Simba yajipigia Mbeya City, Bajaber atupia
SIMBA kama kawaida imeendeleza moto wake kwenye Ligi Kuu Bara, baada ya kuichapa Mbeya City mabao 3-0, lakini utamu wa ushindi huo ni kiungo Mohammed Bajaber.
“Tumegundua baadhi ya Watanzania bado hawana elimu kuhusu hati fungani, kuhusu uwekezaji wa hisa na mifuko ya uwekezaji”Winfrida…
"Tumegundua baadhi ya Watanzania bado hawana elimu kuhusu hati fungani, kuhusu uwekezaji wa hisa na mifuko ya uwekezaji"Winfrida Makuru - Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano - I TRUST…
#MALUMBANOYAHOJA: “FURSA ZA UWEKEZAJI HATI FUNGANI,HISA NA MIFUKO YA UWEKEZAJI
#MALUMBANOYAHOJA: "FURSA ZA UWEKEZAJI HATI FUNGANI,HISA NA MIFUKO YA UWEKEZAJI. JE, WATANZANIA WANAZICHANGAMKIA ILI KUNUFAIKA NAZO?"
Wananchi wa Kijiji cha Ihimbo – Mufind, mkoani Iringa, wameiomba serikali kuja na suluhisho la kudumu kuhusu ukosefu wa maji saf…
Wananchi wa Kijiji cha Ihimbo – Mufind, mkoani Iringa, wameiomba serikali kuja na suluhisho la kudumu kuhusu ukosefu wa maji safi na salama, kero ambayo imekuwa ikiwalazimu kutumia maji ya…
#HABARI: Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, ameipongeza hotuba ya Rais wa Ja…
#HABARI: Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, ameipongeza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan,…
#HABARI: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kyela, mkoani Mbeya, Bw
#HABARI: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kyela, mkoani Mbeya, Bw. Elias Mwanjala, amejitokeza hadharani kwa mara nyingine na kutoa kauli juu ya fedha ambazo alidai kuwa zimeteketea kwa…
Kwa wengi, kufikisha umri wa miaka 71 humaanisha kupumzika na kuangalia kizazi kipya kikikimbiza ndoto
Kwa wengi, kufikisha umri wa miaka 71 humaanisha kupumzika na kuangalia kizazi kipya kikikimbiza ndoto. Lakini kwa Mzee Steven Lameck (71), mkazi wa mkoa wa Katavi, umri huo umegeuka kuwa…
Uhaba wa usafiri wa mabasi kutoka Dar es salaam kwenda mikoa mbalimbali nchini umeilazimu Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini…
Uhaba wa usafiri wa mabasi kutoka Dar es salaam kwenda mikoa mbalimbali nchini umeilazimu Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) kufungua maombi ya leseni za muda kwa wasafirishaji ili…
#HABARI: Serikali imeendelea kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya awali ya mtoto kwa kuhakikisha …
#HABARI: Serikali imeendelea kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya awali ya mtoto kwa kuhakikisha wadau wote wenye jukumu la kuhakikisha watoto wanakua na kufikia utimilifu wao.…
Waziri aonya ujenzi wa miradi chini ya kiwango
Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar, Nadir Abdullatif amesema wizara hiyo haitomvumilia...
Wahitimu watakiwa kujiamini, kutumia maarifa kwa uadilifu
Wahitimu wamehimizwa kuendeleza nidhamu, ustahimilivu na kujituma baada ya kupitia safari yenye...
Mwakagenda Mwenyekiti mpya Halmashauri Rungwe
MBEYA; MADIWANI katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe wamemchagua Gabriel Mwakagenda kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) kuwa Mwenyekiti wa halmashauri hiyo. Katika Kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani kilichofanyika leo…
Wanaotibiwa saratani nje ya nchi wapungua
Idadi ya wagonjwa wa saratani wanaopelekwa nje ya nchi kwa ajili ya tiba hasa bobezi imepungua...
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 04, 2025 – UPELELZI KESI YA MANGE UHARAKISHWE
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 04, 2025 - UPELELZI KESI YA MANGE UHARAKISHWE
Dk Migiro asisitiza mazungumzo kuleta Taifa pamoja
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk Asha-Rose Migiro amesema huu ni wakati wa...
Buchosa yapata Mwenyekiti halmashauri
MWANZA; HALMASHAURI ya Wilaya ya Buchosa mkoani Mwanza imepata uongozi mpya baada ya madiwani kumchagua Isack Mashimba wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo kwa kura 27 za…
TADB yawafunda waandishi wa habari, wahariri fursa za kilimo, uvuvi
Zaidi ya waandishi wa habari 40 na wahariri wa Kanda ya Ziwa wamepewa mafunzo ya namna ya...
#HABARI: Halmashauri ya Mji wa Babati mkoani Manyara, imetoa tuzo kwa walimu wa shule za Sekondari waliofanya vizuri na kuwezesh…
#HABARI: Halmashauri ya Mji wa Babati mkoani Manyara, imetoa tuzo kwa walimu wa shule za Sekondari waliofanya vizuri na kuwezesha ufaulu wa wanafunzi katika mitihani ya kidato cha nne na…
Pinda ataka tafiti za sayansi katika sekta ya kilimo
Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda amezitaka taasisi za kitafiti kuendelea kuimarisha nafasi...
SGA yatwaa tuzo Chaguo la Mtumiaji Afrika 2025
Kampuni ya Ulinzi ya SGA Security kwa mara nyingine imetajwa kuwa mtoa huduma za usalama...
Serikali inaendelea kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya awali ya mtoto kwa kuhakikisha wadau wote…
Serikali inaendelea kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya awali ya mtoto kwa kuhakikisha wadau wote wenye jukumu la kuhakikisha watoto wanakua na kufikia utimilifu wao. Hayo…
Malawi yaidhinisha matumizi ya sindano ya dawa ya Virusi Vya Ukimwi (VVU)
Wataalamu wa afya wamepongeza hatua hiyo katika kudhibiti wimbi la maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU).
Marekani kutathimini uhusiano wake na Tanzania
Serikali ya Marekani imesema inatathimini kwa kina uhusiano wake na Tanzania, kwa kile...
Marekani kupitia upya uhusiano wake na Tanzania
Marekani imesema inapitia upya uhusiano wake na Tanzania wakati kukiwa na wasiwasi kuhusu uhuru wa kidini, uhuru wa kujieleza, vikwazo vya uwekezaji wa Marekani pamoja na ghasia dhidi ya raia.
Future Technologies Festival Opens in Dar es Salaam
DAR ES SALAAM: The grand opening of the large-scale educational festival — Robotics and Innovative Educational Technologies Days — was held today at the National Institute of Transport in Dar…
WHO: Watoto wazidi kufariki kutokana na malaria duniani
Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limesema Alhamisi kuwa watu takribani 610,000—wengi wao wakiwa watoto—wamefariki dunia mwaka 2024 kutokana na ugonjwa wa malaria.
Maxime aibukia Mbeya City, kuanza kazi baada ya Simba
KOCHA Mecky Maxime ndiye mrithi rasmi wa Mbeya City ya Mbeya akichukua mikoba ya Malale Hamsini aliyeondolewa mwanzoni mwa wiki hii.
Macron aisihi China kushinikiza amani Ukraine na kuweka usaw
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amemsihi Rais wa China, Xi Jinping, kusaidia kumaliza vita vya Ukraine na kuimarisha ushirikiano katika masuala ya kimataifa, biashara na mazingira.
Mahakama Tanzania yasikiliza kesi dhidi ya Mange Kimambi
Mahakama nchini Tanzania kwa mara ya kwanza imesikiliza kesi inayomkabili mwanaharakati na mtumiaji maarufu wa mitandao ya kijamii, Mtanzania anayeishi Marekani, Mange Kimambi, anayodaiwa kutenda makosa ya uhujumu uchumi
PM closes a directive seminar for ministers, deputy ministers
DAR ES SALAAM: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has today, December 4, 2025, officially closed a directive seminar for Ministers and Deputy Ministers, held at the Julius Nyerere International Convention Centre…
WHO: Wagonjwa wa Malaria waliongezeka duniani 2024
Shirika la Afya Duniani, WHO limesema ugonjwa wa malaria uliwaua takribani watu 610,000 duniani kote mwaka 2024.
Macron aiomba China kusaidia kurejesha amani Ukraine
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametoa wito kwa mwenzake wa China Xi Jinping kusaidia kukomesha vita nchini Ukraine. Wawili hao pia wameahidi kuimarisha ushirikiano katika masuala mbalimbali ikiwemo biashara.
Umoja wa Mataifa wahofia ”ukatili mpya” Sudan
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, amesema ana wasiwasi mkubwa kuhusu uwezekano wa kuzuka kwa ''ukatili mpya'' nchini Sudan.
Israel kushambulia kusini mwa Lebanon
Jeshi la Israel limesema litafanya mashambulizi dhidi ya kile linachoeleza kuwa miundombinu ya kijeshi ya Hezbollah kusini mwa Lebanon, na limewaonya wakazi wa vijiji viwili kuondoka mara moja kwa usalama…
Pacome, Dube waizima Fountain Gate
MABAO mawili yaliyofungwa kila moja katika kipindi cha mechi ya Ligi Kuu Bara leo la Prince Dube na Pacome Zouzoua yalitosha kuipa Yanga ushindi wa nne wa Ligi Kuu Bara…
Yanga yakaribia kileleni ikiichapa Fountain
Baada ya kufanya vizuri kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga imerejea kwenye Ligi...
Nafasi ya Made in Tanzania kwenye kujenga uchumi
Ikiwa imepita miezi zaidi ya minne tangu Tanzania izindue nembo yake ya Made in Tanzania kwa...
Sh5 bilioni zatumika kufidia uharibifu wa mali
Zaidi ya Sh5 bilioni zumelipwa kama fidia ya uharibifu wa mali kwa wateja zaidi ya 1,000 wa...
Marekani kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania
Marekani imesema inapitia upya uhusiano wake na Tanzania wakati kukiwa na wasiwasi kuhusu uhuru wa kidini, uhuru wa kujieleza, vikwazo vya uwekezaji wa Marekani pamoja na ghasia dhidi ya raia.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA SONGWE – DISEMBA 04, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA SONGWE - DISEMBA 04, 2025
Ubora wa Dar City, Fox Divas uko hapa
DAR City (DSM) na Fox Divas (Mara), zimeonyesha ubabe katika Ligi ya Kikaku ya Taifa (NBL), inayofanyika kwenye Uwanja wa Chinangali, Dodoma na kudhihirisha uwekezaji unalipa.
Trump kukutana na viongozi wa Kongo na Rwanda kutafuta amani
Rais Donald Trump, kuwaleta pamoja Rais wa Rwanda, Paul Kagame, na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Félix Tshisekedi, mjini Washington kusaini makubaliano mapya yanayolenga kuleta utulivu Congo.
TRA announces a resumption of its services countrywide
DAR ES SALAAM: THE Commissioner General of the Tanzania Revenue Authority (TRA), Yusuph Mwenda, has announced that TRA services have resumed in all offices nationwide that were affected during the…
Katibu Msaidizi wa idara ya Mabinti na Uwezeshaji wa Taasisi ya Mama Asemewe Bi
Katibu Msaidizi wa idara ya Mabinti na Uwezeshaji wa Taasisi ya Mama Asemewe Bi. Beatrice Mwahegili amewataka Vijana hususani Mabinti wa Kitanzania kuheshimu, kulinda na kuitunza amani ya Tanzania, akisisitiza…
Wagosi wanazitaka pointi tatu za Yanga
BAADA ya kuambulia sare ugenini dhidi ya Mashujaa, kocha mkuu wa Coastal Union, Mohamed Muya amesema wana dakika 90 ngumu kuwakabili watetezi wa Ligi Kuu Bara katika mechi itakayopigwa Jumapili…
Tanzania lures Turkish investment at Vision 25 Conference
INSTANBUL: TANZANIA continues to deepen its business and investment ties with the government of Turkey, as the Vision 25 Connectivity Conference affirms it. The coference was organized by the Independent…
Kiungo Tausi FC apata dili Sierra Leone
KIUNGO wa zamani wa Tausi FC, Zuwena Aziz ‘Zizou’ amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Mogbwemo Queens inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Sierra Leone.
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya, Mh
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya, Mh. Patrick Mwalunenge ameendelea kutekeleza ahadi zake za kuwawezesha wananchi kiuchumi baada ya…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya, Mh
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya, Mh. Patrick Mwalunenge ameendelea kutekeleza ahadi zake za kuwawezesha wananchi kiuchumi baada ya…