Wametemana na Bongo Fleva bila huruma
Tasnia ya Bongo Fleva imejaa vipaji vingi vya kike vilivyoacha alama kubwa licha ya kudumu kwa...
2011 majaji walimpa nafasi nyingine mshiriki Haji Ramadhan | #BSSNextLevelRevolution
2011 majaji walimpa nafasi nyingine mshiriki Haji Ramadhan | #BSSNextLevelRevolution Tunaanza na Mwanza wikiendi hii, La Kairo Hotel Februari 07 na 08, 2026. Msimu wa 16 wa #BongoStarSearch utaanza kuruka…
Mambo yalivyokuwa BSS 2011 😅 | #BSSNextLevelRevolution
Mambo yalivyokuwa BSS 2011 😅 | #BSSNextLevelRevolution Tunaanza na Mwanza wikiendi hii, La Kairo Hotel Februari 07 na 08, 2026. Msimu wa 16 wa #BongoStarSearch utaanza kuruka hewani kuanzia Machi…
Bela Kombo – Mshiriki wa BSS 2010 | #BSSNextLevelRevolution
Bela Kombo - Mshiriki wa BSS 2010 | #BSSNextLevelRevolution Tunaanza na Mwanza wikiendi hii, La Kairo Hotel Februari 07 na 08, 2026. Msimu wa 16 wa #BongoStarSearch utaanza kuruka hewani…
Kitambo hicho, DC @ggondwe akisherehesha BSS 2010 | Sasa ni msimu wa 16 #BSSNextLevelRevolution
Kitambo hicho, DC @ggondwe akisherehesha BSS 2010 | Sasa ni msimu wa 16 #BSSNextLevelRevolution Tunaanza na Mwanza wikiendi hii, La Kairo Hotel Februari 07 na 08, 2026. Msimu wa 16…
BENKI YA USHIRIKA TANZANIA COOP KUHAKIKISHA UPATIKANAJI WA ZANA ZA KILIMO SHAMBANI
BENKI YA USHIRIKA TANZANIA COOP KUHAKIKISHA UPATIKANAJI WA ZANA ZA KILIMO SHAMBANI Kupitia kongamano la kwanza la kimataifa linaloangazia matumizi ya teknolojia endelevu ya zana za kilimo, Benki ya ushirika…
IITA YADHAMIRIA KUWA UNGANISHA WAKULIMA WENGI ZAIDI NA TAASISI ZA MIKOPO
IITA YADHAMIRIA KUWA UNGANISHA WAKULIMA WENGI ZAIDI NA TAASISI ZA MIKOPO Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo cha Kitropiki (IITA) Inaonesha nia yake ya kuwa unganisha wakulima wengi zaidi na Taasisi…
#CoppaItaliaFrecciarossa Ni mapumziko, na walio mbele hadi sasa ni wenyeji kwa penati ya Scamacca dakika ya 27
#CoppaItaliaFrecciarossa Ni mapumziko, na walio mbele hadi sasa ni wenyeji kwa penati ya Scamacca dakika ya 27. HT: Atalanta 1-0 Juventus LIVE #AzamSports3HD #CoppaItalia #ItalianCup #AtalantaJuve
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana Mhe
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana Mhe. Joel Nanauka, hundi ya Sh200 bilioni ambazo ni ahadi ya Rais Dkt. Samia Suluhu…
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amewataka wananchi kuendelea kulinda amani na kufanya shughuli za m…
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amewataka wananchi kuendelea kulinda amani na kufanya shughuli za maendeleo bila kuangalia tofauti ya vyama vyao. Akizungumza kwenye sherehe za…
Uturuki imelaani shambulizi la kigaidi nchini Nigeria lililoua takriban watu 170
Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki yalaani kitendo cha ugaidi na kutoa rambirambi kwa familia za walio poteza maisha kufuatia shambulio lililotekelezwa na makundi yenye silaha katika jimbo la…
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mafuriko, maporomoko ya ardhi, uharibifu wa miundombinu na mazingira,…
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mafuriko, maporomoko ya ardhi, uharibifu wa miundombinu na mazingira, milipuko ya magonjwa pamoja na upotevu wa mali na maisha katika…
Rais wa Congo kuwania tena urais baada ya kuiongoza nchi hiyo kwa zaidi ya miaka 40
Sheria ya nchi hiyo inamruhusu kuwania muhula mpya kufuatia mageuzi ya kikatiba mwaka 2015.
Bantu Ride waja na suluhisho kutokomeza adha ya usafiri Jijini Dar es Salaam
Kwa wakazi wengi wa jiji la Dar es Salaam, usafiri wa kila siku umeendelea kuwa chanzo cha...
Kampuni ya Ekima yaingia makubaliano kusaidia utekelezaji matuminzi ya teknolojia mashuleni
Ni katika muktadha huo ambapo kampuni ya teknolojia ya elimu, Ekima Interactive Company...
Tanzania imeingia katika nchini zenye ushawishi mkubwa wa rasilimali za madini ya kimkakati na adimu duniani ikishika nafasi ya …
Tanzania imeingia katika nchini zenye ushawishi mkubwa wa rasilimali za madini ya kimkakati na adimu duniani ikishika nafasi ya nne kwa wingi wa madini hayo ardhini na ya ikishika nafasi…
Wadau wa utalii visiwani Zanzibar wameiomba Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serkali ya Oman kukamilisha ujenzi wa nyumba ya “B…
Wadau wa utalii visiwani Zanzibar wameiomba Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serkali ya Oman kukamilisha ujenzi wa nyumba ya "Baitul Ajaib" ambayo ni kielelezo cha utawala wa kale na sehemu…
Uturuki kuimarisha uwepo wake wa kijeshi kuisaidia Somalia kupambana na ugaidi
Uturuki inaimarisha uwepo wake wa kijeshi huku Somalia ikikabiliana na wimbi jipya la mashambulizi ya kigaidi ya Al-Shabaab.
Wizara yatangaza kuwapiga jeki wabunifu zana za kilimo
Wizara ya Kilimo imesema inawatambua na inawapa kipaumbele wabunifu wa zana za kilimo nchini...
Teknolojia ya nyuklia yatumika kuchagiza maendeleo ya afya, kilimo, nishati
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomiki nchini (TAEC), Profesa Najat Kassim Mohammed...
Uturuki na Saudi Arabia kuimarisha ushirikiano wa ulinzi na uwekezaji katika ndege za kivita za KAAN
Uturuki na Saudi Arabi zatia saini makubaliano 'muhimu' ya ushirikiano wa sekta ya ulinzi huku Rais wa Uturuki Erdogan akieleza azma ya Uturuki ya kupanua mikataba hiyo.
Geita DC yafikia 45% ukusanyaji mapato ya ndani
GEITA: HALMASHAURI ya wilaya ya Geita mkoani Geita imefanikiwa kukusanya kiasi cha sh bilioni 6.37 sawa na asilimia 45.42 ya makisio ya makusanyo ya mapato ya ndani mwaka wa fedha…
Waziri Mkuu akemea mikopo kausha damu, atoa agizo
Wakati Serikali ikitoa hundi ya Sh200 bilioni kuwezesha vijana na wanawake kiuchumi, Waziri...
Pombe haramu zinavyoitafuna Tanzania
Utafiti mpya uliofanywa umebaini kuwa asilimia 61 ya pombe yote inayotumiwa nchini ni haramu...
Mbunge aliyeshindwa kuomba kura kwa kiingereza achaguliwa
Wabunge wamemaliza uchaguzi wao leo kwa kumchagua aliyepata shida ya kuzungumza lugha ya...
KUTOKA MOROCCO: Kikosi cha Yanga kikitoka hotelini kuelekea uwanjani kwa ajili ya mazoezi ya kujiandaa kwa mchezo wa Ligi ya Mab…
KUTOKA MOROCCO: Kikosi cha Yanga kikitoka hotelini kuelekea uwanjani kwa ajili ya mazoezi ya kujiandaa kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS FAR Jumamosi Februari 7, 2026.…
Wasira afunguka rushwa, amani, haki
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania kuungana na kupambana na tatizo la rushwa na...
#HABARI: Mkoa wa Manyara unatarajia kuadhimisha Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day) kwa namna ya kipekee kupitia Shindano la Ro…
#HABARI: Mkoa wa Manyara unatarajia kuadhimisha Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day) kwa namna ya kipekee kupitia Shindano la Royal Love Challenge. Katika shindano hilo, wapendanao wanatakiwa kupakia picha zao kwenye…
#HABARI: Baraza Kuu la Waislamu wa Kenya limeonya kwamba hali ya ukame inayoshudiwa kwa sasa katika Kaunti 23 nchini Kenya imef…
#HABARI: Baraza Kuu la Waislamu wa Kenya limeonya kwamba hali ya ukame inayoshudiwa kwa sasa katika Kaunti 23 nchini Kenya imefikia hali mbaya huku likiitaja kama dharura kamili ya kibinadamu,…
Katika kuadhimisha miaka 49 ya Chama Cha Cha Mapinduzi, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani, Lailah…
Katika kuadhimisha miaka 49 ya Chama Cha Cha Mapinduzi, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani, Lailah Ngozi, amewataka Wana CCM kuendelea kulinda…
TAARIFA YAHABARI SAA MBILI FEBRUARI05 2026 SPIKA WA BUNGE AKANUSHA BAADHI YA WABUNGE KUITWA TAKURURU
TAARIFA YAHABARI SAA MBILI FEBRUARI05 2026 SPIKA WA BUNGE AKANUSHA BAADHI YA WABUNGE KUITWA TAKURURU (Feed generated with FetchRSS)
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBLI USIKU – 05/02/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBLI USIKU - 05/02/2026
Nelson Havi amtoka William Ruto, ajiunga na kwaya ya DCP inayoongozwa na Rigathi Gachagua
Nelson Havi kuhamia Democracy for the Citizens Party (DCP) cha Rigathi Gachagua kunabadilisha mkondo wa siasa za Nairobi kuelekea 2027. Anasaka kiti cha Westlands
#HABARI: Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe
#HABARI: Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulidi, amewataka wananchi kupuuza chokochoko za watu wanaoishi nje ya nchi wanaolenga kuvuruga amani na utulivu uliopo nchini. Akizungumza katika…
Dk Jingu awafunda maofisa habari wa Serikali
Maofisa Habari na Mawasiliano serikalini wametakiwa kutumia majukwaa mbalimbali ikiwemo...
Naibu Gavana Homa Bay ajitupa ulingoni kusaka ugavana, asema mara hii Wanga atamtambua: “Tutalimana”
Naibu gavana wa Homa Bay Oyugi Magwanga ametangaza azma yake ya kuwagombea ugavana 2027 huku mvutano kati yake na Gavana Gladys Wanga ukipamba moto.
CCM yaadhimisha miaka 49 tangu kuanzishwa
Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania chaadhimisha miaka 49 tangu kuanzishwa kwake.
Ujerumani yataka kuimarisha mahusiano na nchi za Guba
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anataka mahusiano ya nchi yake na Saudi Arabia kuwa katika kiwango kipya, baada ya kufanya ziara ya masaa mawili na nusu mjini Riyadh na kuzungumza…
Moses Ledama Sunkuli: IEBC Yamteua kaimu Afisa Mkuu Mtendaji baada ya kujiuzulu kwa Marjan
IEBC Yamteua Moses Ledama Sunkuli kama kaimu Mkurugenzi Mtendaji kufuatia kuondoka kwa Hussein Marjan, huku tume ikianza kutafuta mkuu wa kudumu.
Nape: Tusimung’unye maneno bila utu CCM itaondoka
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye ametahadharisha kuwa bila kusimamia utu, Chama cha Mapinduzi...
Vita Sudan: Njaa yatishia kuenea magharibi mwa nchi, kulingana na wataalamu walioagizwa na UM
Wataalamu walioagizwa na Umoja wa Mataifa wameonya mnamo Februari 5, 2025, kwamba njaa inatishia kuenea katika maeneo mawili mapya magharibi mwa Sudan, kufuatia El-Fasher, mji mkuu wa Darfur Kaskazini, kuanguka…
Johnson Muthama amlilia mwanawe kwa uchungu mwingi: “Ametuacha mapema mno”
Kamishna wa Tume ya Huduma za Bunge Johnson Muthama aliomboleza kifo cha mwanawe, Moses Nduya, na kusababisha wimbi la rambirambi kutoka kwa Wakenya.
Maofisa TFS kupewa mbinu kukomesha uvunaji haramu wa mikoko
Maofisa wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wa kanda za Kusini, Mashariki na Kaskazini...
Ufaransa: Watu wanaoshukiwa kuwa maafisa wa China wakamatwa na kufunguliwa mashitaka
Watu wanne, wakiwemo raia wawili wa China, wameshtakiwa leo Alhamisi, Februari 5, kufuatia kukamatwa kwao kusini-magharibi mwa Ufaransa. Wanashukiwa kujaribu kusambaza taarifa za kijeshi kwa mamlaka ya China. Imechapishwa: 05/02/2026…
State issues reminder on clean cooking drive
Dodoma: The government has reminded institutions that feed more than 100 people and have not yet adopted clean cooking technologies to do so immediately in order to advance the country’s…
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaasa…
Miundombinu mibovu yakwamisha ujenzi wa vyoo shule za Mchinga
Wakati Serikali ikiendelea kusisitiza msimamo wake mkali juu ya uwajibikaji na uadilifu wa...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungulia Uwanja wa KMC, Dar es Salaam kutumika kwa michezo ya Ligi baada ya kuf…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungulia Uwanja wa KMC, Dar es Salaam kutumika kwa michezo ya Ligi baada ya kufanya marekebisho yaliyokidhi vigezo vya kikanuni na sheria za…
Sudan kusini yamteua mtu aliyefariki miaka mitano iliyopoita kwa maaandalizi ya chaguzi zijao
Mtu aliyefariki miaka mitano iliyopita ameteuliwa katika kamati iliyopewa jukumu la kuandaa uchaguzi nchini Sudan Kusini, na kusababisha kejeli nyingi kwenye mitandao ya kijamii na kuilazimisha serikali kuomba radhi. Rais…
Amri Kiemba achambua balaa la Buba Jammeh, aikumbusha haya Yanga kuepuka mtego wa Far Rabat, silaha!
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…