DRC: Wasaidizi wa rais wa zamani Joseph Kabila waendelea kushikiliwa tangu mwezi uliopita
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), siku sita baada ya kukamatwa kwake, sasa kuna habari kuhusu Aubin Minaku. Kulingana na washirika wake, makamu wa rais wa chama cha PPRD…
Mlipuko wa Mpox barani Afrika hauko tena ‘dharura ya kiafya,’ kulingana na CDC
Mlipuko wa Mpox barani Afrika haluko tena “dharura ya kiafya barani humo,” aetangaza Jean Kaseya siku ya Alhamisi, Januari 22. Mkurugenzi Mkuu wa Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC)…
Umoja wa Afrika waiondolea vikwazo Guinea baada ya uchaguzi wa urais
Umoja wa Afrika (AU) umetangaza siku ya Alhamisi, Januari 22, kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya Guinea, nchi ya Afrika Magharibi ambayo ilikuwa imesimamiswa taasisi za shirika hilo kufuatia mapinduzi ya…
Qalibaf: Jaribio la mapinduzi na ugaidi wa karibuni ni mwendelezo wa Vita vya Siku 12
Spika wa Bunge la Iran amesema kwamba vitendo vya kigaidi vya hivi karibuni nchini Iran vilikuwa kiungo cha mwisho cha Vita vya Siku 12, na kwamba utawala wa Kizayuni wa…
Ripoti: Zaidi ya raia 370 waliuawa Kivu, mwezi Desemba 2025
Imeelezwa kuwa, zaidi ya raia 370 waliuawa Kivu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwezi Disemba mwaka jana.
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa: Mo Salah na Vinicius Jr kujiunga na Ligi ya Saudia
Mohamed Salah na Vinicius Jr wanaolengwa na Saudi Pro League, Crystal Palace inafanya mazungumzo na Wolves kuhusu usajili wa Jorgen Strand Larsen na Chelsea inafikiria kumnunua Douglas Luiz kwa mkopo.
Save the Children: Sudan inapitia kipindi kirefu zaidi cha kufungwa shule duniani
Shirika la Save the Children limeonya kwamba vita vinavyoendelea nchini Sudan vimewanyima elimu watoto zaidi ya milioni 8, katika kile kinachoelezwa kama kipindi kirefu zaidi cha kufungwa shule duniani.
Tovuti ya Israel: Ujerumani inaendelea kufadhili mauaji ya kimbari huko Gaza
Tovuti ya Israel, 972+ imechapisha ripoti ndefu ya uchunguzi kuhusu uhusiano wa kijeshi kati ya Ujerumani na Israel, ikihitimisha kwamba mauzo ya silaha ya Ujerumani yameendelea kumiminika Israel licha ya…
‘Bodi ya Amani’ ya Trump ni aina ya ukoloni mamboleo
Mkuu wa Jamaat-e-Islami Pakistan (JIP) ametangaza kwamba "Bodi ya Amani" iliyotangazwa na Rais wa Marekani, Donald Trump kusimamia utawala wa eneo la Palestina la Ukanda wa Gaza ni aina mpya…
Iran, mshirika mkuu wa kibiashara wa Afghanistan; uagizaji wa Kabul kutoka Tehran wapanda hadi dola bilioni 3.45
Kiwango cha mabadilishano ya biashara kati ya Iran na Afghanistan kinaongezeka. Serikali ya Taliban imetangaza kuwa, uhusiano wa kibiashara kati ya Iran na Afghanistan umeongezeka hadi dola bilioni tatu na…
Ijumaa, tarehe 23 Januari, 2026
Leo ni Ijumaa tarehe Tatu Rajab 1447 Hijria sawa na 23 Januari mwaka 2026.
Je, ni kweli Marekani ‘inaifadhili’ Nato kwa asilimia 100?
Rais wa Marekani alitoa msururu wa madai yaliyopingwa, kuanzia hali ya Greenland hadi matumizi ya Nato.
Zelensky asema Ukraine itazungumza na Marekani na Urusi
Rais Volodymyr Zelensky amesema mazungumzo ya pande tatu kuhusu kumaliza vita nchini Ukraine yatafanyika kati ya Ukraine, Urusi na Marekani katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
เปิดวาร์ป 10 เว็บตรง ฝาก20รับ100 มาใหม่ ทำเทิร์นน้อย รองรับ ทรู วอเลท นำเข้าจากต่างประเทศ 2026
เว: แนะนำ 10 เว็บตรงนำเข้าจากต่างประเทศ ที่มาพร้อมโปรโมชั่น ฝาก20รับ100 เทิร์นน้อย ถอนได้จริง...
Askari wa Zimamoto, raia wawili kortini wakidaiwa kusafirisha bangi
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Koplo Erick Ndagwa (32) amefikishwa katika Mahakama ya...
Benki ya CRDB Dubai kufanikisha mitaji ya kimataifa Afrika Mashariki na Kati
Mahusiano ya kiuchumi kati ya Afrika na Falme za Kiarabu (UAE) yamefikia hatua muhimu leo...
Watumiaji Stendi ya Magufuli walia ukosefu wa maji
Watumiaji wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi Luis, jijini Dar es Salaam wanakabiliwa...
Wazee waazimia mambo manne kuliponya Taifa
Wazee kutoka mikoa mbalimbali nchini wameazimia mambo manne, ikiwemo kutaka mchakato wa...
Orodha mpya ya vilabu tajiri zaidi duniani imetangazwa, na Manchester United haipo tena kileleni!
Orodha mpya ya vilabu tajiri zaidi duniani imetangazwa, na Manchester United haipo tena kileleni! Manchester United iliyoshikilia nafasi ya pili mwaka jana kwa utajiri, na kushikilia nafasi mbili za kwanza…
Mchungaji atoa ushahidi kesi ya Dk Manguruwe
Mchungaji Enock Likoma ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jinsi alivyoshawishiwa na...
Bodi ya Amani itaundwa na viongozi wa dunia, na awali ilibuniwa kama sehemu ya mpango wa kujenga upya Gaza, lakini mamlaka yake …
Bodi ya Amani itaundwa na viongozi wa dunia, na awali ilibuniwa kama sehemu ya mpango wa kujenga upya Gaza, lakini mamlaka yake yamepanuka. Siku ya Jumatano, nchi saba zikiwemo Saudi…
BOT yawaonya wafanyabiashara wa kubadilisha fedha kinyume cha sheria
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka watu wanaojihusisha na biashara ya kubadilisha fedha za...
Wazazi wakaliwa kooni kuchangia chakula shuleni
Wataalamu wa lishe na viongozi wa Serikali wamependekeza kuanzishwa kwa sheria...
Familia nzima imeujua ukweli #AzamTWO
Familia nzima imeujua ukweli #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
Hii ndio sababu ya uwepo wa utapiamlo
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dk Seif Shekalaghe amesema jamii inakabiliwa na utapiamlo...
Bugando yaanza upasuaji wa matundu wagonjwa wa magoti
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Ziwa Bugando, iliyopo jijini Mwanza imeanza kutoa huduma ya...
Masilahi bora ya wafanyakazi yatajwa msingi wa ufanisi Tanesco
Masuala ya masilahi na haki za wafanyakazi yanatajwa kupewa kipaumbele katika juhudi za...
Tathmini yaja na majibu mgogoro wa mipaka Kilosa
Wataalamu wamekuja na majibu yatakayomaliza mgogoro wa mipaka baina ya kijiji cha Rudewa...
The cost of delayed treatment versus value of health insurance
AS we step into the New Year, many of us reflect on our goals, aspirations, and the kind of life we want to lead. While we often think of financial…
Trump azindua “Bodi ya Amani” Davos, asema dunia inaweza kuongozwa kutokea Marekani
Rais wa Marekani, Donald Trump, amezua mjadala wa kimataifa baada ya kuzindua rasmi chombo...
Mwenyekiti asimulia mtuhumiwa wa mauaji alivyomueleza tukio zima
Tukio la mauaji ya kijana Mathias Teti (26), mkazi wa Kitongoji cha Kireiyo, Kata ya Uru...
Viuatilifu 805 vimeondolewa, Serikali yapiga marufuku kuingizwa nchini
Serikali kupitia Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), imeondoa sokoni jumla...
Mavunde awaonya maofisa madini kusababisha migogoro
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa maagizo matano kwa Maofisa Madini wa Mikoa (RMOs)...
Kumbukizi maisha ya Mtei yaahirishwa, sababu zatajwa
Kumbukizi ya maisha ya Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Gavana wa...
Mkurugenzi mkuu NSSF ajitosa kutoa elimu hifadhi ya jamii sokoni
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba amesema hakuna...
Wawili wafutiwa kesi na DPP, tisa waendelea kusota tuhuma wizi wa Sh5.7 bilioni
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi ya uhujumu uchumi na kuwaachia huru washtakiwa...
Mabomu ya machozi yatumika kutawanya wachimbaji wadogo
Jeshi la Polisi mkoani Geita limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya baadhi ya...
Trump aanzisha ‘Bodi ya Amani’ kuchukua nafasi ya UN, dunia yagawanyika
Kauli ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kwamba chombo kipya alichokianzisha cha “Bodi ya...
Familia yagoma kuzika mwanafunzi anayedaiwa kukatwa na jembe shuleni
Mwanafunzi Kassim Omary (12) wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Bukindwasali iliyopo...
Takukuru yatangaza kuwasaka Alex Msama na Benny Sammoh
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kinondoni imeanza msako wa...
CMA yaja na mkakati kuharakisha utatuzi migogoro kazini
Suala la kusafiri kufuata mahakama kwa ajili ya utatuzi na usuluhishaji wa migogoro ya kazi...
Mv New Mwanza kuzinduliwa kesho
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuzindua safari za meli ya MV New Mwanza kesho...
Historia ya usajili inaibeba Singida BS
SINGIDA Black Stars kama ilivyo kawaida, dirisha hili kikosi chake kimepanguliwa tena baada ya kuondoka kwa baadhi ya wachezaji nyota.
Paul Peter anazitaka hela dirisha kubwa
KUMBUKUMBU tuliyonayo hapa kijiweni ni straika wa mpira, Paul Peter alishawahi kuonja hela za timu kubwa hapa nchini ingawa hazikuwa nyingi sana kwa vile alikuwa bado kinda wakati huo.
Mutale, Chamou wasiilaumu Simba
KUNA fagio moja kubwa linaendelea Simba dirisha hili dogo la usajili hasa likihusu wachezaji wa kigeni huku timu hiyo ikishusha vifaa vipya.
TGU, R&A, Peninsula Club yanoa makocha wa gofu
JUMLA ya makocha 16 wa mchezo wa gofu wamepata mafunzo kwa ajili ya kuwafundisha wachezaji chipukizi hapa nchini.
Washtakiwa walivyokiri kuchepusha mzigo, waridhia lori lao kutaifishwa
Washtakiwa wanne wa kesi ya uhujumu uchumi wamekiri mashtaka yaliyokuwa yakiwakabili yakiwemo...