michezo mbalimbali ikiwemo Dabi ya Kariakoo iliyopigwa wikiendi iliyopita, Zanzibar.
TSN hails women’s growing role in the Tanzanian development
DAR ES SALAAM: THE Managing Director of the Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN), Asha Dachi, has commended the growing role of women in leadership and national development, saying their participation…
Araqchi: Yoyote anayeendeleza vita atakwama kwenye kinamasi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika mahojiano yake na mwandishi habari Tom Llamas wa televisheni ya NBC kwamba: Serikali ya Marekani inahusika kikamilifu na umwagaji damu unaoshuhudiwa…
Mapigano Marekani, Israel na Iran yazidi kupanuka
Ni piga nikupige. Ndivyo unavyoweza kuelezea hali ya mambo Mashariki ya Kati ambapo...
William Ruto Awapa Kila Familia ya Wahasiriwa wa Ajali ya Nandi KSh 2 milioni
Rais Ruto aahidi kusaidia familia za wahanga wa ajali ya helikopta ya Nandi, akiwapa KSh 2M kila mmoja na kufadhili masomo ya mtegemezi katika Chuo Kikuu cha Kisii
Msemaji wa IRGC: Silaha mpya za Iran za kukabiliana na uchokozi wa adui Marekani na mzayuni ziko njiani
Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, IRGC ametangaza kuwa mbinu mpya na silaha mpya ziko njiani kuzinduliwa kwa ajili ya kukabiliana na uchokozi wa kijeshi ulioanzishwa na…
Utovu wa nidhamu waigharimu Simba, Yanga yawaponza marefa
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), leo Machi 6...