Watu wanane wauawa Odessa kufuatia mashambulizi ya Urusi
Takriban watu wanane wameuawa na wengine 27 wamejeruhiwa kufuatia shambulio la kombora la Urusi usiku wa kuamkia leo katika mji wa bandari wa Odessa nchini Ukraine.
Tony amekosa raha hadi ameanza kufikiria ilivyokuwa kwake na Nadia mama mtoto wake
Tony amekosa raha hadi ameanza kufikiria ilivyokuwa kwake na Nadia mama mtoto wake... #NomaSeries
IMF yaidhinisha kitita kingine cha dola milioni 445 kwa DRC
Bodi ya utendaji ya Shirika la Fedha la Kimataifa siku ya Ijumaa, Desemba 19, imeidhinisha kitita kingine cha dola milioni 445 kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Imechapishwa: 20/12/2025 –…
Baraza la Usalama la UN laiongezea muda MONUSCO huko DRC
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja azimio la kuongeza muda wa kuhudumu kwa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia…
Albanese: Jamii ya Wayahudi Australia “iko imara”
Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese amesema jamii ya Wayahudi nchini humo "iko imara na haiwezi kusambaratishwa".
Misri yaandaa mkutano wa Mawaziri kati ya Urusi na nchi za Afrika
Urusi itakuwa na mkutano mkubwa leo Jumamosi, Desemba 20, pamoja na washirika wake wa Afrika, unaolenga kuharakisha uhusiano wa kiuchumi na kupanua uhusiano wake barani Afrika. Hii inakuja licha ya…
Rais wa zamani wa Iraq ateuliwa kuwa Mkuu wa UNHCR
Rais wa zamani wa Iraq Barham Salih ameteuliwa kuwa mkuu mpya wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia wakimbizi (UNHCR), akichukua nafasi ya Filippo Grandi, raia wa Italia aliyeshikilia…
Hawana habari sio shida zao 😅
Hawana habari sio shida zao 😅 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Mamia ya wahamiaji wawasili kisiwani Crete, Ugiriki
Mamia ya wahamiaji wamewasili katika kisiwa cha Ugiriki cha Crete kwa kutumia mashua.
UNSC yaongeza muda wa kikosi chake cha kulinda amani nchini DRC kwa mwaka mwingine
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepiga kura kwa kauli moja sikuya Ijumaa kuongeza muda wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Waamuzi 17 Tanzania wapata beji za FIFA 2026
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa orodha ya waamuzi 17 waliopata beji za Shirikisho la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA) kwa mwaka 2026.
Mnenge Suluja afariki dunia, Gerefa, wadau wamlilia
Mchezaji wa zamani wa Simba, Kariakoo Lindi, na timu ya taifa ya vijana, Mnenge Suluja, amefariki dunia saa 5 usiku wa kuamkia Desemba 20, 2025 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali…
Ni desturi ya kale kwa Watanzania hususani wanaotoka mikoa ya Kaskazini mwa nchi kama Kilimanjaro na Arusha hukusanyika kwenye m…
Ni desturi ya kale kwa Watanzania hususani wanaotoka mikoa ya Kaskazini mwa nchi kama Kilimanjaro na Arusha hukusanyika kwenye mikoa hiyo kila ifikapo mwishoni mwa mwaka. Hali hii imebatizwa jina…
Baada ya Steve Barker kutambulishwa Simba, Stellenbosch yatoa tamko
KLABU ya Stellenbosch kutoka Afrika Kusini, imetoa tamko ikithibitisha kuwa, Steve Barker amejiuzulu nafasi yake ya Kocha Mkuu ili kuchukua jukumu jipya la kuinoa Simba SC ya Tanzania.
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya ICC; hujuma ya dhahir shahir inayolenga sheria na taasisi za kimataifa
Katika hatua ya kiupendeleo ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel, Marekani imewawekea vikwazo majaji wawili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC.
Vikwazo vipya ambavyo Marekani imeiwekea ICC; hujuma ya dhahiri kabisa dhidi ya sheria na taasisi za kimataifa
Katika hatua ya kiupendeleo ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel, Marekani imewawekea vikwazo majaji wawili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC.
Syria: Marekani yatangaza mashambulizi ya anga kulipiza kisasi kwa shambulio hatari la ISIS
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza siku ya Ijumaa, Desemba 19, kwamba kundi la Islamic State lililengwa kwa mashambulizi ya “kulipiza kisasi kikali” nchini Syria. Angalau wanachama watano wa ISIS…
Mwaka 2025 na mapigo matano kwenye tasnia ya burudani
2025 umekuwa mwaka wa hisia mchanganyiko katika burudani. Wakati wengine wakiuaga kwa mafanikio...
Sintofahamu plastiki ikitajwa kuchochea saratani
Hatari ipo kwenye maeneo ya mito, bahari na maziwa ambako taka za plastiki hutupwa ovyo.
CCM yaahidi kuwafikia watoto wanaoishi mazingira magumu
Kwa mujibu wa Rabia, kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka CCM kimeamua kuwapata tabasamu watoto...
Umoja wa Afrika waapa uwajibikaji kwa mashambulizi ya RSF dhidi ya raia wa Sudan
AU imethibitisha tena msaada wake kwa umoja na utawala wa Sudan wakati ikiwaonya RSF kwamba vurugu dhidi ya wananchi hazitapita bila adhabu.
#MICHEZO:Afisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Clifford Ndimbo, amesema Kikosi Cha timu ya Tanzania Taifa Stars, ha…
#MICHEZO:Afisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Clifford Ndimbo, amesema Kikosi Cha timu ya Tanzania Taifa Stars, haikuvaa vazi lenye utambulisho wa Taifa wakati ikiwasili Morocco kwenye mashindano ya…
Bondia Jake Paul alazwa akihofiwa kuvunjika taya
Paul aliangushwa katika raundi ya tano na ya sita, na baadaye katika maelezo yake amesema...
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rubio asema “lengo la haraka ni kusitisha mapigano” Sudan
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rubio asema "lengo la haraka ni kusitisha mapigano" katika mzozo wa Sudan
Israel yashambulia kwa mabomu harusi ya Gaza na kuua Wapalestina 6 licha ya makubaliano ya amani
Duru za kimatibabu zinasema kuwa silaha za Israel zashambulia makazi ya shule mashariki mwa Jiji la Gaza wakati wa sherehe ya harusi.
Kampeni za kugombea ubunge jimbo la Siha zinaendelea huku Chama cha Mapunduzi CCM kikiweka bayana dhamira ya Rais Dkt.Samia Sulu…
Kampeni za kugombea ubunge jimbo la Siha zinaendelea huku Chama cha Mapunduzi CCM kikiweka bayana dhamira ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan yale aliyoahidi kuyatekeleza ndani ya siku 100 yalifanyiwa kazi…
Ndani ya Boksi: Kamata Diamond na Alikiba
Gen Z wana mkwara sana. Sanaa! Mkwara ambao hata wao hawajui ni mkwara wa nini. Ila wameamua...
Iran yakemea vikwazo vya Marekani dhidi ya majaji wa ICC
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeilaani vikali Marekani kwa kuviwekea vikwazo majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikisema Washington inalinda waliotenda makosa makubwa ya jinai.
Iran yasisitiza utayari wa mazungumzo kwa msingi wa kuheshimu haki za taifa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amerejelea utayari wa Jamhuri ya Kiislamu kushiriki mazungumzo yanaliyojengwa juu ya heshima kwa haki za taifa, huku akipinga vikali mbinu zozote zinazotegemea shinikizo…
Iran yasisitiza utayari wa mazungumzo kwa msingi kuheshimu haki za taifa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amerejelea utayari wa Jamhuri ya Kiislamu kushiriki mazungumzo yanaliyojengwa juu ya heshima kwa haki za taifa, huku akipinga vikali mbinu zozote zinazotegemea shinikizo…
Muda wa kuhudumu askari wa UN nchini DRC waongezwa huku waasi wakishadidisha vita
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kauli moja janaDesemba 19, 2025 limepitisha azimio namba 2808 (2025), ambalo linaamua kuongeza hadi tarehe 20 Desemba 2026 muda wa kazi wa…
Katibu Mkuu wa UN akemea kuongezeka kwa ukatili wa walowezi wa Kizayuni Ukingo wa Magharibi
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amelaani kuongezeka kwa mashambulizi ya walowezi wa Kizayuni wasiokuwa halali dhidi ya raia wa Kipalestina wasio na silaha na mali zao katika…
Mabasi ya umeme yaliyoundwa Iran yaanza huduma mjini Tehran
Kundi la kwanza la mabasi ya umeme yaliyotengenezwa nchini Iran limeanza kutoa huduma katika mji mkuu, Tehran, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuboresha mfumo wa usafiri wa umma na…
Kwa nini uchague mafuta ya alizeti ya Sunland?
Kwa nini uchague mafuta ya alizeti ya Sunland? 🌻 Yana Vitamin E ya asili kwa wingi 🌻 Yana kiwango kikubwa cha mafuta yasiyojaa (unsaturated fats) 🌻 Yanasaidia lishe bora na…
Joshua amtandika Jake Paul kwa KO raundi ya sita
Hata hivyo, Joshua alimdhibiti mpinzani wake huyo kwa kumwangusha mara mbili katika raundi ya...
Usipitwe na uhondo wa Kombolela kuanzia saa 1:30 usiku
Usipitwe na uhondo wa Kombolela kuanzia saa 1:30 usiku. Mzee Kikala anasema na kila mtu leo. Ni huzuni
UTT Amis kuangazia soko la Afrika Mashariki na Kusini
Ukuaji wa mfuko wa uwekezaji umefikia Sh3.2 trilioni mwishoni mwa mwaka huu ikiwa ni ongezeko...
Anko Kitime: Historia ya wanamuziki mashujaa
Wanamuziki wenye vipaji kila mara hutaka kuvitoa vipaji vyao hadharani ili visikike na ndivyo...
#HABARI: Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba amesema ameridhishwa na kazi inayofanyika kwenye ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa mk…
#HABARI: Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba amesema ameridhishwa na kazi inayofanyika kwenye ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa mkoani Lindi, ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 90. Amesema Ujenzi wa Bandari…
#HABARI: Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe
#HABARI: Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuongeza kasi, uwajibikaji na ubunifu katika utekelezaji wa miradi yake…
Dk Mwigulu akagua maendeleo ujenzi madaraja Lindi
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amekagua maendeleo ya ujenzi wa madaraja na ukarabati wa barabara kuu ya Marendego-Nangurukuru-Lindi-Mingoyo. Akizungumza baada ya ukaguzi huo, Dk Mwigulu amewaambia wakazi wa Somanga mkoani…
Huyu Hashmet dah 😆 Yavuz afungiwa na mama yake hadi ampate Aziza
Huyu Hashmet dah 😆 Yavuz afungiwa na mama yake hadi ampate Aziza. Usikose 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO
#HABARI: Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Dar es salaam i…
#HABARI: Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Dar es salaam imefanya mafunzo kwa vikundi vya Wanawake, Vijana, Watu wenye…
#HABARI: Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imefanya ukaguzi kwenye maduka mbalimbali ya Pembejeo Halmashauri …
#HABARI: Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imefanya ukaguzi kwenye maduka mbalimbali ya Pembejeo Halmashauri ya Mji wa Mbinga mkoani Ruvuma na kubaini baadhi ya Wafanyabiashara kukiuka utaratibu…
#HABARI: Wahitimu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW) wametakiwa kuwa wabunifu na kubadilisha elimu ya huduma za ustawi kuwa bias…
#HABARI: Wahitimu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW) wametakiwa kuwa wabunifu na kubadilisha elimu ya huduma za ustawi kuwa biashara ili kujiajira wenyewe huku lengo kuu ni kutatua changamoto…
Penzi la Jux, Priscilla lilivyogeuka la kimkakati
Ni wazi kuwa uhusiano wa Jux na mkewe Priscilla kutokea Nigeria umekuza kwa kiwango kikubwa...
Mikusanyiko mwishoni mwa mwaka ni zaidi ya shamrashamra
Sikukuu za mwishoni na mwanzoni mwa mwaka ni fursa kwa wana jamii kukusanyika, kukumbuka...
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…..DESEMBA 20, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DESEMBA 20, 2025