#HABARI: Hali ya taharuki imetokea katika Mtaa wa Viwandani mjini Shinyanga baada ya mwili wa kichanga kugundulika ukiwa ndani y…
#HABARI: Hali ya taharuki imetokea katika Mtaa wa Viwandani mjini Shinyanga baada ya mwili wa kichanga kugundulika ukiwa ndani ya mfuko wa takataka. Kwa mujibu wa shuhuda, amekibaini kichanga hicho…
Wanahabari wawili walioko jela washinda tuzo ya Sakharov
Waandishi wawili wa habari, mmoja kutoka Belarus na mwingine kutoka Georgia, wameshinda Tuzo ya Haki za Binadamu ya Sakharov, inayotolewa na Umoja wa Ulaya.
Mtasingwa: Azam FC tunaandika historia
LICHA ya kuwa nje ya uwanja akiuguza majeraha, kiungo wa Azam FC, Adolf Mtasingwa amesema kesho Ijumaa historia itaandikwa kwa klabu hiyo kutinga hatua ya makundi ya michuano ya CAF…
#HABARI: Wananchi wa Kata ya Muungano Wilaya ya Mtwara Vijijini, wamesema kukamilika kwa shule mbili za sekondari katika kata hi…
#HABARI: Wananchi wa Kata ya Muungano Wilaya ya Mtwara Vijijini, wamesema kukamilika kwa shule mbili za sekondari katika kata hiyo, kumeondoa utoro na mdondoko kwa wanafunzi wa eneo hilo, waliokuwa…
Bunda yaipigia hesabu JKT Queens
KOCHA Mkuu wa Bunda Queens, Alley Ibrahim, amesema kikosi chao kwa sasa kimeshakomaa na kupata uzoefu wa mikikimikiki ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, hivyo msimu huu kiko tayari…
Ziara ya Erdogan Ghuba: Uturuki, Qatar zasaini mikataba ya ulinzi na ushirikiano wa kimkakati
Erdogan na Al Thani wameshuhudia utiaji saini wa mikataba kadhaa kati ya nchi zao baada ya kuongoza kwa pamoja Mkutano wa 11 wa Kamati ya Juu ya Ushirikiano wa Kimkakati…
Samia aahidi neema ya makazi kwa Watanzania
Samia amesema Tanzania ina uhitaji wa nyumba milioni tatu kila mwaka na kuwa Serikali yake...
Dk Nchimbi ataja mambo matatu yanayombeba Samia
Mgombea mwenza wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ametaja mambo...
Michango kwa Syria ni matumaini au mbinu ya kujisafisha
Hivi karibuni, Syria imeandaa michango ya fedha iliyofanikiwa zaidi duniani, hadi dola milioni 500 kwa jumla. Hata hivyo, wakosoaji wanauliza jinsi kampeni hizo zinavyoendeshwa na fedha hizo zinatoka wapi?
Kenya yaanza mitihani ya kitaifa ya sekondari
Watahiniwa 996,078 wamesajiliwa kufanya mitihani ya KCSE katika zaidi ya vituo 10,000 kote nchini.
Sio Yanga tu hata Azam v KMKM ni buree
Klabu ya Azam FC imetangaza kuwa mchezo wa marudiano dhidi ya KMKM kombe la Shirikisho utakaopigwa Oktoba 24, 2025 kwenye uwanja wa Azam Complex hauna kiingilio.
Salah, Hakimi wateuliwa kuwania mchezaji Bora wa Afrika
Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah na Achraf Hakimi wa Paris Saint-Germain ni miongoni mwa nyota 10 walioteuliwa kuwania tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika 2025.
Nigeria: Mahakama yawalazimisha watumiaji wawili wa TikTok kuoana baada ya kubusiana
Mahakama ya Kano, jiji kubwa zaidi kaskazini mwa Nigeria, imewaamuru polisi wa Kiislamu kukamilisha ndoa kati ya watu wawili mashuhuri wa mtandao wa kijamii wa TikTok, wanaodaiwa kuchapisha video “isiyo…
#HABARI: Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt
#HABARI: Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaongoza kwenye kura za maoni kwa asilimia 84.5 dhidi ya wagombea wenzake wanaochuana…
Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema ufanisi mkubwa unaoonekana katik…
Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema ufanisi mkubwa unaoonekana katika sekta ya bandari nchini ni ushahidi wa hatua za kimkakati zilizochukuliwa…
Gaza: Israel yarejesha miili 30 ya Wapalestina
Wizara ya Afya inayoongozwa na Hamas huko Gaza imetangaza leo Jumatano, Oktoba 22, kwamba miili 30 zaidi ya Wapalestina imerejeshwa Gaza na Israeli kupitia Shirika la Msalaba Mwekundu, na kufanya…
Ziyech ajiunga na Wydad, kucheza na Aziz Ki
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Hakim Ziyech amefikia makubaliano ya kujiunga na Wydad...
Kyara wa SAU aahidi ajira kwa walimu, kukomesha rushwa na Katiba mpya
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio...
#HABARI: Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche, amesafiris…
#HABARI: Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche, amesafirishwa hadi Tarime na Jeshi la Polisi baada ya kukamatwa leo asubuhi. Gaston…
Niger: Raia wa Marekani atekwa nyara Niamey
Nchini Niger, raia wa Marekani hajulikani aliko baada ya kutekwa nyara na wanaume watatu jana usiku huko Niamey. Kulingana na ripoti za awali kutoka RFI, zilizothibitishwa na vyanzo vya usalama…
Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt
Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kujenga daraja jipya la Jangwani lenye urefu wa mita 390 pamoja na soko kubwa la…
Wakfu wa Misaada ya Kibinadamu uliokuwa ukilalamikiwa sana umesitisha shughuli zake Gaza
Wakfu wa Misaada ya Kibinadamu wa Gaza unaokabiliwa na utata mkubwa umesitisha shughuli zake. Mwandishi wetu wa Gaza, Rami al-Meghari, anathibitisha kuwa vituo vyake vinne vya usambazaji misaada vimefungwa. Tangu…
Malori ya misaada 986 tu kati ya 6,600 yameingia Gaza tangu kufikiwa makubaliano ya kusitisha vita
Ofisi ya Vyombo vya Habari vya Serikali ya Gaza imeripoti kuwa ni malori 986 pekee ya misaada yaliyoingia katika eneo hilo linalozingirwa tangu kusitishwa kwa mapigano kati ya Harakati ya…
Larijani aishukuru Russia kwa kuiunga mkono Tehran katika Baraza la Usalama
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amewasilisha kwa Russia shukrani za Jamhuri ya Kiislamu kutokana na hatua ya Moscow ya kuunga mkono msimamo wa haki za…
Jumatano, tarehe 22 Oktoba, 2025
Leo ni Jumatano tarehe 29 Mfunguo Saba Rabiuthani 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 22 Oktoba 2025.
Jumanne, tarehe 21 Oktoba, mwaka 2025
Leo ni Jumanne tarehe 28 Mfunguo Saba Rabiul Thani 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 21 Oktoba mwaka 2025.
Gaza, upatanishi, uhamiaji, na uchumi kwenye ajenda ya mkutano wa kilele wa EU-Misri
Mikutano ya ngazi ya juu ya siku tatu mfululizo imeanza Jumatano huko Brussels, nchini Ubelgiji. Kabla ya mkutano wa kilele wa Alhamisi wa Umoja wa Ulaya na mkutano wa Ijumaa…
Watu 46 wamefariki dunia katika ajali mbaya ya barabarani Uganda
Polisi ya Uganda imeripoti kuwa watu 46 wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili katika barabara kuu ya Kampala kuelekea Gulu nchini humo mapema leo Jumatano.
#HABARI: “Si muda mrefu uliopita tulikuwa na kilio cha umeme kukatika katika, umeme kuletwa kwa zamu umeme kutokutosheleza sasa …
#HABARI: “Si muda mrefu uliopita tulikuwa na kilio cha umeme kukatika katika, umeme kuletwa kwa zamu umeme kutokutosheleza sasa hivi Dar es Salaam, umeme ni 24/7 na ukizimwa kuna matangazo…
Iran yaidhinisha rasmi kujiunga na mkataba wa kupambana na ufadhili wa ugaidi
Rais Masoud Pezeshkian amewasilisha rasmi sheria ya kujiunga Iran na Mkataba wa Kimataifa wa Kupambanana Ufadhili wa Ugaidi (CFT).
Japan yapinga mashinikizo ya Marekani ya kuacha kununua nishati kutoka Russia
Yoji Muto, Waziri wa Biashara wa Japan amepinga vikali mashinikizo makubwa ya Marekani dhidi ya nchi hiyo. Marekani inaitaka Japan iache kununua nishati kutoka Russia. Tokyo, kwa upande wake, inasema…
Waasi wa M23 wamepora dhahabu yenye thamani ya dola milioni 70
Waasi wanaoshikilia kampuni ya uchimbaji madini ya Twangiza Mining Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wameiba angalau kilo 500 za dhahabu tangu mwezi Mei, kampuni hiyo imeliambia shirika…
Utaratibu Mpya wa Kiuchumi wa Kikanda; Nafasi ya kimkakati ya Iran katika Ushirikiano na Umoja wa Kiuchumi wa Eurasia
Mkutano wa Nne wa Kistratijia wa "Iran na Eurasia; Biashara, Diplomasia na Utaratibu Mpya wa Kikanda," umefanyika leo katika Kituo cha Mikutano cha Shirika la Utangazaji la Sauti na Televisheni…
🔴MEZA HURU: APOINTMENT NA DAKTARI…OKTOBA 22, 2025
🔴MEZA HURU: APOINTMENT NA DAKTARI...OKTOBA 22, 2025
Israeli inalazimika kuruhusu msaada kuingia katika eneo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu – ICJ
Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) leo Oktoba 22 imesema Israeli lazima itimize majukumu yake kama “anayekalia kimabavu” kwa kuhakikisha kuwa msaada unaweza kupita bila vizuizi na kwa kuheshimu haki…
Sekta ya tumbaku yalenga mazungumzo ya COP na MOP ya WHO FCTC, nchi wanachama zatakiwa kuwa macho.
Mkataba wa Kimataifa wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani kuhusu udhibiti wa tumbaku (WHO FCTC), leo hii umetoa onyo kuhusu kuongezeka kwa juhudi za kuingiliwa kwa mazungumzo…
Ripoti ya UNEP: Kasi ya kupunguza uzalishaji wa methane bado ndogo licha ya kuongezeka kwa hatua za udhibiti
Kwa mujibu wa ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira (UNEP), serikali na sekta binafsi duniani zimeonesha mwitikio mkubwa zaidi katika juhudi za kupunguza uzalishaji wa gesi…
UNCTAD: Jukwaa jipya la Sevilla linalolenga kutatua mgogoro wa madeni duniani limezinduliwa
Jukwaa jipya lililopatiwa msaada na Umoja wa Mataifa limezinduliwa leo Jumatano Sevilla kusaidia nchi zinazoendelea kutoka kwenye mzigo wa madeni yasiyodhibitika ambayo yamewaacha zaidi ya watu bilioni tatu duniani wakiishi…
IFAD inawasaidia wanawake wakulima Rwanda kupata ajira na kuimarisha maisha
Wanawake ni nguzo muhimu katika maendeleo ya kilimo na jamii za vijijini. Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya Kilimo( IFAD) inahakikisha zaidi ya asilimia 50 ya washiriki wa…
UNMISS yasaidia kueneza elimu ya uraia nchini Sudan Kusini
Kuanzia furaha ya uhuru hadi maumivu ya kurejea kwa mzozo, safari ya amani ya kudumu Sudan Kusini imekuwa ndefu na bado inaendelea. Licha ya changamoto hizo, matumaini bado ni makubwa…
Tahadhari za mapema dhidi ya majanga si chaguo ni lazima kwa kila mtu: Guterres
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amelisifu Shirika la Umoja wa Mataifa la Hali ya Hewa Duniani WMO kwa kuhudumia binadamu kwa miaka 75, akiliita “kipimo cha ukweli…
Mambo 11 yanamsubiri Rais ajaye
Wakati Tanzania ikielekea katika uchaguzi mkuu ujao, wananchi wameainisha mambo 11 wanayotaka...
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 22, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 22, 2025
Mgombea ubunge wa Chaumma abadili gia, azisaka kura mtaa kwa mtaa
Zikiwa zimebakia siku saba Watanzania wapige kura katika Uchaguzi Mkuu wa Jumatano Oktoba 29...
Safari ya mwanaume aliyeishinda saratani ya matiti, alimficha mkewe
Safari yake ya maumivu, sintofahamu, na matumaini ilianza mwaka 2005, alipogundua titi lake...
Mayele, Kapombe kwenye vita yao CAF
Fiston Mayele na Shomari Kapombe hawajakutana uwanjani tangu Mayele alipojiunga na Pyramids FC ya Misri mwaka 2023 akitokea Yanga.
Mapya miili ya vijana wanne iliyookotwa Pwani
Wakati Jeshi la Polisi likiendelea na uchunguzi wa mauaji ya vijana wanne ambao miili yao...