Naibu Katibu Mkuu Huduma za Hazina Wizara ya Fedha, Jenifa Omolo amewataka wahitimu wa mitihani ya kitaaluma ya ununuzi na PSPT…
Naibu Katibu Mkuu Huduma za Hazina Wizara ya Fedha, Jenifa Omolo amewataka wahitimu wa mitihani ya kitaaluma ya ununuzi na PSPTB kuhakikisha wanafanya kazi kwa kufuata misingi na maadili ya…
Jumuiya ya Afya ya nchi za Afrika Mashariki, Kati na Kusini (ECSA-HC) na Jukwaa la Wabunge wa Nchi Wanachama wa Mkutano wa Kimat…
Jumuiya ya Afya ya nchi za Afrika Mashariki, Kati na Kusini (ECSA-HC) na Jukwaa la Wabunge wa Nchi Wanachama wa Mkutano wa Kimataifa wa Ukanda wa Maziwa Makuu (FP-ICGLR) wamesaini…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 26, 2025 – WAGOMBEA WATATU ZANZIBAR WAFUNGA KAMPENI ZAO
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 26, 2025 - WAGOMBEA WATATU ZANZIBAR WAFUNGA KAMPENI ZAO (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Dkt
#HABARI: Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Dkt. Aboud Jumbe amepongeza waandaaji wa Mdahalo wa Hatua 5 za Dkt. Mwinyi, ulioandaliwa na Waandishi wa Habari kutoka…
Chaumma yaahidi kufuta tozo daraja la Kigamboni, kujenga viwanda
Zikiwa zimesalia siku tatu pekee kabla ya Watanzania kwenda kupiga kura kumchagua Rais, wabunge...
#HABARI: Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Musoma mkoani Mara, Michael Msoganzila amewaomba waumini wa kanisa hilo kuombea uc…
#HABARI: Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Musoma mkoani Mara, Michael Msoganzila amewaomba waumini wa kanisa hilo kuombea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Jumatano Oktoba 29, 2025 ili uwe wa haki…
Sh21.9 bilioni kuibadilisha Mpanda
Wananchi wa Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, wanatarajia kunufaika na mabadiliko ya kiuchumi...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Jacobs Mwambegele amewataka wasimamizi wakuu na wasaidizi, kutenda haki kwenye vituo…
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Jacobs Mwambegele amewataka wasimamizi wakuu na wasaidizi, kutenda haki kwenye vituo vya kupigia kura kwa vyama vyote vya siasa, ambavyo vimesimamisha wagombea kwenye…
#HABARI: Rais wa Tanzania Dkt @samia_suluhu_hassan ameandika historia mpya kabisa, baada ya kufanikisha timu nne za mpira wa mig…
#HABARI: Rais wa Tanzania Dkt @samia_suluhu_hassan ameandika historia mpya kabisa, baada ya kufanikisha timu nne za mpira wa miguu Tanzania kufuzu hatua ya makundi katika mashindano ya Afrika. Timu hizo…
Ahmed Ally amjibu Ali Kamwe, apagawa na ‘Pira Tattoo’ la Pantev baada ya kutinga makundi kinyonge sana
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Mkuu wa wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewasihi watu wenye ulemavu kuendelea kuliombea taifa huku wakifanya shughuli za uzalis…
Mkuu wa wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewasihi watu wenye ulemavu kuendelea kuliombea taifa huku wakifanya shughuli za uzalishaji mali na kujipanga kupokea mikopo ya asilimia 10 inayotolewa kwenye kila…
#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Profesa Adolf Mkenda amewahimiza…
#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Profesa Adolf Mkenda amewahimiza wananchi wa Vijiji vya Wilaya ya Rombo kujitokeza kwa wingi Oktoba…
PKK: Kuachiliwa kwa Abdullah Öcalan ni ‘muhimu’ kwa mchakato wa amani na Ankara
Kuachiliwa kwa kiongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Kurdistan (PKK) anayezuiliwa jela, Abdullah Öcalan, ni “muhimu” kwa mafanikio ya mchakato wa amani na Uturuki, kiongozi wa kundi hilo ameliambia shirika…
Nigeria: Aliko Dangote ataka kiwanda chake cha kusafisha mafuta kuwa ‘kikubwa zaidi duniani’
Kiwanda kikubwa zaidi cha kusafisha mafuta barani Afrika kitaongeza uwezo wake maradufu hadi mapipa milioni 1.4 kwa siku katika kipindi cha miaka mitatu, mmiliki wa kiwanda hicho na mtu tajiri…
Mavunde akutana na kilio cha maji na eneo la maziko Mtumba
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtumba kwa Chama cha Mapinduzi (CCM), Anthony Mavunde, ameombwa...
Nigeria: Mabadiliko makubwa yafanyika katika uongozi wa jeshi
Nchini Nigeria, Rais Bola Tinubu amewafuta kazi wakuu wa Jeshi, Jeshi la Anga, Jeshi la Wanamaji, na Mkuu wa majeshi ya Ulinzi siku ya Ijumaa, Oktoba 24. Uamuzi huu wa…
Arsenal yaongeza mbio EPL, Man City mambo magumu
Arsenal imeendelea kuonyesha nia ya kuhitaji Ubingwa msimu huu baada ya kuibuka na ushindi...
#HABARI: Baadhi ya Wakulima wa zao la Mbaazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, wameiomba Serikali kuwekeza …
#HABARI: Baadhi ya Wakulima wa zao la Mbaazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, wameiomba Serikali kuwekeza zaidi na kuwatafutia mbegu bora za zao hilo, ili waweze kuongeza…
Simba baba lao, yatinga makundi Ligi ya Mabingwa
SIMBA imeweka rekodi mpya baada ya kufuzu hatua ya makundi kwa mara ya saba katika miaka minane, lakini kama taifa kukiwa na rekodi nyingine kali ya kufanikiwa kuingiza timu nne…
Sudan: RSF ya Jenerali Hemedti yatangaza kuwa imechukua udhibiti wa al-Fasher
Nchini Sudan, Vikosi vya Msaada wa Haraka vya Jenerali Hemedti (RSF) vimetangaza siku ya Jumapili Oktoba 26 kwamba vimechukua udhibiti wa makao makuu ya jeshi huko al-Fasher, Kaskazini mwa Darfur,…
OMO ahitimisha kampeni Zanzibar, akifanya mikutano 75
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo visiwani Zanzibar, Othman...
Rotary yafanya matembezi ikiadhimisha Siku ya Polio Duniani
Wanachama wa Rotary Club ya Mikocheni jijini Dar es Salaam, wakishirikiana na wenzao wa...
Simba yatinga makundi ikibanwa kwa Mkapa
Simba imefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kulazimishwa...
Uturuki: PKK yatangaza kuondoa vikosi vyote kutoka Uturuki hadi Kaskazini mwa Iraq
Chama cha Wafanyakazi cha Kurdistan (PKK) kimetangaza siku ya Jumapili hii, Oktoba 26, kwamba kimeondoa vikosi vyake vyote kutoka Uturuki hadi kaskazini mwa Iraq, katika taarifa iliyochapishwa na shirika la…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA DODOMA: OKTOBA 26, 2025 –
🔴HAPA NA PALE KUTOKA DODOMA: OKTOBA 26, 2025 -
Malecela: Amani yetu inathamani kubwa, tuilinde
Wakati Jumatano Watanzania wakitarajia kufanya uchaguzi mwingine wa kihistoria kuwachagua...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo, Oktoba 26, 2025, amewasili nchini Seychelles kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika hafla…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo, Oktoba 26, 2025, amewasili nchini Seychelles kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika hafla ya uapisho wa Rais mteule wa sita wa nchi hiyo, Dkt. Patrick…
#HABARI: Msimamizi wa uchaguzi Jiji la Mbeya Annamary Malima amewataka wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupiga kura kutochangan…
#HABARI: Msimamizi wa uchaguzi Jiji la Mbeya Annamary Malima amewataka wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupiga kura kutochanganya nyaraka zinazoweza kusababisha usumbufu wakati wa kuhesabu kura siku ya Oktoba 29,…
#HABARI: Jumuiya ya wasioona Tanzania imewataka vijana kutokubali kutumika na watu wa nje kuleta mafarakano ndani ya nchi yao il…
#HABARI: Jumuiya ya wasioona Tanzania imewataka vijana kutokubali kutumika na watu wa nje kuleta mafarakano ndani ya nchi yao ili kuepusha maafa yanayoweza kuikumba jamii likiwemo kundi la watu wenye…
Nuru njema gofu Afrika Mashariki
LICHA ya kushindwa kutetea taji la ubingwa wa gofu wa Afrika ya Mashariki na Kati baada ya kumaliza katika nafasi ya tatu, timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania imemuibua…
#HABARI: Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa nafasi ya Udiwani Kata ya Goba, Mtaa wa Matosa jijini Dar es Salaam, zimehitimishwa rasmi …
#HABARI: Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa nafasi ya Udiwani Kata ya Goba, Mtaa wa Matosa jijini Dar es Salaam, zimehitimishwa rasmi ambapo mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bwana Lawrence…
Mrundi Fountain Gate aanza kutamba
BEKI wa kati wa Fountain Gate, Mrundi Derrick Mukombozi, amesema kwa sasa timu hiyo inaanza taratibu kujipata kutokana na mwanzo mbaya walioanza nao, ingawa bado wana kazi kubwa ya kufanya…
Mrundi Fountain Gate aanza kutatamba
BEKI wa kati wa Fountain Gate, Mrundi Derrick Mukombozi, amesema kwa sasa timu hiyo inaanza taratibu kujipata kutokana na mwanzo mbaya walioanza nao, ingawa bado wana kazi kubwa ya kufanya…
Wananchi watakiwa kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu
Wito wa kulinda amani kama nguzo ya maendeleo ya uchumi, ustawi wa familia, na mustakabali wa...
#HABARI: Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na MKA Foundation kwa mara nyingine wamefanikiwa kufanya upasuaji w…
#HABARI: Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na MKA Foundation kwa mara nyingine wamefanikiwa kufanya upasuaji wa kibingwa wa kumtengenezea mgonjwa taya jipya kwa kutumia kipande cha ubavu wake…
KMC, Maximo lolote linaweza kutokea
BAADA ya KMC kupoteza mechi nne mfululizo za Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa timu hiyo, Mbrazil Marcio Maximo, anakabiliwa na presha kubwa ya kuondolewa katika benchi la ufundi la…
Absa Tanzania yatoa mikopo kwa wanawake 50,000
Benki ya Absa Tanzania kwa kushirikiana na ASA Microfinance, imeadhimisha miaka minne ya...
Singida Black Stars yawaachia maujanja Warundi
LICHA ya Flambeau du Centre ya Burundi kuondoshwa na Singida Black Stars katika raundi ya pili ya mtoano wa Kombe la Shirikisho Afrika, kocha wa kikosi hicho, Rukundo Jean de…
Uthubutu, woga vyakwamisha vijana kupata mikopo
Uthubutu mdogo wa kuomba mkopo katika taasisi za kifedha, pamoja na kutokuchangamkia fursa za...
Wasimamizi wa uchaguzi watakiwa kutenda haki
Wasimamizi wa uchaguzi wametakiwa kuhakikisha wanasimamia uchaguzi mkuu kwa uwazi, haki na...
Wawili mbaroni Manyara kwa kushawishi watu wasishiriki uchaguzi
Watu wawili akiwemo mwalimu wanashikiliwa na polisi wakidaiwa kuhamasisha watu wasishiriki...
Moto wateketeza vyumba sita vya biashara, saba vyaokolewa Kahama
Moto uliozuka saa tatu usiku wa Oktoba 25, 2025 katika mtaa wa Igalilimi Manispaa ya Kahama...
#HABARI: Mgombea Ubunge wa jimbo la Mtambile kupitia Chama cha mapinduzi CCM ndugu Muhammad Abdallah Kassim ameeleza kuwa wananc…
#HABARI: Mgombea Ubunge wa jimbo la Mtambile kupitia Chama cha mapinduzi CCM ndugu Muhammad Abdallah Kassim ameeleza kuwa wananchi wa jimbo hilo wapo tayari kupiga kura siku ya tarehe 29…
Kilimanjaro FF yashika nafasi ya tatu Ligi Daraja la Sita Sweden
TIMU ya Kilimanjaro FF inayomilikiwa na kuendeshwa na Watanzania waishio nchini Sweden, imeshika nafasi ya tatu katika Ligi ya Daraja la Sita kwenye Jiji la Stockholm katika msimu wa 2024-2025…
#HABARI: Tume huru ya taifa ya uchaguzi wilayani Mkinga imewaonya makarani waongozaji wa wapiga kura kuondoa itikadi zao za vyam…
#HABARI: Tume huru ya taifa ya uchaguzi wilayani Mkinga imewaonya makarani waongozaji wa wapiga kura kuondoa itikadi zao za vyama vya siasa siku ya zoezi la upigaji kura ili kuepuka…
#HABARI: Wakati vyama vya siasa vikiendelea kukamilisha kampeni zao katika maeneo mbalimbali nchini kuelekea uchaguzi mkuu utaka…
#HABARI: Wakati vyama vya siasa vikiendelea kukamilisha kampeni zao katika maeneo mbalimbali nchini kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu, makundi mbalimbali yakiwemo ya kijamii na kidini yameendelea kutoa…
Kama unaangalia video Instagram ghafla ikakupotea fanya hivi kuiona tena
Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram wanapaswa kufahamu wanaweza kuiona tena ile video...
#HABARI: Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro wakili Cornelia Bitegeko, amewataka makarakani waongoza wapiga …
#HABARI: Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro wakili Cornelia Bitegeko, amewataka makarakani waongoza wapiga kura kujiepusha kuwa vyanzo vya malalamiko kutoka kwa vyama vya siasa pamoja na kuwasisitiza…