Taarifa kwa Umma kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
Taarifa kwa Umma kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ). #AzamTVUpdates
Wadau wawafuta vumbi wanafunzi Shule ya Losoito Manyara
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Losoito wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wataondokana na adha ya...
Uturuki yamchagua mratibu wa misaada ya kibinadamu kwa Palestina kusimamia juhudi za misaada ya Gaza
Uturuki inaweka tayari rasilimali zake zote ili kupeleka haraka misaada ya kibinadamu huko Gaza, kuanzisha makazi ya muda, na kujenga upya eneo la Palestina.
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Profesa Neema Mori amewakaribisha wawekezaji wa kimataifa kuchangamkia fursa za kiuchumi zi…
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Profesa Neema Mori amewakaribisha wawekezaji wa kimataifa kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo Tanzania na katika Ukanda wa Afrika Mashariki, huku akiwahakikishia kupata ushirikiano…
Takaichi mbioni kusaka kuunda muungano na upinzani Japan
Chama tawala nchini Japan Liberal Democratic Party, LDP, kimeanza mazungumzo rasmi ya serikali ya muungano na chama kipili kwa ukubwa cha upinzani siku ya Alhamis.
Chalamila, Mwana FA wawaita Watanzania kuisapoti Dar City kimataifa
Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya mpira wa kikapu ya kimataifa ya Road to Basketball...
Wanajeshi nchini Kenya wamelazimika kufyatua risasi hewani kutawanya umati wa watu uliokuwa umefurika nje ya uwanja wa Kasarani …
Wanajeshi nchini Kenya wamelazimika kufyatua risasi hewani kutawanya umati wa watu uliokuwa umefurika nje ya uwanja wa Kasarani jijini Nairobi, wakati msafara uliobeba mwili wa Raila Odinga ukiwasili. Umati huo…
Nini Nigeria ifanye kufuzu Kombe la Dunia 2026?
Kufikia sasa timu tisa kutoka bara la Afrika zimethibitishwa kwa Kombe la Dunia 2026. Cote d’Ivoire na Senegal zimekuwa timu za mwisho kukamilisha idadi hiyo.
Aliyejiuzulu Simba apata shavu Marekani
ALIYEKUWA Skauti Mkuu wa Simba, Mels Daalder, ameteuliwa katika Shirika la R6 International Sports Agency na kwa sasa atajikita katika utambuzi na usajili wa vipaji vya kimataifa kwa niaba ya…
OMO aahidi mkakati kuinua sekta ya kilimo, wakulima
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema...
Araqchi asisitiza kupanuliwa uhusiano wa Iran na Uganda katika nyanja za kiuchumi na kilimo
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kupanua uhusiano na Uganda katika nyanja za kiuchumi, kilimo na biashara.
Papa Francis alaani dunia kushindwa kumaliza njaa
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mataktifu Leo XIV Alhamis ameikosoa hatua ya dunia kushindwa kuwazuia mamilioni ya watu kukabiliwa na njaa, wakilalamikia hali mbaya ya kiuchumi.
Sh5.2 bilioni kulipa fidia wanaopisha ujenzi uwanja wa ndege Musoma
Serikali imetoa zaidi ya Sh5.2 bilioni kwa ajili ya kuwalipa fidia wakazi 58 wa Mtaa wa...
Dar City kufungua dhidi ya Djabal ya Comoro, Mwana FA, Chalamila wawaita mashabiki
Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya mpira wa kikapu ya kimataifa ya Road to Basketball Africa League (BAL), Dar City, wataanza campeni ya kuwania nafasi kufuzu hatua ya 16 dhidi…
Wabunifu majengo, Wakadiriaji Majenzi wahimizwa kuzingatia ubora
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi)...
Mtoto wa Mjini – 5
Akafika Kongowe mkoani Pwani, akaingia katika katika njia ya mchepuko. Baada wa mwendo kama dakika kumi hivi akaliona shamba moja lililokuwa limepaliliwa vizuri hapo ndipo alipoamua kulitelekeza gari hilo.
🔴MEZA HURU: LIGI KUU SOKA WANAWAKE….OKTOBA 15, 2025
🔴MEZA HURU: LIGI KUU SOKA WANAWAKE....OKTOBA 15, 2025
Changamoto ya ufadhili yalazimisha kupunguzwa kwa shughuli za ulinzi wa amani za UN
Ukosefu mkubwa wa fedha unatishia kulemaza shughuli za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa duniani kote, huku shirika hilo likionya kuwa litalazimika kupunguza doria, kufunga ofisi za mashinani, na…
FAO ikiadhimisha miaka 80, Papa Leo XIV na viongozi wa dunia waungana kukomesha njaa
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa FAO limeadhimisha kumbukumbu ya miaka 80 tangu kuanzishwa kwake Jumatano hii kwa wito wa dunia kuungana katika mapambano dhidi ya njaa,…
Guterres ataka utulivu Madagascar
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani mabadiliko ya serikali yasiyo ya kikatiba nchini Madagascar na kutoa wito kwa kurejeshwa haraka kwa utawala wa kikatiba na kisheria.
Kwa nini zaidi ya watu milioni 670 wanakabiliwa na njaa
Zaidi ya asilimia nane ya idadi ya watu wote duniani, au takriban watu milioni 673, hawapati chakula cha kutosha na wanateseka na njaa, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa. Mizozo,…
Jinsi FAO Tanzania inavyoshirikisha wanawake na vijana kufanikisha uhakika wa chakula
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO linapoadhimisha miaka 80 tangu kuanzishwa kwake, kazi yake nchini Tanzania ni kielelezo dhahiri cha dhamira ya shirika hilo katika kuhakikisha…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025
Mahakama yakataa kuhojiwa waliotoa viapo kesi ya Polepole
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeyakataa maombi ya mawakili wa wajibu maombi katika...
Pamba Jiji kusaka ushindi wa kwanza Ligi Kuu mbele ya Mashujaa
Pamba Jiji ipo nafasi ya 15 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa na pointi mbili...
Mkazi wa Mbezi Beach kwa Zena na maeneo ya jirani, Balozi wa AzamTV @mkwere_original ana ujumbe mahsusi kwako
Mkazi wa Mbezi Beach kwa Zena na maeneo ya jirani, Balozi wa AzamTV @mkwere_original ana ujumbe mahsusi kwako. #AzamTVBurudaniKwaWote
#HABARI: Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko rasmi likieleza kuwa linaendelea kufuatilia kwa karibu hal…
#HABARI: Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko rasmi likieleza kuwa linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya Ulinzi na Usalama nchini katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi…
Israel yaongeza shinikizo la kurejeshwa kwa miili ya mateka
Hamas iliwaachilia mateka 20 wa mwisho walio hai Oktoba 13, lakini hadi sasa imerejesha tu miili tisa kati ya 28 ya waliofariki huko Gaza. Hii ni idadi ndogo sana kwa…
#MEZAHURU: Wakati Ligi kuu ya wanawake ikianza, ilikuwa halali kuwapima jinsia waliotiliwa mashaka
#MEZAHURU: Wakati Ligi kuu ya wanawake ikianza, ilikuwa halali kuwapima jinsia waliotiliwa mashaka
Dk Mwinyi anavyozisaka kura akiendelea kutoa ahadi
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi, ameahidi...
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025
Kuihami Palestina na kuimarisha ushirikiano wa pande kadhaa; Msimamo wa Iran katika Mkutano wa NAM
Sayyid Abbas Araqchi, Waziri wa Mambao ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Kampala, mji mkuu wa Uganda kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa Mawaziri wa Mambo…
Ushiriki wetu ni muhimu kwa ulinzi wa Ulaya, tuko tayari kushiriki misheni ya Gaza: Uturuki
Waziri wa Ulinzi wa Uturuki, Yasar Guler, amesisitiza nafasi muhimu ya Ankara katika ulinzi wa Ulaya, ushiriki wake katika usalama wa Ukraine, na utayari wake wa kushiriki katika kikosi kazi…
Kuongezeka uraibu wa dawa za kulevya katika jeshi la Israel/Uchokozi wa utawala huo dhidi ya Lebanon waendelea
Taasisi ya Israel ya Al-Sam, inayoshughulikia matibabu ya waraibu wa dawa za kulevya, imefichua katika taarifa yake kwamba asilimia 13 ya wanaopata matibabu ya uraibu katika taasisi hiyo ni askari…
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtama, Nape Moses Nnauye amewataka wananchi wa mji wa Shuka, uliopo jimboni humo kutouza ardhi yao ov…
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtama, Nape Moses Nnauye amewataka wananchi wa mji wa Shuka, uliopo jimboni humo kutouza ardhi yao ovyo, akisisitiza kuwa eneo hilo lina thamani kubwa kutokana…
Katika jitihada za kupunguza gharama kwa watumiaji wa nishati na kulinda mazingira kutokana na uzalishaji wa hewa ukaa, Serikali…
Katika jitihada za kupunguza gharama kwa watumiaji wa nishati na kulinda mazingira kutokana na uzalishaji wa hewa ukaa, Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)…
Ligi ya Mabingwa Afrika
Ligi ya Mabingwa Afrika. Jumamosi, Yanga SC watakuwa dimba la Bingu nchini Malawi wakicheza na Silver Striker, kuwania kufuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Mechi hii itapigwa kuanzia…
#MICHEZO: Msafara wa mashabiki na wanachama wa Yanga kutoka Dar es Salaam ambao unakwenda kuungana na msafara wa mashabiki wengi…
#MICHEZO: Msafara wa mashabiki na wanachama wa Yanga kutoka Dar es Salaam ambao unakwenda kuungana na msafara wa mashabiki wengi wa Mbeya umefika Ndiuka majira ya saa 4 asubuhi baada…
Araqchi: Nchi wanachama wa NAM zinapinga utaratibu wa “Snapback”
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuhusu taarifa ya mwisho ya Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote…
Kutumia kemikali sahihi kunaongeza ufanisi wa mifumo ya kutibu maji
Katika kipindi ambacho maji safi yana thamani zaidi kuliko hapo awali, mifumo bora ya kutibu...
“Hakuna mpinzani kutoka vyama vya siasa nchini Kenya anayeweza kufananishwa na Raila Odinga… alikuwa na uwezo mkubwa wa ushawish…
“Hakuna mpinzani kutoka vyama vya siasa nchini Kenya anayeweza kufananishwa na Raila Odinga… alikuwa na uwezo mkubwa wa ushawishi licha ya uwepo wa makabila mengi nchini humo,” - Mchambuzi wa…
#HABARI: Mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole na baadhi ya ndugu wakiingia Mahakama Kuu Mas…
#HABARI: Mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole na baadhi ya ndugu wakiingia Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya muendelezo wa…
Mamia ya wananchi jijini Nairobi wameungana na jeshi la nchi hiyo kuupokea na kuusindikiza mwili wa Raila Odinga kutoka Uwanja w…
Mamia ya wananchi jijini Nairobi wameungana na jeshi la nchi hiyo kuupokea na kuusindikiza mwili wa Raila Odinga kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, kuelekea uwanja wa…
Pamba Jiji na mtihani wa pointi tatu za kwanza Ligi Kuu kesho Kirumba
Pamba Jiji ya Mwanza ni miongoni mwa timu tatu ambazo hazijapata ushindi kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu, ambapo kesho Oktoba 17, 2025 itakuwa na kibarua kizito cha kuhakikisha inafuta…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025
Serikali, AGRA zajikita tathmini athari za tabianchi kuimarisha kilimo nchini
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) kwa kushirikiana na AGRA na Mathematica...
Kharrazi: Iran iko tayari kwa mazungumzo, lakini haitakubali kuburuzwa
Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Mahusiano ya Kigeni ya Iran, Kamal Kharrazi amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kwa mazungumzo, lakini katu haitakubali kutwishwa matakwa ya aina yoyote.
Venezuela yatangaza ‘maeneo mapya ya ulinzi’ mpaka wa Colombia
Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro amesisitiza kujitolea kwa taifa lake kwa amani, uhuru na utu, akizindua mpango mpya wa kuimarisha ulinzi wa ardhi ya nchi hiyo, huku Marekani ikiidhinisha operesheni…