Dk Dugange azungumza na watumishi NEMC
NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk Festo Dugange, amefanya ziara yake ya kwanza katika Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na…
Mrithi wa Mnguto kupatikana Dar kesho Jumamosi
MBIVU na mbichi ya safu mpya ya uongozi ya Bodi ya Ligi (TPLB) itajulikana kesho Jumamosi, Novemba 29, wakati Mkutano Mkuu wa 12 wa Baraza Kuu la bodi hiyo utakapofanyika…
Hukumu ya wanachuo wanaodaiwa kumjeruhi mwenzao, Desemba 12
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Disemba 12, 2025 kutoa hukumu katika kesi ya kutishia...
#HABARI Kufuatia kuwepo kwa tuhuma zinazomkumba kuhusu umiliki wa vituo vya mafuta vinavyodaiwa kuwa vya Lake Oil, Waziri wa Nch…
#HABARI Kufuatia kuwepo kwa tuhuma zinazomkumba kuhusu umiliki wa vituo vya mafuta vinavyodaiwa kuwa vya Lake Oil, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala…
Chama la Wana Lajinasua mkiani
WAKATI mechi za Ligi ya Championship zikitarajiwa kuendelea tena keshokutwa Jumapili, Stand United (Chama la Wana), baada ya kucheza mechi sita mfululizo bila kupata ushindi hatimaye juzi ilizinduka kwa kuichapa…
GSM deepens business ties with Chinese truck firm
DAR ES SALAAM: GSM Group has reached a historic milestone after receiving 100 fuel transport trucks from Sino Truck Tanzania, a move expected to boost efficiency in the country’s transport…
Likizo, skrini na mustakabali wa watoto
Mitaani kinachosikika kwa kiasi kikubwa sasa ni sauti mpya, kelele za watoto waliomaliza...
Mil 200/- kutoa elimu utunzaji mazingira
DAR ES SALAAM: ZAIDI ya Sh milioni 200 zinatarajiwa kutumika kutoa elimu ya utunzaji wa mazingira na kuendeleza misitu katika maeneo mbalimbali nchini. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa MJUMITA, Rahima…
🔴MEZA HURU – UKATILI KIJINSIA MITANDAONI..NOVEMBA 28 2025
🔴MEZA HURU - UKATILI KIJINSIA MITANDAONI..NOVEMBA 28 2025
Visit Tanzania, it’s a once-in-a-lifetime adventure, urge Italian tourists
ARUSHA: VISITORS are raving about Tanzania, and Italian travelers have shown to be captivated by the country’s amazing food, warm people, perfect weather, and incredible wildlife, calling the experience a…
Hukumu ya wanachuo wanaodaiwa kumjeruhi mwenzao, Disemba 12
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Disemba 12, 2025 kutoa hukumu katika kesi ya kutishia...
Rais aliyepinduliwa na jeshi Guinea-Bissau akimbilia uhamishoni
Rais wa Guinea-Bissau aliyeondolewa madarakani siku chache zilizopita na jeshi la Taifa hilo...
Arne Slot aungwa mkono Liverpool
Liverpool, England. Kocha wa Liverpool aliyepo kwenye presha, Arne Slot, ameambiwa aendelee...
Mafuriko yaleta maafa Indonesea, Sri Lanka, tahadhari yatolewa
Mafuriko makubwa na maporomoko ya ardhi yamesababisha vifo vya takriban watu 90 nchini...
New ride-hailing services boost driver opportunities
DODOMA: Drivers in Dodoma, Mwanza, and Morogoro may soon enjoy new income opportunities with the launch of Maxim, an international online transport company. This entry into the vibrant urban transport…
Utasa: WHO yatoa mwongozo wa kwanza wa kimataifa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) leo tarehe 28 Novemba, limezitaka nchi duniani kuongeza usalama, usawa na upatikanaji wa huduma za uzazi kwa wote, kupitia mwongozo wake…
WHO: Vifo vya surua vimeshuka kwa asilimia 88 tangu mwaka wa 2000, lakini visa wanaongezeka.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO, leo hii limeripoti kuwa vifo vya surua duniani vimepungua kwa asilimia 88 kati ya mwaka wa 2000 na 2004, kutokana na…
WFP yaonya jinamizi la vita na njaa Sudan ni mtihani usio na majibu
Zaidi ya miaka miwili na nusu ya vita nchini Sudan imewaacha watu milioni 21 karibu nusu ya watu wote wa nchi hiyo wakikabili njaa kali, huku maeneo mawili yakithibitishwa kukumbwa…
Mkuu wa UN ameitaka Guinea-Bissau kurejesha utawala wa kikatiba mara moja
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, amelaani vikali mapinduzi yanayoendelea Guinea-Bissau, akitaka “urejeshwaji wa haraka na usio na masharti wa utawala wa kikatiba” baada ya wanajeshi kutwaa madaraka…
UNICEF: Programu ya Ujana Salama yawezesha vijana Tanzania
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (UNICEF) kupitia programu yake ya stadi za maisha na mafunzo ya biashara iitwayo Ujana Salama, inayofadhiliwa na mfuko wa maendeleo ya jamii…
Dunia iko hatarini kurudisha nyuma hatua dhidi ya VVU huku watoto wakiendelea kukosa matibabu – UNICEF
Watoto na vijana wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi, VVU wanaendelea kuachwa nyuma katika upatikanaji wa uchunguzi wa mapema, matibabu muhimu ya kuokoa maisha, na huduma, huku ufadhili unaopungua ukitishia kuongeza…
🔴HABARI ZA SAA, NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 28, 2025
🔴HABARI ZA SAA, NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 28, 2025
Iran yalaani jinai za utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran imelaani vikali jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na mauaji na mateso ya wakaazi wa…
Maelfu ya wafanyakazi waandamana Ireland kulaani jinai za Israel
Maelfu ya wafanyakazi wameandamana nchini Ireland kulaani kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel huko Palestina.
Kagame: Nina matumaini mazungumzo yangu na Tshisekedi yatakuwa chanya
Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema ana matumaini kuwa, mazungumzo yaliyopangwa kufanyika Marekani kati yake na Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo yataleta matokeo chanya.
Aweso akabidhi vitendea kazi DAWASA
WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, amekabidhi vitendea kazi kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA). Vifaa vilivyokabidhiwa DAWASA ni kwa dhumuni la kuimarisha utendaji kazi…
Sana’a yalaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya Yemen
Serikali ya Yemen imelaani vikali hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu na kuitaja kuwa isiyokubalika.
Makumi waaga dunia kwa mafuriko Indonesia, Thailand na Malaysia
Kwa akali watu 250 wamefariki dunia katika mataifa ya Indonesia, Thailand na Malaysia kufuatia mvua kubwa iliyoambatana na mafuriko na maporomoko ya ardhi.
Nana Dollz awatolea uvivu mashabiki wakorofi
Mwanadada anayefanya vizuri kwenye tamthilia ya Huba, Nasma Hassan Athumani ‘Nanadollz’...
Zuchu aingia anga za Diamond Platnumz, Rayvanny na Harmonize
Wiki hii Zuchu, staa wa Bongofleva kutokea WCB Wasafi ameweka rekodi nyingine kubwa kupitia...
Cholo Kobis alia na jamii inayomuelewa vibaya
Msanii anayefanya vizuri katika tamthilia ya Kombolea, Farid Mohammed ‘Cholo Kobis’ amesema...
🔴HABARI ZA SAA, SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 28, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 28, 2025
Rais wa Guinea-Bissau akimbilia nchi jirani ya Senegal
Rais wa Guinea-Bissau aliyepinduliwa madarakani Umaro Sissoco Embalo amekimbilia katika nchi jirani ya Senegal baada ya kuzuiliwa wakati wa mapinduzi ya kijeshi huku mpinzani wake mkuu akimshutumu kwa kupanga uasi.
Tourism Boom: Zanzibar nears 1m visitors a year
Zanzibar is on the verge of a historic milestone as annual tourist arrivals move closer to the one-million mark—an achievement that tourism authorities say reflects the islands’ growing global appeal,…
Takribani watu 90 wamefariki dunia kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyoikumba Indonesia juma hili, hasa katika kis…
Takribani watu 90 wamefariki dunia kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyoikumba Indonesia juma hili, hasa katika kisiwa cha Sumatra, kutokana na mvua kubwa zilizonyesha. Waokoaji wanaendelea na juhudi…
Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Dina Mathamani, amezindua rasmi doria na oparesheni maalumu za usalama kwa wavuvi kwenye Ziwa Tanganyi…
Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Dina Mathamani, amezindua rasmi doria na oparesheni maalumu za usalama kwa wavuvi kwenye Ziwa Tanganyika. Oparesheni hizo zinahusisha vyombo mbalimbali vya ulinzi, ikiwemo Jeshi la…
Vikosi dhidi ya ufisadi Ukraine vyavyamia ofisi ya Yermak
Vitengo vya kupambana na rushwa vimevamia nyumba na ofisi ya mkuu wa wafanyikazi wa Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy, Andrii Yermak.
Zelensky atangaza maandalizi ya mkutano wa amani Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameashiria kwamba huenda kukawepo na mkutano wa ngazi ya juu wiki ijayo ambao utaamua jinsi ya kumaliza vita vya Urusi na Ukraine.
Transit Camp yaibana Polisi nyumbani
KILIMANJARO: MBIO za kuwania nafasi ya kupanda Ligi Kuu zimeendelea kushika kasi ambapo timu ya Transit Camp imegawana pointi moja katika mchezo wa NBC Championship dhidi ya Polisi Tanzania uliochezwa…
EU yakemea mauaji na ukiukwaji wa haki za binaadamu Tanzania
Bunge la Ulaya, limekosoa matumizi ya nguvu yaliyofanywa na serikali ya Tanzania dhidi ya waandamanaji, baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, yaliyosababisha mauaji ya maelfu ya watu, majeruhi na ripoti…
Jeshi la Israel lawauwa watu 10 kusini mwa Syria
Watu 10 wameuawa hii leo kwenye operesheni ya wanajeshi wa Israel iliyofanyika kusini mwa Syria, hili likiwa shambulizi baya zaidi tangu kuondolewa mamlakani kwa Bashar al-Assad takriban mwaka mmoja uliopita.
Zanzibar kutokomeza malaria ifikapo 2030
MKURUGENZI wa Kinga na Elimu ya Afya Dk Salim Slim amesema Wizara ya Afya Zanzibar imekusudia kumaliza malaria Zanzibar ifikapo mwaka 2030. The post Zanzibar kutokomeza malaria ifikapo 2030 first…
Rwanda yaishtumu Kongo kwa kuchelewesha mkataba wa amani
Rais wa Rwanda Paul Kagame, ameilaumu serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kuchelewesha kutiwa saini makubaliano ya amani yenye lengo la kumaliza mzozo katika eneo la mashariki lenye…
Wabunge wa Afrika Mashariki wapongeza ushindi wa Rais Samia
Pongezi hizo zinakuja wiki moja kabla ya wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) hawajakutana jijini Nairobi.
Marekani kupitia upya hadhi ya uhamiaji ya wakazi wa kudumu
Utawala wa Marekani umetangaza kuwa utapitia upya hadhi ya uhamiaji ya kila mkazi wa kudumu inayojulikana kama hati ya "Green Card" kutoka Afghanistan na nchi nyingine 18 .
#HABARI: Shirika la Kazi Duniani (ILO) kwa kushirikiana na Taasisi ya WoteSawa na Chama cha Wafanyakazi wa Nyumbani, Hifadhi, H…
#HABARI: Shirika la Kazi Duniani (ILO) kwa kushirikiana na Taasisi ya WoteSawa na Chama cha Wafanyakazi wa Nyumbani, Hifadhi, Hotelini, Huduma za Jamii na Ushauri (CHODAWU) limewakutanisha takriban wafanyakazi wa…
RC Makalla : Utalii Arusha wazidi kuimarika
MKUU wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, ameongoza kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama cha Mkoa wa Arusha, ambapo wajumbe wa kikao hicho wamejiridhisha kuwa shughuli za…
Arusha sees tourism boom heading to festive season
ARUSHA: TOURISM continues to flourish in Arusha Region heading to the festive season, a situation that has delighted Regional Commissioner, Amos Makalla. Makalla, who chaired a meeting of the Arusha…
Mashahidi 55 kuhojiwa kesi ya Kariakoo
UPANDE wa mashitaka katika kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili wafanyabiashara watatu wanaodaiwa kuwa ni wamiliki wa jengo la Kariakoo, umedai kuwa utakuwa na mashahidi 55 na vielelezo 54 wakati…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata Pendo John Matongo (19) mkulima mkazi wa Mwembesongo na kumbuka Kwalitaho…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata Pendo John Matongo (19) mkulima mkazi wa Mwembesongo na kumbuka Kwalitaho Barafwa (22) mkulima mkazi wa Mwembesongo kwa tuhuma za mauaji. Tukio…