20 Percent aibuka tena
Baada ya ukimya wa muda mrefu, msanii wa Bongofleva, 20 Percent ameibuka na kusema hajarogwa...
THBUB yahimiza Watanzania kujitokeza kupiga kura kwa amani
THBUB Imewataka wadau wote wa uchaguzi kuhakikisha upigaji kura unafanyika katika mazingira ya...
Ngwando alivyovua njumu akavaa glavu
Ally Salim Ngwando siyo jina dogo licha ya mwenye jina kuwa na umbo dogo akiwa na uzito wa kilo...
Trump anataraji kuambulia nini katika safari yake ya Asia
Rais wa Marekani Donald Trump amewasili kwenye eneo la kusini-mashariki mwa Asia kwa ziara ya siku tano.
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 27, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 27, 2025
#HABARI: Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani Dkt
#HABARI: Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani Dkt. Chakou Tindwa, amesema mageuzi makubwa ya kimaendeleo yaliyofanywa na Serikali chini ya mgombea wa chama…
#HABARI: Rais wa Marekani Donald Trump anataka kuigeuza Venezuela kuwa “koloni” la Marekani, Mwanasheria Mkuu wa Venezuela amese…
#HABARI: Rais wa Marekani Donald Trump anataka kuigeuza Venezuela kuwa "koloni" la Marekani, Mwanasheria Mkuu wa Venezuela amesema. Tarek William Saab alisema siku ya Jumapili kwamba wito wa mabadiliko ya…
#HABARI: Moto ambao unadhaniwa umesababishwa na shoti ya umeme umeteketeza maduka sita yaliyoko katika Mtaa wa Igalilimi mjini K…
#HABARI: Moto ambao unadhaniwa umesababishwa na shoti ya umeme umeteketeza maduka sita yaliyoko katika Mtaa wa Igalilimi mjini Kahama huku Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likishirikiana na raia wema wakifanikiwa…
#MEZAHURU: Je, Kamera za ulinzi zinafaa kuwekwa maeneo gani, ni sahihi kuziweka chumba cha kulala
#MEZAHURU: Je, Kamera za ulinzi zinafaa kuwekwa maeneo gani, ni sahihi kuziweka chumba cha kulala
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: SANAA YA USHONAJI NGUO…OKTOBA 27, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: SANAA YA USHONAJI NGUO...OKTOBA 27, 2025
Iran: Hatua za mabavu zinazuia ushirikiano wa kimataifa katika kupambana na uhalifu
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Vahid Jalalzadeh ambaye alielekea Vietnam kwa lengo la kuhudhuria hafla ya utiaji saini Mkataba wa Umoja wa Mataifa dhidi ya Uhalifu wa…
Makundi Klabu Afrika ya moto, vigogo watawala
Timu 14 zimejihakikishia tiketi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na nyingine 16...
Rais wa Namibia amfukuza kazi Naibu Waziri Mkuu wa nchi hiyo
Rais Netumbo Nandi-Ndaitwah wa Namibia jana alimfukuza kazi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Viwanda, Natangwe Ithete.
#HABARI: Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe
#HABARI: Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, ametembelea na kujionea maandalizi ya ujenzi wa vituo 83 kati ya 90 vya wapiga…
Hamas yasisitiza haki ya Wapalestina ya kuwa na nchi huru; yasema imesitisha mapigano Gaza
Afisa wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza dhamira isiyoyumba ya harakati hiyo ya kutekeleza usitishaji vita huko Gaza na kusema Wapalestina hawataki…
Mgogoro wa mafuta nchini Mali wasababisha kufungwa shule kote nchini
Mali imefunga shule nchini kote kwa muda wa wiki mbili kutokana na uhaba wa mafuta unaoendelea.
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: SANAA YA USHONAJI…OKTOBA 27, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: SANAA YA USHONAJI...OKTOBA 27, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 27, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 27, 2025
UNICEF: Mfumo wa elimu wa Gaza umeporomoka na kizazi kizima kiko karibu kuharibiwa
Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limeonya kwamba uharibifu unaoendelea ambao umeaosababishwa na vita vya Israel katika eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina, ikiwa ni pamoja na…
#HABARI: Raia sita wa Iran, wamekamatwa Mashariki mwa Mombasa nchini Kenya wakisafirisha shehena kubwa ya dawa za kulevya kuwahi…
#HABARI: Raia sita wa Iran, wamekamatwa Mashariki mwa Mombasa nchini Kenya wakisafirisha shehena kubwa ya dawa za kulevya kuwahi kukamatwa nchini humo, Waziri wa Usalama wa Taifa Kipchuma Murkomen amesema…
Samatta dakika 519 bado mambo magumu Ufaransa
NYOTA wa kimataifa na nahodha wa timu ya taifa, Mbwana Samatta jana Jumapili alitimiza jumla ya dakika 519 kupitia mechi nane za Ligi Kuu ya Ufaransa bila ya kufunga bao.
Urusi yalifanyia majaribio kombora lake la nyukilia
Rais wa Urusi Vladimir Putin amethibitishakuwa nchi yake ilifanikiwa kujaribu kombora la nyuklia lenye uwezo kukwepa mfumo wowote wa ulinzi na kwamba itaendelea mbele kuitumia silaha za aina hiyo. Imechapishwa:…
Dk Tindwa: Chagueni viongozi wa CCM waendelee kuwaletea maendeleo
Watanzania wametakiwa kukichagua Chama cha Mapinduzi (CCM) kutokana na uimara wa viongozi wake...
Marufuku ya kuingia wanariadha wa utawala wa Kizayuni nchini Indonesia
Indonesia inachukulia marufuku ya kuingia wanariadha wa utawala Kizayuni wa Israel katika nchi hiyo kuwa haki yake halali.
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 27,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 27,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
DRC: Taasisi ya utafiti ya Ebuteli, yabaini mivutano kuhusu majukumu ya Mawaziri
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, utafiti kutoka taasisi ya utafiti ya Ebuteli, imebaini kuwa hakuna ugawaji sawa wa majukumu serikalini, tangu kutangazwa kwa baraza jipya la Mawaziri miezi mitatu…
Jamii yakumbushwa kuthamini vipaji vya watu wenye ulamavu
Katika dunia ambayo mara nyingi imekuwa ikiwatenga watu wenye ulemavu. Bahati Female Band...
Viongozi wa dini wasisitiza haki, amani kuelekea uchaguzi mkuu
Zikiwa zimebaki siku mbili Watanzania kupiga kura kuchagua viongozi wawatakao, viongozi wa dini...
🔴#MAGAZETI: POLISI – USALAMA WENU TUACHIENI / SIMBA YATINGA MAKUNDI CAFCL…OKTOBA 27, 2025
🔴#MAGAZETI: POLISI - USALAMA WENU TUACHIENI / SIMBA YATINGA MAKUNDI CAFCL...OKTOBA 27, 2025
Cameroon: Watu wanne wameuawa katika maandamano ya upinzani
Takriban watu wanne wameuawa kwa kupigwa risasi katika maandamano mjini Douala nchini Cameroon siku ya Jumapili wakilalamikia wizi wa kura, huku raia wakizidi kusubiri matokeo ya urais baada ya uchaguzi…
Kanali mstaafu wa jeshi la Marekani: Israel itaangamizwa ikiwa itaishambulia tena Iran
Lawrence Wilkerson, kanali msaafu wa jeshi la Marekani ametahadharisha kuhusu hatua yoyote ya Israel ya kuivuta Marekani katika vita na Iran na kusema kuwa Israel inaelewa vyema kwamba itaangamizwa ikiwa…
Kremlin: Jibu la Russia kwa shambulio lolote ndani ya ardhi yake litakuwa la maangamizi
Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin, ameonya kwamba iwapo kutatokea shambulio lolote la Ukraine ndani kabisa ya eneo la Russia, vikosi vya jeshi la nchi hiyo vitatoa jibu…
#KIPIMAJOTO: Mafunzo wanayopewa Makarani watakaosimamia zoezi la upigaji Kura katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 29
#KIPIMAJOTO: Mafunzo wanayopewa Makarani watakaosimamia zoezi la upigaji Kura katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 29. Je, wayatumie vyema kufanikisha Uchaguzi?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI …OKTOBA 27, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 27, 2025
Wanamgambo wa RSF wadai kutwaa makao makuu ya jeshi la Sudan katika mji wa al Fasher
Mapigano yalipamba moto jana Jumapili katika mji uliozingirwa wa al Fasher huko Sudan katika jimbo la Darfur Kaskazini, huku kundi la wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) likidai…
MSF: Israel inaendelea kutumia misaada ya Gaza kama silaha ya vita
Afisa mkuu wa shirika la kimataifa la misaada ya kibinadamu la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) anasema utawala wa Israel unaendelea kutumia misaada ya kibinadamu huko Gaza kama silaha ya…
PKK yatangaza kuondoka Uturuki kama sehemu ya mchakato wa kuweka chini silaha
Kundi la wanagmbo wa Kikurdi la PKK limetangaza rasmi uamuzi wake wa kuondoa wapiganaji wake wote nchini Uturuki kuelekea kaskazini mwa Iraq, kama sehemu ya mchakato wa kuweka chini silaha.
Jumatatu, tarehe 27 Oktoba, 2025
Leo ni Jumatatu tarehe 5 Jamadil Awwal mwaka 1447 Hijria sawa na Oktoba 27 mwaka 2025.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 27, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Maandalizi ya upigaji kura Kigoma Kusini yakamilika
Wananchi 259,617 wa jimbo la Kigoma Kusini wanatarajia kupiga kura katika uchaguzi mkuu...
Wagombea urais watakavyopishana kufunga kampeni, kupiga kura
Pazia la kampeni za urais kwa vyama mbalimbali vya siasa linatarajiwa kufungwa katika mikoa...
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha NRA, Almas Hassan Kisabya ameahidi kuweka mfumo imara wa ukusanyaji maduhuli ya serikali …
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha NRA, Almas Hassan Kisabya ameahidi kuweka mfumo imara wa ukusanyaji maduhuli ya serikali akiahidi uthabiti katika mapato, ili mfumo huo usaidie katika maendeleo…
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kupitia mgombea wake wa urais Salum Mwalim ameendelea kusisitiza azma yake ya kupunguza ug…
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kupitia mgombea wake wa urais Salum Mwalim ameendelea kusisitiza azma yake ya kupunguza ugumu wa gharama za maisha kwa wananchi, endapo watamchagua katika uchaguzi…
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othmamn amesema iwapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa r…
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othmamn amesema iwapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa rais, atahakikisha Zanzibar inapata stahiki zote za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.…
Wakati hekaheka za wagombea wa urais wa Tanzania zikiendelea, mgombea urais kwa tiketi ya chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo akiwa …
Wakati hekaheka za wagombea wa urais wa Tanzania zikiendelea, mgombea urais kwa tiketi ya chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo akiwa mkoani Tanga amesema endapo watanzania watampa ridhaa ya kuwaongoza…
Madrid yavunja unyonge ikiichapa Barcelona
Real Madrid imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya mahasimu wao Barcelona katika mchezo wa...
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kupitia mgombea wake wa urais Salum Mwalim ameendelea kusisitiza azma yake ya kupunguza u…
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kupitia mgombea wake wa urais Salum Mwalim ameendelea kusisitiza azma yake ya kupunguza ugumu wa gharama za maisha kwa wananchi, endapo watamchagua katika uchaguzi…
Dk Mwinyi afunga pazia la kampeni, akiahidi neema kwa Wazanzibari
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi...