Dk Tulia mguu kwa mguu kusaka kura na kuhamasisha ushiriki wa uchaguzi
Mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole, Dk Tulia Ackson, ameanza kampeni za nyumba kwa nyumba na mtaa...
Watu wanne wauawa kwenye shambulizi la treni Ukraine
Watu wanne wameuawa na wengine 12 kujeruhiwa baada ya mwanamume mmoja kulipua kifaa cha mlipuko ndani ya treni nchini Ukraine.
Dong-Young atoa wito kwa Trump kukutana na Kim Jong Un
Waziri wa Muungano wa Korea Kusini, Chung Dong-young, ametoa wito kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, kukutana na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, katika ziara yake ijayo barani…
Wagombea wa Urais Ivory Coast wafanya kampeini ya mwisho
Wagombea urais nchini Ivory Coast jana walihitimisha kampeni zao kabla ya uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho Jumamosi.
Jeshi nchi Nigeria lawauwa wanamgambo 50
Jeshi la Nigeria limesema Alhamisi kuwa limewaua waasi 50 waliokuwa na silaha waliokuwa wakitumia droni kufanya mashambulizi mengi kwenye kambi za jeshi katika eneo tete la kaskazini mashariki.
Kocha Dodoma aomba siku 21 kufanya jambo
KOCHA Mkuu wa Dodoma Jiji, Amani Josiah amesema bado anaamini ubora wa wachezaji wake lakini akaitaja ratiba ya mechi ya Ligi Kuu Bara ni kikwazo kwake kubadili mambo huku akizitaja…
Gombo Samandito akamilisha kampeni zake Dar es Salaam
Mgombea urais wa CUF, Gombo Samandito, yuko katika awamu ya mwisho ya kampeni Dar es Salaam. Amezungumza na wananchi wa Kivule, Ilala, na atakamilisha kampeni tarehe 28 Mbagala, Temeke. Gombo…
Kocha Mbeya City ajilipua, ataja panapovuja
BAADA ya kupoteza dhidi ya Tanzania Prisons, Kocha wa Mbeya City, Malale Hamsin amesema ameshajua shida iliko na amejipanga kuiondoa mapema tu.
Kocha Mtibwa Sugar aiwaza Yanga mapema
BAADA kutoka suluhu dhidi ya Dodoma Jiji, Kocha mkuu wa Mtibwa, Awadh Juma amesema wakati wanajipanga kwenda kukutana na Yanga, anataka kuhakikisha muda uliosalia wanatafuta suluhusho la kupata mabao.
Mwalimu ampa tano Shibuda jimboni kwake
Mgombea urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu amewasili katika...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KIGOMA: OKTOBA 24, 2025 –
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KIGOMA: OKTOBA 24, 2025 -
Mawakala wa vyama wakwama kuapa muda ukiyoyoma
Zikiwa zimesalia siku tano kabla ya Watanzania kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025, baadhi vyama...
Mastaa Coastal Union wamepewa siku za saba
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Mohammed Muya ametoa siku saba za mapumziko kwa wachezaji wake kwa lengo la kwenda kupiga kura, pia kutoa nafasi kwa wachezaji kusalimia familia zao kabla…
Kihimbwa akubali mambo magumu Ligi Kuu
WINGA wa Mashujaa FC, Salum Kihimbwa amesema msimu huu ni dume, lakini anataka kuendeleza ubora wake wa msimu uliopita na kufunga mabao zaidi.
Wananchi Ngara kunufaika na msaada wa gari la zima moto
Serikali imekabidhiwa gari la kuzimia moto kwa ajili ya kusaidia shughuli za kudhibiti majanga...
Takaichi aahidi kuimarisha jeshi na ushirikiano na Marekani
Waziri Mkuu mpya wa Japan, Sanae Takaichi, ameahidi kuongeza kasi ya ujenzi wa uwezo wa kijeshi na matumizi ya ulinzi, na kuimarisha uhusiano na Marekani.
Ouattara apigiwa chapuo kushinda awamu ya nne
Wagombea kwenye uchaguzi wa rais nchini Ivory Coast wamefanya mikutano ya mwisho ya kampeni wakati kampeni hizo zikihitimishwa rasmi jana Alhamisi katika taifa hilo la Magharibi mwa Afrika lenye watu…
HESLB yatoa Sh426.5 bilioni kwa wanafunzi 135,240 wa elimu ya juu
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa mikopo na ruzuku yenye thamani ya...
Zelensky ziarani Uingereza kurai msaada zaidi dhidi ya Urusi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky yuko ziarani London Uingereza na kuzungumza na kurai zaidi ya wakuu 20 wa nchi za Ulaya katika vita vyake vya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya…
Watu wasiojulikana wachoma nyumba ya Polisi Songwe
Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Polisi Kata wa Chitete iliyopo Kijiji cha Ikumbilo,...
Serikali yagawa pikipiki kwa maofisa maendeleo ili kuongeza ufanisi
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imekabidhi...
Wakulima wagawiwa mashine za umwagiliaji ili kuongeza uzalishaji
Serikali imegawa mashine 250 za umwagiliaji zenye thamani ya Sh3.3 bilioni kwa wakulima 2,264...
Nini kitafuata kwa wenyeviti waliogombea udiwani
Wakati baadhi ya wenyeviti wa Serikali za mitaa wakijitosa kuwania udiwani kwenye Uchaguzi Mkuu...
Watendaji wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wametakiwa kusimamia na kufuata miongozo yote ya uchaguzi ili kuhakikisha mcha…
Watendaji wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wametakiwa kusimamia na kufuata miongozo yote ya uchaguzi ili kuhakikisha mchakato wa kidemokrasia unafanyika kwa uwazi na kwa usahihi. Kauli hiyo…
Nchi tano zinazoongoza kwa ukuaji wa uchumi wa Afrika
Benin, Côte d'Ivoire, Ethiopia, Rwanda na Uganda ni miongoni mwa nchi zenye ukuaji wa kasi zaidi wa kiuchumi duniani, kwa mujibu wa IMF. Nini kinachochochea mafanikio yao — na ina…
Wanayanga matumbo joto ikiivaa Silver Strikers, Simba yafichua siri ya mafanikio ikisaka rekodi …
Job awaita mashabiki kwa Mkapa kesho BAADA ya Yanga kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Silver Strikers Oktoba 18, 2025, beki na nahodha msaidizi wa timu hiyo, Dickson Job amesema…
Wanariadha warejea kwa furaha baada ya kufanya kweli Nagai City Marathon
Job awaita mashabiki kwa Mkapa kesho BAADA ya Yanga kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Silver Strikers Oktoba 18, 2025, beki na nahodha msaidizi wa timu hiyo, Dickson Job amesema…
Wanachama wa Taasisi ya Maendeleo ya Viziwi Tanzania wilayani Mpanda wamepatiwa elimu ya uhamasishaji wa matumizi safi ya kupiki…
Wanachama wa Taasisi ya Maendeleo ya Viziwi Tanzania wilayani Mpanda wamepatiwa elimu ya uhamasishaji wa matumizi safi ya kupikia kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na kusaidia washiriki hao kupata…
Tahadhari za kimaadili, kiafya huduma za sauna na spa
Wakati uanzishwaji wa maeneo kwa ajili ya utunzaji wa mwili, afya na mapumziko (sauna na spa)...
🔴MEZA HURU: FUKWE ZA BAHARI …OKTOBA 24, 2025
🔴MEZA HURU: FUKWE ZA BAHARI ...OKTOBA 24, 2025
Herufi moja tu ya uongo: Umoja wa Mataifa kuchukua hatua kukomesha uhalifu wa mtandaoni
Fikiria hivi: unatembelea tovuti unayoijua ya duka lako la vifaa vya ujenzi la karibu yako. Kila kitu kinaonekana sawa, muundo uleule, jina la chapa lilelile, na mfumo uleule wa kutumia.
IOM yapeleka msaada wa makazi kwa Gaza kufuatia mahitaji makubwa baada ya kusitishwa kwa mapigano
Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) limepeleka zaidi ya vifaa vya misaada 47,000 kwa Gaza tangu kutangazwa kwa usitishaji wa mapigano tarehe 10 Oktoba 2025 ili kusaidia familia…
Siku ya Polio Duniani: Dunia yakaribia kutokomeza ugonjwa wa polio
Kila mwaka tarehe 24 Oktoba dunia huadhimisha Siku ya Polio Duniani, ikiwa ni wakati wa kutathmini hatua zilizopigwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa polio na kuhimiza ushirikiano wa kimataifa…
Miaka 80 ya Umoja wa Mataifa: Vijana na watumishi wa UN Tanzania watoa kauli zao
Kila mwaka ifikapo tarehe 24 mwezi Oktoba, dunia huadhimisha Siku ya Umoja wa Mataifa, ikiashiria kuanzishwa kwa shirika hili mnamo mwaka 1945. Mwaka huu, maadhimisho hayo yana mvuto wa kipekee…
Kulea ni jukumu la kila mtu na kunabadilisha maisha Afrika Mashariki na Kusini
Kote Afrika Mashariki na Kusini, mamilioni ya wanawake huanza siku zao mapema sana kabla hata ya jua kuchomoza. Huteka maji, huandaa chakula, kuwalea watoto na wazee, kusaidia wanajamii wenye ulemavu…
Guterres: Umoja wa Mataifa ni wenu tushirikiane
Leo umoja wa Mataifa unatimiza miaka 80 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1945 baada ya vita vikuu vya pili vya dunia. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametuma ujumbe…
Umoja wa Mataifa ni nini?
Umoja wa Mataifa ulianzishwa baada ya Vita vya Pili vya Dunia. Na wakati huo, mwaka 1945, nchi 51 zilisaini mkataba wa kujiunga. Leo, Umoja wa Mataifa una nchi wanachama 193.…
Baraza la Usalama mna wajibu wa kutimiza ahadi ya kuanzishwa kwa UN: Guterres
Leo ni siku ya Umoja wa Mataifa ni miaka 80 tangu kuanzishwa kwake 1945, lakini pia ni kumbukizi ya miaka 80 tangu kuanzishwa kwa Baraza la Usalama la Umoja wa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 24, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 24, 2025
Waislamu Tanzania waombea amani Uchaguzi Mkuu
Tanzania itafanya Uchaguzi wake Mkuu Oktoba 29, 2025 ambapo wapiga kura 37, 655,559 wamejiandikisha kupiga kura katika majimbo 272.
Serikali yaeleza matumaini kwenye kilimo kufikia uchumi wa kati wa juu
Sekta ya kilimo nchini imeelezwa kuwa sekta muhimu katika kufanikisha lengo la Serikali la...
Wazawa waipa Mlandege ushindi wa kwanza Ligi Kuu Zanzibar
BAADA ya bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Zanzibar, Mlandege kuanza kwa kusota msimu wa 2025-2026, hatimaye imetoa gundu kwa kupata ushindi wa kwanza kwa kuifunga New Stone mabao 3-0, kikosi…
Bondia Mkojani apokewa kwa mbwembwe Zanzibar akirudi na medali
KATIBU Mtendaji Baraza la Taifa la Michezo Zanzibar, Said Kassim Marine, amesema milango ya mchezo wa masumbwi visiwani hapa imefunguka kimataifa, hivyo wanamichezo wanapaswa kuitumia fursa hiyo ipasavyo.
Usitishaji vita wa kulegalega; kwa nini hatuwezi kuwa na matumaini kuhusu mustakabali wa amani Gaza
Kitendo cha utawala wa kizayuni wa Israel cha kutofungamana na usitishaji vita wa Gaza na kuendelea kuwaua watu wa ukanda huo mdogo kumeuacha mustakabali wa amani katika eneo hilo katika…
Mechi za Simba, Yanga ulinzi kuimarishwa Kwa Mkapa
Wakati Yanga na Simba zikitarajia kucheza mechi zao za marudio za mtoano za Ligi ya Mabingwa...
Wasiwasi waongezeka huko Kivu wakati mazungumzo yakiendelea
Wakati mazungumzo ya amani yakiendelea mjini Doha kati ya serikali ya Kongo na waasi wa AFC/M23, hali ya wasiwasi imeongezeka tena katika maeneo ya mashariki mwa nchi.
#HABARI: Murtaza Mangungu, Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC, amezungumza na @hoseamchopa kuwa ni ngumu kuweka mechi zao bure kwa…
#HABARI: Murtaza Mangungu, Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC, amezungumza na @hoseamchopa kuwa ni ngumu kuweka mechi zao bure kwa sababu mashabiki wao ni jambo ambalo haliwafurahishi. Mangungu anasema mashabiki wa…
Uturuki yataka Israel ishinikzwe juu ya mpango wa amani Gaza
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amesema Marekani na mataifa mengine yanapaswa kuchukua hatua zaidi kuishinikiza Israel kusitisha ukiukaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza.