Skip to content
  • Wed. Jul 15th, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

Ufaransa yafungua milango yake kwa nchi 13 kuingia bila visa, taifa moja tu la Afrika lanufaika FIFA yazua utata kwa kuvunja sheria zake katika fainali ya Kombe la Dunia 2026 Serikali yataka wanahabari kuhamasisha nishati safi ya kupikia Iran yapinga madai ya Trump, yasema hakuna mazungumzo ya moja kwa moja yaliyofanyika na Marekani Jinsi uamuzi wa Dangote wa kuuza mafuta kwa kutumia dola utakavyokuathiri
TUKO SWAHILI NEWS

Ufaransa yafungua milango yake kwa nchi 13 kuingia bila visa, taifa moja tu la Afrika lanufaika

July 15, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

FIFA yazua utata kwa kuvunja sheria zake katika fainali ya Kombe la Dunia 2026

July 15, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

Serikali yataka wanahabari kuhamasisha nishati safi ya kupikia

July 15, 2026 mjombazecoder
HABARI ZA KIPEKEE

Iran yapinga madai ya Trump, yasema hakuna mazungumzo ya moja kwa moja yaliyofanyika na Marekani

July 15, 2026 mjombazecoder
IDHAA YA DUNIA

Jinsi uamuzi wa Dangote wa kuuza mafuta kwa kutumia dola utakavyokuathiri

July 15, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Ufaransa yafungua milango yake kwa nchi 13 kuingia bila visa, taifa moja tu la Afrika lanufaika
TUKO SWAHILI NEWS
Ufaransa yafungua milango yake kwa nchi 13 kuingia bila visa, taifa moja tu la Afrika lanufaika
FIFA yazua utata kwa kuvunja sheria zake katika fainali ya Kombe la Dunia 2026
TUKO SWAHILI NEWS
FIFA yazua utata kwa kuvunja sheria zake katika fainali ya Kombe la Dunia 2026
Serikali yataka wanahabari kuhamasisha nishati safi ya kupikia
HABARILEO
Serikali yataka wanahabari kuhamasisha nishati safi ya kupikia
Iran yapinga madai ya Trump, yasema hakuna mazungumzo ya moja kwa moja yaliyofanyika na Marekani
HABARI ZA KIPEKEE
Iran yapinga madai ya Trump, yasema hakuna mazungumzo ya moja kwa moja yaliyofanyika na Marekani
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
LTV ENGLISH NEWS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
HABARILEO
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva kufanyika Mlimani City
MWANANCHI
Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva kufanyika Mlimani City
Ufaransa yafungua milango yake kwa nchi 13 kuingia bila visa, taifa moja tu la Afrika lanufaika
TUKO SWAHILI NEWS
Ufaransa yafungua milango yake kwa nchi 13 kuingia bila visa, taifa moja tu la Afrika lanufaika
FIFA yazua utata kwa kuvunja sheria zake katika fainali ya Kombe la Dunia 2026
TUKO SWAHILI NEWS
FIFA yazua utata kwa kuvunja sheria zake katika fainali ya Kombe la Dunia 2026
Serikali yataka wanahabari kuhamasisha nishati safi ya kupikia
HABARILEO
Serikali yataka wanahabari kuhamasisha nishati safi ya kupikia
Iran yapinga madai ya Trump, yasema hakuna mazungumzo ya moja kwa moja yaliyofanyika na Marekani
HABARI ZA KIPEKEE
Iran yapinga madai ya Trump, yasema hakuna mazungumzo ya moja kwa moja yaliyofanyika na Marekani
TUKO SWAHILI NEWS

Baba Mzazi wa mchezaji wa Kakamega Homeboyz anayedaiwa kuuawa na kakake asimulia tukio la kutisha

February 6, 2026 mjombazecoder

Mchezaji wa Kakamega Homeboyz Silas Abungana alifariki kufuatia mzozo na mdogo wake. Mashabiki na familia yake wanaomboleza kifo chake na wanakumbuka kipaji chake.

MWANANCHI

Mechi za mahesabu Ligi Kuu Bara

February 6, 2026 mjombazecoder

Leo Ijumaa, kuna mechi mbili za Ligi Kuu Bara zinapigwa zikikutanisha timu ambazo hazina...

MWANANCHI

Ocean Road yajivunia mafanikio ya utoaji huduma kwa miaka 30

February 6, 2026 mjombazecoder

Mpaka sasa ORCI imeikisha miaka 30 tangu kuanzishwa kwake na katika maadhimisha hayo...

HABARI ZA KIPEKEE

Araghchi: Iran inaingia kwenye mazungumzo ‘ikiwa makini’

February 6, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesema Tehran inaingia katika duru mpya ya mazungmzo ya kidiplomasia na Marekani ikiwa hadhiri, makini kabisa na "kwa macho yaliyo…

ASTV TANZANIA

Mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika wikiendi hii

February 6, 2026 mjombazecoder

Mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika wikiendi hii. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #CAFCL #AzamTVSports

HABARI ZA KIPEKEE

Euro-Med Monitor: EU ni mshiriki wa mauaji ya kimbari Gaza

February 6, 2026 mjombazecoder

Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Mediteranean Human Rights Monitor (Euro-Med Monitor) lenye makao yake makuu huko Geneva, Uswisi limekosoa vikali msimamo wa Umoja wa Ulaya kwa kuweka masharti…

HABARI ZA KIPEKEE

AU, UN zalaani mashambulizi ya kigaidi yaliyoua 170 Nigeria

February 6, 2026 mjombazecoder

Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na nchi mbali mbali duniani sambamba na kutoa salamu za rambirambi, zimelaani vikali mashambulizi ya kigaidi yaliyoua watu wasiopungua 170 magharibi mwa Nigeria.

HABARI ZA KIPEKEE

Trump apinga wito wa Putin wa kurefusha muda wa Mkataba wa New START

February 6, 2026 mjombazecoder

Rais wa Marekani, Donald Trump amepinga pendekezo la Rais wa Russia, Vladimir Putin la kuongezwa kwa khiari muda wa Mkataba wa New START, unaoweka mipaka ya silaha za nyuklia, ambao…

HABARI ZA KIPEKEE

HRW: Hali ya haki za binadamu Kenya imeendelea kutia wasiwasi

February 6, 2026 mjombazecoder

Ripoti mpya ya shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) inaonyesha kuwa, hali ya haki za binadamu nchini Kenya ilidorora mwaka uliopita, huku serikali ikikosolewa vikali…

MWANANCHI

Wanafunzi CBE, IAA kujengewa uwezo unaokidhi soko la ajira kimataifa

February 6, 2026 mjombazecoder

Ushirikiano huo unatambua maendeleo ya Tanzania yanayohitaji wahitimu wenye uwezo wa kutumia...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Mkutano muhimu wa madini Washington: Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia kwa DRC?

February 6, 2026 mjombazecoder

Mkutano wa mawaziri kuhusu madini muhimu na ardhi adimu ulifanyika Washington Jumatano, Februari 4. Lengo la Trump lililotajwa: kushindana na China na kupata madii hayo. Mapema wiki hii, rais wa…

MWANANCHI

Tabora yapokea vifaa vya Sh25 milioni kuboresha tathmini ya lishe kwa vijana

February 6, 2026 mjombazecoder

Serikali ya Mkoa wa Tabora imepokea vifaa vya kufanyia tathmini ya hali ya lishe kwa vijana...

ASTV TANZANIA

Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 6, 2026 kwenye

February 6, 2026 mjombazecoder

Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 6, 2026 kwenye #Moorning Trumpet #UTV108 #AzamTVUpdates

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Sudan Kusini: Save the Children yasitisha shughuli zake mashariki mwa nchi

February 6, 2026 mjombazecoder

Baada ya Shirik la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani, Save the Children pia imesitisha shughuli zake mashariki mwa Sudan Kusini, kuanzia siku ya Alhamisi. Shirika hilo lisilo…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

China yaimarisha uhusiano wa biashara na Afrika Kusini

February 6, 2026 mjombazecoder

Kutokana na sera ngumu za biashara za Marekani, Pretoria inaharakisha mpango wake kuelekea Beijing. Afrika Kusini inajiandaa kusaini makubaliano na China kutoa ufikiaji usiotozwa ushuru kwa baadhi ya bidhaa zake…

TUKO SWAHILI NEWS

Mtwapa: CCTV yaonyesha tukio la kutisha mfanyabiashara akihangaishwa na majambazi 2:30am

February 6, 2026 mjombazecoder

Picha za CCTV zinaonyesha tukio la kutisha ambapo mfanyabiashara eneo la Mtwapa alikabiliana na majambazi wenye silaha majira ya 2:30am. Alipiga nduru.

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Marekani na Iran waanza mazungumzo nchini Oman huku kukiwa na muktadha wa kisiasa wenye mvutano

February 6, 2026 mjombazecoder

Iran na Marekani zinaanza mazungumzo nchini Oman mnamo Februari 6 ambapo Tehran inataka kupunguza asilimia kidogo kwa mpango wake wa nyuklia, huku Washington ikiacha wazi tishio la hatua za kijeshi…

TUKO SWAHILI NEWS

Mtaalamu Kuhusu nyoka ataja ishara 4 zitakazokwambia nyoka anaishi nawe kisiri ndani ya nyumba

February 6, 2026 mjombazecoder

Dk. Mark Ofua amefichua ishara nne utakazoangalia kufahamu ikiwa nyoka amejificha ndani ya nyumba yako. Hali yao ya ukimya huenda ukaishi naye muda mrefu bila kujua

MWANANCHI

KONA YA MSTAAFU: Watoto, vijana, wanawake wamepata wizara, wastaafu wamesahaulika

February 6, 2026 mjombazecoder

Miongoni mwa wizara nyingi ambazo Seri-kali yetu hii imeunda ili kuisaidia nchi kupiga hatua...

MWANANCHI

Taka za kielektroniki hatari iliyojificha kwa afya ya jamii

February 6, 2026 mjombazecoder

Utafiti wa Mwananchi umebaini kuwa jamii haina uelewa wa kutosha kuhusu madhara ya taka za...

MWANANCHI

KONA YA MSTAAFU: Watoto, vijana, wanawake wamepatawizara, wastaafu wamesahaulika

February 6, 2026 mjombazecoder

Miongoni mwa wizara nyingi ambazo Seri-kali yetu hii imeunda ili kuisaidia nchi kupiga hatua...

TUKO SWAHILI NEWS

Fujo ODM: Ruth Odinga aashiria Oburu hana pesa, ashangaa chanzo cha fedha za kampeni ya Linda Ground

February 6, 2026 mjombazecoder

Migogoro inazidi kuongezeka katika ODM huku Ruth Odinga akitetea maoni ya Katibu Mkuu Sifuna kuhusu MoU na Ruto, akihoji vyanzo vya ufadhili wa mikutano ya chama.

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Ghana: Meli za uvuvi za viwandani zinahatarisha wavuvi wa eneo hilo, kulingana na ripoti

February 6, 2026 mjombazecoder

Nchini Ghana, shughuli za meli za uvuvi, zinazoendeshwa zaidi na makampuni ya Kichina, zinahatarisha wavuvi wa jadi, kulingana na ripoti ya Wakfu wa Haki za Mazingira. Tatizo hili linatokana hasa…

IDHAA YA DUNIA

Kwa nini bei Bitcoin imeporomoka tangu Trump aliporejea madarakani?

February 6, 2026 mjombazecoder

Thamani ya sarafu hiyo ilipanda kwa kiwango kikubwa huku bei yake ikiongezeka na kufikia takriban dola 122,200 Oktoba. lakini sasa bei yak e inashuka kwa kiwango cha kushangaza.

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Niger: JNIM yadai kuhusika na shambulio katika mkoa wa Tillabéri

February 6, 2026 mjombazecoder

Nchini Niger, kuna shambulio lilitokea katika mkoa wa Tillabéri siku ya Jumatano, Februari 4. Washambuliaji walilenga kambi ya vikosi vya ulinzi na usalama vya Niger huko Makalondi, kilomita 90 kutoka…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Burkina Faso: Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa UM akosoa kuvunjwa kwa vyama vya siasa

February 6, 2026 mjombazecoder

Ofisi ya Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa imejibu kuhusu kufutwa kwa vyama vya siasa nchini Burkina Faso, uamuzi uliofanywa na utawala wa kijeshi unaotawala. Katika…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Congo-Brazzaville: Denis Sassou-Nguesso atangaza kugombea katika uchaguzi wa urais

February 6, 2026 mjombazecoder

Rais wa Congo anayemaliza muda wake Denis Sassou-Nguesso, 82, atagombea tena uchaguzi wa Machi 15. Ametangaza kugombea kwake mwenyewe siku ya Alhamisi, Februari 5, huko Bambou Mingali, yapata kilomita 60…

DW SWAHILI

Mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran kuanza Oman

February 6, 2026 mjombazecoder

Marekani na Iran zinakutana Ijumaa mjini Muscat nchini Oman kwa mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran. Ajenda kamili ya mkutano huo haijabainika bado, lakini Iran inataka vikwazo vijadiliwe.

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Paul Kagame ajibu vitisho vya vikwazo vya kimataifa dhidi ya Rwanda

February 6, 2026 mjombazecoder

Rwanda imefungua Mazungumzo yake ya kitaifa siku ya Alhamisi, Februari 5, jukwaa linalofanyika kila baada ya miaka miwili. Katika sherehe ya ufunguzi, Rais Paul Kagame, katika hotuba yake kwa taifa,…

MWANANCHI

Wagonjwa wanavyoteseka vitengo vya dharura hospitalini

February 6, 2026 mjombazecoder

Ni dakika za kuhesabu uhai. Umempeleka mgonjwa, amepata dharura au ajali, lakini wahudumu...

MWANANCHI

Siri za kiafya kwenye nywele za kwapa

February 6, 2026 mjombazecoder

Makala inajadili kwa undani faida za nywele za kwapa na kwa nini zinapaswa kutunzwa badala ya...

MWANANCHI

Tunaukaribishaje Mwezi Mtukufu wa Ramadhani?

February 6, 2026 mjombazecoder

Muislamu, ajitahidi kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa njia sahihi kama kuwa na nia ya...

DW SWAHILI

Ujerumani kuimarisha mashirikiano ya ulinzi na nchi za Ghuba

February 6, 2026 mjombazecoder

Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz ameahidi kushirikiana kwa karibu na nchi za Ghuba katika masuala ya ulinzi. Merz anaendelea na ziara yake ya kwanza katika eneo la Ghuba.

DW SWAHILI

Kagame ahimiza kujitegemea huku miito ya ikwazo ikiongezeka

February 6, 2026 mjombazecoder

Rais wa Rwanda Paul Kagame ameihimiza nchi yake kujitegemea zaidi. Wito wake unakuja huku miito ikiongeza ya kuwekewa vikwazo na Marekani kuhusiana na kujihusisha na vita vya Kongo.

DW SWAHILI

Njaa yaenea katika eneo la Darfur nchini Sudan

February 6, 2026 mjombazecoder

Wtaalamu wametahadharisha juu ya kuenea kwa njaa katika jimbo la Darfur nchini Sudan, huku mapigano kati ya wanajeshi wa serikali na wapiganaji yakiwalazimu maalfu kuyakimbia makazi yao.

IDHAA YA DUNIA

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa: Juventus inamfukuzia Sandro Tonali Newcastle United

February 6, 2026 mjombazecoder

Kiungo wa kati wa Newcastle United Sandro Tonali analengwa na Juventus, Cristiano Ronaldo ana kipengele cha kuachiliwa katika mkataba wake na Al-Nassr na Napoli kuufanya mazungumzo ya kuongeza mkataba wa…

IDHAA YA DUNIA

Mazungumzo ya Marekani na Iran kuanza huku kukiwa na hofu ya kutokea kwa mzozo wa kijeshi

February 6, 2026 mjombazecoder

Nchi zote mbili bado zina misimamo yao. Matumaini ni kwamba, ikiwa zitafanikiwa, majadiliano yanaweza kuchochea mazungumzo.

HABARI ZA KIPEKEE

Meja Jenerali Mousavi: Tumeimarisha uwezo wa makombora yetu

February 6, 2026 mjombazecoder

Afisa mwandamizi wa Jeshi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imeimarisha mifumo yake ya kujilinda kwa kuboresha makombora ya balestiki yaliyotengenezwa ndani ya nchi.

IDHAA YA DUNIA

‘Shujaa wa vita’ wa Urusi aliyetoroka: ‘Nilijipiga risasi na watu wangu ili tuondoke Ukraine’

February 6, 2026 mjombazecoder

Afisa mmoja wa Urusi aliyewahi kuonyeshwa kama shujaa wa vita anasema kukata tamaa na hofu ya kurudishwa Ukraine ilimsukuma kuwajeruhi watu wake na yeye mwenyewe ili kutoroka mstari wa mbele.

HABARI ZA KIPEKEE

Hamas yalaani mashambulizi ya Israel Ukanda wa Gaza; Netanyahu amekusudia kukwamisha mapatano

February 6, 2026 mjombazecoder

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelaani mashambulizi makubwa ya anga ya Israel katika Ukanda wa Gaza yaliyouwa shahidi Wapalestina 23 tangu ustishaji vita wa Oktoba mwaka jana…

HABARI ZA KIPEKEE

Watu 22 wauawa katika shambulio la RSF katika hospitali ya kijeshi Kordofan Kusini

February 6, 2026 mjombazecoder

Watu wasiopungua 22 wakiwemo wahudumu 4 wa sekta ya afya wameuawa na wengine wawane kujeruhiwa baada ya wanangambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) jana kuishambulia hospitali ya jeshi…

HABARI ZA KIPEKEE

Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil: Uanzishwe mfumo mpya wa kimataifa kupitia marekebisho ya Umoja wa Mataifa

February 6, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil, Mauro Vieira, amesisitiza haja ya kuanzishwa mfumo mpya wa kimataifa unaotegemea marekebisho ya mashirika ya kimataifa yaliyopo, ikiwa ni pamoja na Umoja wa…

HABARI ZA KIPEKEE

UN: ISIS inasasisha mbinu zake na kuzidisha vitishio tangu katikati ya 2025

February 6, 2026 mjombazecoder

Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu kile ulichokielezea kama ongezeko la vitishio vya kundi la Daesh (ISIS) tangu katikati ya mwaka jana, ukieleza kuwa kundi hilo limekuwa "tata zaidi".

HABARI ZA KIPEKEE

Vita vya kieneo ni nini na ni vya aina gani?

February 6, 2026 mjombazecoder

Je, nini maana ya vita vya kieneo na ni vya aina gani?

HABARI ZA KIPEKEE

Ijumaa, tarehe 6 Februari, 2026

February 6, 2026 mjombazecoder

Leo ni Ijumaa tarehe 17 Sha'bani 1447 Hijria, sawa na Februari 6 mwaka 2026.

DW SWAHILI

Mazungumzo kuhusu amani ya Ukraine yakamilika

February 6, 2026 mjombazecoder

Ukraine na Urusi zimekamilisha duru ya pili ya mazungumzo yanayosimamiwa na Marekani huko Abu Dhabi yanayolenga kufikisha mwisho vita kati ya nchi hizo mbili. Duru mpya ya mazungumzo inatarajiwa kufanyika…

DW SWAHILI

Rwanda itaweza kuvikabili vikwazo vya Marekani?

February 6, 2026 mjombazecoder

Rais Paul Kagame amewarai wananchi wake kujiandaa kujitegemea zaidi kufuatia shinikizo linaloongezeka la vikwazo zaidi vya Marekani kutokana na kuhusika kwake katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.

DW SWAHILI

06.02.2026

February 6, 2026 mjombazecoder

Tuanzie huko Abu Dhabi ambako hii leo wajumbe wa Ukraine na Urusi na Marekani wanaendelea na mazungumzo ya kuelekea amani ya Ukraine+++Baada ya takriban miaka mitatu ya vita, Khartoum inahamasisha…

DW SWAHILI

06.02.2026 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

February 6, 2026 mjombazecoder

Mazungumzo kuhusu amani ya Ukraine yakamilika huko Abu Dhabi. Wajumbe wa Marekani na Iran wajiandaa kuzungumza kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran mjini Muscat, Oman. Na Rais wa Rwanda Paul…

MAGAZETI

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 6, 2025

February 5, 2026 mjombazecoder

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…

Posts pagination

1 … 510 511 512 … 1,065

Recent Posts

  • Ufaransa yafungua milango yake kwa nchi 13 kuingia bila visa, taifa moja tu la Afrika lanufaika
  • FIFA yazua utata kwa kuvunja sheria zake katika fainali ya Kombe la Dunia 2026
  • Serikali yataka wanahabari kuhamasisha nishati safi ya kupikia
  • Iran yapinga madai ya Trump, yasema hakuna mazungumzo ya moja kwa moja yaliyofanyika na Marekani
  • Jinsi uamuzi wa Dangote wa kuuza mafuta kwa kutumia dola utakavyokuathiri

Recent Comments

  1. Ernestaxorn on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  2. Wiiamcheaf on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  3. MichLit on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  4. AnnaInsOm on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  5. nedvijimiimoti.blog on Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva kufanyika Mlimani City

Archives

  • July 2026
  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • June 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • May 2023
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

TUKO SWAHILI NEWS

Ufaransa yafungua milango yake kwa nchi 13 kuingia bila visa, taifa moja tu la Afrika lanufaika

July 15, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

FIFA yazua utata kwa kuvunja sheria zake katika fainali ya Kombe la Dunia 2026

July 15, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

Serikali yataka wanahabari kuhamasisha nishati safi ya kupikia

July 15, 2026 mjombazecoder
HABARI ZA KIPEKEE

Iran yapinga madai ya Trump, yasema hakuna mazungumzo ya moja kwa moja yaliyofanyika na Marekani

July 15, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS