Video ya Wanawake Wakikuyu Wakisakata Densi Bila Wanaume Kwenye Tamsha la Mataha Yazua Gumzo
Tamasha la Mataha lililofanyika hivi majuzi lilitawaliwa na wanawake, na hivyo kuzua mjadala mtandaoni kuhusu waliko wanaume, uhuru, na kuvunja kanuni za kitamaduni.
Tanzanian traders urged to observe fairness to heighten the business environment
DAR ES SALAAM: LARGE, medium, and small-scale traders have been urged to observe principles of fairness, transparency and integrity in conducting their businesses to ensure a productive and competitive business…
Kimani Ichung’wah Avalia Sare ya Shule ya Alliance Boys na Kurejea Darasani
Kimani Ichung’wah aliwashangaza waliohudhuria sherehe za kutimiza miaka 100 ya Shule ya Upili ya Alliance Boys kwa kuvalia sare ya shule hiyo, akionyesha fahari yake
Lissu avuka kikwazo cha kwanza kesi ya rasilimali Chadema
Lissu naye amewasilisha maombi, akiomba kuunganishwa kwenye kesi hiyo kama mdaawa mwenye masilahi.
“Mabomu yanapiga hadi nyumba zinatetemeka”
Amir ambaye anaishi mjini Tehran anasema wakaazi wengi wa mji huo, wamekuwa wakinunua vyakula kwa wengi ili kuweka akiba.
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi: Tumeanza wimbi la 15 la Opesheni Ahadi ya Kweli-4 dhidi ya kambi za Marekani
Wimbi la 15 la Operesheni Ahadi ya Kweli-4 limeanza kwa jina la msimbo la Yaa Zahra (AS) kwa mashambulizi mseto ya makombora, ndege za kivita zisizo na rubani na operesheni…
Mahama launches Pan-African Court Judicial Year, calls nations to respect court’s rulings
ARUSHA: THE President of Ghana, John Dramani Mahama, who officially launched the 2026 Judicial year for the Pan-African Court in Arusha, has assured all countries on the continent they should…
Araqchi: Iran haina uadui na nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jibu la Iran la kushambulia kambi za kijeshi za Marekani katika baadhi ya nchi za Ghuba…
Wapinzani wa vita waandamana New York kupinga vita vya Trump dhidi ya Iran
Mamia ya wanaharakati wanaopinga vita wamefanya maandamano makubwa huko Manhattan mjini New York wakilaani mashambulizi ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Masauni: Serikali imeimarisha ushirikiano kimataifa
ZANZIBAR: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema serikali imeimarisha ushirikiano wa kimataifa na kutoa mchango mkubwa katika masuala ya kikanda na kimataifa yanayohusu…
Tazama Marehemu Mbunge Johana Ng’eno Alivyojenga Nyumba ya Kifahari Kijijini Emuru Dikirr
Wakenya wamevutiwa na nyumba nzuri ya marehemu Mbunge Johana Nge’no, iliyofichuliwa baada ya kifo chake cha kusikitisha, ikionyesha mchanganyiko wa usanifu wa kisasa
TPA kuwekeza Sh12.1 trilioni kuboresha bandari, kuongeza uwezo wa kupokea shehena
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imepanga kutekeleza miradi ya kimkakati yenye...
Takukuru Mtwara yaokoa mil 15/- AMCOSS
MTWARA: TAASISI ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mtwara imedhibiti upotevu wa zaidi ya Sh milioni 15.3 katika vyama vya msingi vya ushirika AMCOSS mkoani humo. Akizungumza…
Tanzania issues a security alert to its citizens staying in the Middle East
DODOMA: THE Tanzanian government has issued an urgent security advisory to its citizens in the Middle East, warning them to suspend travel, remain indoors where possible and stay clear of…
Kiredio asimulia wanavyoishi Dubai, baada ya mashambulizi
Mtengenezaji maudhui nchini Vicent Njau 'Kiredio'ambaye kwa sasa yupo Dubai, ameeleza hali...
Tanzania unveils a crystal-clear image of electoral process sabotage
GENEVA: THE Tanzanian government has rejected what it described as one-sided and unverified accounts, saying some of the statements refer to incidents that occurred during the October Elections, without naming…
El Mencho azikwa kwenye jeneza la dhahabu, ulinzi mkali
Kiongozi wa genge la dawa za kulevya la Jalisco New Generation, Nemesio Oseguera Cervantes...
Watanzania waishio Mashariki ya Kati watakiwa kufanya haya kujinusuru…
Kwa masuala ya dharura au maelezo zaidi, wizara imewataka raia kuwasiliana na balozi za...
Uchambuzi: Siku ya nne ya mashambulizi, haijabainika vita vinaelekea wapi
Ni vigumu kutabiri jinsi vita vitaisha - lakini wale wanaopigana wanajua jinsi wangependa iwe hivyo.
Johana Ng’eno: Gumzo za WhatsApp zafichua mipango mikubwa ya mbunge Siku 2 kabla ya kuangamia
Gumzo za WhatsApp zilizovuja zilionyesha kuwa marehemu Johana Ng'eno alikuwa amepanga ziara ya kukutana na watu nchini Australia siku mbili tu kabla ya kufa ajalini.
Dar Port Oil Tanks set to end fuel shortages
DAR ES SALAAM: The Oil Receiving and Storage Tanks Construction Project at the Port of Dar es Salaam in Kigamboni is steadily taking shape, marking a significant milestone in the…
Samia Launches Major Oil Storage Project to Boost Dar Port’s Regional Clout
DAR ES SALAAM: President Samia Suluhu Hassan has today laid the foundation stone for the Oil Receiving and 15 Storage Tanks Construction Project at the Port of Dar es Salaam,…
Ndege ya Ronaldo yaondoka Saudi Arabia
Ndege binafsi inayomilikiwa na nyota wa soka wa Ureno, Cristiano Ronaldo, imeruka kutoka Saudi...
George Were: Mfahamu Rubani Mtalaam Aliyeangamia na Johana Ng’eno Kwenye Ajali ya Ndege
Taarifa mpya zinafichua ajali ya helikopta ya rubani George Were, na kusababisha vifo vya watu sita, akiwemo Mbunge Johana Ng’eno. Maarifa kuhusu rubani yaelezwa
Ruth Matete aashiria huenda ana mchumba mzungu, aanika picha yake
Mwanamuziki wa Injili Ruth Matete adokeza Uhusiano Mpya na Mwanaume Mzungu, akishiriki safari yake ya mapenzi na kumbukumbu nzuri za marehemu mumewe.
Ndege ya Ronaldo yaondoka Saudia Arabia
Ndege binafsi inayomilikiwa na nyota wa soka wa Ureno, Cristiano Ronaldo, imeruka kutoka Saudi...
Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa yaonya kuhusu viwango vya juu vya mvua katika siku 7 zijazo
Kenya Met yaonya kuhusu kuongezeka kwa mvua katika kaunti nane kuanzia Machi 3 hadi 9, huku halijoto ya mchana ikiwa zaidi ya 30°C na usiku ikiwa chini ya 10°C.
Wabunge wa Marekani: Netanyahu amemtwisha Trump mpango wake dhidi ya Iran
Mtandao wa The Hill umewanukuu wabunge waandamizi wa vyama vyote viwili vikubwa vya Marekani, Democtatic na Republican, wakisema kuwa uamuzi wa Donald Trump wa kuanzisha vita dhidi ya Iran umechukuliwa…
FCC kuongeza uelewa haki, wajibu
DAR ES SALAAM: TUME ya Ushindani (FCC) imetangaza kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Haki ya Mlaji Duniani kwa kuendesha kampeni maalumu ya utoaji elimu kwa walaji na wafanyabiashara ili kuongeza…
Zali la Tom and Jerry lilivyomdondokea Scott Bradley
Moja ya katuni inayokubalika wakati wote ni ‘Tom and Jerry’. Mbali na maudhui yake kuwavutia...
Waziri Mkuu apokea kero 305 Mbulu, aagiza mfumo wa uwajibikaji kila mwezi
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amepokea jumla ya kero na hoja 305 kutoka kwa wananchi wa...
Vituo 23 vya kukusanyia maziwa vyazinduliwa
KAGERA: Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), na Serikali imezindua rasmi vituo 23 vya kukusanyia maziwa (Milk Collection Centers – MCCs) vilivyojengwa na kuboreshwa kupitia Mradi Shirikishi wa Wasindikaji…
Barrick, UDSM build new generation of mining professionals
DAR ES SALAAM: IN a decisive move to strengthen Tanzania’s extractive industry, Barrick Mining Corporation in Tanzania has launched a specialised capacity-building programme at the University of Dar es Salaam…
‘Timely public information key to crime prevention’
ZANZIBAR: DEPUTY Minister for Home Affairs Mr Ayoub Mohamed Mahmoud has underscored the importance of citizens cooperating closely with security agencies, by providing timely and accurate information on criminal activities…
Ownership row over prime Mbezi yard goes to tribunal
DAR ES SALAAM: A DISPUTE over ownership of an 8,216-squaremetre yard valued at more than 250m/- and previously owned by the late Simba SC figure, Zacharia Hans Poppe, has been…
Charlene Ruto na Ida Odinga Wakutana Katika Shule Yao ya Zamani ya Moi Girls Eldoret
Charlene Ruto na Mama Ida Odinga walikutana tena katika hafla ya Shule ya Upili ya Wasichana ya Moi, kusherehekea alma mater yao na kuunga mkono taasisi hiyo.
PM warns against seizure of traders’ goods
MANYARA: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has directed government officials to immediately cease the confiscation of equipment belonging to smallscale entrepreneurs, warning that such actions stifle economic empowerment and destroy…
Tunduru: Tanzania’s hidden treasure trove of gems and gold
RUVUMA: Tunduru District in Tanzania’s Ruvuma Region is a renowned, high-value gemproducing area known for diverse alluvial deposits, particularly sapphires, rubies, and exotic stones like alexandrite, chrysoberyl, and garnets. Other…
Mkasa wa Nandi: Mama ya mwalimu aliyefariki katika ajali ya helikopta aelezea alichokuwa ameahidiwa
Familia zinaendelea kuomboleza baada ya mkasa wa helikopta huko Nandi. Robert Keter, almaarufu Mwalimu Carlos, alimwachia mamake, Grace Mutai ahadi kubwa.
One mission, combating terrorism and transnational crime together
DAR ES SALAAM: IN an era marked by increasingly complex security challenges, the message delivered in Arusha at the 4th Session of the Tanzania-Zambia Joint Permanent Commission (JPC) on Defence…
DRC: AFC/M23 yadai kuhusika na shambulio kwenye uwanja wa ndege wa Kisangani
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, waasi wa AFC/M23 wamedai kuhusika katika taarifa ya shambulio la ndege zisizo na rubani zilizolenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bangboka katika…
DSE weekly activities decline
DAR ES SALAAM: THE Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) recorded a drop in activities during the week, with a lower turnover compared to the previous week. Equity turnover amounted…
NEVER AGAIN: Youth urged to guard Tanzania’s peace
DAR ES SALAAM: YOUTH, leaders and analysts have called on young people to become guardians of national calm, warning that violence, hate and division have no place in a country…
Mwanamume Adaiwa Kumnyonga Mkewe Hospitalini Muda Mfupi Baada ya Kujifungua
Mwanamume mmmoja anadaiwa kumpiga risasi na kumuua mkewe muda mfupi baada ya kujifungua mwanao. Baadaye alijiua, na kumwacha mwanao mchanga yatima.
Wamarekani wahimizwa kuondoka Mashariki ya Kati
Katika siku ya tatu ya mapigano kati ya Iran, Israel, na Marekani, milipuko, roketi, na mashambulizi ya anga yameongezeka katika eneo hilo. Israel ilitangaza siku ya Jumatatu, Machi 2, kwamba…
Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta yafanya upasuaji wa kihistoria kwa njiti mwenye moyo ulioziba
Mama wa mapacha aliruhusiwa kutoka Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta baada ya njiti wake kuandika historia kwa upasuaji wa kwanza wa puto wa pulmona Kenya.
Mpango mbadala waja kukabili upungufu madarasa
GEITA: MKOA wa Geita umeazimia kushirikisha wadau wa sekta ya elimu kuchangia ujenzi wa miundombinu kama mpango mbadala wa kukabili upungufu wa madarasa ifikapo mwaka 2028. Aidha mkoa umeazimia kufanya…
China’s zero-tariff opportunity for African economies
DAR ES SALAAM: CHINA’S decision to waive tariffs on African exports to the Chinese market is a significant and timely benefit and an opportunity for African countries to grow their…
Threshing a new future: Tanzania’s quiet agro-tech revolution
DAR ES SALAAM: NOT all earth-shattering things begin with the clarion call of wise men from the East; some creep in stealthily without anyone noticing. Post-harvest loss is one of…
Tanzania’s capital market finds its momentum
DAR ES SALAAM: THE story of a market is often written in numbers, but sometimes, it is written in energy. Last week, as conversations buzzed and ideas collided, one could…