CRDB Foundation yatoa Sh66 milioni kuwezesha makundi maalumu Mbulu
Benki ya CRDB kupitia CRDB Foundation, kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu...
Othman: Ili tushinde tunahitaji kura
Mgombea urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema...
Serikali yaja na mkakati wa kuchanja mifugo ili kuhimili soko la kimataifa
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dk Edwin Mhede amesema bila kuwa na afya imara...
Serikali ilivyomaliza mgogoro wa wafanyakazi kiwanda cha Chai Rungwe, wenyewe kicheko
Serikali imewahakikishia wafanyakazi wa Kiwanda cha Wakulima Tea Company (Watco), kilichopo...
Wataalamu wahimiza uwekezaji wa elimu bora na ubia kujenga uchumi jumuishi
Wadau wa maendeleo na wataalamu wa uchumi wameitaka Serikali, taasisi za elimu, na sekta...
Mgombea ubunge CCM Ngorongoro aahidi kutetea masilahi ya wananchi
Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Ngorongoro, Yanick Ndoinyo ameahidi kusimama imara kutetea...
Manchester United mbioni kupigwa bei Uarabuni
Tajiri na kiongozi wa sekta ya michezo na burudani wa Saudi Arabia, Turki Al-Sheikh, ameweka...
Ukiwa mfanyabiashara au mteja, umewahi kujiuliza ‘QR Code’ zina umuhimu gani?
Ukiwa mfanyabiashara au mteja, umewahi kujiuliza ‘QR Code’ zina umuhimu gani? Meneja Masoko wa ScanCode Tanzania, Cresensia Mbunda, anaeleza kuwa teknolojia hiyo ni nyenzo muhimu inayorahisisha miamala, upatikanaji wa taarifa…
Uwe mzawa au mtalii, AzamPesa inakuhakikisha maisha ya kifahari yasiyo na usumbufu popote ulipo
Uwe mzawa au mtalii, AzamPesa inakuhakikisha maisha ya kifahari yasiyo na usumbufu popote ulipo. Kwa sasa, huduma hiyo imezidi kupanuka baada ya kuingia katika ushirikiano na kampuni ya VISA, hatua…
Wakulima wa tumbaku kulipwa fedha zao kabla ya Oktoba 30
Kampuni za ununuzi wa tumbaku nchini zilizo chelewesha malipo ya wakulima kwa msimu wa kilimo...
Rashford kubaki Barcelona bado pagumu
Barcelona imeshafanya uamuzi wao juu ya hatma ya mshambuliaji wa Manchester United, Marcus...
Skudu aanika ukweli maisha kuondoka Yanga maumivu aliyopitia DR Congo, awataja Doumbia, Rushine, Neo
Keane ashinikiza Amorim afukuzwe, ampendekeza Simeone Gwiji wa Manchester United, Roy Keane, ameutaka uongozi wa klabu hiyo kuachana na kocha Ruben Amorim haraka iwezekanavyo, ili kuinusuru timu hiyo ambayo imeanza…
#MALUMBANOYAHOJA: Siasa za mitandaoni wakati wa uchaguzi
#MALUMBANOYAHOJA: Siasa za mitandaoni wakati wa uchaguzi. Je, nini changamoto, wajibu na majukumu ya raia, serikali na wadau kulinda jamii na taifa dhidi ya upotoshaji na uchonganishi?
Saudia Arabia yaja na mkakati mpya kukuza kilimo cha tende Tanzania
Balozi wa Ufalme wa Saudi Arabia nchini Tanzania, Yahya bin Ahmed Okeish amesema Serikali ya...
Keane ampigia debe Diego Simeone Man United
Gwiji wa Manchester United, Roy Keane, ameutaka uongozi wa klabu hiyo kuachana na kocha Ruben...
Mwinyi aahidi kuboresha elimu kuwajengea vijana uwezo wa ushindani kimataifa
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi amesema iwapo...
UN: Tani 170,000 za msaada zinasubiri kuingia Gaza
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya Kiutu, OCHA imesema takribani tani 170,000 za misaada zimeandaliwa na zinasubiri kupelekwa katika Ukanda wa Gaza.
JKT Queens yaifuata Simba Queens fainali, kukumbushia 2023
JKT Queens imeifuata Simba Queens katika fainali ya Ngao ya Jamii baada ya kuitoa Yanga Princess kwa mikwaju ya penati 6-5 kufuatia sare ya bao 1-1.
Tshisekedi amtaka Kagame kuacha kuiunga mkono M23
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi amemtaka Rais wa Rwanda, Paul Kagame kuacha kuwaunga mkono waasi wa M23 nchini Kongo.
Adaiwa kumuua mkewe kwa kuchelewa kurudi nyumbani
Jeshi la polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Chimaguli Samamba (54) ambaye ni mkulima na...
Von der Leyen asalimika kura ya kutokuwa na imani naye
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya, Ursula von der Leyen amesalimika katika kura mbili za kutokuwa na imani naye katika Bunge la Ulaya.
COMESA yaanzisha mkakati wa kidijitali kuimarisha biashara
Jumuiya ya Maendeleo ya Biashara ya Nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika — COMESA — imetangaza kuanza mkakati mkubwa wa kidijitali unaolenga kuimarisha biashara.
Ripoti: Jeshi la Sudan lilitumia silaha za kemikali
Ripoti za vyombo vya habari zilizotolewa leo, zinaonyesha kuwa jeshi la Sudan lilitumia gesi ya klorini katika mashambulizi mawili mwaka 2024, kaskazini mwa mji mkuu, Khartoum.
Mjadala sharti la Marekani kuweka dhamana ya viza kwa Watanzania
Hatua ya Marekani kuweka sharti la dhamana ya viza kwa raia wa Tanzania wanaoingia nchini humo...
Krasznahorkai ashinda Tuzo ya Fasihi ya Nobel
Mwandishi wa vitabu kutoka Hungary, László Krasznahorkai ameshinda Tuzo ya Nobel ya Fasihi kwa mwaka 2025.
Jeraha lamweka Odegaard nje wiki nane Arsenal
Habari mbaya zimewapata mashabiki wa Arsenal baada ya daktari wa zamani wa timu ya taifa ya...
Tanzania inatarajia kuongeza uzalishaji wa madini ya kinywe barani Afrika, kufuatia uzinduzi wa ujenzi wa mgodi wa madini hayo k…
Tanzania inatarajia kuongeza uzalishaji wa madini ya kinywe barani Afrika, kufuatia uzinduzi wa ujenzi wa mgodi wa madini hayo katika eneo la Mahenge, wilayani Ulanga mkoani Morogoro. Mradi huo unatarajiwa…
Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Japani umefanya ziara katika maeneo yanayosimamiwa na Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya …
Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Japani umefanya ziara katika maeneo yanayosimamiwa na Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi (TISEZA) kwa lengo la kutathmini fursa na kuimarisha ushirikiano wa kibiashara…
#HABARI: Wadau mbalimbali wamendelea kuchangia ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari ya Kawe Ukwamani, iliyopo Manispaa ya Kinond…
#HABARI: Wadau mbalimbali wamendelea kuchangia ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari ya Kawe Ukwamani, iliyopo Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, ambapo kampuni inayojishugulisha na ujenzi ya Sami…
Chaumma yaahidi barabara ya njia nane Kibaha – Chalinze
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameahidi...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KILIMANJARO: OKTOBA 09, 2025, MAGUGU MAJI KERO KWA WAVUVI
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KILIMANJARO: OKTOBA 09, 2025, MAGUGU MAJI KERO KWA WAVUVI
U.N kupunguza 25% ya vikosi vya kulinda amani duniani
Umoja wa Mataifa utaanza kupunguza vikosi vyake vya kulinda amani na operesheni zake na kuwalazimu maelfu ya wanajeshi kuondoka katika maeneo mbalimbali ya migogoro duniani katika miezi michache ijayo.
Infantino akosoa mechi za nje ya nchi za vilabu
Mpira wa miguu unachukua mwelekeo mpya sasa baada ya vilabu kuanza kulipwa ili kucheza mechi zake za ligi ya ndani katika mataifa ya nje.
Dk Nchimbi awaahidi miradi Rufiji na Kibiti, Mchengerwa aomba mkoa
Wakati mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi akiahidi...
Karibuni Pantev na Roro, msituamini sana Wabongo
KUNA uwezekano wa zaidi ya asilimia mia moja kwamba mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara baina ya Yanga na Simba ukakutanisha makocha wawili wapya wa timu…
Sio lazima anayeshinda tuzo ya mechi ashinde ya mwezi
KUNA mjadala ambao unaonekana kuteka vijiwe vingi vinavyojadili soka ukihusu tuzo ya Mchezaji Bora wa Mechi na tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi katika Ligi Kuu Tanzania Bara.
Karia, Hersi wametuheshimisha Afrika sasa kidunia
WATU wawili wanapeperusha vyema bendera ya Tanzania katika upande wa utawala wa soka hivi sasa ambao ni Wallace Karia na Injinia Hersi Said.
Mahakama yatoa maelekezo manne shauri la kutekwa Polepole
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeridhia maombi ya mawakili wa aliyekuwa Balozi...
Makusanyo TRA yaibua mjadala, wachumi wataka jicho la ziada
Mafanikio ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika kuvuka malengo ya makusanyo kwa miaka...
Tshisekedi ‘amvaa’ Kagame amani ya Kongo
Rais Felix Tshisekedi ametoa wito wa amani kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame, akimtaka aache kuunga mkono waasi na kushirikiana kwa ajili ya amani ya kikanda.
Chalamila ahimiza Watanzania kuibeba ajenda nishati safi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka Watanzania kuibeba ajenda ya nishati...
Marudio ya historia ya 1903: Afrika iliwahi kutolewa kwa Wayahudi, Wapalestina wapangiwa hatma hiyo
Mpango wa mwaka 1903 wa Uingereza kuanzisha taifa la Wayahudi Afrika Mashariki kwa kuwanyang’anya wenyeji ardhi yao ya mababu haukutekelezwa, lakini uliweka msingi wa fikra potofu za ukoloni ambazo sasa…
Bado Watatu – 54
AKANIULIZA: “Lakini bado umesema wazi kwamba katika uchunguzi wako wa alama za vidole hukugundua kwamba mshitakiwa aliwaua hao watu?”“Uchunguzi mwingine ndio ulionyesha hivyo.”“Mimi nimekuuliza kuhusu uchunguzi wako wewe.”“Mimi sikugundua kama…
Bado Watatu – 54
AKANIULIZA: “Lakini bado umesema wazi kwamba katika uchunguzi wako wa alama za vidole hukugundua kwamba mshitakiwa aliwaua hao watu?”“Uchunguzi mwingine ndio ulionyesha hivyo.”“Mimi nimekuuliza kuhusu uchunguzi wako wewe.”“Mimi sikugundua kama…
Bado Watatu – 54
AKANIULIZA: “Lakini bado umesema wazi kwamba katika uchunguzi wako wa alama za vidole hukugundua kwamba mshitakiwa aliwaua hao watu?”“Uchunguzi mwingine ndio ulionyesha hivyo.”“Mimi nimekuuliza kuhusu uchunguzi wako wewe.”“Mimi sikugundua kama…