Yasser Abu Shabab, mshirika wa Israel na msaliti wa Wapalestina wa Ghaza aripotiwa kuuawa
Yasser Abu Shabab, mshirika wa kijeshi wa utawala wa kizayuni wa Israel mwenye uhusiano pia na kundi la kigaidi la DAESH (ISIS), maarufu kwa kuongoza uporaji wa misaada ya kibinadamu…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55….DESEMBA 05, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....DESEMBA 05, 2025
Cashew farmers earn 206bn/- this season
MTWARA: CASHEW growers in Mtwara, Masasi and Nanyumbu districts have earned a total of 206bn/- from the sale of raw cashew nuts (RCN) in the ongoing 2025/2026 auction season. The…
Yes, we should say no to disruptors
DAR ES SALAAM: TANZANIANS are working tirelessly to restore calm and unity in the weeks following the distressing events of 29 October. At a time when the nation is healing…
Mzumbe yataka matukio ya Oktoba 29 yawe darasa
CHUO Kikuu cha Mzumbe kimewataka wahitimu wake wajifunze kwa yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, mwaka huu. Mwenyekiti wa baraza la chuo hicho, Profesa Saida Yahya- Othman…
BoT: Shilling strengthens amid forex liquidity
ARUSHA: THE Bank of Tanzania (BoT) has reported that foreign exchange liquidity remained adequate in October, supported by inflows from gold exports, cash crops and tourism activities, according to its…
Karibu 50% ya raia wa nchi wananchama wa EU wanamuona Trump “adui wa Ulaya”
Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni umebaini kuwa, karibu nusu ya raia wa nchi wananchama wa Umoja wa Ulaya, EU wanamwona Rais wa Marekani Donald Trump kama "adui wa Ulaya,"…
World Soil Day marked amid warning on soil fertility loss
DODOMA: TANZANIA joined the rest of the world on Wednesday in marking World Soil Day amid growing concern that nearly 30 per cent of global soil fertility has been lost…
RC: Mining sector propels economic growth
DODOMA: DODOMA Regional Commissioner, Ms Rosemary Senyamule has commended the sixth-phase government for the major strategic reforms taking place in the country’s mining sector, saying the changes are creating new…
‘Wekeni mikakati wanafunzi waifahamu jiosayansi’
MBEYA: Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Mhandisi Zena Ahmed, ametoa wito kwa wataalamu wa jiosayansi nchini kuanza mikakati madhubuti ya kutoa elimu na kuhamasisha wanafunzi…
Champion sustainable farming, researchers told
DODOMA: RESEARCHERS in the country have been urged to ensure that their scientific findings translate into practical solutions that directly benefit citizens, particularly in tackling land and soil degradation and…
Bil 120/- mradi wa HEET zaineemesha MUHAS
CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS) kimesema kimepata Sh bilioni 120 kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET). Mwenyekiti wa Baraza la MUHAS, Dk…
#HABARI: Rais Paul Kagame wa Rwanda na Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wametia saini makubaliano ya amani …
#HABARI: Rais Paul Kagame wa Rwanda na Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wametia saini makubaliano ya amani Mjini Washington, Marekani ambayo yananuia kuumaliza mzozo wa muda mrefu…
Women counselled to play motherly role in safeguarding peace
DODOMA: WOMEN across the country have been urged to embrace their vital, motherly role in promoting peace and stability, which are the cornerstone in contributing to the shared growth and…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55….DESEMBA 05 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....DESEMBA 05 2025
#HABARI: Moto mkubwa umezuka katika kiwanda kinachodaiwa kuwa cha kutengenezea samani za Mbao, kilichopo maeneo ya Boko Msikitin…
#HABARI: Moto mkubwa umezuka katika kiwanda kinachodaiwa kuwa cha kutengenezea samani za Mbao, kilichopo maeneo ya Boko Msikitini Dar es Salaam, usiku wa Desemba 04, 2025 chanzo cha moto huo…
Wanawake waja na maazimio 5 kuimarisha amani
JUKWAA la Wanawake 2025 limeazimia mambo matano ili kuimarisha amani na mshikamano wa taifa. Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda aliyataja maazimio hayo…
Wanne wauawa katika shambulio jipya la Marekani dhidi ya washukiwa wa biashara haramu
Marekani imefanya shambulio lingine katika Pasifiki siku ya Alhamisi, Desemba 4, dhidi ya meli inayodaiwa kutumiwa na wafanyabiashara wa dawa za kulevya, na kuwaua watu wanne, jeshi la Marekani limetangaza…
Commuters oppose chaos as BRT services resume
DAR ES SALAAM: BUS Rapid Transit (BRT) services have resumed across Dar es Salaam, bringing major relief to thousands of commuters who had endured weeks of severe disruption, inflated transport…
Generation of peace: How youth are shaping TZ’s future stability
ARUSHA: TANZANIA continues to strengthen its foundation of peace and stability; an effort increasingly being driven by young people at the community level. In line with the National Development Vision…
Karibu nusu ya Wazungu wanamwona Trump kama ‘adui wa Ulaya,’ kulingana na kura ya maoni
Karibu nusu ya Wazungu wa Ulaya wanabaini kwamba Donald Trump ni “adui wa Ulaya.” Hii ni kulingana na kipimo cha maoni ya umma cha Ulaya, ambacho kilichunguza Wazungu kutoka nchi…
Burkina Faso: Utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traoré waamua kurejesha adhabu ya kifo
Wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri uliofanyika siku ya Alhamisi, Desemba 4, serikali ya Burkina Faso imeamua kupitisha kanuni mpya ya adhabu inayorejesha adhabu ya kifo kwa baadhi ya…
DRC-Rwanda: Makubaliano yaliyosainiwa Marekani yanasemaje
Rais w Rwanda na mwenzake wa DRC Paul Kagame na Félix Tshisekedi wamesaini mikataba kadhaa huko Washington siku ya Alhamisi, Desemba 4, iliyowasilishwa kama marekebisho kamili ya mchakato wa kidiplomasia…
Ununuzi waongezeka, bei za bidhaa muhimu zikipaa
Masoko kadhaa nchini yameanza kushuhudia msongamano wa wanunuzi wa vyakula na bidhaa muhimu...
#MEZAHURU: Je ni kweli muonekano wako ndio unaongeza thamani yako kwa watu..?
#MEZAHURU: Je ni kweli muonekano wako ndio unaongeza thamani yako kwa watu..? kwa maana ya umaridadi unaficha umasikini je ni kweli au ni msemo tu.? Saa tisa Alasiri #MEZAHURU
DRC-Rwanda: Tshisekedi na Kagame wasaini makubaliano ya amani Washington
Rais wa Marekani Donald Trump, pamoja na marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda, Félix Tshisekedi na Paul Kagame, wamesaini makubaliano ya amani huko Washington siku ya Alhamisi,…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 5,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 5,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Kibarua kinachomkabili Shetta Jiji la Dar es Salaam
Wadau wa siasa wametaja mambo manne yanayomkabili meya mpya wa Jiji la Dar es Salaam, Nurdin...
Ulanguzi tiketi wapamba moto kwa abiria
Wingi wa abiria wanaosafiri kutoka Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli kuelekea mikoa mbalimbali...
🔴#MAGAZETI: BUTIKU ASEMA TAIFA LINAHITAJI UPONYAJI ..DESEMBA 05, 2025
🔴#MAGAZETI: BUTIKU ASEMA TAIFA LINAHITAJI UPONYAJI ..DESEMBA 05, 2025
Droo ya Kombe la Dunia kufanyika Ijumaa huko Marekani
Droo ya Kombe la Dunia la Shirikisho la Kandanda Duniani, FIFA, litakalofanyika mwakani huko Marekani, Canada na Mexico itafanyika leo katika Kituo cha Sanaa cha Kennedy huko mjini Washington.
Merz aahirisha ziara yake kwa mazungumzo na Ubelgiji
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz leo atafanya mazungumzo na waziri mku wa Ubelgiji kutafuta suluhu kuhusiana na suala la kutolewa kwa fedha za Urusi zilizofungiwa, kuisaidia Ukraine.
Putin kufanya mazungumzo na Modi wa India, New Delhi
Rais wa Urusi Vladimir Putin atafanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi leo huko New Delhi.
Wanaopandisha kiholela bei ya Mbolea
Wanaopandisha kiholela bei ya Mbolea. Je, waondolewe sifa ya kuuza Mbolea ya ruzuku ?
Tshisekedi na Kagame wasaini mkataba wa kusitisha vita
Rais Donald Trump wa Marekani, amewapongeza viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame, kwa ujasiri wao wa kusaini mkataba wa amani.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…DESEMBA 05, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DESEMBA 05, 2025
Spika wa Bunge: Iran iko wazi kwa diplomasia lakini usalama wa taifa na nguvu ya ulinzi haviwezi kujadiliwa
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad-Baqer Qalibaf amesema ingawa Iran iko wazi kwa diplomasia, lakini haitalegeza kamba katika suala la usalama wa taifa na nguvu zake za ulinzi.
Hamas: Israel iwajibishwe kwa kuzika mamia ya miili ya Wapalestina kwenye makaburi ya umati
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imezitaka mahakama za kimataifa na vyombo husika kuwafungulia mashtaka wale waliohusika wa uhalifu wa kivita baada ya uchunguzi kufichua kwamba wanajeshi wa…
UN: Kuna hatari ya kuzuka wimbi jipya la mashambulizi na janga la kibinadamu Kordofan, Sudan
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, ametoa indhari kuhusu hatari ya kuzuka wimbi jipya la ukatili katika eneo la Kordofan, Sudan, baada ya kushadidi…
Wasomali wamjia juu Trump baada ya kuwaita “takataka”, na kwamba nchi yao “inanuka”
Matamshi ya dharau yaliyotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu watu na nchi ya Somalia yamesababisha wimbi la hasira na majibu makali.
Wakili Mskochi: Wawindaji wa wanawake wanatembea kwa uhuru nchini Uingereza
Utafiti mpya unaonyesha kwamba wasichana na wanawake nchini Uingereza bado wanahisi hawako salama katika maeneo ya umma.
Trump na mkakati wa kuchochea ubaguzi wa rangi
Donald Trump, Rais wa Marekani, ameendeleza mashambulizi makali dhidi ya wahamiaji wa Kisomali akisema: “Somalia inanuka.” Aidha, alimueleza Ilhan Omar, mbunge wa Kidemokrasia na Mwislamu, kuwa ni “takataka.”
Ijumaa, tarehe 5 Disemba, 2025
Leo ni Ijumaa tarehe 14 Jumadithani 1447 Hijria sawa na Disemba 5 mwaka 2025.
05.12.2025
Trump awapongeza Kagame na Tshisekedi kwa ujasiri wa kusaini mkataba wa amani//Putin kufanya mazungumzo na Modi wa India, New Delhi//Na Kansela wa Ujerumani Merz aahirisha ziara yake kwa mazungumzo na…
05.12.2025 – Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Trump awapongeza Kagame na Tshisekedi kwa ujasiri wa kusaini mkataba wa amani//Putin kufanya mazungumzo na Modi wa India, New Delhi//Na Kansela wa Ujerumani Merz aahirisha ziara yake kwa mazungumzo na…
Marais Paul Kagame, Felix Tshisekedi watia saini mkataba wa kumaliza machafuko mashariki mwa DRC
Utiaji saini wa mkataba huo wa amani unakuja miezi mitano, baada ya mawaziri wa mambo ya nje wa Rwanda na DRC kukutana na Rais Trump, na kuonesha nia yao ya…
#MALUMBANOYAHOJA: “Kwanza tuseme ukweli hatunufaiki kwa sababu hatujui, ni kitu kizuri ila hatukijui asilimia kubwa ukimuuliza m…
#MALUMBANOYAHOJA: “Kwanza tuseme ukweli hatunufaiki kwa sababu hatujui, ni kitu kizuri ila hatukijui asilimia kubwa ukimuuliza mambo ya hatifungani hayajui na labda niwe muwazi hii mada baada ya kutoka na…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 04 DESEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 04 DESEMBA 2025