Mashujaa, Dodoma vita nzito leo
LIGI Kuu Bara inaendelea leo kwa mechi moja kupigwa Uwanja wa Lake Tanganyika, mjini Kigoma kwa wenyeji Mashujaa kuikaribisha Dodoma Jiji katika pambano la kisasi kutokana na rekodi za timu…
Riyama arudi kwenye kiti chake
Siku chache tu tangu alipofichua yupo mbioni kurudi katika sanaa ya uigizaji baada ya kusimama...
Ndemla afichua kinachombeba Ligi Kuu
KIUNGO mshambuliaji wa JKT Tanzania, Said Ndemla amesema ugumu na ubora wa Ligi Kuu Bara ni chachu kwao kukuza viwango vyao vya uchezaji huku akitaja sababu ya kuendelea kudumu kwenye…
Mbwa wa Rais wapotea Malawi
POLISI nchini Malawi wanachunguza wizi wa mbwa wanne wa polisi waliopotea kutoka Ikulu ya Rais mjini Lilongwe wakati wa mpito wa kisiasa mwezi Septemba The post Mbwa wa Rais wapotea…
Kilimanjaro Premium Lager: Celebrating 24 Years of Running, Culture and Unity
KILIMANJARO: As the world’s tallest free-standing mountain, Kilimanjaro always blesses it with its rare and beautiful sighting, the Kilimanjaro Premium Lager International Marathon continues to rise, now marking its 24th…
Kocha awapa 5 Watanzania kung’ara Kombe la Dunia
UFILIPINO; KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania ya mchezo wa Futsal, Curtis Reid, amewapongeza wachezaji wake kwa kufanya vizuri katika mechi dhidi ya New Zealand. Timu…
Tanzania cautions institutions against delaying workers’ entitlements
IRINGA: HUMAN Resource Officers and Legal Officers have been urged to strictly adhere to laws, regulations, procedures and established guidelines when handling disciplinary cases to prevent unnecessary financial losses to…
Hukumu kesi ya Askofu Sepeku kutolewa Desemba 16
Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi, imepanga Desemba 16, 2025 kutoa hukumu katika kesi ya ardhi...
Jeshi la Wanamaji la Iran kuzindia zana mpya za kivita
Admeri Shahram Irani, Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Iran, ametangaza mipango ya kuzindua vifaa vipya na kuunganisha meli mpya katika jeshi hilo.
Rais wa Nigeria atangaza hali ya hatari kufuatia wimbi la utekaji nyara
Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, ametangaza hali ya hatari ya kiusalama nchini humo baada ya mauaji na utekaji nyara kuongezeka kwa kasi.
Waangalizi wa uchaguzi walaani mapinduzi ya kijeshi Guinea-Bissau
Viongozi wa ujumbe wa waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Afrika (AU), Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) pamoja na Jukwaa la Wazee wa Afrika Magharibi (WAEF)…
Iran yawaonya mahasimu kuhusu mbinu za mabavu na mashinikizo
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametoa onyo kali kwa mahasimu wa Jamhuri ya Kiislamu akiwataka waache mwenendo wa mabavu na mashinikizo ya kupita kiasi dhidi ya…
South Africa hits back after Trump says US won’t invite it for G20 next year
SOUTH AFRICA: SOUTH Africa’s President Cyril Ramaphosa has described as “regrettable” the announcement by US President Donald Trump that South Africa would not be invited to take part in next…
Hamas yakemea mauaji na mateso ya wafungwa Wapalestina magerezani Israel
Harakati ya Kiislamu ya Kupigania Ukombozi wa Palestina (Hamas) imelaani vikali mauaji ya makusudi na mateso ya Wapalestina walioko katika magereza ya kuogofya ya utawala haramu wa Israel, ikiyataja kama…
Waliofukuzwa kwa vyeti feki kupata Nida
Baada ya kukwama kwa miaka kadhaa, Serikali imewapa nafasi waliofukuzwa utumishi wa umma kwa...
🔴MEZA HURU – UWANJA WA NYUMBANI ..NOVEMBA 27 2025
🔴MEZA HURU - UWANJA WA NYUMBANI ..NOVEMBA 27 2025
JWTZ, polisi waanza doria Ziwa Tanganyika
KIGOMA: Utekelezaji wa mpango wa doria ya pamoja baina ya Jeshi la Polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) umeanza katika Mwambao wa ziwa Tanganyika ikiwa ni utekelezaji wa…
UNAIDS yaanika pengo la ufadhili linavyoharibu programu za kinga ya VVU
Kuelekea Siku ya Ukimwi Duniani, ambayo huadhimishwa Desemba Mosi ya kila mwaka, Shirika la...
Baraza la Haki za Binadamu lateua wajumbe wa Tume ya Uchunguzi kuhusu Palestina
Rais wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, Balozi Jürg Lauber wa Uswisi, ameteua majaji watatu mashuhuri kuhudumu katika Tume Huru ya Kimataifa ya Uchunguzi kuhusu Ardhi…
DRC yazindua kampeni ya chanjo dhidi ya surua na rubella
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) leo Novemba 27,2025 imezindua kampeni kubwa ya chanjo inayolenga kuimarisha kinga ya zaidi ya watoto milioni 62 wenye umri wa miezi 6 hadi miaka…
Umoja wa Mataifa waanza mchakato wa kumpata atakayemrithi António Guterres
Umoja wa Mataifa jana Novemba 26, 2025 umeanza rasmi mchakato wa kumchagua Katibu Mkuu anayefuata pindi Katibu Mkuu wa sasa António Guterres atakapomaliza muda wake tarehe 31 Desemba 2026.
Tanzania, China waenzi urithi wa Tazara kupitia mchoro maalumu
Katika kuadhimisha historia na urithi wa ushirikiano kati ya Tanzania, China na Zambia, nchi...
MOI yagawa viungo bandia bure
ZAIDI ya watu 800 walijitokeza katika zoezi la ugawaji wa miguu na mikono bandia kwa watu wenye uhitaji, lililofanyika chini ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI)…
🔴HABARI ZA SAA, NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 27, 2025
🔴HABARI ZA SAA, NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 27, 2025
EU kuzuia mabilioni ya fedha kwa Tanzania, Serikali yatoa kauli
Wakati Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) likitarajiwa kupitisha azimio lake leo Novemba 26, 2025 la...
Bin Agil: Mapishi ya pwani na ladha asili mjini Mombasa
Katika mtaa wa Majengo, eneo la Mvita,mji wa kitalii wa Mombasa upepo mwanana wa bahari unaambatana na harufu ya biashara za karne nyingi za Bahari ya Hindi, ndipo anapopatikana mmoja…
Wadau wa maendeleo barani Afrika wameshauri kubuniwa kwa mifumo ya Akili Unde (AI) inayoakisi uhalisia wa maisha ya jamii za Kia…
Wadau wa maendeleo barani Afrika wameshauri kubuniwa kwa mifumo ya Akili Unde (AI) inayoakisi uhalisia wa maisha ya jamii za Kiafrika, badala ya kutegemea teknolojia kutoka mataifa ya nje ambazo…
Chuo cha Benki Kuu kimesema kipo mbioni kuunda sera mpya ya kuboresha mtaala wa mafunzo yatakayowawezesha wafanyakazi katika sek…
Chuo cha Benki Kuu kimesema kipo mbioni kuunda sera mpya ya kuboresha mtaala wa mafunzo yatakayowawezesha wafanyakazi katika sekta ya fedha kujiandaa ipasavyo kwa maisha ya kustaafu. Sera hiyo inalenga…
Tanzania yaapa kulinda mamlaka yake
Tanzania inakabiliwa na kampeni tulivu lakini inayoongezeka ya shinikizo la kisiasa kutoka nje sio kupitia uvamizi au vikwazo, bali kupitia wanadiplomasia, asasi zisizo za kiserikali zinazofadhiliwa na mataifa ya nje,…
Jeshi la Guinea-Bissau laidhibiti nchi, Rais Embaló akamatwa
Kundi la maofisa wa jeshi nchini Guinea-Bissau limetangaza kuiangusha serikali na kuchukua...
Hatari kutotibiwa maambukizi kwenye via vya uzazi
Wataalamu wa afya ya uzazi wa kina mama wamesema moja ya changamoto kubwa inayosababisha baadhi...
WHI yatakiwa kujenga nyumba nafuu, bila kutegemea bajeti ya Serikali
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Ridhiwani Kikwete, ameielekeza...
Tanzanian designer smells fortune at Wear nigeria gala
ABUJA: TANZANIAN fashion designer and model Agusta Masaki has arrived in Nigeria to represent the country at the major fashion event, Africana Royal Elegance Collection, scheduled to start tomorrow, November…
#HABARI: Naibu Waziri wa Nishati, Mhe
#HABARI: Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, alitembelea na kukagua Kituo cha kuzalisha umeme cha Mtera kilichopo mpakani mwa mikoa ya Iringa na Dodoma na kuridhishwa na hali ya…
Ibenge akataa unyonge kwa Wydad, ataja mambo mawili
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amesema wakati wanakutana na Wydad Athletic kesho Ijuma Novemba 28, 2025, matokeo pekee wanayoyataka ni kushinda au sare, lakini sio kupoteza.
UN yaonesha wasiwasi kuhusu hali nchini Guinea Bissau
Umoja wa Mataifa umeonesha wasiwasi kuhusu hali ya Guinea Bissau baada ya jeshi kutangaza kufanya mapinduzi. Mapinduzi hayo yaliyotokea baada ya milio ya risasi kusikika karibu na ikulu Jumatano.
Kocha Wydad amtaja Ibenge wakijiandaa kukutana kesho Zanzibar
KOCHA Mkuu wa Wydad Athletic, Amine Benhachem, amesema mechi ya kesho dhidi ya wenyeji Azam haitakuwa rahisi kutokana na ubora wa wapinzani wao wakiongozwa na Kocha Mkuu, Florent Ibenge.
Takriban nusu ya Wakenya bado katika umaskini uliokithiri
Ripoti ya Oxfam Kenya yaonyesha tajiri 125 wanamiliki zaidi ya utajiri wa Wakenya milioni 42.6, huku nusu ya wananchi wakiishi kwa chini ya KSh130 kwa siku.
BoT injects 25m US dollars to boost liquidity in the interbank forex market
DAR ES SALAAM: THE Bank of Tanzania (BoT) has moved to stabilise the foreign exchange market by selling 25m US dollars through an interbank auction conducted under its 2023 Foreign…
Dk Bashiru, Ng’wasi waanza ziara Moro
MOROGORO: Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dk Bashiru Ally, na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Ng’wasi Damas, wameanza ziara ya kikazi mkoani Morogoro kukagua maendeleo ya sekta za mifugo…
Waziri Gwajima atoa wito usalama wa mtoto mtandaoni
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Dorothy Gwajima, ametolea wito kwa wazazi na walezi kuhakikisha usalama wa watoto wanapotumia mitandao hasa kipindi cha likizo kwani…
Wabunge wa EU wapendekeza vikwazo dhidi ya Tanzania
Wabunge wa bunge la Umoja wa Ulaya wamependekeza kuweke vikwazo dhidi ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na matukio yaliyoambatana na uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29 nchini…
Tanzania invests 17bn/- to boost oral, dental health services
DODOMA: THE Ministry of Health has invested a total of 17bn/- to improve equipment for oral and dental health services in the country. The announcement was made in Dodoma by…
Posta Tanzania yatunukiwa cheti usalama UPU
SHIRIKA la Posta Tanzania limetunukiwa Cheti cha Usalama cha Kimataifa (S58 & S59) kutoka Umoja wa Posta Duniani (UPU), kufuatia mafanikio katika zoezi la tathmini ya usalama wa mifumo, miundombinu…
Papa Leo ziarani Uturuki kwa mazungumzo na Erdogan
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV amewasili nchini Uturuki atakapokutana na kufanya mazungumzo na Rais wa taifa hilo Recep Tayyip Erdogan. Baada ya Uturuki, ataelekea Lebanon Jumapili.
Obby Alpha: “Dunia Bila Watu Haina Ladha”
MWIMBAJI wa nyimbo za Injili nchini, Obby Alpha, amesema kuwa hata mtu akiwa na utajiri au mali nyingi, dunia inaweza kuonekana chungu endapo ataishi peke yake bila kuwa na watu…
#HABARI: Zaidi ya watu 40 wamefariki katika moto mkubwa ulioteketeza majengo ya ghorofa jijini Hong Kong, huku 45 wakilazwa hosp…
#HABARI: Zaidi ya watu 40 wamefariki katika moto mkubwa ulioteketeza majengo ya ghorofa jijini Hong Kong, huku 45 wakilazwa hospitalini na zaidi ya 279 wakitoweka. Polisi wamewakamata wakurugenzi wawili wa…
Uchunguzi wa moto ulioua watu 55 waanza Hong Kong
Mamlaka ya kupambana na ufisadi Hong Kong yaanzisha uchunguzi wa ukarabati baada ya moto ulioua watu 55, huku juhudi za uokoaji zikiendelea.
Urusi: Wanane wahukumiwa kifungo cha maisha kwa kuvunja kwa bomu Daraja la Crimea 2022
Mahakama ya Urusi imewahukumu watu wanane kifungo cha maisha jela leo Alhamisi, Novemba 27, kwa kuhusika kwao katika mlipuko mkubwa ulioharibu kwa kiasi daraja maarufu linalounganisha Urusi na Rasi ya…
Urusi yashambulia miundombinu ya nishati ya Kyiv
Urusi imesema kuwa majeshi yake yamefanya mashambulizi yaliyolenga miundombinu ya nishati na uchukuzi nchini Ukraine huku Kiev ikijibu kwa kushambulia kiwanda cha silaha cha Urusi cha VNIIR-Progress.