Agusta kuiwakilisha Tanzania katika onyesho la mitindo Nigeria
MBUNIFU wa mavazi na mwanamitindo, Agusta Masaki, anatarajiwa kuiwakilisha Tanzania katika onyesho kubwa la mitindo Africana Royal Elegance Collection litakalofanyika nchini Nigeria kuanzia Novemba 28 hadi 30, 2025. The post…
DRC: Ugonjwa wa Surua waathiri maeneo ya Masisi na Rutshuru (MSF)
Licha ya juhudi za mashirika yasiyo ya kiserikali na mamlaka za afya, surua inaendelea kuathiri maeneo ya Masisi na Rutshuru katika mkoa wa Kivu Kaskazini. Ugonjwa huu huathiri zaidi watoto…
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa kuhusu vita vya Gaza; athari za kutisha za jinai za Israel
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imefichua vipengele vipya vya athari za kutisha za vita vya Gaza. Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa vita vya utawala wa Kizayuni huko Gaza vimeunda…
Yamemkuta Sanaipei Tande, ataka mwanaume yeyote
Mwanamuziki na mwigizaji kutoka nchini Kenya, Sanaipei Tande (40) amezua gumzo katika mitandao...
#HABARI: Mahakama ya Wilaya Temeke jijini Dar es Salaam imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka 20 jela Rashidi Ruambo mwenye umr…
#HABARI: Mahakama ya Wilaya Temeke jijini Dar es Salaam imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka 20 jela Rashidi Ruambo mwenye umri wa miaka 56 fundi ushonaji Mkazi wa Yombo Makangarawe kwa…
Urusi yafunga ubalozi wa Poland Irkutsk kwa kulipiza kisasi
Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi imetangaza leo Alhamisi, Novemba 27, kufungwa kwa ubalozi wa mwisho wa Poland nchini Urusi, ulioko Irkutsk, Siberia, ikijibu tangazo la wiki iliyopita la…
Kituo cha Biashara Russia-India Kimeanzishwa
SERIKALI ya India imesema itaendelea kushirikiana na Urusi kuimarisha uhusiano wao wa kibiashara kwa kuanzisha Kituo cha Biashara cha Russia-India (Russian-Indian Trade House), hatua inayochukuliwa kuwa maendeleo makubwa katika ushirikiano…
🔴HABARI ZA SAA, SITA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 27, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SITA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 27, 2025
Lebanon: Mwaka mmoja baada ya usitishaji mapigano na Israel, hali bado ni tete
Ni mwaka mooja leo Alhamisi, Novemba 27, 2025, tangu kusainiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano yalipoanza kutumika kinadharia kati ya Israel na Lebanon. Yalitiwa saini baada ya makabiliano makali kati…
Mtanzania ashinda tuzo kubwa ya uhifadhi barani Afrika
Tuzo hizo hutambua wanaharakati wa uhifadhi barani Afrika ambao wameleta ubunifu na athari...
Mwanamke Mjerumani afungwa jela DRC kwa wizi wa benki
Honorine Porsche kwanza alikiri kuchukuwa pesa lakini baadaye akadai kuwa aliibiwa na maafisa wa usalama walioingia kwenye benki hiyo.
Wadau wa kupinga vitendo vya udhalilishaji nchini wameitaka jamii kuimarisha usimamizi wa malezi ya watoto na kuwa karibu nao il…
Wadau wa kupinga vitendo vya udhalilishaji nchini wameitaka jamii kuimarisha usimamizi wa malezi ya watoto na kuwa karibu nao ili kuwakinga dhidi ya hatari ya udhalilishaji. Kauli hiyo imetolewa Kitogani,…
Tanzania launches exhibition to honour founders of TAZARA
DAR ES SALAAM: THE Minister for Natural Resources and Tourism, Dr Ashatu Kijaji, has launched a special exhibition on the History of the Tanzania–Zambia Railway (TAZARA) at the National Museum…
Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki yasitisha makubaliano ya biashara kati ya Kenya na EU
Kufuatia malalamiko yaliyowasilishwa na shirika la kiraia la Uganda likidai kwamba makubaliano hayo yanaleta hatari za kimazingira na yanakiuka vifungu kadhaa vya mikataba ya kikanda, uamuzi huo umesababisha hasira huko…
Ukraine peace plan exposes Western double standards
UKRAINE: As Western governments push forward a Ukraine peace plan, critics across the Global South say the initiative exposes long-standing double standards in how the United States and Europe frame…
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Bw
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Bw. Raymond Mweli, amechukua maamuzi magumu akiwa soko la Rujewa, lenye changamoto ya uchakavu wa vyoo na kutuama maji…
Watashauriwa kuwajibika kukabili usugu wa dawa
MWANZA: WAFAMASIA nchini wametakiwa kuchukua hatua za haraka kukabiliana na ongezeka sugu la vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa, kwa kutoa elimu sahihi kwa wananchi kuhusu matumizi bora na salama…
Tanzania cautions EU parliament over political interference
BUSSELS: TANZANIA has sharply criticized what it calls a rising wave of foreign political interference after the European Parliament scheduled a hearing on alleged post-election abuses without consulting the government,…
Tunduru yapokea mradi wa oksijeni wa bil 1.5/-
HOSPITALI ya Wilaya ya Tunduru imekabidhiwa rasmi mradi wa uzalishaji na usambazaji wa hewa tiba ya oksijeni, unaogharimu sh bilioni 1.5 na ambao unatarajiwa kuongeza uwezo wa hospitali hiyo katika…
DRC: Wawakilishi wa jamii ya watu wa asili wasikilizwa katika kesi ya Roger Lumbala
Huko Paris, kesi ya Roger Lumbala inaendelea. Kiongozi huyo wa zamani wa waasi anashtakiwa kwa kushiriki katika uhalifu dhidi ya ubinadamu na njama za jinai, kwa vitendo vilivyofanywa mashariki mwa…
Ethiopia Yaingia BRICS
ETHIOPIA imefanikiwa kuwa mwanachama wa jumuia ya BRICS, hatua itakayoiweka nchi hiyo kwenye jukwaa la kimataifa na kuipa nafasi ya kusisitiza masuala muhimu ya bara la Afrika na masuala yake…
Posta Tanzania yatunukiwa cheti cha usalama kutoka Umoja wa Posta Duniani (UPU)
Shirika la Posta Tanzania limetunukiwa Cheti cha Usalama cha Kimataifa (S58 & S59) kutoka...
Maofisa ugani wapewa pikipiki kuimarisha uzalishaji pamba
MWANZA; MAOFISA ugani 12 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, wamekabidhiwa pikipiki 12 kwa ajili ya kusimamia zao la pamba katika wilaya hiyo, ikiwa ni sehemu ya kuboresha…
OCPD urged to embrace creativity
DODOMA: Minister for Constitutional and Legal Affairs, Dr Zuberi Juma Homera (MP), has urged staff of the Office of the Chief Parliamentary Draftsman (OCPD) to embrace greater creativity and professionalism…
Pressure mounts as Tanzania commits to protect its sovereignty
DODOMA: TANZANIA is facing a quiet but intensifying campaign of external political pressure, delivered not through invasions or sanctions but through diplomats, foreign-funded NGOs, religious actors, media networks and powerful…
Tanzania, UAE agree to strengthen parliamentary collaboration
ABU DHABI: The Ambassador of the United Republic of Tanzania to the United Arab Emirates (UAE), Lt. Gen. (Rtd.) Yacoub Hassan Mohamed, has met and held discussions with the Speaker…
Fundisho mauaji ya Kimbari, Rwanda
Mauaji ya kimbari nchini Rwanda mwaka 1994 ni moja ya majanga mabaya zaidi katika historia ya...
Tanzania hailed for adopting IPSAS standards.
ACCRA: TANZANIA has been praised for being among the leading countries in Africa in adopting International Public Sector Accounting Standards (IPSAS), a move that has contributed to transparency and accountability…
Jamii yakumbushwa kuzingatia lishe bora
ARUSHA; JAMII imekumbushwa lishe bora ni msingi wa afya ya binadamu, lakini pia izingatie usafi ili kujikinga magonjwa ya milipuko. Hayo yamesemwa na Ofisa Tawala Wilaya ya Monduli, Anael Mbise…
Algeria pledges to offer scholarships to Tanzanian youth
HARARE: THE Tanzanian High Commissioner to Zimbabwe, Suzan Kaganda, has said that the government of Algeria continues to offer educational scholarships to Tanzanian youth in various fields, as well as…
🔴HABARI ZA SAA, TANO NA DAKIKA 55, NOVEMBA 27, 2025
🔴HABARI ZA SAA, TANO NA DAKIKA 55, NOVEMBA 27, 2025
Cameroon: ‘Hali ya usalama imedhibitiwa,’ mamlaka yaonyesha kuridhika baada ya uchaguzi wa rais
Mwezi mmoja na wiki mbili baada ya uchaguzi wa rais nchini Cameroon, ambapo Paul Biya alitangazwa rasmi mshindi kwa muhula wa nane, mamlaka inaangalia na kuelezea kuridhika kwake: “hali ya…
Ripoti yaeleza hali ya mishahara nchini, wachumi wataja athari malipo kiduchu
Wakati kilio cha ajira kikiendelea miongoni mwa vijana nchini hususani wanaomaliza elimu katika...
Maofisa habari watakiwa kuhamasisha amani EAC
MAOFISA uhusiano kutoka Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wameagizwa kutangaza zaidi habari zinazohusu jumuiya hiyo katika kukuza uchumi, soko la pamoja, miundombinu ya barabara pamoja na kuhamasisha amani…
Kwa nini ATM bado muhimu enzi hizi za malipo kidijitali
Tanzania ipo katikati ya enzi ya malipo ya kidijitali ambapo matumizi ya mifumo mbalimbali ya...
Shangwe, vilio washtakiwa 198 wakiachiwa huru Dar
Shangwe, vilio vya furaha na huzuni vilitawala kwa muda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,...
Zaidi ya 40 wapoteza maisha Hong Kong
ZAIDI ya watu 40 wamethibitishwa kufariki dunia katika moto mkubwa ulioteketeza majengo kadhaa ya ghorofa jijini Hong Kong. Watu wengine 45 wamelazwa hospitalini wakiwa katika hali mbaya, huku zaidi ya…
Sheria inavyovibana vicoba, vikundi vya kusaidiana
Vilio, kupoteza fedha, usiri uliokithiri ni miongoni mwa mambo yaliyokuwa na bado yanaendelea...
Kiongozi wa Madagascar Michael Randrianirina, afafanua mbinu yake ya kidiplomasia
Madagascar inafafanua mbinu yake ya kidiplomasia. Katika mahojiano marefu yaliyorekodiwa na Russia Today, Kiongozi wa kijeshi Kanali Michael Randrianirina, amekumbusha kuwa (yuko wazi kwa kila mtu, akisema kwamba msimamo huu…
Trump aipiga marufuku Afrika Kusini kuhudhuria mkutano wa G20 Miami 2026
Trump ametaja madai "mauaji ya halaiki" dhidi ya wakulima wazungu nchini Afrika Kusini na kukataa kuwapokeza rasmi urais wa G20 kama sababu za kuizuia nchi hiyo kuhudhuria mkutano wa mwakani.
Ulega aridhishwa ujenzi madaraja ya dharura Lindi
LINDI: WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amekagua na kuridhishwa na hatua za ujenzi wa madaraja ya dharura katika Mkoa wa Lindi ambayo utekelezaji wake umefikia zaidi ya asilimia 88. Baadhi…
#HABARI: Takriban nusu ya wakenya wanaishi katika umaskini uliokithiri – kwa chini ya shillingi 130 kwa siku kulingana na ripoti…
#HABARI: Takriban nusu ya wakenya wanaishi katika umaskini uliokithiri - kwa chini ya shillingi 130 kwa siku kulingana na ripoti mpya ya Shirika la Kiuchumi la Oxfam Kenya. Ripoti hiyo…
Ujenzi madaraja barabara ya Kusini wafika patamu
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amekagua na kuridhishwa na hatua mbalimbali za ujenzi wa madaraja ya dharura yaliyoko katika Mkoa wa Lindi ambayo utekelezaji wake umefikia zaidi ya asilimia 88.…
Why the G20 both lost and found its way
MOSCOW: ON November 30, 2025, South Africa’s G20 presidency will conclude. This year was unique in the history of the intergovernmental forum, since it was the first time an African…
Trump vows immigration crackdown after shootings of National Guardsmen in DC
USA: IT took only a few hours for President Donald Trump to turn what he called “an act of evil, and an act of terror” into a full-blown argument for…
Tanzania yalionya bunge la Ulaya kuingilia siasa zake
TANZANIA: TAIFA la Tanzania limekosoa vikali kile inachokiita ongezeko la uingiliaji wa kisiasa kutoka mataifa ya kigeni, baada ya Bunge la Ulaya kupanga kufanya kikao kuhusu madai ya ukiukwaji wa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 27, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 27, 2025
Tinubu atangaza dharura ya usalama
RAIS wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, ametangaza hali ya dharura ya usalama wa kitaifa kufuatia kuongezeka kwa matukio ya mauaji, utekaji nyara na mashambulizi katika majimbo kadhaa nchini humo. The…
#MEZAHURU: Unafikiri kwa nini Timu za mipira zinaamini UWANJA WA NYUMBANI ndio fursa ya ushindi.?
#MEZAHURU: Unafikiri kwa nini Timu za mipira zinaamini UWANJA WA NYUMBANI ndio fursa ya ushindi.?
Hong Kong’s deadliest fire in 63 years: What we know and how it spread
AT LEAST 44 people have died after Hong Kong’s worst fire in 63 years tore through several high-rise buildings on Wednesday afternoon, officials said. Firefighters are still fighting the blaze…