Kihongosi asisitiza umoja, mshikamano na upendo
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kenan Kihongosi amewataka...
#HABARI: Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Afya, Dkt
#HABARI: Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Afya, Dkt. Jafar Seif, amesema anakusudia kuzunguka nchi nzima kuzungumza na watumishi wa…
Bibi acharuka, maskini Tabu anayoyapitia
Bibi acharuka, maskini Tabu anayoyapitia. Usikose kutazama #KombolelaSeries leo saa 1:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
Kufukuliwa mto Delhu kwarejesha tabasamu
Wananchi wa maeneo ya Kisangesangeni na Mauru, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wameeleza...
Asilimia 74 hawajaripoti kidato cha kwanza Mara
Asilimia 26.43 ya wanafunzi wote wa kidato cha kwanza waliotarajiwa kuripoti kwa ajili ya...
Jeshi lakosolewa kuingilia uchaguzi Uganda, Bobi Wine agomea matokeo
Waangalizi wa uchaguzi wamelikosoa vikali Jeshi la Uganda (UPDF) kwa kutoa maelekezo yanayohusu...
Nashon: AFCON imeniongezea kitu
KIUNGO mkabaji wa Pamba Jiji, Kelvin Nashon amesema mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) 2025 yaliyomalizika jana huko Morocco, yamemwongezea uzoefu na kujiamini, jambo ambalo litamsaidia katika Ligi Kuu…
Fei Toto amebakiza mawili tu Bara
BAO la pili lililofungwa na kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ katika dakika ya 35 wakati timu hiyo ikiizamisha Coastal Union kwa mabao 3-0 juzi usiku kwenye…
Mahakama ya Iran kuwaadhibu vikali wahusika wa machafuko
Mahakama ya Iran imesema itawafikisha mahakamani watu wote waliohusika katika kusababisha vifo vya watu wakati wa machafuko ya hivi karibuni nchini kote, ikiahidi adhabu kali kwa watakaopatikana na hatia.
Rais wa Somalia atoa wito kwa Somaliland kushiriki katika mazungumzo
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia amewatolea wito maafisa wa Somaliland kushiriki katika mazungumzo na serikali yake; akisema kuwa yuko tayari kuafikiana katika masuala yote isipokuwa "umoja wa nchi."
Namungo yamwinda mido Chama la Wana
WAKATI zikibakia takribani wiki mbili kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 30, 2026, mabosi wa Namungo wamefungua mazungumzo rasmi ya kuipata saini ya kiungo mshambuliaji wa kikosi cha…
Winga Mzenji, Fountain Gate kuna kitu
UONGOZI wa Fountain Gate uko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa JKU FC ya visiwani Zanzibar, Tariq Mohamed Mkonga, baada ya pande mbili kati ya…
Richardson Ng’ondya atua anga za KMC
KMC inaendelea na maboresho mbalimbali dirisha hili dogo na kwa sasa uongozi wa kikosi hicho uko katika mazungumzo ya kumnasa kiungo mshambuliaji wa Geita Gold inayoshiriki Ligi ya Championship, Richardson…
Ijue ndoa ya ajabu ya Wamosou
Katika nchi za China na Mongolia, kuna jamii ya watu waitwao Mosou. Ni watu wanaoshika mila...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limekanusha taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kuwa nyumba ya kiongozi wa Pol…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limekanusha taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kuwa nyumba ya kiongozi wa Polisi Mkoani humo imechomwa moto. Akitoa taarifa hiyo leo, Kamanda wa…
Sababu talaka kuwa chukizo mbele za Mungu
Sababu ya talaka kuwa chukizo haitokani tu na kuvunjika kwa mkataba wa kisheria, bali ni...
Sudan Kusini: Tume ya UN yataka mazungumzo mara moja kukabiliana na mvutano wa kisiasa
Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu nchini Sudan Kusini leo imeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu kuzorota kwa hali ya kisiasa na kiusalama nchini humo, na imelaani mapigano mapya…
Clara hashikiki huko Saudi Arabia
GOLI alilofunga jana mshambuliaji wa Al Nassr ya Saudia, Clara Luvanga dhidi ya Neom SC Ligi Kuu ya wanawake ya Saudi Arabia limemfanya afikishe idadi ya mabao 12 na asisti…
Zizou abaini kitu Sierra Leone
KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Zuwena Aziz ‘Zizou’, anayekipiga katika timu ya Mogbwemo Queens ya Sierra Leone ametaja utofauti wa ligi ya nchi hiyo na Tanzania.
John Mgong’os kula shavu Ufilipino
VIONGOZI wa Mendiola inayoshiriki Ligi Kuu Ufilipino wako kwenye mchakato wa kumboreshea mkataba winga wa Kitanzania, John Mgong’os baada ya kuridhishwa na kiwango chake.
Kiungo kutoka Uturuki atua KMC
KASI ya wachezaji wa Kitanzania wanaocheza soka nje kurudi nyumbani inazidi kuongezeka baada ya kiungo mshambuliaji wa zamani wa Beykoz Anadolu Spor ya Uturuki, Shafii Omary Kimambo naye kuunga juhudi…
KCMC kutibu tezi dume kwa kutumia teknolojia ya mvuke
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC), kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka...
#HABARI: Wajumbe wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) wamemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt
#HABARI: Wajumbe wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) wamemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuingilia kati sintofahamu iliyojitokeza kufuatia agizo la serikali…
Kinda JKT Queens azungumzia ushindani wa namba
KIUNGO fundi wa JKT Queens, Elizabeth John amesema ushindani wa namba katika kikosi hicho ni mkubwa hasa eneo la kiungo, lakini umechangia kuongeza kiwango cha wachezaji.
Ceasiaa Queens yaongeza straika kujiokoa
KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema sababu kubwa ya timu hiyo kutofanya vizuri mwanzoni mwa msimu wa Ligi Kuu ya Wanawake ni kukosa mshambuliaji mwenye uwezo wa kufunga mabao.
Chelsea Ngole ataja ugumu WPL
MECHI sita alizocheza golikipa wa Tausi FC, Chelsea Ngole zimemuamsha kupambana zaidi kuhakikisha anaisaidia timu hiyo kutoruhusu bao.
Namba za Stumai Abdallah Ligi Kuu ya Wanawake
MFUNGAJI bora wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) msimu uliopita, Stumai Abdallah hajafikia kiwango alichokionyesha msimu uliopita baada ya kuanza msimu huu kwa kufunga bao moja na asisti nne.
Bwawa la Grand Ethiopian Renaissance: Donald Trump apendekeza kwa Misri kuwa mpatanishi
Rais wa Marekani anapendekeza kuanzisha upya mazungumzo kati ya Misri na Ethiopia kuhusu bwawa liitwao Grand Ethiopian Renaissance (GERD). Siku ya Ijumaa, Januari 16, Donald Trump alichapisha barua iliyoelekezwa kwa…
Mwisho wa ubishi AFCON 2025
Pazia la Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 linafungwa rasmi leo kuanzia saa 4:00 usiku...
Kwa nini nchi za eneo zinataka kudumishwa utulivu na uthabiti nchini Iran?
Machafuko ya hivi karibuni nchini Iran na tishio la Trump kuishambulia kijeshi Iran ikiwa ni katika madai ya kuwaunga mkono wanaojiita waandamanaji vimezifanya nchi za eneo kuwa na wasiwasi mkubwa.
Mbeya Kwanza yachomoa straika Tanzania Prisons
BAADA ya Mbeya Kwanza kumuuza, Boniface Mwanjonde aliyejiunga na Fountain Gate dirisha hili dogo la Januari 2026, mabosi wa kikosi hicho wamekamilisha usajili wa aliyekuwa mshambuliaji wa maafande wa Tanzania…
PPRA yawahimiza wanafunzi vyuo vikuu kujikita katika data, Tehama na manunuzi ya umma
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imewataka wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kutumia...
Maziwa Makuu: Baada ya mkutano wa Lomé, upatanishi wa Afrika sasa waundwa na kugawana majukumu
Mkutano wa ngazi ya juu ulifanyika Jumamosi, Juni 17, 2026, huko Lomé, ukizingatia mshikamano na uimarishaji wa mchakato wa amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na eneo la…
Uchaguzi Uganda; Bobi Wine apinga ushindi wa Museveni
Kiongozi wa upinzani na mshindani mkuu wa Rais Yoweri Museveni katika uchaguzi mkuu wa hivi karibuni nchini Uganda, Robert Kyangulani maarufu kama Bobi Wine amesema hakubaliani na matokeo ya uchaguzi…
Wakazi wa Greenland waandamana kupinga vitisho vya Trump
Wakazi wa Greenland walifanya maandamano jana Jumamosi kupinga azma ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kutaka kisiwa hicho cha Aktiki kikabidhiwe Washington, wakisisitiza kuwa wakazi wa eneo hilo wanapasa…
Trump auza viti vya ‘Bodi ya Amani’ Gaza dola bilioni 1
Rais wa Marekani, Donald Trump amezitaka nchi mbali mbali duniani zilipe angalau dola bilioni 1 ili kusalia katika "Bodi ya Amani" ya Gaza, baada ya kumalizika muhula ulioanishwa wa miaka…
Soka la Afrika: Mashindano ya Mataifa ya Afrika, CHAN yatamatika
Wakati fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika ikichezwa leo Jumapili, Januari 18, rais wa Shirikisho la Soka la Afrika (AFCON), Patrice Motsepe, ametangaza siku ya Jumamosi Januari 17 kutamatika…
Hatimaye wamefumwa, Melis anachumbiwa, kule nako Devran haishiwi kufoka kila siku
Hatimaye wamefumwa, Melis anachumbiwa, kule nako Devran haishiwi kufoka kila siku. Usikose kutazama 6 of Us leo saa 2:00 usiku. #AzamTWO
Tetesi za Soka Ulaya Jumapili: Chelsea itafanikiwa kumsajili mlinzi huyu wa Ufaransa
Chelsea inajiandaa kulipa £43m kwa Jeremy Jacquet, Napoli inamfukuzia Evan Ferguson, na Bournemouth inamtaka Christos Mandas.
Barker na mtihani wa kwanza Ligi Kuu
Baada ya kushindwa kutamba Katika Kombe la Mapinduzi 2026, Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker...
#HABARI: Mamia ya abiria wanaosafiri kati ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, na Dar es Salaam wamekwama katika Daraja la Kikavu ku…
#HABARI: Mamia ya abiria wanaosafiri kati ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, na Dar es Salaam wamekwama katika Daraja la Kikavu kufuatia ajali ya malori mawili yaliyogongana uso kwa uso katikati…
Rais Samia atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mbunge
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Tanzania, Mussa...
Mshauli Mwelekezi wa Stadi za Maisha, Rodrick Nabe, amesisitiza umuhimu wa kutumia maumivu na changamoto za maisha kama chachu y…
Mshauli Mwelekezi wa Stadi za Maisha, Rodrick Nabe, amesisitiza umuhimu wa kutumia maumivu na changamoto za maisha kama chachu ya kufanikisha malengo. Amesema kuwa wengi wanapofanikisha maisha yao, huwa wanasahau…
Las Anod: Rais wa Somalia atetea umoja wa kitaifa, akiungwa mkono na washirika wake wa kikanda
Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amehudhuria sherehe ya kuapishwa kwa rais wa Jimbo la Kaskazini Mashariki huko Las Anod siku ya Jumamosi, Januari 17. Jamhuri ya Shirikisho ya Somalia…
Hadi huruma Masha wetu 🥹
Hadi huruma Masha wetu 🥹 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Siku akiachika wamseme tena 😭
Siku akiachika wamseme tena 😭
Binti Msumi kafanya yake tena 😭
Binti Msumi kafanya yake tena 😭
Pole @mashavu_kikala 😅
Pole @mashavu_kikala 😅