Katika nchi yenye makabila na tamaduni zaidi ya 125 ni vigumu kupata kitu cha kipekee kinachoweza kulitambulisha kabila na utamaduni wake lakini hilo linaonekana kuwezekana kwa makabila ya Wanyiramba na Wanyaturu kutoka Singida.
Utambulisho wao unachangiwa na kinywaji cha ‘Magai’ ambacho Deus Liganga ametembelea kutazama maandalizi yake na kufahamishwa sababu za upekee wake.
Mhariri @moseskwindi
