Umuhimu wa kuvaa viatu kwa wenye ugonjwa wa kisukari
Hii inamaanisha kuwa miguu inaweza kushindwa kuhisi maumivu ya kujichoma na kitu chenye ncha...
Osman mtegoni wakati ambao mwanaye ameanda kumuokoa kipenzi chake
Osman mtegoni wakati ambao mwanaye ameanda kumuokoa kipenzi chake. Usikose kutazama OTTOMAN leo saa 4:00 USIKU ndani ya #AzamTWO
Assange awasilisha malalamiko dhidi ya Taasisi ya Nobel, asema ni chombo cha vita si amani
Mwanzilishi wa WikiLeaks, Julian Assange, amewasilisha kesi ya jinai dhidi ya Taasisi ya Nobel huko Sweden kufuatia uamuzi wa taasisi hiyo wa kutoa Tuzo ya Amani ya Nobel kwa kiongozi…
Usikose kutazama THE OLD MAN leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
Usikose kutazama THE OLD MAN leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
Maofisa habari wana dhima kuiheshimisha Tanzania
KAULI ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka, aliyotoa wakati wa kikaokazi cha kitaifa cha Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na maofisa habari wa serikali kilichofanyika Dar es Salaam, ni…
Zein anajuta na kujiapiza kuacha tabia zake
Zein anajuta na kujiapiza kuacha tabia zake
Shemdoe: Stendi Kuu Arusha ikamilike Mei 2026
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Prof. Riziki Shemdoe amemuelekeza Mkandarasi Mohammedi Builders Limited wa Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu…
Usikose kutazama Mrs Garcia, tamthilia mpya ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV, uhondo ni mw…
Usikose kutazama Mrs Garcia, tamthilia mpya ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV, uhondo ni mwingi, burudani tele.
Stanbic yatoa vifaa tiba vya Sh19.9 milioni Muhimbili
Benki ya Stanbic Tanzania imetoa vifaa tiba vyenye thamani ya Sh19.9 milioni kwa Taasisi ya...
Stanbic yatoa vifaa tiba Sh19.9 milioni Muhimbili
Benki ya Stanbic Tanzania imetoa vifaa tiba vyenye thamani ya Sh19.9 milioni kwa Taasisi ya...
Latra: Nauli ya Sh 1,000/- mwendokasi ni ya mpito
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), Habibu Suluo (pichani) amesema nauli ya Sh 1,000 inayotumika katika mabasi yaendayo haraka ni ya mpito. Akizungumza na waandishi wa habari…
Safeguard peace, PM tells Tanzanians
MBEYA: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has urged Tanzanians, particularly the youth, to remain vigilant and not allow themselves to be exploited by individuals with ill intentions aiming to destabilise…
Ufaransa: Polisi wavamia nyumba na ofisi ya Waziri wa Utamaduni kwa madai ya ufisadi
Polisi wa Ufaransa wamevamia nyumba ya Waziri wa Utamaduni, Rachida Dati, pamoja na makao makuu ya wizara na ofisi yake katika manispaa ya Paris, kufuatia kufunguliwa uchunguzi dhidi yake kuhusu…
Rais wa Zambia aidhinisha sheria ya kupanua Bunge miezi kadhaa kabla ya uchaguzi
Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, jana Alkhamisi alisaini sheria ambayo itapanua Bunge la nchi hiyo, hatua ambayo wakosoaji wanasema inaweza kukinufaisha chama chake, miezi minane kabla ya uchaguzi wa kitaifa.
Kundi la “Hanzala” lavujisha taarifa nyeti na kudukua simu ya Naftali Bennett
Mtandao wa al Mayadeen wa Lebanon umeripoti kuwa kundi la wadukuzi wa Iran, Hanzala, limedukua simu ya waziri mkuu wa zamani wa Israel, Naftali Bennett, katika operesheni iliyopelekea kuvujishwa mada…
Kulingana na ripoti, Wiz Khalifa alishtakiwa nchini Romania mwaka 2024 baada ya kuvuta bangi jukwaani wakati wa tamasha la Beach…
Kulingana na ripoti, Wiz Khalifa alishtakiwa nchini Romania mwaka 2024 baada ya kuvuta bangi jukwaani wakati wa tamasha la Beach, Please!. Ripoti za hivi karibuni zinaeleza kuwa mahakama ya Romania…
Sherehe imenoga wakati ambao Mzee Kikala analia na uzao wake nyumbani
Sherehe imenoga wakati ambao Mzee Kikala analia na uzao wake nyumbani. Usikose Kombolela leo saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD
#HABARI: Maboresho makubwa ya miundombinu yaliyotekelezwa na Serikali katika Bandari ya Dar es Salaam kupitia Mradi wa Dar es Sa…
#HABARI: Maboresho makubwa ya miundombinu yaliyotekelezwa na Serikali katika Bandari ya Dar es Salaam kupitia Mradi wa Dar es Salaam Maritime Gateway Project (DMGP) yanaendelea kuzaa matunda, baada ya bandari…
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa, amepata ajali majira ya saa tisa usiku ka…
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa, amepata ajali majira ya saa tisa usiku katika wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma. Ajali hiyo imetokea wakati Mhe.…
Tanzania, Misri kuimarisha kilimo, viwanda, uchukuzi
MISRI: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi wamefanya mazungumzo na Naibu…
Sarah amekuwa mada ofisini na sasa anataka kuacha yeye mwenyewe
Sarah amekuwa mada ofisini na sasa anataka kuacha yeye mwenyewe. Zein aomba msamaha kwa alichokifanya. Usikose THE PRICE leo saa 3:00 usiku #AzamTWO
Programme targets over 9,000 industries, six million jobs
DAR ES SALAAM: THE government has unveiled an ambitious industrial development programme targeting the establishment, revival and expansion of 9,048 industries nationwide, aimed at creating six million jobs within six…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO…. DESEMBA 19, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO- VIJANA NA SEKTA YA UBUNIFU... DESEMBA 19, 2025
Path to trust, healing
Analysts describe Inquiry Commission as foundation for peace, stability DAR ES SALAAM: THE Commission of Inquiry into the 2025 General Election violence, composed of seasoned jurists, diplomats and security experts,…
Miradi ya kimkakati kuleta neema ya ajira
SERIKALI ya Awamu ya Sita inatarajia kufufua miradi ya kimkakati iliyokwama kwa muda mrefu, ikiwemo miradi ya chuma na makaa ya mawe ya Mchuchuma na Liganga. The post Miradi ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55….DESEMBA 19, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....DESEMBA 19, 2025
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 19, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 19, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
TBS invites public views as it develops the national standards
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Bureau of Standards (TBS) has urged stakeholders from various economic sectors, as well as the general public, to actively participate in the development of national…
Tanzania yang’ara masoko nje
SERIKALI imesema mauzo ya bidhaa za Tanzania katika Soko la Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) yameongezeka kwa asilimia 40. Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema hadi mwaka…
#MEZAHURU: Kipi kifanyike kurudisha heshima za SHULE VIPAJI MAALUM kama zamani.?
#MEZAHURU: Kipi kifanyike kurudisha heshima za SHULE VIPAJI MAALUM kama zamani.? na kipi kilichochangia kupotea kwa shule hizi za VIPAJI MAALUM.? -weka maoni yako.
Shida Masamba anaendelea na moto wa shughuli yake pambe…Kina Siwa wamuona Mashavu kwenye shughuli..Binti Msumi amepewa taarifa…
Shida Masamba anaendelea na moto wa shughuli yake pambe...Kina Siwa wamuona Mashavu kwenye shughuli..Binti Msumi amepewa taarifa na kunyanyuka 'mkuku mkuu' au ni kuhusu Kobisi? 👀 Usikose kutazama #KombolelaSeries leo…
Nawanda anataka kuweka sharti kwenye makubaliano yake na Wendy
Nawanda anataka kuweka sharti kwenye makubaliano yake na Wendy. Said ameshtuka kilichofanywa na Mwana...Swali muhimu kutoka kwa Tony...Kikao kiliendaje? Usikose kutazama #NomaSeries leo saa 1:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD
Nusu fainali ya pili EA Super Cup inapigwa leo Ijumaa
Nusu fainali ya pili EA Super Cup inapigwa leo Ijumaa Saa 4:00 usiku, Bologna kumenyana na Inter Milan. Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports3HD, na kutangazwa kwa lugha ya Kiswahili.…
Mama Yavut ni kisa cha mwanaye kuwa katili kiasi hicho
Mama Yavut ni kisa cha mwanaye kuwa katili kiasi hicho. Yusuf na Jemo wameshikana mashati tena. Usikose 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO
SBL, Bolt waongeza ‘shangwe’ sikukuu
Moja ya vivutio vya kampeni hii ni motisha kwa wanaosherehekea, ikiwemo punguzo la usafiri...
Mkurugenzi FX Bureau De Change ‘achomoka’ kesi ya utakatishaji fedha
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imeamuru kuachiwa huru kwa...
Wadau waeleza matarajio tume ya uchunguzi
WADAU wa siasa na diplomasia wameeleza matarajio na imani yao kwa Tume Huru ya Uchunguzi ya vurugu zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, mwaka huu. The…
Njaa duniani: Madagascar miongoni mwa nchi zilizo katika hali ‘ya kutisha’, kulingana na ripoti
Kila mwaka kwa miongo mitatu iliyopita, muungano wa mashirika matatu yasiyo ya kiserikali ya kimataifa umechapisha kielelezo cha njaa duniani, ripoti ya kipimo kuhusu njaa duniani kote, ikitegemea hasa data…
Basma ana kwa ana mama yake Siham
Basma ana kwa ana mama yake Siham. Anamwambia Basma alikufa kwenye shimo la uchafu 😭 Usikose kutazama UMMY leo kuanzia saa 1:00 usiku #AzamTWO
Ecuador: Rais wa zamani Rodrigo Borja afariki akiwa na umri wa miaka 90
Rais wa zamani wa Ecuador Rodrigo Borja amefariki Alhamisi, Desemba 18, akiwa na umri wa miaka 90, Rais Daniel Noboa ametangaza kwenye mitandao ya kijamii. Imechapishwa: 19/12/2025 – 05:54 Dakika…
Bunge la Marekani laidhinisha kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya Syria
Bunge la Marekani limeidhinisha siku ya Jumatano, Desemba 18, kuondolewa kwa vikwazo vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Syria wakati wa utawala wa Bashar Al Assad. Uamuzi huu bado unahitaji kusainiwa…
Julian Assange afungua kesi dhidi ya Wakfu wa Nobel
Mwanzilishi wa WikiLeaks Julian Assange amewasilisha kesi dhidi ya Wakfu wa Nobel kufuatia uamuzi wa kutoa Tuzo ya Amani ya Nobel kwa kiongozi wa upinzani wa Venezuela Maria Corina Machado.…
Sh600 milioni kuondoa msongamano wa shule na zahanati Geita
Katika sekta ya afya, Buckreef Gold itawekeza katika ujenzi na uboreshaji wa zahanati za...
Umoja wa Ulaya kuipatia Ukraine mkopo wa yuro bilioni 90
Viongozi wa Umoja wa Ulaya hatimaye wamefikia makubaliano ya kuipatia Ukraine mkopo wa kiasi cha yuro bilioni 90 katika kipindi cha miaka miwili ijayo, hii ikiwa ni kulingana na Rais…
KUMEKUCHA 19 DESEMBA 2025 – MFUMO WA MAUZO YA NAZAO KIDIGITALI
KUMEKUCHA 19 DESEMBA 2025 - MFUMO WA MAUZO YA NAZAO KIDIGITALI