🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55….JANUARI 14, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....JANUARI 14, 2025
Usiku wa rekodi, heshima AFCON
Hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 huko Morocco imewadia katika...
Samia aagiza viongozi watekeleze ahadi za kampeni
RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi aliowateua hivi karibuni wakiwemo mawaziri na naibu mawaziri wakatekeleze kwa wakati ahadi zilizotolewa kwa wananchi wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu. Alitoa maelekezo hayo…
Makonda aanza kazi, ataka watendaji wizara wajipime
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda (Pichani) amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa wizara hiyo, Profesa Palamagamba Kabudi na kutaka watendaji wote wa wizara hiyo kuhakikisha…
Timu yako ya Taifa tayari iko hewani kupitia screen yako kukupa Mastori ya Town
Timu yako ya Taifa tayari iko hewani kupitia screen yako kukupa Mastori ya Town. #LiveOnClouds360 #Clouds26Nyoosha
Washington yatangaza Muslim Brotherhood kama ‘kundi la kigaidi’ katika nchi tatu za Kiarabu
Marekani imtangaza rasmi matawi ya Muslim Brotherhood nchini Misri, Jordan, na Lebanon kama “makundi ya kigaidi ya kigeni” siku ya Jumanne, Januari 13. Uamuzi huu, pamoja na athari zake muhimu…
#KIPIMAJOTO: Mahakama kurejeshewa jukumu la kuamua kesi za migogoro ya ardhi
#KIPIMAJOTO: Mahakama kurejeshewa jukumu la kuamua kesi za migogoro ya ardhi. Je, kutawezesha haki kupatikana kwa wakati?
Venezuela imeanza kuwaachilia Wamarekani, asema afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje
Venezuela imeanza kuwaachilia wafungwa wa Marekani, afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ametangaza siku ya Jumanne, Januari 13, akikaribisha hatua ya Caracas, siku kumi baada ya Marekani kumkamata kwa…
Cameroon yasalia bila serikali mpya wiki mbili baada ya tangazo la rais Biya
Wiki mbili tayari zimepita nchini Cameroon tangu Paul Biya, katika hotuba yake ya Mwaka Mpya, alipotangaza “serikali mpya” itakayoundwa “katika siku zijazo.” Ingawa “siku zijazo” ziko wazi kwa tafsiri, hii…
Mapitio ya #MAGAZETI leo januari 14, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo januari 14, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
NIKWAMBIE MAMA: Siasa mchezo wa makosa
Mambo yanapokuwa magumu, kuna namna watu kuyaacha yapite. Hii ni fomula muhimu maishani na kila...
Uchaguzi wa urais Uganda: Wafahamu wagombea wakuu miongozi mwa wagombea
Uchaguzi wa urais na wa wabunge unafanyika Januari 15 nchini Uganda. Rais aliye madarakani Yoweri Museveni, aliye madarakani tangu mwaka 1986, anawania muhula wa saba. Wanaokabiliana naye ni wagombea wengine…
Iran: Marekani yatafuta ‘kisingizio cha kuingilia kijeshi’
Iran imedai Marekani inatafuta sababu ya kuingilia kati kijeshi kwa kutumia maandamano ya machafuko ya Wairan wanaopinga hali ngumu ya maisha.
Zelensky akiri hali ni ngumu nchini Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema baada ya karibu miaka minne ya vita, hali nchini mwake inaendelea kuwa mbaya zaidi katika eneo la vita. Amesema miundombinu inaharibiwa na mashambulizi ya…
Viongozi wa Denmark na Greenland waungana kumpinga Trump
Denmark na Greenland zimeungana kupinga wito wa rais wa Marekani Donald Trump kutaka kukitwaa kisiwa cha Greenland. Viongozi wa nchi hizo wamesema wanaichagua Jumuiya ya NATO na Umoja wa Ulaya…
Mashariki mwa DRC: Wanajeshi 14 wa Kongo wauawa Ituri katika mapigano dhidi ya kundi la ADF
Idadi ya vifo hivyo kubwa imeripotiwa kufuatia mapigano kati ya jeshi la Kongo na Allied Democratic Forces (ADF), kundi lenye silaha linalohusiana na kundi la kigaidi la Islamic State (ISIS),…
Wafungwa zaidi ya 400 wameachiwa Venezuela
Spika wa bunge la Venezuela Jorge Rodriguez amesema watu zaidi ya 400 wameachiwa huru kama sehemu ya mpango wa kuwaachilia wafungwa wa kisiasa.
Wananchi Uganda kuamua hatima ya Museveni, Bobi Wine kesho
Katika uchaguzi huo utakaojumuisha wagombea wanane wa nafasi ya urais, wananchi wataamua nani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, ameahidi Serikali kuendelea kulinda na kuheshimu uhuru wa maha…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, ameahidi Serikali kuendelea kulinda na kuheshimu uhuru wa mahakama ili kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi. Dkt Samia ameeleza hayo…
Marekani kufuta ulinzi wa kufukuzwa kwa wahamiaji Wasomali
Mareani imesema itafuta hadhi ya ulinzi wa muda kwa baadhi ya wahamiaji kutoka Somalia. Hatua hii ni katika kuendeleza juhudi za rais Donald Trump kuwafukuza watu wengi kutoka nchini Marekani.
Uganda : Serikali yazima mtandao wa intaneti kuelekea uchaguzi mkuu
Serikali nchini Uganda imezima mtandao wa intaneti siku chache kuelekea uchaguzi mkuu wa hapo kesho, uchaguzi ambao Rais Yoweri Museveni anataka kuchaguliwa kwa muhula wa saba. Imechapishwa: 14/01/2026 – 04:53Imehaririwa:…
Trump awaambia waandamanaji wa Iran ‘msaada uko njiani’
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kufuta mikutano yote na maafisa wa Iran huku akiahidi kuwatumia msaada waandamanaji nchini Iran. Marekani imewataka raia wake waondoke Iran.
Maporomoko ya udongo mashariki mwa Kongo yauwa takriban watu 13
Takriban watu 13 wamepoteza maisha kufuatia maporomoko ya udongo yaliyotokea mashariki mwa Kongo mapema jana Jumanne. Watu wengien zaidi ya 30 hawajulikani waliko hadi sasa.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 14, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 14, 2026
Wanawake wakosekana katika kinyang’anyiro cha urais Uganda
"Kulikuwa na wanawake watatu wenye uwezo na sifa stahiki ambao wangeweza kufika katika orodha ya mwisho ya wagombea, lakini mfumo uliwakwamisha wote", anasema Yvonne Mpambara.
Qatar: Tunawasiliana ili kutatua tofauti kati ya Marekani na Iran
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar ametangaza kuwa, Doha inafanya mawasiliano na pande mbalimbali ili kutuliza hali katika eneo hili na kutatua tofauti kati ya Iran na…
Rais Trump ana lengo gani hasa na Iran?
Wakati ukandamizaji wa Iran dhidi ya maandamano ya kupinga serikali ukiendelea, rais wa Marekani anatafakari ni jinsi gani bora ya kushughulikia hilo.
Wanasiasa wa Pakistan: Ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kusimama pamoja na Iran
Wanasiasa mbalimbali wa Pakistan wamesisitiza kuwa, ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kuwa upande wa Iran katika mazingira ya sasa ambapo taifa hili la Kiislamu linaandamwa kwa njama mbalimbali.
Somalia yaitaka Israel kubatilisha mara moja uamuzi wake wa kuitambua Somaliland
Waziri wa Mambo ya Nje wa Somalia ameitaja hatua ya utawala ghasibu wa Israel ya kulitambua eneo la Somaliland kuwa ni ukiukaji wa wazi wa mamlaka ya nchi yake.
Je, tishio la ushuru la Trump ni ishara ya nguvu au kukiri kushindwa
Katika matamshi yake mapya ya vitisho, Rais wa Marekani amezililenga nchi zinazofanya biashara na Iran.
Jumatano, tarehe 14 Januari, 2026
Leo ni Jumatano tarehe 24 Rajab 1447 Hijria sawa na Januari 14 mwaka 2026.
14.01.2026 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kufuta mikutano yote na maafisa wa Iran huku akiahidi kuwatumia msaada waandamanaji nchini Iran / Shinikizo kutokana na hoja…
14.01.2026 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Iran yasema Marekani inatafuta 'kisingizio cha kuingilia kati kijeshi'. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky akiri hali ni ngumu nchini Ukraine. Na viongozi wa Denmark na Greenland waungana kupinga wito wa…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 14, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Tathmini yaibua matumaini mapya gesi asilia
DAR ES SALAAM: Tathmini ya data za mitetemo za 3D zilizochukuliwa katika Kitalu cha Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia cha Ruvuma kilichopo mkoani Mtwara imeonesha uwezekano wa uwepo wa…
New gas exploration project brings fresh hope
Dar es salaam: The ongoing oil and natural gas exploration at the Ruvuma Block in Mtwara Region has revived fresh hope for Tanzania’s energy sector, as an assessment of 3D…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 13, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 13, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA JANUARI YAKO KWA BUKU TU..JANUARI 13, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA JANUARI YAKO KWA BUKU TU..JANUARI 13, 2026
Baada ya kampuni ya Azam Marine kukamilisha ushushwaji wa boti mpya ya kisasa ya Kilimanjaro IX ‘Dragon of the Sea’ yenye uwezo …
Baada ya kampuni ya Azam Marine kukamilisha ushushwaji wa boti mpya ya kisasa ya Kilimanjaro IX 'Dragon of the Sea' yenye uwezo wa kubeba abiria 631 leo tunakuletea baadhi ya…
Katika nchi yenye makabila na tamaduni zaidi ya 125 ni vigumu kupata kitu cha kipekee kinachoweza kulitambulisha kabila na utama…
Katika nchi yenye makabila na tamaduni zaidi ya 125 ni vigumu kupata kitu cha kipekee kinachoweza kulitambulisha kabila na utamaduni wake lakini hilo linaonekana kuwezekana kwa makabila ya Wanyiramba na…
Utamaduni wa baadhi ya wanafunzi hususani wanaokuwa watahiniwa wa mitihani ya Taifa wa kuandika lugha isiyoaa ikiwemo matusi ime…
Utamaduni wa baadhi ya wanafunzi hususani wanaokuwa watahiniwa wa mitihani ya Taifa wa kuandika lugha isiyoaa ikiwemo matusi imekuwa ikiendelea licha ya adhabu ya kufutiwa matokeo kwa wanafunzi hao. Je,…
Rais Samia awaonya Makonda, Mwana FA
Rais Samia amesema hatasita kuwaweka kando viongozi watakaoshindwa kufanya kazi kwa ufanisi...
#HABARI: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameuweka wazi mpango wake kumuomba Rais wa Tanzania Dkt
#HABARI: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameuweka wazi mpango wake kumuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kiasi cha hadi Shilingi bilioni mbili kwa ajili…