Mpole, Martin kuna jambo Tanzania Prisons
TANZANIA Prisons imefikia pazuri katika mazungumzo ya kuwasajili wachezaji watatu wa eneo la ushambuliaji ambao ni George Mpole, Emmanuel Martin na Gustavo Simon.
Baresi ana kibarua kizito kwa TRA Utd
KUNA mechi mbili za Ligi Kuu Bara zinachezwa leo Ijumaa zikihusisha timu zinazopambana kujiweka pazuri kwenye msimamo, huku KMC iliyoifuata TRA United, ikiwa katika mtego chini ya benchi jipya la…
Uganda: Wasiwasi waongezeka kuhusu afya ya kiongozi wa upinzani Kizza Besigye
Kizza Besigye, kiongozi wa upinzani nchini Uganda, amekuwa kizuizini kwa zaidi ya mwaka mmoja. Chama chake kinasema hali yake ya afya imezorota sana. Usiku wa Jumatatu, Januari 19, kuamkia Jumanne,…
Fountain Gate kuhamia Arachuga
UONGOZI wa Fountain Gate huenda ukahamishia mechi zake zote za nyumbani zilizobaki za Ligi Kuu Bara kwa msimu huu kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, baada ya kuutumia…
Ishu ya Bigman FC kuuzwa iko hivi!
RAIS wa Bigman FC, Ahmed Waziri Gao amesema hana mpango wa kuiuza timu hiyo inayoshiriki Ligi ya Championship msimu huu kwa sasa, licha ya kudaiwa pia huenda ikapigwa bei kutokana…
Kongo: Mkutano wa usio wa kawaida wa CEMAC wafanyika Katikati ya Mvutano wa Kiuchumi
Mkutano usio wa kawaida wa Jumuiya ya Kiuchumi na Fedha ya Nchi za Afrika ya Kati (CEMAC) unafanyika Brazzaville leo Alhamisi, Januari 22. Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limetoa…
Waliopora Iphone, Sh 635,000 watupwa jela miaka 30
Mahakama ya Wilaya ya Morogoro imewahukumu vijana sita (vishandu) wakazi wa Chamwino kifungo...
Mfumo usajili wa diaspora fursa za uwekezaji Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imezindua mfumo wa kidijitali wa usajili wa diaspora wenye asili...
Ripoti: Zaidi ya raia 370 waliuawa Kivu, Mashariki mwa DRC, mnamo mwezi Desemba
Katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), mwezi Desemba 2025 ilikuwa mwezi hatari sana, kulingana na Kipimo cha Usalama cha Kivu. Zaidi ya waathiriwa 370 wa kiraia walirekodiwa…
Dk Mwigulu atoa maagizo mapya utatuzi wa kero za wananchi
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuhamia kwa ofisi zote za umma katika Mji wa Serikali...
Morocco: Watu 3, wakiwemo watalii, wafariki kufuatia maporomoko ya theluji kwenye mlima Toubkal
Jeshi la Morocco limetangaza kuwa limeipata miili ya watalii wawili wa Morocco na mwongozaji wao waliokuwa wamenaswa kufuatia maporomoko ya theluji siku ya Jumapili kwenye Mlima Toubkal, kilele cha juu…
BoT instructed to protect Tanzanians against the effects of borrowing from informal institutions
TANGA: THE Bank of Tanzania (BoT) has been directed to intensify its oversight of the financial sector in order to protect Tanzanian citizens from the negative effects of borrowing from…
Mkasa wa Camila utafanikiwa
Mkasa wa Camila utafanikiwa Usikose kufuatilia #TheStoryofJuana leo kuanzia saa 1:00 usiku #AzamONE #WeSpeakSeries (Feed generated with FetchRSS)
#MEZAHURU:“..lakini kwenye kuanzishwa kwake hii ilikuwa kwanza, tulikuwa tu kwanza tunafanya maigizo maigizo lakini tulikuwa tun…
#MEZAHURU:“..lakini kwenye kuanzishwa kwake hii ilikuwa kwanza, tulikuwa tu kwanza tunafanya maigizo maigizo lakini tulikuwa tunafanya sana sana Musical Theater na kwenye kufanya hivi vitu ilikuwa ngumu sana kuwa pamoja"-…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Samia Suluhu Hassan, ataongoza zoezi maalum la upandaji miti litakalofanyika Janu…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Samia Suluhu Hassan, ataongoza zoezi maalum la upandaji miti litakalofanyika Januari 27 mwaka huu, maeneo ya Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ikiwa…
Tree-Planting exercise to decorate Dr Samia’s birthday
ZANZIBAR: President Samia Suluhu Hassan is expected to lead a tree-planting exercise scheduled to take place on January 27, 2026, in the Bungi Kilimo and Kizimkazi areas of Zanzibar, as…
Vijana 228 waliopata ajira nje ya nchi watakiwa kuzingatia weledi
Wakati Serikali ikiwaaga vijana 228 wanaoelekea kufanya kazi nje ya nchi baada ya kupata ajira,...
Wamongoli wamekuja upya, Osman asuka mipango yake
Wamongoli wamekuja upya, Osman asuka mipango yake. Usikose kutazama OTTOMAN leo saa 4:00 usiku. #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Wataalamu kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC…
#HABARI: Wataalamu kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Januari 21, 2026, wamekagua mradi na wametembelea wananchi wanufaika wa Mradi…
🔴MEZA HURU: WENYE ULEMAVU NA SANAA.JANUARI 22, 2026,
🔴MEZA HURU: WENYE ULEMAVU NA SANAA.JANUARI 22, 2026, (Feed generated with FetchRSS)
Gaza: Uchunguzi wa uhalifu wa kivita waahidi kuendelea na kazi ya haki na uwajibikaji
Wakati Rais Trump wa Marekani alipozindua mpango wa kimataifa wa Bodi ya Amani kwa ajili ya Gaza leo Alhamisi, wataalamu wakuu huru wa haki za binadamu walioteuliwa na Baraza la…
Baraza la Usalama: Pande zote Syria lazima ziheshima makubaliano ya usitishaji mapigano
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana leo Alhamisi kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York kujadili hali ya kibinadamu na kisiasa nchini Syria, ambapo serikali…
WFP: Kupunguzwa kwa msaada wa chakula Nigeria huku vurugu na njaa vikiendelea ni hatari kubwa
Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa Chakula Duniani WFP leo huko Abuja nchini Nigeria limeonya kuwa ukosefu mkubwa wa ufadhili unaweza kusababisha kupunguzwa kwa msaada wa dharura wa…
Mwongozo mpya wa WHO, UNICEF na UN-Habitat kutoa kipaumbele kwa maeneo ya michezo ya watoto mijini
Shirika la Afya Duniani, WHO, likishirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi, UN-Habitat, leo wamezindua mwongozo mpya…
Kijana Baraka Ayubu abuni teknolojia ya ‘A.Possible’ kuboresha elimu na afya ya akili Tanzania
Wakati ulimwengu Jumamosi wiki hii ya Januari 24 unaadhimisha siku ya elimu duniani, nguvu ya vijana katika uvumbuzi imetajwa kuwa injini kuu ya mabadiliko ya kijamii na maendeleo endelevu. Katika…
WHO: Ukame waacha mamilioni ya watu nchini Kenya hatarini kukumbwa na njaa na maradhi
Zaidi ya watu milioni mbili nchini Kenya wanakabiliwa na hali mbaya ya ukosefu wa uhakika wa kupata chakula kufuatia ukame wakati wa msimu uliopaswa kuwa wa mvua kati ya Oktoba…
Trump atoa ofa nzito kwa wakazi wa Greenland
Trump alegeza msimamo kuhusu Greenland, atupilia mbali vitisho vya ushuru kwa Ulaya. Ametoa ofa...
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….JANUARI 22, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 22, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Victor Mhagama, mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma, Jenista Mhagama ameibuka mshindi wa kura za maoni ndani y…
Victor Mhagama, mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma, Jenista Mhagama ameibuka mshindi wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa jimbo hilo.…
Mahakama yaamuru Alex Msama wa Tamasha la Pasaka, mwenzake wakamatwe
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu imeamuru na kutoa hati ya kukamatwa kwa...
Muqawama wa Yemen na ufafanuzi mpya wa mlingano wa nguvu katika Bahari Nyekundu
Vyombo vya habari vya utawala ghasibu wa Israel sanjari na kuchapisha ripoti mbalimbali, vimekiri juu ya taathira ya operesheni za vikosi vya muqawama vya Yemen kwa uchumi wa utawala huo.
Man United yaporomoka klabu tajiri duniani
Manchester United imeshuka kutoka tano bora kwenye orodha ya klabu tajiri zaidi duniani...
Mhagama’son eyes Peramiho Constituency after winning CCM primaries
SONGEA: VICTOR Mhagama, the son of the late Peramiho Member of Parliament from Ruvuma Region, Jenista Mhagama, has emerged the winner of the Chama Cha Mapinduzi (CCM) party primaries to…
Aweka rekodi ya dunia Guinness kwa kupika pilau kilo 8,780
Mpishi wa Nigeria, Hilda Baci ameshinda tuzo akiweka rekodi yake ya tatu ya Guinness World...
Mvua yabomoa, kuezua nyumba tano Makambako
Nyumba tano zilizopo mtaa wa Idofi, kata ya Mlowa, wilayani Makambako, Mkoa wa Njombe...
Butiku: Tusipoteze msingi wa Taifa, tukitafakari Oktoba 29
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku amewataka Watanzania kutotoka nje...
Rais Samia kukumbuka siku yake ya kuzaliwa kwa kupanda miti Kizimkazi
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ataadhimisha siku yake ya kuzaliwa Januari 27, 2026 kwa...
Ushirikiano wa Stanbic, CRDB unavyopaisha Sukuk
Kadiri Tanzania inavyopanua masoko yake ya mitaji, bidhaa za kifedha zilizokuwa zikihusishwa na...
Risasi za Israel zapatikana katika miili ya watoto waliouawa wakati wa ghasia hivi karibuni Iran
Risasi za kiwango cha kijeshi zinazohusishwa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel zimepatikana katika uchunguzi wa kitabibu wa miili ya watoto waliouawa na magaidi wakati wa ghasia za…
Jeshi la Iran la IRGC laionya Marekani na Israel dhidi ya makosa yoyote ya kimahesabu
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amewaonya maadui dhidi ya kufanya makosa yoyote ya kimahesabu, akisisitiza kwamba vikosi vyake viko tayari kutekeleza maagizo…
Lavrov: Ufaransa na Ukraine zinasaidia makundi ya kigaidi barani Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov, amesema kuwa Ufaransa na Ukraine zinatoa msaada kwa makundi ya kigaidi na mitandao ya waasi barani Afrika, ikiwemo matawi ya magaidi…
Wananchi wa mtaa wa Forodhani – Bukoba, wameanza kutengeneza barabara za mtaa huo ambazo kwa muda mrefu zimekuwa hazipitiki, kwa…
Wananchi wa mtaa wa Forodhani - Bukoba, wameanza kutengeneza barabara za mtaa huo ambazo kwa muda mrefu zimekuwa hazipitiki, kwa lengo la kuondoa adha wanazokutana nazo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti,…
Mauritius yamwambia Trump: ‘Hakuna Mjadala’ kuhusu Chagos
Umiliki wa Mauritius juu ya Visiwa vya Chagos hauna utata wowote na “haupaswi tena kuwa mada ya mjadala,” amesema Mwanasheria Mkuu wa taifa hilo la pwani ya Afrika Mashariki. Gavin…
Guinea‑Bissau yapanga uchaguzi wa urais na bunge Desemba 6
Serikali ya mpito za Guinea‑Bissau zilitangaza Jumatano kwamba uchaguzi wa urais na ule wa wabunge utafanyika tarehe 6 Desemba mwaka huu, hatua inayoweka ratiba rasmi ya kwanza ya uchaguzi tangu…
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amevunja mgomo wa wafanyakazi zaidi ya 1,500 wa kiwanda cha NAMERA kilichopo Gongolambot…
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amevunja mgomo wa wafanyakazi zaidi ya 1,500 wa kiwanda cha NAMERA kilichopo Gongolamboto Dar es Salaam, baada ya wafanyakazi hao kulalamikia mishahara midogo…
Victor Mhagama, mtoto wa aliyekuwa mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama ameibuka mshindi katika kinyang’anyiro cha kura za maoni …
Victor Mhagama, mtoto wa aliyekuwa mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama ameibuka mshindi katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kuwania ubunge katika jimbo hilo. Kijana huyo ameibuka mshindi katika mchakato wa…
Tangu kuzuka kwa mvutano wa kisiasa, kiuchumi na kiusalama kati ya Marekani na nchi za Ulaya kufuatia madai ya Marekani kutaka k…
Tangu kuzuka kwa mvutano wa kisiasa, kiuchumi na kiusalama kati ya Marekani na nchi za Ulaya kufuatia madai ya Marekani kutaka kuchukua kisiwa cha Greenland bila ridhaa ya Denmark, Umoja…
Man United yaporomoka miongoni mwa vilabu tajiri zaidi duniani
Orodha mpya ya vilabu tajiri zaidi duniani imetangazwa, na Manchester United haipo tena kileleni!