Jeshi la Libya lenye makao yake mashariki lakomboa raia kadhaa wa Niger
Jeshi la Taifa la Libya (LNA) linaloongozwa na Khalifa Haftar na ambalo linadhibiti eneo la mashariki mwa Libya, lilitangaza jana Ijumaa kwamba limefanikiwa kukomboa raia kadhaa wa Niger waliokuwa wametekwa…
Hekaya za Mlevi: Usiseme ‘kula’, sema ‘kura’
Kuna makabila au jamii zinazokosa herufi na maneno yanayotumika katika jamii zingine. Kwa...
Unapenda kuvaa Suti? Soma hii
Nimekumbuka mbali sana. Nimekumbuka enzi zile za methali kama “Koti la babu, halikosi chawa”.
🔴#MAGAZETI: WAGOMBEA URAIS WAPIGANA VIKUMBO / AZAM YAFUZU MAKUNDI KIBABE…OKTOBA 25, 2025
🔴#MAGAZETI: WAGOMBEA URAIS WAPIGANA VIKUMBO / AZAM YAFUZU MAKUNDI KIBABE...OKTOBA 25, 2025
#SwaliLaKipimaJoto:Mwamko wa makundi mbalimbali kuhamasisha amani wakati wa uchaguzi.Je, liwe jambo endelevu kwa ustawi wa taifa…
#SwaliLaKipimaJoto:Mwamko wa makundi mbalimbali kuhamasisha amani wakati wa uchaguzi.Je, liwe jambo endelevu kwa ustawi wa taifa
Malaysia yashuhudia maandamano makubwa dhidi ya Israel na Marekani
Maandamano makubwa yamefanyika nchini Malaysia kuunga mkono wananchi wa Palestina na kulaani himaya ya Marekani kwa Israel na jinai za utawala huo ghasibu katika Ukanda wa Gaza.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI …OKTOBA 25, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 25, 2025
#HABARI: Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Devotha Minja, amesema chama hicho kikipewa ridhaa …
#HABARI: Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Devotha Minja, amesema chama hicho kikipewa ridhaa ya kuongoza taifa kitabadili muelekeo wa nchi kwa kuja na sera…
Jumamosi, 25 Oktoba, 2025
Leo ni Jumamosi 3 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1447 Hijria inayosadifiana na 25 Oktoba 2025 Miladia.
Waziri wa Israel awatusi Wasaudia: Endeleeni kupanda ngamia
Waziri wa fedha wa utawala wa kizayuni wa Israel katika taarifa yake ya dharau kuhusu Saudi Arabia, amesema kwamba hatakubali makubaliano ya kuuanzisha uhusiano wa kawaida na Riyadh ikiwa kutakuwa…
Waangalizi wa uchaguzi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wapelekwa Tanzania
Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamepelekwa nchini Tanzania kwa ajili ya kusimamia zoezi la uchaguzi mkuu wan chi hiyo ulioapnagwa kufanyika Jumatano ijayo Oktoba 29.
Oxfam: Zaidi ya watu milioni 21 wanahitaji msaada DRC
Shirika la kimataifa la Oxfam limetangaza kuwa, zaidi ya watu milioni 21 wanahitaji msaada wa kibinadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, hii ikiwa idadi ya karibu humusi moja ya…
WHO: Vivuko vyote vya Ukanda wa Gaza lazima vifunguliwe tena
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeelezea wasiwasi wake juu ya kutotumika kwa vituo vingi vya matibabu katika Ukanda wa Gaza, na kutoa mwito wa kufunguliwa tena kwa vivuko vyote kwenye…
Matangazo ya Jioni 25.10.2025
Trump aelekea Asia kwa mazungumzo na Xi Jinping na pia kulenga kukutana na Kim++++Rubio aahidi kurejeshwa miili ya mateka wote nchini Israel++++Waziri wa Ujerumani ajificha kwenye handaki wakati wa mashambulizi…
Matangazo ya Mchana 25.10.2025
Marekani yadaiwa kutuma droni kufuatilia hali katika Ukanda wa Gaza++++Jeshi la Ukraine ladai kukikomboa kijiji cha kimkakati cha Torske+++Raia nchini Ivory Coast wapiga kura ya kumchagua rais mpya ++++Mkataba wa…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 25, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
#HABARI: Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kwela mkoani Rukwa, ndugu Josephat Kayombo, amesema watu 237,090 ambao walijitokeza kuji…
#HABARI: Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kwela mkoani Rukwa, ndugu Josephat Kayombo, amesema watu 237,090 ambao walijitokeza kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura,wanatarajia kupiga kura Oktoba 29 /2025…
#HABARI: Watu wasiojulikana wanadaiwa kuchoma moto nyumba ya Askari Polisi, Mkaguzi wa Polisi Nsajigwa Mwajeka, pamoja na vifaa …
#HABARI: Watu wasiojulikana wanadaiwa kuchoma moto nyumba ya Askari Polisi, Mkaguzi wa Polisi Nsajigwa Mwajeka, pamoja na vifaa mbalimbali vilivyokuwepo kwenye nyumba hiyo zikiwemo sare za Polisi za askari huyo,…
Hamas inafuata makubaliano ya kusitisha mapigano, Israel inaendelea kuyakiuka, amesema Erdogan
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amezungumzia kuhusu kujengwa upya kwa Gaza na viongozi wa Ghuba, akisema kuwa Kuwait, Qatar, na Oman wameonyesha dhamira thabiti ya kusaidia juhudi hizo .
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 24, OKTOBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 24, OKTOBA 2025
Ngorongoro yalenga kukusanya Sh350 bilioni kwa mwaka 2025/2026
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imejiwekeza malengo ya kukusanya zaidi ya Sh350 bilioni...
TBA kujenga nyumba za makazi, ofisi Pwani
Wakati TBA ikisema hayo, Pwani imeendelea kukua kwa kasi huku wakazi wa Dar es Salaam pia...
Mikoa hii ijiandae kwa mvua kubwa siku mbili
WEB: S. Na Evagrey Vitalis Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania...
🔴”UTARATIBU WA KUPIGA KURA SIKU YA UCHAGUZI
🔴"UTARATIBU WA KUPIGA KURA SIKU YA UCHAGUZI. JE, NINI MAZINGATIO NA MAKATAZO?, OKTOBA 24, 2025
Wataalamu wa matibabu ya magonjwa ya moyo nchini wamefanikiwa kupata namna mbadala ya kutibu magonjwa hayo hivyo kuleta matumain…
Wataalamu wa matibabu ya magonjwa ya moyo nchini wamefanikiwa kupata namna mbadala ya kutibu magonjwa hayo hivyo kuleta matumaini mapya ya kukabiliana na ongezeko la magonjwa yasiyo ya kuambukiza yakiwemo…
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewatahadharisha wananchi kukaa mbali na kila kinachoashiria kuwa ni rushwa…
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewatahadharisha wananchi kukaa mbali na kila kinachoashiria kuwa ni rushwa hususani katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 na…
Baadhi ya vyama vya siasa vinavyoshiriki ‘mchakamchaka’ wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu vimesema hue…
Baadhi ya vyama vya siasa vinavyoshiriki 'mchakamchaka' wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu vimesema huenda vikashindwa kupata mawakala kwa ajili ya kusimamia vituo vya uchaguzi kwa niaba…
#HABARI: Zikiwa zimebaki siku chache kufikia kwenye Kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge pamoja na Rais ifikapo…
#HABARI: Zikiwa zimebaki siku chache kufikia kwenye Kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge pamoja na Rais ifikapo Oktoba 29, 2025, Afisa Uchaguzi Jimbo la Lindi Mjini na Jimbo la…
Watoto watatu hufa kila siku El-Fasher nchini Sudan kutokana na utapiamlo: Ripoti
“Kwa zaidi ya mwezi mmoja, hali ya kibinadamu mjini El-Fasher imezidi kuwa mbaya sana,” Kundi la Madaktari la Sudan limesema katika taarifa.
#HABARI: Makatibu Wakuu wa Wizara za Biashara na Maendeleo ya Viwanda pamoja na Kilimo, kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…
#HABARI: Makatibu Wakuu wa Wizara za Biashara na Maendeleo ya Viwanda pamoja na Kilimo, kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wamefanya ziara ya kutembelea Kituo cha Zana za Kilimo na…
Devotha: Mkafanye uamuzi sahihi Oktoba 29
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja amewataka...
#KIPIMAJOTO: UTARATIBU WA KUPIGA KURA SIKU YA UCHAGUZI
#KIPIMAJOTO: UTARATIBU WA KUPIGA KURA SIKU YA UCHAGUZI. JE, NINI MAZINGATIO NA MAKATAZO?"
#HABARI: Waigizaji Maarufu nchini Tanzania wamewasihi Watanzania kuwa watulivu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka …
#HABARI: Waigizaji Maarufu nchini Tanzania wamewasihi Watanzania kuwa watulivu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Wamewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya Uchaguzi kwa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 23, 2025 -KESI YA LISSU YAAHIRISHWA HADI NOVEMBA 3, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 23, 2025 -KESI YA LISSU YAAHIRISHWA HADI NOVEMBA 3, 2025
#HABARI: Kaya ishirini na nane (28) za maeneo ya Msasani Maisaka A na Maisaka Kati, wilayani Babati, Mkoa wa Manyara zalipwa fid…
#HABARI: Kaya ishirini na nane (28) za maeneo ya Msasani Maisaka A na Maisaka Kati, wilayani Babati, Mkoa wa Manyara zalipwa fidia ya Bilioni 2.9, baada ya maeneo yao kutwaliwa…
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ameutaka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuongeza uwekezaji wa nyumba na majengo ya ofi…
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ameutaka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuongeza uwekezaji wa nyumba na majengo ya ofisi mkoani humo ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka kutokana na uwepo…
Chadema Mara waungana na familia kumsaka Heche
Aidha, chama kimewahimiza viongozi wa dini na wanaharakati wa haki za binadamu kupaza sauti...
Ubalozi wa Norway kwa kushirikiana na Taasisi ya Private Agricultural Sector Support (PASS) Trust wamesaini makubaliano ya kutek…
Ubalozi wa Norway kwa kushirikiana na Taasisi ya Private Agricultural Sector Support (PASS) Trust wamesaini makubaliano ya kutekeleza Mradi wa Kuimarisha Mnyororo wa Thamani wa Soya unaolenga kuendeleza sekta ya…
Mawakala 27 wa mgombea udiwani ACT-Wazalendo wakwama kuapishwa
Amesema pamoja na barua zenye muhuri wa chama pia walitakiwa kuwasilisha picha zao halisi ama...
Samia: Tutalinda Muungano, kukuza uchumi
Mgombea amesema kuwa wataenda kuulinda Muungano kwa nguvu zote kwani Muungano una faida kwa...
#HABARI: Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), umetoa onyo kali kwa watu wote wanaovamia na kufanya shughuli za maendeleo katika mae…
#HABARI: Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), umetoa onyo kali kwa watu wote wanaovamia na kufanya shughuli za maendeleo katika maeneo ya Serikali bila ruhusa, kwa kujua au kutokujua ikisisitiza kuwa…
Biteko afunga kampeni Busanda, amtaka mgombea ubunge kuwa mvumilivu
Aidha Biteko ameongeza kuwa nchi yoyote ya kidemokrasia, hupata viongozi wake kupitia uchaguzi...
Azam yatinga makundi CAFCC kwa kishindo
Matokeo hayo ya leo yameifanya Azam isonge mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 9-0 iliopata...
KMKM yapigwa 9-0, Azam FC ikitinga makundi CAF
AZAM FC inayonolewa na kocha Florent Ibengé, imetinga hatua ya makundi kwa kishindo, baada ya kuifunga KMKM kwa jumla ya mabao 9-0, ugenini na nyumbani.
Rais Tinubu awabadilisha viongozi wakuu wa jeshi la Nigeria
Mabadiliko hayo ni ya "kuimarisha usalama wa taifa", kulingana na msemaji wa Rais, na pia yanakuja siku chache baada ya kukana madai ya njama ya mapinduzi.
Wasira: Watakaozuia wengine kupiga kura hawatavumiliwa
Amesema CCM inaheshimu haki za binadamu, lakini atakayeshindwa kuziheshimu na kusababisha...
Polisi yaapa kuwadhibiti watakaovuruga amani Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza Oktoba 29 kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa, ili kuwawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu ujao.
Mgombea wa urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt
Mgombea wa urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuulinda na kuudumisha Muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar kwa nguvu zake zote, akisema muungano huo…