Maafisa wa UN na AU kukutana leo kujadili viashiria vya mauaji ya kimbari El Fasher, Sudan
Unapokabiliana na ukatili na mauaji ya kimbari ni vema kuhakikisha wanaotekeleza wanafahamu kuwa wanafuatiliwa na kutazamwa ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa dhidi yao, amesema Chaloka Beyani Mshauri Maalum wa Katibu…
Rais Pezeshkian: Migawanyiko na mifarakano baina ya Waislamu inaunufaisha Uzayuni wa dunia
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, migawanyiko na mifarakano baina ya Waislamu ndilo jambo hasa wanalolitamani maadui wa Uislamu.
Kenya yataka majibu kwa Tanzania kuhusu raia wake waliokumbwa na misukosuko ya baada ya uchaguzi
Kenya imeitaka Tanzania itoe majibu kuhusu hali ya raia wake waliojipata kwenye mzozo wa baada ya uchaguzi, huku ikishinikiza serikali ya nchi hiyo ihakikishe usalama wao na kuchukua hatua dhidi…
Jifunze Kiswahili
Meaning of “Kibao cha Chapati” Swahili phrase:Kibao cha chapati,English translation:Chapati board or rolling board Explanation:“Kibao cha chapati” is a wooden board used in the kitchen when preparing chapati (a type…
Wahadzabe wataka viongozi waliochaguliwa waikumbuke jamii yao
Mbulu. Jamii ya Wahadzabe wanaoishi kwa uwindaji wa asili, kurina asali, kuokota matunda na...
Iran, Mhimili wa Muqawama zalaani ushadidishaji ‘hatari’ wa mashambulio ya Israel ndani ya Lebanon
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani wimbi jipya la uchokozi wa kijeshi unaozidi kufanywa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon, na kuikumbusha jamii ya kimataifa na nchi…
Iran, Mhimili wa Muqawama zalaani ushadidishaji ‘hatari’ wa mashambulio unaofanywa na Israel ndani ya Lebanon
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani wimbi jipya la uchokozi wa kijeshi unaozidi kufanywa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon, na kuikumbusha jamii ya kimataifa na nchi…
Mradi Shule Bora kuboresha ufundishaji Handeni Mji
MRADI wa Shule Bora upo hatua za mwisho kukamilisha ujenzi wa darasa jipya katika Shule ya Msingi Birikani, Halmashauri ya Mji Handeni, hatua inayotarajiwa kuongeza ufanisi wa ufundishaji na ujifunzaji…
Aliyeshtakiwa kwa mauaji ya bodaboda alivyonusurika adhabu ya kunyongwa
Mbele ya Mahakama hiyo, Shirima alishtakiwa kwa kosa la mauaji kinyume na kifungu cha 196 na...
Tanzania: Mashirika ya kiraia yalaani ripoti za mauaji ya kulipiza kisasi
Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Tanzania yamelaani ripoti za mauaji ya kulipiza kisasi yaliofanywa dhidi ya raia, baadhi wakiwa katika makazi yao wakati wa machafuko ya baada ya…
UN yamuondolea vikwazo Rais Sharaa wa Syria
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limemuondolea vikwazo Rais wa Syria Ahmed al-Sharaa anayetarajiwa kukutana na Rais Donald Trump wa Marekani Jumatatu ijayo.
CI: Chama cha PPA-CI cha Laurent Gbagbo hakitashiriki katika uchaguzi wa wabunge wa Desemba 27
Uamuzi huo umechukuliwa kufuatia mkutano wa kamati kuu ya chama uliofanyika jioni ya Alhamisi, Novemba 6. Uamuzi huo unakuja baada ya uchaguzi wa urais wa Oktoba 25, ambapo ugombea wa…
Kenya: Waathiriwa wa shambulio la bomu Nairobi 1998 wakata taamaa baada ya uamuzi kuahirishwa
Waathiriwa wa shambulio la bomu kwenye ubalozi wa Marekani nchini Kenya mnamo mwaka 1998 wanasema wamekataa tamaa baada ya uamuzi wa mahakama kuahirishwa. Imechapishwa: 07/11/2025 – 11:51 Dakika 1 Wakati…
Zipi athari za kufungwa kwa mitandao Tanzania
Hali Tanzania inaripotiwa kurudi kwenye ushuwari wake, baada ya mauaji yaliyoshuhudiwa wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, zilizopelekea kufungwa kwa huduma za intaneti kulikosababisha athari za…
Wanafunzi Kenya wazindua mapipa ya taka ya sensa
Wanafunzi wawili Keicy Winely mwenye umri wa miaka 12 na Shanice Achieng mwenye miaka 13 kutoka Kenya, walivumbua pipa la kutupia taka linalotumia "sensor" na hufunguka bila kuguswa kwa mkono…
Indonesia: Watu 54 wajeruhiwa katika mlipuko usiojulikana karibu na shule Jakarta
Angalau watu 54 wamejeruhiwa leo Ijumaa, Novemba 7, kufuatia mlipuko karibu na shule huko Jakarta, mji mkuu wa Indonesia, amesema mkuu wa polisi wa eneo hilo Asep Edi Suheri, bila…
Breuer: Urusi haipaswi kufikiria inaweza kuishinda NATO
Mkuu wa jeshi la Ujerumani Carsten Breuer, ameonya leo kuwa Urusi haipaswi kabisa kufikiria kwamba inaweza kushinda vita dhidi ya Jumuiya ya Kujihami ya NATO au hata dhidi ya mwanachama…
Trump atarajia kikosi cha kimataifa cha kuleta utulivu Gaza
Rais wa Marekani Donald Trump amesema anatarajia kuwa hivi karibuni, kikosi cha kimataifa cha kuleta utulivu kinachoratibiwa na Marekani kitawasili Ukanda wa Gaza.
Kimbunga Kalmaegi chaipiga Vietnam baada ya Ufilipino
Kimbunga Kalmaegi kimepiga Vietnam baada ya uharibifu mkubwa nchini Ufilipino, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua watano na kuharibu zaidi ya nyumba 2,600. Haya yamesemwa leo na maafisa nchini humo.
Miripuko yasikika katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum
Miripuko imesikika leo karibu na mji mkuu wa Sudan, Khartoum, unaodhibitiwa na jeshi, siku moja baada ya wapiganaji wa RSF kusema wamekubali pendekezo la usitishaji mapigano kwa sababu za kibinaadamu.
ICC yathibitisha mashtaka dhidi ya Joseph Kony
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC, jana Alhamisi ilithibitisha mashtaka yote 39 ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu yanayodaiwa kufanywa na mbabe wa kivita wa Uganda, Joseph…
‘Not Like Us’ yambebesha Kendrick Lamar hip-hop mabegani
Baada ya kushinda tuzo tano za Grammy mwaka jana kutokana na wimbo maarufu wa ‘Not Like Us’...
Tanzania: Raia wauawa majumbani mwao kwa ‘kulipiza kisasi’
Mashirika yasiyo ya kisetikali nchini Tanzania yanalaani vurugu na vitendo vya vikosi vya usalama dhidi ya raia hasa vijana kutoka upinznia kabla wakati na baada ya uchaguzi katika maeneo mbalimbali…
Nandy, Jux watumia AI kwenye video, kulinda ndoa zao
Kwa mara ya kwanza Bongo Fleva imeshuhudia video rasmi ya muziki iliyotengenezwa kwa teknolojia...
Steinmeier akamilisha ziara yake Afrika kwa kuizuru Angola
Rais wa Ujerumani Frank -Walter Steinmeier amewahimiza wafanyabiashara wa Ujerumani kufanya uwekezaji katika mradi mkubwa wa miundombinu ya reli wa Lobito kusini mwa Afrika.
UN: Israel imekataa maombi zaidi ya 100 ya kuingiza misaada Ghaza tangu vita viliposimamishwa
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, tangu yalipoanza kutekelezwa makubaliano ya kusitisha vita tarehe 10 Oktoba, utawala wa kizayuni wa Israel umekataa maombi 107 ya kuingizwa vifaa vya misaada katika Ukanda…
Utafiti: Kilimo cha mihadarati ya afyuni nchini Afghanistan kimepungua kwa 20% katika mwaka 2025
Utafiti mpya uliofanywa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na Madawa ya Kulevya na Uhalifu UNODC umeonyesha kupungua kwa kiasi kikubwa kwa kilimo cha mmea wa afyuni (Opium)…
Latra Mbeya yaonya watakaopandisha nauli, wadau watoa mwelekeo
Mbeya. Wakati shughuli zikirejea rasmi jijini Mbeya baada ya vurugu wakati wa uchaguzi, Mamlaka...
Baba wa Mtanzania aliyefia Israel aibuka kupatikana kwa mwili mwanaye
Joshua alitekwa wakati akifanya mazoezi ya kilimo kusini mwa Israel wakati wapiganaji wa Hamas...
Rais Ruto atoa wito wa kuachiliwa kwa Wakenya wanaoshikiliwa Ukraine
Rais wa Kenya William Ruto atoa wito wa kuachiliwa kwa Wakenya wanaoshikiliwa nchini Ukraine baada ya kufanya maongezi ya simu na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky.
Sh milioni 403 kurejesha Mawasiliano Mbinga
WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Mbinga umepokea jumla ya shilingi milioni 403.7 kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya kurejesha mawasiliano ya barabara zilizoharibiwa na mvua…
Wajumbe wateule waapishwa
ZANZIBAR : SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Zuberi Ali Maulid, amewaapisha wajumbe wateule wa Baraza hilo leo, kufuatia uteuzi uliofanywa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la…
Niffer, wenzake 21 wasomewa mashtaka likiwamo la uhaini
Mfanyabiashara Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na wenzake 21 amefikishwa katika Mahakama ya...
Maandamano ya vijana yalitikisa bara la Afrika
Afrika imekumbwa na shinikizo kubwa la maandamano ya vijana maarufuiru Gen Z,maandamano hayo yamekuwa yakibeba ujumbe wa vijana kupinga mifumo ya kiutawala,hali ya uchumi,haki za binadamu na matumizi ya rasilimali.
Swala dume na uwezo kumiliki majike 100
TANZANIA ni nchi iliyobarikiwa kuwa na aina nyingi za vivutio vya utalii vikiwamo vya wanyamapori kama swala wa aina mbalimbali wanaopatikana katika mapori ya akiba na hifadhi nyingi za taifa.…
Vurugu za baada ya uchaguzi nchini Tanzania: Miili ya waathiriwa wengi wa ukandamizaji haijapatikana
Familia nyingi zinasema bado hazijaweza kupata miili ya wapendwa wao waliotoweka wakati wa makabiliano yaliyotokea wakati wa uchaguzi wa wabunge na urais wa Oktoba 29 nchini Tanzania. RFI imepata ushuhuda…
Syria bado yazongwa na vurugu baada ya utawala wa Aassad
Mwaka mmoja tangu kuangushwa kwa utawala wa kidikteta wa Bashar Al Assad, Syria bado imezongwa na vurugu.
Pamba yazitaka pointi tatu kwa Singida, watatu kukosekana
KESHO Jumamosi Novemba 8, 2025, Pamba Jiji itaikaribisha Singida Black Stars katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuanzia saa 10:00 jioni, huku…
Gamondi awatega nyota watatu Pamba Jiji
Wakati Singida Black Stars ikijiandaa kuikabili Pamba Jiji kesho kwenye uwanja wa CCM Kirumba...
Paul Biya, Rais mkongwe zaidi duniani, aapishwa Cameroon
Paul Biya, Rais mkongwe zaidi duniani, mwenye umri wa miaka 92 ameapishwa kuwa Rais wa Cameroon kwa muhula wa nane.
Sudan: Mauaji yaliofichwa kwa umma El-Fasher, yachapishwa kwenye mitandao ya kijamii
Wasiwasi unaendelea kuongezeka kuhusu ukubwa wa ukatili unaofanywa na wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika jiji la El-Fasher, ambalo sasa linakabiliwa na hali ngumu ya kibinadamu. Ingawa…
Gamondi awapa masharti nyota watatu Pamba Jiji
WAKATI Singida Black Stars ikijiandaa kuikabili Pamba Jiji, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi amewaruhusu wachezaji watatu walio kwa mkopo kucheza ili kutaza viwango vyao.
AFC/M23 wawateua mamia ya mahakimu mashariki mwa DRC
Waasi wa AFC/M23 wamewateua mamia ya mahakimu katika majimbo ya Kivu Kaskazini na Kivu Kusini huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mahakimu hao watakuwa na jukumu la kufufua…
Donald Trump asema ‘yuko wazi’ kuondoa vikwazo dhidi ya Iran, ‘tutaona kitakachotokea’
Rais wa Marekani amebainidha siku ya Alhamisi kwamba mpango wa nyuklia wa Iran “umeangamizwa” na mashambulizi ya Marekani yaliyofanywa mwishoni mwa mwezi wa Juni. Imechapishwa: 07/11/2025 – 09:39 Dakika 1…
Kocha wa Azam FC aibukia timu ya Taifa Zimbabwe
Kocha wa zamani wa Azam FC, Marian Marinica ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya...
Pamba yaitangazia vita Singida BS ikiwakosa watatu
Pamba Jiji FC wataikaribisha Singida Black Stars katika kesho, Novemba 8, 2025 mchezo wa Ligi...
Karibea: Shambulio jipya la Marekani dhidi ya meli lawaua watu watatu (Pentagon)
Shambulio jipya la Marekani katika Bahari ya Karibea dhidi ya meli inayoshutumiwa kwa biashara ya dawa za kulevya limewaua watu watatu, Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth ametangaza. Shambulio…
Kanisa Katoliki Mbeya kuwaombea waliofariki, kujeruhiwa Oktoba 29
Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mbeya limetangaza nia maalumu ya kuwaombea watu waliopoteza maisha...
Jumamosi ya Novemba 15, timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itakuwa uwanja wa Al Salam, jijini Cairo ikicheza mechi ya kirafi…
Jumamosi ya Novemba 15, timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itakuwa uwanja wa Al Salam, jijini Cairo ikicheza mechi ya kirafiki na Kuwait. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00…
Donald Trump: Jeshi la Kimataifa litatumwa ‘hivi karibuni’ kwenda Gaza
Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku ya Alhamisi, Novemba 6, kwamba Jeshi la Kimataifa litatumwa “hivi karibuni” kwenda Gaza, siku moja baada ya Marekani kutangaza rasimu ya azimio la…