Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu ametangaza kifo cha Mbunge wa Peramiho, Jenista Joakim Mhag…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu ametangaza kifo cha Mbunge wa Peramiho, Jenista Joakim Mhagama, kilichotokea leo Alhamisi Desemba 11, 2025, jijini Dodoma. “Kwa…
Gamondi: Nothing is impossible
DAR ES SALAAM: TAIFA Stars Head Coach, Miguel Gamondi, says his side face a very tough group at the Africa Cup of Nations finals in Morocco but insisted nothing is…
Aliyekuwa Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mbunge wa Peramiho Mhe
Aliyekuwa Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mbunge wa Peramiho Mhe. Jenista Joakim Mhagama amefariki Dunia leo leo tarehe 11 Desemba, 2025 Jijini Dodoma. Taarifa…
Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama amefariki dunia leo Desemba 11, 2025 jijini Dodoma
Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama amefariki dunia leo Desemba 11, 2025 jijini Dodoma. “Kwa masikitiko makubwa, natangaza kifo cha Mbunge wa Perahimo, Jenista Mhagama kilichotokea leo 11 Desemba,…
Police uncover illegal passenger transportation in ambulances
MOROGORO: MOROGORO Regional Police have arrested drivers of five ambulances found transporting passengers from Dar es Salaam to Mtukula in Kagera Region, instead of carrying only patients as indicated by…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Per…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Peramiho Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama, kilichotokea leo tarehe 11 Desemba,…
Govt trains 170 chemical supervisors to enhance public safety
KIBAHA: THE government will heighten training to chemical supervisors from both public and private institutions across the country, in an effort to safeguard public health and prevent hazardous effects caused…
Mijadala inayoshika kasi Mitandaoni “Yuko wapi Rais wa Tanzania”
Mijadala inayoshika kasi Mitandaoni “Yuko wapi Rais wa Tanzania” 📸: Getty
New 689.5m/- school in Mlandizi to spur inclusive education
KIBAHA: THE government continues to create a friendly learning environment for children with disabilities, ensuring they access quality education, acquire necessary skills and contribute productively to their own lives and…
Mbunge Jenista Mhagama afariki dunia
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu ametangaza kifo cha Mbunge...
Hakuna upande utakaoshinda, sote turidhiane
Tarehe 9 Desemba kwa kawaida huwa siku ya sherehe na faraja kwa Watanzania. Ni siku ya...
Wasafiri kutoka nchi 40 ambazo raia wake wanaweza kusafiri kwenda Marekani bila visa hivi karibuni wanaweza kuhitajika kutoa taa…
Wasafiri kutoka nchi 40 ambazo raia wake wanaweza kusafiri kwenda Marekani bila visa hivi karibuni wanaweza kuhitajika kutoa taarifa za akaunti za mitandao yao ya kijamii kwa miaka mitano iliyopita.…
“Nina amini kwamba malezi ndio sehemu pekee inayotoa Binti mwema au Binti mbaya
"Nina amini kwamba malezi ndio sehemu pekee inayotoa Binti mwema au Binti mbaya. Na pia Teknolojia na wazazi wengi tumetaka watoto wetu walelewe kwenye vishkwambi tofauti na zamani ambapo mzazi…
“Huwa nasema jambo la kipuuzi hata kama watu mia Moja watalishangilia litaendelea kuwa la kipuuzi
"Huwa nasema jambo la kipuuzi hata kama watu mia Moja watalishangilia litaendelea kuwa la kipuuzi. Nafikiri vijana wengi hawapendi kufanya kazi tunataka maisha rahisi lakini kiuhalisia Hawa ambao tunawaita ma-sponsors,…
Usipange kukosa uhondo wa Mines of Passion leo saa 3;00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #Az…
Usipange kukosa uhondo wa Mines of Passion leo saa 3;00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
AzamTV imekuongezea chaneli tatu mpya katika Kisimbuzi, Liverpool TV chaneli namba 125, TVE International Africa chaneli namba 2…
AzamTV imekuongezea chaneli tatu mpya katika Kisimbuzi, Liverpool TV chaneli namba 125, TVE International Africa chaneli namba 250 na Furaha TV chaneli namba 419. Liverpool TV inapatikana katika vifurushi vya…
Israel yakiri: Iran ilikuwa na uwezo wa kumlenga kwa hujuma za mtandao kila Muisraeli katika Vita vya Siku 12
Mkuu wa idara ya usalama wa kimtandao ya utawala wa kizayuni wa Israel (INCD) amesema, operesheni za kimtandao za Iran za wakati wa vita vya siku 12 mnamo mwezi Juni…
Tangu ulipotangazwa usitishaji vita Ghaza, Israel imewaua shahidi Wapalestina wasiopugua 386
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Habari ya Ukanda wa Ghaza alitangaza kuwa jeshi la utawala wa kizayuni wa Israeli halijaheshimu wala kufungamana na makubaliano ya kusitisha mapigano na itifaki ya…
Waasi DRC watumia droni kushambulia wakiuwa raia 100, maelfu wakikimbia makazi yao
Machafuko Mashariki mwa DRC yameibuka ikiwa ni wiki moja baada ya kufanyika makubaliano ya...
Tunapoelekea katika sikukuu ya CHRISTMAS hakikisha una chupa ya sunland sunflower oil ☺ili mambo yaende muruaa 👌👌
Tunapoelekea katika sikukuu ya CHRISTMAS hakikisha una chupa ya sunland sunflower oil ☺ili mambo yaende muruaa 👌👌 🕹Tupo Tanzania nzima 📞 0738867122 . " (Feed generated with FetchRSS)
MWANAHARAKATI WA TANZANIA MANGE KIMAMBI AITAKA JAMII YA KIMATAIFA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA SERIKALI
MWANAHARAKATI WA TANZANIA MANGE KIMAMBI AITAKA JAMII YA KIMATAIFA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA SERIKALI Mwanaharakati wa Tanzania Mange Kimambi ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua madhubuti dhidi ya…
“Nafikiri vijana wengi hawapendi kufanya kazi tunataka maisha rahisi lakini kiuhalisia hawa ambao tunawaita ma-sponsors, mashang…
"Nafikiri vijana wengi hawapendi kufanya kazi tunataka maisha rahisi lakini kiuhalisia hawa ambao tunawaita ma-sponsors, mashangazi wenyewe wanataka starehe sio kwamba anakuhitaji kwa ajili ya kutengeneza future na wewe. Anataka…
MASTER CHEF ITAANZA JANUARI PILI, 2026
MASTER CHEF ITAANZA JANUARI PILI, 2026 Majaji wakuu wa shindano la upishi Australia wana kazi ya kuwapima, kuwachuja na wapishi bora wa nyumbani wenye shauku ya kuwa washindi kupitia shindano…
NIMR raises alarm over UTI infections
TANGA: THE National Institute for Medical Research (NIMR) study has sounded an alarm on superbug Urinary Tract Infections (UTIs). According to the statement released by NIMR, the study conducted at…
Graduates challenged to embrace AI responsibly for Africa’s growth
ARUSHA: GRADUATES from various programmes at the Eastern and Southern African Management Institute (ESAMI) have been urged to embrace digital transformation boldly, responsibly and ethically as a pathway to advancing…
ILO, CHODAWU empower domestic workers in Mwanza
MWANZA: AT least 100 domestic workers in Mwanza have benefitted from awareness training on their rights, in efforts to improve their working environments. The training, organised by the International Labour…
Govt moves to modernise land surveying
MOROGORO: THE Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development is in the final stages of revising the country’s land surveying and mapping laws, with plans to introduce a single,…
State unveils 122tri/- investment drive
DAR ES SALAAM: THE government aims to register investment projects worth 50 billion US dollars (about 122 tri/-), which are expected to create eight million jobs by 2030. Minister of…
Watoto watakaozaliwa kuanzia 2026 kuingia kundi jipya ‘Kizazi Beta’
Wanasayansi na wataalamu wa masuala ya malezi wamelitaja kundi jipya la watoto watakaozaliwa...
Peaceful Tanzania
DAR ES SALAAM: Tanzania is enjoying peace and normalcy, with streets, markets, and transport routes bustling once again. The East African nation marked its 64th Independence Anniversary amid stability, with…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 11,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 11,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Eeem tukutane saa 1:00 usiku leo pale #AzamONE maana JUANA inazidi kupata moto
Eeem tukutane saa 1:00 usiku leo pale #AzamONE maana JUANA inazidi kupata moto. 😊
Watu 22 wafariki, 16 wajeruhiwa baada ya majengo mawili kuporomoka katika mji wa Fes, Morocco
Watu wapatao 22 wamefariki dunia na wengine 16 wamejeruhiwa wakati majengo mawili ya makazi ya watu kuporomo katika mji wa Fes ulioko kaskazini mwa Morocco, jana Jumatano.
Kwa kuhofia Trump asije akafuatiliwa, White House yatoa vitisho, yaitaka ICC iifanyie mabadiliko hati yake
Shirika la habari la Reuters limezinukuu duru za kuaminika na kuripoti kuwa, serikali ya Marekani imewasiliana kwa siri na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC na kutishia kuiwekea vikwazo vipya…
Ghana yajibu mapigo kwa Israel, yawatimua wazayuni watatu waliowasili nchini humo
Serikali ya Ghana imewatimua kwa kuwarejesha walikotoka Waisraeli watatu, katika hatua ya kujibu mapigo na kulipiza kisasi dhidi ya utawala wa kizayuni wa Israel baada hapo awali kulalamikia kunyanywaswa raia…
Marekani: Fed yapunguza viwango vya riba licha ya upinzani kutoka kwa maafisa Kadhaa
Hifadhi ya Shirikisho la Marekani (Fed) siku ya Jumatano, Desemba 10, imepunguza viwango vya riba kwa mara ya tatu mfululizo, uamuzi uliotarajiwa sana na masoko ya fedha lakini uliokumbwa na…
Balozi Kaganda akutana na Balozi wa China nchini Zimbabwe
Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, CP Suzan Kaganda, amekutana na kuzungumza na Balozi wa China nchini humo, Zhou Ding, ambapo wamejadili masuala muhimu yanayolenga kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na…
Tanzania shows its true grit
DAR ES SALAAM: THERE are moments in a nation’s political calendar that appear unassuming yet carry a profound sense of collective attentiveness. This year, December 9, Tanzania’s cherished Independence Day,…
Slovakia yafungua Ubalozi Tanzania
BALOZI Mteule wa kwanza wa Slovakia nchini Tanzania, Ivan Lančarič amewasilisha nakala za Hati za Utambulisho kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Ngwaru…
Shirikisho la wananuzi la Kenya lawasilisha kesi dhidi ya makubaliano ya ushirikiano na Marekani
Shirikisho la wanunuzi wa bidhaa nchini Kenya (COFEC), limewasilisha kesi siku ya Jumanne, Desemba 9, kwa Mahakama Kuu ya Nairobi, kupinga makubaliano ya afya ya pande mbili yaliyosainiwa na Marekani.…
Usikose muendelezo wa 06 OF US leo saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO, shida bado zimewatawala familia ya Rifat wakihangaika huku …
Usikose muendelezo wa 06 OF US leo saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO, shida bado zimewatawala familia ya Rifat wakihangaika huku na kule 🥹
#AzamONE Unlocked 🔓 – KUFULI LIMEFUNGULIWA
#AzamONE Unlocked 🔓 – KUFULI LIMEFUNGULIWA Karibu kwenye ulimwengu mpya wa filamu, tamthilia na vipindi halisi vya burudani muda wote ukiwa kokote ulimwenguni. AzamONE inazidi kukua na kuwa imara zaidi.…
Presha yamzidi Alonso Madrid
Ikiwa usiku ambao Xabi Alonso alihitaji ushindi wa kuokoa nafsi yake pale Bernabeu, ndipo mambo...
Madagascar yazindua mashauriano ya kitaifa, mashirika ya kiraia yakata tamaa
Nchini Madagascar, sherehe ya uzinduzi wa mashauriano ya kitaifa imefanyika siku ya Jumatano, Desemba 10. “Sherehe ya kiishara zaidi kuliko kitu kingine chochote,” imekiri mamlaka, kwa kuwa majadiliano halisi na…
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewapongeza wananchi kwa kukubali wito wa kulinda amani na utulivu na kuidhihirishia d…
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewapongeza wananchi kwa kukubali wito wa kulinda amani na utulivu na kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni nchi ya amani.
Sahel: Wanawake wa Fulani wanayopitia chini ya udhibiti wa JNIM
Katikati mwa Sahel – haswa Mali na Burkina Faso – wanawake wanaishi vipi katika maeneo yanayodhibitiwa na wanajihadi, na wanafikiria nini kuhusu JNIM? Haya ni maswali yaliyoshughulikiwa katika ripoti iliyochapishwa…
Dereva wa Bisura kajinyonga au kamalizwa na watesi wake?
Dereva wa Bisura kajinyonga au kamalizwa na watesi wake? Baba Mussa anamtaka mwanaye hataki jambo jingine zaidi. Usikose kutazama #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD chaneli namba 106…
Benin: Msemaji wa Serikali azungumzia jaribio la mapinduzi
Nchini Benin, msemaji wa serikali Wilfried Houngbédji amezungumzia jaribio la mapinduzi la Desemba 7 huko Cotonou siku ya Jumatano, Desemba 10. Amesimulia mfuatano wa matukio na kukiri uungwaji mkono wa…
Donald Trump atangaza kukamatwa kwa meli ya mafuta kwenye pwani ya Venezuela
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatano, Desemba 10, ametangaza kwamba Marekani imekamata meli ya mafuta “kubwa sana” kwenye pwani ya Venezuela, na hivyo kuongeza mvutano na Caracas. Venezuela…