Mkuu wa UNRWA atoa indhari: Israel inaelekea kufanya “mauaji ya halaiki ya idadi kubwa” katika Mji wa Ghaza
Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA), Philippe Lazzarini, ametahadharisha kwamba utawala wa kizayuni wa Israel inaonekana unapanga kufanya "mauaji ya halaiki ya idadi…
Kenya yawahakikishia raia wake wanaofanya biashara Tanzania: Hamtaguswa na agizo jipya la leseni
Serikali ya Kenya imewahakikishia raia wake wanaofanya biashara nchini Tanzania kwamba hawataguswa na agizo jipya la leseni lililotolewa hivi karibuni na serikali ya Tanzania.
FIFA iliyoipiga marufuku Russia kwa sababu ya vita vya Ukraine yasema haiwezi kuchukua hatua dhidi ya Israel
Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino amesema, taasisi hiyo haiwezi kutatua ‘masuala ya kijiopolitiki’, licha ya kuendelea kuandamwa na mashinikizo kimataifa ya kuitaka isimamishe uanachama wa Israel…
Pakistan: Mpango wa Trump kuhusu Ghaza ni tofauti na ulioidhinishwa na viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan Ishaq Dar amesema mpango wa amani wa vipengele 20 uliopendekezwa na Rais wa Marekani Donald Trump kwa ajili ya Ghaza sio ule ulioidhinishwa…
Putin: Marekani isithubutu kuipa Ukraine silaha za Tomahawk
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametoa onyo kali kwa Marekani kuhusu uwezekano wa ongezeko la vita kati ya Urusi na Ukraine endapo Washington itatoa makombora ya masafa marefu aina ya…
Putin: Russia ina umuhimu mkubwa sana kwa nidhamu ya kimataifa, njama za kuitenga zimefeli
Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, mizani ya usawa wa kimataifa haiwezi kujengwa bila ya nchi yake na akaongeza kuwa majaribio ya kuitenga Russia katika miaka ya hivi karibuni yamefeli.
FIFA yazindua mpira wa Kombe la Dunia, sifa zake hadharani
Mpira huo unajulikana kwa jina la Adidas Trionda likimaanisha mawimbi matatu.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amesema serikali inaendelea na mikakati ya kuongeza thamani ya zao la zabibu ili wak…
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amesema serikali inaendelea na mikakati ya kuongeza thamani ya zao la zabibu ili wakulima wanufaike zaidi. Ameeleza kuwa mkoa huo tayari umepata kiwanda…
Taharuki yatanda wafanyakazi 216 kiwanda cha Chai Rungwe kufukuzwa kazi
Imeelezwa kuwa tangu kufungwa kwa kiwanda hicho Mei 9 mwaka huu, zaidi ya wakulima 15,000...
#HABARI: Chama Cha Mapinduzi CCM Jimbo la Musoma Mjini kimelaani tukio la watu wanaotajwa kikundi cha vijana waliochana na kutob…
#HABARI: Chama Cha Mapinduzi CCM Jimbo la Musoma Mjini kimelaani tukio la watu wanaotajwa kikundi cha vijana waliochana na kutoboatoboa mambango ya mgombea wao wa urais Dkt Samia Suluhu Hassan…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
Makamu wa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga, Modest Katonto ameiasa jamii mkoani Rukwa kushirikiana na viongozi wa d…
Makamu wa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga, Modest Katonto ameiasa jamii mkoani Rukwa kushirikiana na viongozi wa dini katika kukabiliana na changamoto ya mmomonyoko wa maadili. Mabadiliko ya…
#HABARI: Chini ya Rais Dkt
#HABARI: Chini ya Rais Dkt. Samia Mradi wa ujenzi wa stendi mpya ya mabasi Jijini Arusha (Bondeni City) ni sehemu ya mpango wa TACTIC-Masoko unaotekelezwa na Halmashauri ya Jiji la…
| swahili | swahiliSIASAUTURUKIAFRIKAJARIDAMAONIMICHEZOUCHAGUZI TANZANIA 2025: WANASIASA WATAKIWA KUTOA AHADI ZINAZOTEKELEZEKAADC yaahidi kupunguza bei ya mchele Zanzibar00:4900:49Samia: Wananchi tukapige kura usalama ni mkubwaSamia: CCM itajenga na kuinua utu wa MtanzaniaINEC yaahirisha uchaguzi wa jimbo la Fuoni kufuatia kifo cha Abbas MwinyiZEC: Wapiga kura 8,325 Zanzibar wakosa sifaTume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeidhinisha jumla ya wapiga kura 717,557 watakaoshiriki kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.Mahakama ya Tanzania yatupilia mbali hoja ya ACT WazalendoKatika utetezi wake, mahakama hiyo imesisitiza kwamba, hakuna ushahidi kuwa INEC imeanza kuchapisha karatasi h
Mwaka 2022, FIFA iliifungua Urusi baada ya majeshi yake kuivamia Ukraine, licha ya Urusi kuandaa fainali ya Kombe la Dunia, hapo awali.
#HABARI: Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imeongeza muda wa udahili wa wanafunzi wa shahada ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2025…
#HABARI: Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imeongeza muda wa udahili wa wanafunzi wa shahada ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kupitia Awamu ya Tatu. Udahili huo utaanza tarehe…
#HABARI: Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, amefikishwa katika mahakama ya Harare, akikabiliwa na shtaka la kupa…
#HABARI: Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, amefikishwa katika mahakama ya Harare, akikabiliwa na shtaka la kupatikana na dawa za kulevya. Robert Mugabe Jr (33) alikamatwa Jumatano asubuhi…
Fufuni yakata unyonge Ligi Kuu Zanzibar
TIMU ya Fufuni kutoka Pemba, imekataa unyonge baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Kipanga katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), mechi ikichezwa Oktoba 2, 2025 kwenye…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
Bangi yamponza mtoto wa Mugabe, apandishwa kizimbani
Mtoto wa aliyewahi kuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amefikishwa katika mahakama ya Harare...
ACT Wazalendo kufuta leseni za wavuvi wakishinda uchaguzi
Mwanaisha Mdeme amewataka wananchi wa Kigamboni kumchagua ili akalete sauti yao bungeni na...
| swahili | swahiliSIASAUTURUKIAFRIKAJARIDAMAONIMICHEZOUCHAGUZI TANZANIA 2025: WANASIASA WATAKIWA KUTOA AHADI ZINAZOTEKELEZEKAADC yaahidi kupunguza bei ya mchele Zanzibar00:4900:49Samia: Wananchi tukapige kura usalama ni mkubwaSamia: CCM itajenga na kuinua utu wa MtanzaniaINEC yaahirisha uchaguzi wa jimbo la Fuoni kufuatia kifo cha Abbas MwinyiZEC: Wapiga kura 8,325 Zanzibar wakosa sifaTume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeidhinisha jumla ya wapiga kura 717,557 watakaoshiriki kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.Mahakama ya Tanzania yatupilia mbali hoja ya ACT WazalendoKatika utetezi wake, mahakama hiyo imesisitiza kwamba, hakuna ushahidi kuwa INEC imeanza kuchapisha karatasi h
Mwaka 2022, FIFA iliifungua Urusi baada ya majeshi yake kuivamia Ukraine, licha ya Urusi kuandaa fainali ya Kombe la Dunia, hapo awali.
Kwa taarifa yako…nzi na funza wanaweza kukuinua kiuchumu…
Kwa taarifa yako…nzi na funza wanaweza kukuinua kiuchumu… Fuatilia simulizi ya Denis Kamanzi, mwanzilishi wa BIOAKEMI, ambaye aliona fursa kwenye ufugaji wa nzi-chuma na funza. Fursa hii imebadili muelekeo wa…
Simba yatoa kauli ishu ya kocha mpya
Ally amesema kuwa mchakato wa kumsaka Kocha Mkuu mpya unaendelea hivyo mashabiki na wapenzi wa...
Elimu ya sheria kikwazo upatikanaji haki kwa wananchi
Ukosefu wa elimu ya masuala ya kisheria umetajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazochangia baadhi...
Bado Watatu – 48
“Sasa ni kitu gani kilichokufanya ujitokeze licha ya kujua kuwa umeua” “Nimejitokeza ili niwaeleze ukweli polisi. Nilikuwa ninajua kwamba polisi walikuwa hawajui kuwa watu waliokuwa wananyongwa walishahukumiwa kunyongwa ila walitoroshwa…
Rais Pezeshkian atoa wito wa umoja kwa ajili ya kukabili vitisho na vikwazo
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametoa wito wa mshikamano wa kitaifa na kutegemea imani pamoja na nguvu ya wananchi katika kukabiliana na vitisho na vikwazo, akisisitiza kuwa mauaji ya kisiasa,…
#HABARI: Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt
#HABARI: Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwa wilayani Tandahimba mkoani Mtwara kwenye Mkutano…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
Iran yapongeza utekelezaji wa Mkataba wa Ushirikiano wa Kistratejia na Russia
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imepongeza kuanza kutekelezwa kwa mkataba mpana wa ushirikiano wa kistratejia kati ya Iran na Russia.
Mauaji ya Kimbari ya Marekani na Israel Gaza: Idadi ya vifo yapanda hadi 66,225
Vikosi katili vya Israel vinaendelea kuongeza ukatili dhidi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, vikisababisha vifo na majeraha kwa idadi kubwa ya watu, hususan katika maeneo ya kati…
| swahili | swahiliSIASAUTURUKIAFRIKAJARIDAMAONIMICHEZOUCHAGUZI TANZANIA 2025: WANASIASA WATAKIWA KUTOA AHADI ZINAZOTEKELEZEKAADC yaahidi kupunguza bei ya mchele Zanzibar00:4900:49Samia: Wananchi tukapige kura usalama ni mkubwaSamia: CCM itajenga na kuinua utu wa MtanzaniaINEC yaahirisha uchaguzi wa jimbo la Fuoni kufuatia kifo cha Abbas MwinyiZEC: Wapiga kura 8,325 Zanzibar wakosa sifaTume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeidhinisha jumla ya wapiga kura 717,557 watakaoshiriki kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.Mahakama ya Tanzania yatupilia mbali hoja ya ACT WazalendoKatika utetezi wake, mahakama hiyo imesisitiza kwamba, hakuna ushahidi kuwa INEC imeanza kuchapisha karatasi h
Mwaka 2022, FIFA iliifungua Urusi baada ya majeshi yake kuivamia Ukraine, licha ya Urusi kuandaa fainali ya Kombe la Dunia, hapo awali.
Kiongozi wa Ansarullah Yemen: Mpango wa Trump kuhusu Gaza ni ‘ramani ya Kizayuni’ ya kufuta haki za Wapalestina
Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah nchini Yemen amesema kuwa mpango wa Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu Ukanda wa Gaza baada ya vita ni “ramani ya Kizayuni” inayolenga…
Watu 14 wauawa katika shambulizi dhidi ya kambi ya wakimbizi mashariki mwa DRC
Takriban watu 14 wameuawa siku ya Alhamisi katika shambulizi lililofanywa na makundi ya wanamgambo dhidi ya kambi ya wakimbizi wa ndani katika jimbo la Ituri, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia…
Mstaafu anapolazimika kuwa mganga wa kienyeji!
Huyu mstaafu alifanya kazi njema akiwa mwajiriwa kwa miaka 40 na hakusumbuliwa na maradhi...
Watumiaji X katika kuunga mkono msafara wa Sumud: Kila meli ni sauti ya kutaka uhuru wa Palestina
Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa "X" wameuita msafara wa kimataifa wa meli nyingi wa Sumud kuwa meli ya ukarimu na utu wa binadamu.
#MEZAHURU: Kipi kinasababisha Tasnia ya Urembo kuonekana kama uhuni kwa watoto wa Kike.?
#MEZAHURU: Kipi kinasababisha Tasnia ya Urembo kuonekana kama uhuni kwa watoto wa Kike.? na vilevile kutokuwa na Mchango kwenye Jamii.
Bado Watatu – 47
Alichelewa sana humo chumbani mpaka nikainuka na kumfuata. Nikamkuta bado akijitazama kwenye kioo. “Twenzetu, umeshapendeza,” nikamwambia. Alikuwa amevaa suruali ya jeans, t-shirt na viatu vya mchuchumio.
| swahili | swahiliSIASAUTURUKIAFRIKAJARIDAMAONIMICHEZOUCHAGUZI TANZANIA 2025: WANASIASA WATAKIWA KUTOA AHADI ZINAZOTEKELEZEKAADC yaahidi kupunguza bei ya mchele Zanzibar00:4900:49Samia: Wananchi tukapige kura usalama ni mkubwaSamia: CCM itajenga na kuinua utu wa MtanzaniaINEC yaahirisha uchaguzi wa jimbo la Fuoni kufuatia kifo cha Abbas MwinyiZEC: Wapiga kura 8,325 Zanzibar wakosa sifaTume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeidhinisha jumla ya wapiga kura 717,557 watakaoshiriki kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.Mahakama ya Tanzania yatupilia mbali hoja ya ACT WazalendoKatika utetezi wake, mahakama hiyo imesisitiza kwamba, hakuna ushahidi kuwa INEC imeanza kuchapisha karatasi h
Manchester City yaambulia sare ya 2-2 dhidi ya Monaco licha ya mshambuliaji wao Erling Haaland kupambana kusaidia timu
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
Kenya : Nairobi kuandaa tamasha la fidia Afrika
NAIROBI – Jiji la Nairobi litakuwa mwenyeji wa tamasha kubwa la kwanza barani Afrika linalolenga kuweka mikakati ya kutoa fidia na haki za kutokana na dhuluma za kihistoria. Tamasha hilo,…
Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam iko mbioni kukamilisha jengo la ghorofa tano la shule ya kisasa ya Olympio ambalo linataraj…
Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam iko mbioni kukamilisha jengo la ghorofa tano la shule ya kisasa ya Olympio ambalo linatarajiwa kuongeza udahili wa wanafunzi wa shule ya awali…
Utajiri wa Afrika: Mafuta ya Angola
Sekta ya nishati inasalia kuwa muhimu nchini Angola ikichukua karibu asilimia 75 ya pato la serikali
| swahili | swahiliSIASAUTURUKIAFRIKAJARIDAMAONIMICHEZOUCHAGUZI TANZANIA 2025: WANASIASA WATAKIWA KUTOA AHADI ZINAZOTEKELEZEKAADC yaahidi kupunguza bei ya mchele Zanzibar00:4900:49Samia: Wananchi tukapige kura usalama ni mkubwaSamia: CCM itajenga na kuinua utu wa MtanzaniaINEC yaahirisha uchaguzi wa jimbo la Fuoni kufuatia kifo cha Abbas MwinyiZEC: Wapiga kura 8,325 Zanzibar wakosa sifaTume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeidhinisha jumla ya wapiga kura 717,557 watakaoshiriki kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.Mahakama ya Tanzania yatupilia mbali hoja ya ACT WazalendoKatika utetezi wake, mahakama hiyo imesisitiza kwamba, hakuna ushahidi kuwa INEC imeanza kuchapisha karatasi h
Manchester City yaambulia sare ya 2-2 dhidi ya Monaco licha ya mshambuliaji wao Erling Haaland kupambana kusaidia timu
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: MACHIMBO YA BIASHARA….OKTOBA 03, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: MACHIMBO YA BIASHARA....OKTOBA 03, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
Vyakula bora na hatari kwa afya ya uke
Kunywa maji mengi husaidia kudumisha unyevu ukeni. Pia, maji husaidia kuondoa sumu mwilini...
| swahili | swahiliSIASAUTURUKIAFRIKAJARIDAMAONIMICHEZOUCHAGUZI TANZANIA 2025: WANASIASA WATAKIWA KUTOA AHADI ZINAZOTEKELEZEKAADC yaahidi kupunguza bei ya mchele Zanzibar00:4900:49Samia: Wananchi tukapige kura usalama ni mkubwaSamia: CCM itajenga na kuinua utu wa MtanzaniaINEC yaahirisha uchaguzi wa jimbo la Fuoni kufuatia kifo cha Abbas MwinyiZEC: Wapiga kura 8,325 Zanzibar wakosa sifaTume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeidhinisha jumla ya wapiga kura 717,557 watakaoshiriki kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.Mahakama ya Tanzania yatupilia mbali hoja ya ACT WazalendoKatika utetezi wake, mahakama hiyo imesisitiza kwamba, hakuna ushahidi kuwa INEC imeanza kuchapisha karatasi h
Manchester City yaambulia sare ya 2-2 dhidi ya Monaco licha ya mshambuliaji wao Erling Haaland kupambana kusaidia timu
Jamii iwekeze kuutua mzigo wa magonjwa yasiyoambukiza
Ripoti ya WHO mwaka 2022 ilibaini kuwa ifikapo mwaka 2030, magonjwa yasiyoambukiza yatakuwa...
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 3, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 3, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates