Baada ya kampuni ya Azam Marine kukamilisha ushushwaji wa boti mpya ya kisasa ya Kilimanjaro IX ‘Dragon of the Sea’ yenye uwezo wa kubeba abiria 631 leo tunakuletea baadhi ya sifa mahsusi ya boti hiyo ya kisasa.
Mtumwa Said ameitembelea na kutazama mandhari ya ndani.
Mhariri @moseskwindi
