Mwangwi wa amani katika uchaguzi waendelea kuvuma
Mwangwi wa wito wa amani kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu umeendelea kusikika masikioni mwa...
Dkt. Hussein Mwinyi ameahidi kuboresha mifumo ya manufaa ya sekta ya utalii Zanzibar ili yawafikie wananchi wengi zaidi kupitia …
Dkt. Hussein Mwinyi ameahidi kuboresha mifumo ya manufaa ya sekta ya utalii Zanzibar ili yawafikie wananchi wengi zaidi kupitia mnyororo wa thamani na kupunguza changamoto ya ajira kwa vijana wa…
Chama cha NLD kimeahidi kupunguza posho za wabunge na badala yake fedha hizo zitaelekezwa katika kuongeza huduma za afya pamoja …
Chama cha NLD kimeahidi kupunguza posho za wabunge na badala yake fedha hizo zitaelekezwa katika kuongeza huduma za afya pamoja na kupandisha mishahara ya kada ya ualimu na askari. Ahadi…
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele ameahidi kufufua viwanda vilivyositisha uzalishaji katika mkoa w…
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele ameahidi kufufua viwanda vilivyositisha uzalishaji katika mkoa wa Tanga sambamba na kuboresha miundombinu ya barabara. Mwaijojele ametoa ahadi hizo wakati akizungumza…
Mastaa Yanga waishi kibosi Malawi
Msafara wa Yanga umetua ndani ya ardhi ya Malawi ukiwa na zaidi ya watu 50 ambao unajumuisha...
Kinachosubiriwa kuhusu hatima ya ‘kutekwa’ Polepole
Hatima ya shauri la maombi kuhusu aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole...
Spurs yaweka mkakati kumrudisha Harry Kane
Tottenham Hotspur inadaiwa kuwa katika mipango mikubwa ya kumsajili straika wa Bayern Munich...
Serikali imeungana na wadau mbalimbali kutoa elimu ya afya na usafi wa mazingira kwa wakazi wa wilaya ya Mtama mkoani Lindi ili …
Serikali imeungana na wadau mbalimbali kutoa elimu ya afya na usafi wa mazingira kwa wakazi wa wilaya ya Mtama mkoani Lindi ili kuhamasisha wakazi hao kuzingatia unawaji mikono kwa maji…
Miili minne yaokotwa kando ya barabara, Polisi yachunguza
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linachunguza tukio la kutatanisha baada ya miili ya watu wanne...
#HABARI: Shahidi wa tatu katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ambaye ni Mkaguzi wa Jeshi la Poli…
#HABARI: Shahidi wa tatu katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ambaye ni Mkaguzi wa Jeshi la Polisi kutoka Kitengo cha picha Kamisheni ya Uchunguzi wa Sayansi…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 16, 2025 -JWTZ LATOA UTARATIBU WAKUTOA TAARIFA ZAKE
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 16, 2025 -JWTZ LATOA UTARATIBU WAKUTOA TAARIFA ZAKE
Sheria mpya ya mishahara kupingwa Ligi Kuu England
Sheria mpya ya ukomo wa mishahara kwa Ligi Kuu England inayopendekezwa ambayo baadhi ya timu...
Serikali yaanza mkakati kuiongezea ufanisi Nida
Serikali imeanza kutekeleza ahadi yake ya kuiimarisha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida)...
Walimu tujiendeleze kuendana na mabadiliko ya teknolojia – Dk Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, amewahimiza walimu nchini wasichoke...
OMO amuahidi jambo Dk Mwinyi
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema iwapo...
#HABARI: Utafiti unaoendelea kufanyika katika Kitalu cha Lindi–Mtwara, mkoani Mtwara umeonesha dalili za uwepo wa Gesi Asilia, h…
#HABARI: Utafiti unaoendelea kufanyika katika Kitalu cha Lindi–Mtwara, mkoani Mtwara umeonesha dalili za uwepo wa Gesi Asilia, hususani katika Vijiji vya Mnyundo na Mpapura, ambapo visima vya maji vilibainika kuvujisha…
Dk Mwinyi ataja mambo manne kufungua Mkoa wa Kusini Unguja
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Ali Mwinyi...
Ishu ya Uwanja Man United iko hivi
Manchester United ina matumaini ya kupata ardhi zaidi ili kuharakisha mpango wao wa kujenga...
Mgombea urais SAU aja na nguzo tatu kuinua uchumi wa Tanzania
Mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Sauti ya Umma (SAU)...
Mbappe, Mendy wako fiti Madrid
Real Madrid wamepokea habari njema kuelekea mechi yao ya LaLiga dhidi ya Getafe itakayopigwa...
Biashara kati ya Uturuki na Afrika yavuka dola bilioni 37, Ankara yalenga dola bilioni 40 mwaka 2026
Waziri wa Biashara wa Uturuki, Omer Bolat, amesema kuwa kiwango cha biashara kati ya Uturuki na Afrika kimevuka dola bilioni 37 mwaka 2024, huku Ankara ikilenga kufikia dola bilioni 40…
Kenya yazizima, simulizi Moi alivyokataa njama za kumuua Odinga
Jiji la Nairobi na viunga vyake, limezizima kufuatia maelfu ya waombolezaji waliojitokeza...
Serikali yatangaza ajira mpya 17,710, wenye taaluma hizi wachangamke
Kwa wasio na ajira na waliosomea taaluma hizi, huu ni wakati muafaka wa kuchangamkia fursa za...
Dah! Singida Black Stars yapiga tizi la kibabe kuwakabili wapinzani Burundi, mastaa wafichua balaa la gamondi
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Tuchel kumweka kikao Bellingham
Kocha wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel ameweka wazi kwamba atakaa kikao na staa wa...
Mali: Wanajihadi wa Jnim wateka nyara waandishi wawili wa ORTM
Nchini Mali, wanahabari wawili kutoka shirika la utangazaji la ORTM, ambao walikuwa wakifanya kazi katika televisheni ya serikali wanashikiliwa na watu wenye silaha baada ya kutekwa nyara siku ya Jumanne…
GamondI aeleza maandalizi ya mwisho wakiwafuata wapinzani Burundi, kuhusu majeruhi iko hivi, Aucho!
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Marekani: Donald Trump aidhinisha CIA kufanya operesheni dhidi ya Venezuela
Wakati Marekani ikiendelea kushambulia meli katika bahari ya Caribbean, ikizishutumu kuwa ni za wafanyabiashara haramu ya mihadarati kutoka Venezuela, mvutano kati ya Washington na Caracas unaendelea kuongezeka. Rais wa Marekani…
Vikundi zaidi ya 70 vinavyojihusisaha na uhifadhi na utunzaji wa misitu na rasilimali zake vimetakiwa kuandika taarifa za kitaal…
Vikundi zaidi ya 70 vinavyojihusisaha na uhifadhi na utunzaji wa misitu na rasilimali zake vimetakiwa kuandika taarifa za kitaalamu za matumizi ya fedha za ruzuku wanazopokea kutoka katika Mfuko wa…
#HABARI: Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha NLD, Mhe
#HABARI: Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha NLD, Mhe. Doyo Hassan Doyo amesema, kama atapata ridhaa ya kuongoza nchi atahakisha kuwa eneo la soko la Mabibo maarufu kama Soko…
#MALUMBANO: “MIAKA 26 BAADA YA KIFO CHA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS NYERERE
#MALUMBANO: "MIAKA 26 BAADA YA KIFO CHA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS NYERERE . JE, AMEACHA URITHI GANI KWA WATANZANIA?"
Dalili uwepo gesi asilia kitalu cha Lindi – Mtwara zaonekana
Utafiti unaoendelea kufanyika katika Kitalu cha Lindi–Mtwara, mkoani Mtwara umeonesha dalili za...
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, ametaja vipaumbele vyake, endapo atachaguliwa kuwa mbunge kuwa ni kuku…
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, ametaja vipaumbele vyake, endapo atachaguliwa kuwa mbunge kuwa ni kukuza uchumi, kujenga miundombinu na kuboresha huduma za kijamii. Akizungumza na wafanyabiashara…
Mradi wa miaka mitano wa utambuzi wa magonjwa ya mlipuko umekamilisha awamu yake ya kwanza, ukilenga magonjwa ya Dengue na Chiku…
Mradi wa miaka mitano wa utambuzi wa magonjwa ya mlipuko umekamilisha awamu yake ya kwanza, ukilenga magonjwa ya Dengue na Chikungunya. Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii…
Dk Nchimbi ataja miradi ya Magufuli iliyomshtua, Samia akamshangaza
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema alishtuka...
‘Mageuzi ya kisheria yahitajika kwenda na kasi ya uwekezaji’
Wadau wakuu wa sheria serikalini wamejadiliana namna kufanya mageuzi ya kisasa katika mifumo ya...
SAUT yatoa neno kutoonekana Padre Nikata, yasisitiza uchunguzi wa Polisi
Siku takribani nane tangu taarifa za kutoonekana kwa Padre Camilius Nikata wa Jimbo Kuu...
Hati za wakimbizi 103,717 kufutwa Juni 2026
Serikali ya Tanzania, Burundi na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR)...
#HABARI: Katika tukio la kugusa hisia nyumbani kwa familia ya Hayati Raila Odinga, binti yake Winnie Odinga alionekana akimkabid…
#HABARI: Katika tukio la kugusa hisia nyumbani kwa familia ya Hayati Raila Odinga, binti yake Winnie Odinga alionekana akimkabidhi mama yake kofia maarufu ya ‘White Fedora’ aliyokuwa akiivaa mara kwa…
Shauri la kutekwa Polepole kuamuliwa Oktoba 24
Hatima ya shauri la maombi kuhusu aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole...
Watoto wa Mastaa Bongo wanaotikisa Instagram 2025
Wasanii wa Filamu na Muziki wamekuwa wakifuatiliwa na wengi katika mitandao ya kijamii hasa...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUKWA: OKTOBA 16, 2025 -WACHIMBAJI WAGOMA KUONDOKA ENEO LA MACHIMBO
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUKWA: OKTOBA 16, 2025 -WACHIMBAJI WAGOMA KUONDOKA ENEO LA MACHIMBO
Kovac: Tuna imani ya kushinda Der Klassiker
Kocha wa Borussia Dortmund Niko Kovac anasema msururu wao wa kutoshindwa umeiongeza imani katika kikosi chake kuelekea mechi ya Der Klassiker dhidi ya Bayern Munich siku ya Jumamosi huko mjini…
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Bara, Mussa Mwakitinya amewasihi wananchi kujitokeza kwa am…
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Bara, Mussa Mwakitinya amewasihi wananchi kujitokeza kwa amani tarehe 29 Oktoba kupiga kura na kumpa ushindi wa…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imedhamiria kuendelea kufanya mageuzi katika sekta ya kilimo ili kuhakikisha …
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imedhamiria kuendelea kufanya mageuzi katika sekta ya kilimo ili kuhakikisha Tanzania inaendelea kuwa kitovu cha uzalishaji wa chakula katika ukanda wa Afrika Mashariki.…
Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imewakumbusha wakulima kote nchini kujisajili kwenye mfumo wa ruzuku ya mbe…
Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imewakumbusha wakulima kote nchini kujisajili kwenye mfumo wa ruzuku ya mbegu bora, ili kunufaika na mpango wa serikali wa kuongeza tija katika…
Uturuki inaita usitishaji mapigano Gaza kama hatua muhimu kuelekea amani ya kudumu ya kikanda
Usitishaji vita wa Gaza unaashiria mwanzo wa amani ya kina na ya haki ambayo hatimaye itachangia kupatikana kwa suluhisho la mataifa mawili, Wizara ya Ulinzi ya Kitaifa ya Uturuki inasema.