Siku ya pili ya kikao kuhusu Duterte huko ICC
Leo ni siku ya pili ya kikao cha majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, (ICC) huko The Hague Uholanzi cha kuthibitisha iwapo kuna ushahidi wa kutosha wa kumfikisha mahakama…
Ukraine yaingia mwaka wa 5 wa vita: Mashambulizi na kuhama makazi vyaongeza mateso
Katika kumbukizi ya kutimia miaka minne tangu uvamizi kamili wa Urusi dhidi ya Ukraine, maafisa wa Umoja wa Mataifa wametathmini madhara makubwa ya kibinadamu na kiuchumi ya mzozo huo huku…
Tanzania decorates EWURA at Water Sector Excellence Gala
ARUSHA: THE Ministry of Water has presented an award to the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) in recognition of its contribution to the oversight of Water Supply and…
EACOP Project hailed for prioritizing environmental conservation
TANGA: THE East African Crude Oil Pipeline (EACOP) project has been praised for prioritising environmental conservation at all stages of the project’s implementation, particularly the protection of biodiversity in all…
Kesi ya Lissu yasimama, yahamia Mahakama ya Rufaa
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu sasa imehamia Mahakama ya Rufani.
Iraq yamueleza mjumbe wa Marekani: Uundaji wa serikali ni ‘suala letu la ndani’
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq, Fuad Hussein amesema, uundaji wa serikali mpya ya nchi hiyo ni "suala la ndani," ukiwa ni mjibizo uliotolewa wiki chache baada ya Marekani…
Droo 32 Bora CRDB Cup yapangwa, ugumu upo hapa
FURSA ya bingwa wa Kombe la Shirikisho (FA) kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, imetajwa kuongeza ugumu na ushindani mkali wa hatua ya 32 bora, mechi zinazotarajiwa kuchezwa Machi…
Droo 32 Bora CRDB Cup yapangwa, ugumu upo hapa
FURSA ya bingwa wa Kombe la Shirikisho (FA) kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, imetajwa kuongeza ugumu na ushindani mkali wa hatua ya 32 bora, mechi zinazotarajiwa kuchezwa Machi…
Mwanawe Robert Mugabe Ashtakiwa na Mauaji ya Mtunza Bustani kwa Kumpiga Risasi
Chatunga Mugabe, mwanawe rais wa zamani wa Zimbabwe, alikabiliwa na mashtaka ya kujaribu kuua baada ya kudaiwa kumpiga risasi mtunza bustani wakati wa makabiliano
Ngome mpya ya ulinzi yazinduliwa Dodoma, ujenzi kugharimu Sh318 bilioni
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jacob Mkunda, amesema ujenzi wa makao makuu mapya ya Wizara ya...
Kamanda Muliro atoa kauli kuhusu ZCO Mafwele
Wakati kukiwa na sintofahamu ya ukweli wa alipo Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kanda...
Tanzania, CRDB Bank agree to help local miners access financial services
DAR ES SALAAM: IN a landmark move set to transform Tanzania’s mining sector, the Ministry of Minerals, through the Mining Commission, on Monday, February 23, 2026, signed a Special Agreement…
Iran kutuma nusu ya hifadhi yake ya Urani nje ya taifa hilo na kuyeyusha iliyosalia- Reuters
Ingawa Iran inasema wamepiga hatua katika mazungumzo, Marekani imekuwa ikiongeza nguvu zake za kijeshi Mashariki ya kati kwa kutuma meli na ndege za kivita.
Turkish firms affirm readiness to invest in the Tanzanian cotton industry
ISTANBUL: THE Turkish textile stakeholders expressed their readiness to undertake a working visit to Tanzania to explore investment prospects, the cotton market, and potential partnerships with local industries for mutual…
Israel imepeleka Ghaza maboksi yenye mafuvu na miili iliyonyofolewa ya wanawake Wapalestina
Mbunge wa kujitegemea, ambaye pia ni kiongozi wa zamani wa chama cha Leba nchini Uingereza Jeremy Corbyn, ametoa simulizi za kutisha zilizotokana na maelezo ya mkurugenzi wa Hospitali ya Al-Shifa…
Mwana wa Rais wa Uganda amuita ‘Hitler’ kiongozi wa RSF aliyekutana na baba yake hivi karibuni
Mwana mtatanishi wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye ni mkuu wa majeshi ya nchi hiyo Muhoozi Kainerugaba ametoa matamshi yasiyo ya kawaida katika kumshambulia kiongozi wa wanamgambo wa Sudan…
Netanyahu kuunda ‘muungano’ utakaoshirikisha Waarabu kukabiliana na mihimili ya Sunni na Shia
Waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amesema juhudi zinaendelea kufanywa za kuunda kile alichokielezea kama "muungano" wa kikanda wa kukabiliana na kile alichokiita "mihimili ya Sunni…
Afrika Kusini: Tutafuta zaidi ya viza 2,000 zilizotolewa kupitia mitandao ya rushwa
Afrika Kusini inajiandaa kufuta zaidi ya viza 2,000 ambazo zimepatikana kwa njia isiyo sahihi, huku serikali ikiendesha msako mkali wa kupambana na rushwa ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani.
Babu Owino Amwanika Mhuni Aliyelipwa na Serikali Kumvamia
Babu Owino anazidisha shutuma dhidi ya PS Raymond Omollo, akidai wahuni walitatiza mikutano ya Linda Mwananchi, huku kukiwa na fujo na visa vya vurugu.
Kihenzile graces the opening of the 500m/-Makungu Health Centre
IRINGA: The Member of Parliament for Mufindi South Constituency and Deputy Minister for Transport, David Kihenzile, has inaugurated the Makungu Ward Health Centre in Mufindi District Council, Iringa, constructed at…
Volodymyr Zelensky ahimiza Umoja wa Ulaya kuweka tarehe ya Ukraine kujiunga EU
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameuhimiza Umoja wa Ulaya siku ya Jumanne kuweka tarehe ya nchi yake kujiunga na umoja huo, katika hotuba ya video kwa Bunge la Ulaya siku…
Yanga, Simba zapishana raundi mbili Kombe la CRDB
Vigogo viwili vya soka Tanzania, Yanga na Simba hazitokutana katika raundi ya 32 bora na 16...
Waziri Mkuu ameonesha njia viongozi, watendaji waifuate
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameendelea na ziara zinazoambatana na mikutano ya hadhara katika mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha. Ziara hizo zilizoanza tangu Februari 13, mwaka huu zimeonesha taswira…
Gyokeres ameanza kuwaliza
ENGLAND: Mabao mawili aliyofunga dhidi ya ‘Spurs’ yanamfanya mshambuliaji wa Arsenal, Viktor Gyokeres kuwa wenye mabao mengi kuliko mchezaji yoyote Ligi Kuu ya England kwa mwaka 2026 katika michuano yote.…
Data is already shaping Tanzania’s economy
DAR ES SALAAM: BANKS track customer behaviour in real time. Telecom companies analyse usage patterns every hour. Insurance firms price risk based on claims history. Retailers monitor stock movement daily.…
Maagizo sita ya Dk Mwigulu kwa Wizara ya Maji
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, ametoa maagizo sita kwa Wizara ya Maji akisisitiza...
Waziri Sangu asisitiza usalama, afya migodini
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Uhusiano), Deus Sangu amezindua kampeni ya...
Mwanaume Mkenya Aaanika Jinsi Wengi Wanadanganywa Kujiunga na vita vya Urusi
Mwanamume mmoja Mkenya amesimulia jinsi alivyolaghaiwa kupigania Urusi nchini Ukraine, akinusurika jeraha kabla ya kurejea nyumbani kwa usaidizi wa Mrusi mkarimu.
Tanzania, Zambia resolve non-tariff barriers at their border post
TUNDUMA: FIVE out of ten non-tariff barriers that had been causing heavy truck congestion and inconvenience to traders and transporters at the Tunduma/Nakonde border have been resolved through joint efforts…
Tanzanians have spoken, enough is enough
DAR ES SALAAM: WHEN Tanzanians went to the polls on October 29 this year, many did so with a sense of civic duty and hope that the democratic process would…
TANROADS, TARURA Kagera wateta na wadau wa barabara
KAGERA; WAKALA wa Barabara (TANROADS) na wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (Tarura), wamekutana na wadau mbalimbali wa barabara wakiwemo wabunge mkoani Kagera. Kikao hicho kilikuwa maalumu kwa ajili…
Reasons for Tanzanian farmers’ poverty extended
DAR ES SALAAM: IN last week’s discussion, we attempted to delve into this important subject, highlighting some of the reasons behind the unfavourable conditions facing our farmers. It should be…
Robert Mugabe’s son charged with attempted murder in South Africa
The youngest son of Zimbabwe’s late former President Robert Mugabe has been formally charged with attempted murder at a brief appearance in a South African court. Bellarmine Mugabe, 28, was…
Mwanamuziki Willy Paul Arejea Kwenye Tasnia ya Injili Baada ya Kutoroka Miaka Nyingi
Mwanamuziki Willy Paul aliacha tasnia ya injili kwa ajili ya kilimwengu na akaendelea kufanya vyema. Hata hivyo anafikiria kurejea kanisani na kueneza injili.
Jengo la bil 2/- kusaidia watoto njiti Kwimba
MWANZA: TAASISI ya Doris Mollel imefanikisha ujenzi wa jengo jipya la kisasa maalumu kwa ajili ya kutoa huduma bora kwa watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) lililopo katika Hospitali ya…
Dodoma Jiji yaipiga mkwara Simba, Barker ajibu mapigo
Licha ya historia mbaya ambayo imekuwa nayo dhidi ya Simba, Dodoma Jiji FC imetamba kuwa haina...
Chad shuts border with Sudan in bid to stop conflict spreading
CHAD: Chad closed its eastern border with Sudan “until further notice” on Monday saying the move was needed to stop repeated incursions by Sudanese armed groups. A government spokesperson said…
‘Kilimo kinahitaji uwekezaji wa kutosha’
MOROGORO: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, sekta ya kilimo inahitaji uwekezaji wa…
CRDB yaja na dhamana mbadala wachimbaji madini
SERIKALI kupitia Tume ya Madini, Benki ya CRDB na wachimbaji wadogo wamesaini mpango maalumu wa mikopo kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu. Wakati wa kusainiwa makubaliano hayo Dar es Salaam, Mkurugenzi…
Kwa nini waziri mkuu wa zamani wa Israel anaziona silaha za nyuklia za Pakistan kuwa “tishio”?
Siku chache zilizopita, Bw. Bennett alidai katika hotuba yake kwamba mhimili mpya unaundwa katika eneo hilo, ikiwa ni pamoja na Uturuki, Qatar, Muslim Brotherhood, na Pakistan yenye silaha za nyuklia.
Targeted reforms could secure higher Moody’s rating
DAR ES SLAAM: MOODY’S Investors Service upheld the country’s stable outlook and confirmed its long-term foreign and local currency issuer ratings at B1 on February 20, 2026. This indicates consistency…
Wasimamizi uchaguzi mdogo Mbozi wanolewa, wakumbushwa uadilifu
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari amewataka...
Maajabu ya Ketrai Damaris Afichua kuwa Anachumbiana na Fundi Wake wa Gari
Mwigizaji Ketrai Damaris anazua uvumi kuhusu uhusiano wake na mekanika Kaka Odhiambo, huku wakishiriki matukio ya karibu na kukumbana na maoni tofauti mtandaoni.
Mexico sends thousands of soldiers to stop violence after death of drug lord
MEXICO: Mexico has deployed thousands of soldiers to bolster security, the country’s security minister has said, after a wave of violence erupted following the death of a powerful drug lord.…
Yanga, Simba coaches want more clinical edge despite wins
DAR ES SALAAM: DESPITE securing vital points on the road, the tactical heads of Young Africans SC (Yanga) and Simba SC were left to rue their teams’ profligate finishing, lamenting…
Maxime targets defensive improvement after first win
DAR ES SALAAM: MBEYA City FC Head Coach Mecky Maxime has set his sights on bolstering his team’s defence, which has been conceding goals in the ongoing Tanzania Mainland Premier…
Samia hails Geay’s triumph
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has congratulated marathoners Gabriel Geay and Emmanuel Dinday following their podium finishes at the 2026 Daegu Marathon in South Korea. Gabriel Geay made…
Namna ya kukabiliana na homa, mafua ya msimu
Kufuatia kuzuka kwa ugonjwa wa mafua makali, homa na kikohozi, wakazi wa Jiji la Dodoma...
East Africa’s fight for the intelligence economy
DAR ES SALAAM: THE global technology sector in early 2026 is defined by a brutal, unprecedented paradox. We are witnessing the greatest wealth transfer in modern history, characterised by trillion-dollar…
Writers told to digitise books as Tanzania expands online library
ZANZIBAR: WRITERS and academic publishers in Tanzania have been encouraged to register their works with the national e-library to secure international protection and expand their global reach. Speaking at the…