#KIPIMAJOTO: ILANI YA CCM 2020-2025 JE,IMETEKELEZWA IPASAVYO KUJENGA IMANI KWA ILANI YA 2025-2030
#KIPIMAJOTO: ILANI YA CCM 2020-2025 JE,IMETEKELEZWA IPASAVYO KUJENGA IMANI KWA ILANI YA 2025-2030.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA SHINYANGA: OKTOBA 03, 2025 – WAJASIRIAMALI WAOMBA SOKO LA MATUNDA
🔴HAPA NA PALE KUTOKA SHINYANGA: OKTOBA 03, 2025 - WAJASIRIAMALI WAOMBA SOKO LA MATUNDA
Uingereza: Sarah Mullally ateuliwa mwanamke wa kwanza kuwa Askofu Mkuu wa Canterbury
Sarah Mullally ameteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Canterbury, mwanamke wa kwanza kuwa katika nafasi hiyo katika historia ya Kanisa la Angilikana duniani. Imechapishwa: 03/10/2025 – 16:58 Dakika 1 Wakati wa…
Amri Kiemba amchambua kwa kina kocha mpya Simba, akisubiriwa na mitihani miwili mizito
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
#HABARI: Mama mwenye watoto 7 na wajukuu 4 aliyefahamika kwa jina la Majabu Sufiani Mohamedi (52) Mkazi wa Kijiji cha Kwamgwe wi…
#HABARI: Mama mwenye watoto 7 na wajukuu 4 aliyefahamika kwa jina la Majabu Sufiani Mohamedi (52) Mkazi wa Kijiji cha Kwamgwe wilayani Handeni mkoani Tanga, amedaiwa kuuawa na mumewe wakiwa…
Mfahamu Dimitar Pantev, kocha mpya Simba
Kocha huyo ana leseni ya juu ya ukocha inayotolewa na Umoja wa Vyama vya Mpira wa Miguu Ulaya...
#HABARI: Issa Ramadhani (35), mkazi wa Mtaa wa Mnyakongo, Kata ya Nkuhungu, jijini Dodoma, anatuhumiwa kubaka na kuwalawiti wato…
#HABARI: Issa Ramadhani (35), mkazi wa Mtaa wa Mnyakongo, Kata ya Nkuhungu, jijini Dodoma, anatuhumiwa kubaka na kuwalawiti watoto watatu wenye umri chini ya miaka mitatu, na kuwasababishia majeraha makubwa…
Ukata Jumuiya ya Afrika Mashariki unavyoumiza wafanyakazi wake
Migogoro ya kifedha ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki imezidi kuitafuna taasisi hiyo kubwa...
Shauri la Chadema dhidi ya Msajili lasimama kwa muda usiojulikana
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Nenelwa Mwihambi, kutokana na kuwapo taarifa ya kusudio la wajibu...
Fuoni, Chamwino na Mbagala kupiga kura Desemba 30
INEC imesema hatua hiyo imezingatia masharti ya kifungu cha 68(1), (3) na (4) na 71(2) cha...
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi uboreshaji wa barabara katika wilaya za Karatu na Monduli, mkoani Arusha,…
Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa daraja la Msangano lenye thamani ya shilingi bilioni tatu katika barabar…
Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa daraja la Msangano lenye thamani ya shilingi bilioni tatu katika barabara ya Chindi–Msangano, Wilaya ya Momba, Songwe. Daraja hilo litaunganisha…
Shirika la Kuendeleza Kilimo Hai nchini (Toam) na Wizara ya Kilimo wanatarajia kufanya mkutano wa nne wa kitaifa wa kilimo ikolo…
Shirika la Kuendeleza Kilimo Hai nchini (Toam) na Wizara ya Kilimo wanatarajia kufanya mkutano wa nne wa kitaifa wa kilimo ikolojia hai, utakaoambatana na tafiti mbalimbali za sekta hiyo ambazo…
Somo la kibiashara kutoka China
Dar es Salaam. Kila ninapofika sehemu mpya kwenye dunia huwa nina tabia ya kulinganisha hali...
Wapalestina 57 wameuawa Gaza kwa mashambulizi ya Israel
Wapalestina wasiopungua 57 wameuawa kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na jeshi la Israel katika maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza kwa siku ya Alhamisi 02.10.2025 wakati Israel ikiendelea na mashambulizi makali.
Massawe Kaimu Mkurugenzi mpya TPSF, uteuzi wa Maganga wasimamishwa
Taarifa iliyotolewa leo na Rais wa TPSF, Angelina Ngalula inaeleza kuwa Massawe anakaimu nafasi...
TCU kuongeza siku 4 za udahili
Kwa mujibu wa taarifa hiyo ongezeko la muda linalenga kutoa nafasi kwa wanafunzi walioomba...
Ayatullah Khatami: Njia ya kukabiliana na uvamizi na jinai ni muqawama na kusimama kidete
Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema: "Njia ya kukabiliana na uvamizi na jinai za Wazayuni ni muqawama na kusimama kidete; njia hii imeonyesha kuwa njia pekee ya kuepusha…
Faida za miamala ya kidijitali na hatari zake
Miamala ya Kidijitali ya kibenki na simu imeleta mapinduzi makubwa katika usimamizi wa fedha...
Urusi yaishambulia miundombinu ya nishati ya Ukraine
Urusi imefanya mashambulizi makubwa dhidi ya miundombinu ya nishati ya Ukraine katika maneo kadhaa usiku wa kuamkia Ijumaa 03.10.2025. Hayo ni kwa mujibu wa Wizara ya miundombinu ya Ukraine.
ZRA nayo yavuka lengo makusanyo robo ya kwanza
Katika kipindi hicho, Mamlaka ilikadiriwa kukusanya Sh274.073 bilioni ambapo kufikia Septemba...
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Zainab Khamis Shomari, amesema kuwa uchaguzi mku…
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Zainab Khamis Shomari, amesema kuwa uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu utakuwa mwepesi kwa chama hicho…
UN: Raia 91 waliuawa Darfur mwezi Septemba
Umoja wa Mataifa umesema raia wasiopungua 91 waliuawa nchini Sudan katika kipindi cha siku kumi mwezi uliopita katika mji wa el-Fasher uliozingirwa na wapiganaji wa kikosi cha RSF.
Yasmin Abdi Farah: Rubani wa kike wa Kisomali anayevunja rekodi angani
Yasmin Abdi Farah aliteuliwa kuwa rubani kamili mwaka 2022, na kuwa mwanamke wa kwanza wa Kisomali kuwa rubani katika kipindi cha miaka 35.
Safari za ndege zarejea Munich baada ya kitisho cha droni
Jeshi la polisi nchini Ujerumani limesema safari za ndege katika Uwanja wa ndege wa Munich zinaendelea baada ya kusimamishwa kwa muda Alhamisi jioni kutokana na kuonekana kwa droni katika anga…
Faida za miamala ya kidijitali, hatari zake
Miamala ya Kidijitali ya kibenki na simu imeleta mapinduzi makubwa katika usimamizi wa fedha...
#HABARI: Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt
#HABARI: Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema ikiwa atapewa ridhaa ya kuongoza katika awamu ijayo atahakikisha kiwanja cha ndege cha Wasso kitafanyiwa ukarabati ili…
🔴MEZA HURU: UREMBO NA JAMII…OKTOBA 03, 2025
🔴MEZA HURU: UREMBO NA JAMII...OKTOBA 03, 2025
Makamu wa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga, Modest Katonto, ameiasa jamii kushirikiana na viongozi wa dini katika k…
Makamu wa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga, Modest Katonto, ameiasa jamii kushirikiana na viongozi wa dini katika kukabiliana na mmomonyoko wa maadili unaoendea kutokana na mabadiliko ya sayansi…
Wakandarasi mkoani Katavi wametakiwa kuachana na visingizio na badala yake kuelekeza nguvu katika kuhakikisha miradi ya ujenzi w…
Wakandarasi mkoani Katavi wametakiwa kuachana na visingizio na badala yake kuelekeza nguvu katika kuhakikisha miradi ya ujenzi wa meli kwenye Ziwa Tanganyika inakamilika kwa wakati. Viongozi wa mkoa wamesisitiza kuwa…
Mkuu wa misaada wa UN Sudan atoa tahadhari kuhusu zahma ya kibinadamu
Mratibu Mkazi na wa Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan, Denise Brown, ametoa onyo kali kuhusu kuzorota kwa hali nchini humo, akieleza kuwa hali imekuwa “janga la kibinadamu.”
Wakulima wa Kenya wachangamkia uzalishaji wa asali bora ili kuongeza kipato
Kupitia programu ya mafunzo ya Kituo cha Biashara cha Kimataifa (ITC), Kenya imekuwa makao ya mojawapo ya idadi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani, ikiwa na takriban wakimbizi 300,000 wanaoishi katika…
UN yatoa onyo vita Ukraine viko katika zama hatari zaidi kwa raia
Miaka mitatu na nusu tangu uvamizi kamili wa Urusi, vita vya Ukraine vimeingia katika hatua hatari na ya vifo zaidi kwa raia, amesema leo Mkuu wa Haki za Binadamu wa…
Katibu Mkuu wa UN apokea kwa moyo wa faraja tamko la Hamas kuhusu kuachilia mateka
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, amepokea kwa moyo wa faraja na ametiwa moyo na tamko lililotolewa na wanamgambo wa Kipalestina wa Hamas kwamba wako tayari kuachilia mateka…
Mradi wa PLEAD Kenya yaleta mabadiliko chanya katika uwezeshaji wa kisheria
Mashirika ya Umoja wa Mataifa, lile la Mpango wa Maendeleo, (UNDP) na la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) kwa ushirikiano na viongozi wa sheria nchini Kenya hadi…
Mashirika ya UN yaonya kuwa hospitali Gaza zimegeuka kuwa uwanja wa mapambano
Umoja wa Mataifa umeonya kuwa hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza imefikia hatua ya kutisha, huku hospitali zikigeuzwa kuwa uwanja wa mapambano, kukizidiwa na wagonjwa na misaada kukwama. Maafisa…
Buriani Jane Goodall, mwanamazingira na mtaalamu wa sokwe
Kufuatia kifo cha Jane Goodall mwanamazingira, mtaalamu wa sokwe na nyani, halikadhalika mjumbe wa amani kilichotokea Jumatano Oktoba 1 leo tunakurejesha mwaka 2002 alipoteuliwa kuwa mjumbe wa amani, halikadhalika salamu…
Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imeongeza muda wa udahili wa shahada ya kwanza katika programu ambazo bado zina nafasi kwa mwaka…
Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imeongeza muda wa udahili wa shahada ya kwanza katika programu ambazo bado zina nafasi kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Hatua hiyo inalenga kutoa nafasi…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
Pantev aaga Gaborone, aanza safari ya kutua Simba
BAADA ya kuwepo kwa taarifa za Kocha Mkuu wa Gaborone United, Dimitar Pantev kufikia makubaliano ya kusaini mkataba wa kuiongoza Simba, mapema leo asubuhi ameaga rasmi.
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendeleza sekta ya utalii mkoani Arusha kwa kukarabati na kupanua viwanja vya ndege vya Lake…
Mradi wa kidijitali uchunguzi saratani ya matiti waanza
Mradi huo unahusisha upigaji wa picha za matiti kwa kutumia ultrasound, uchunguzi wa chembe kwa...
Pantev aaga Gaborone njiani kutua Simba
Gaborone United imemuelezea Kocha Pantev kama mtu aliyeiletea maendeleo makubwa klabu hiyo na...
Kisa kufika uwanjani bila jezi, Junguni yapigwa faini
BODI ya Ligi Kuu Zanzibar, imeitoza Junguni United faini ya Sh200,000 kwa kuchelewa uwanjani kisha kufika bila ya kuwa na jezi na kusababisha mwamuzi kuvunja mechi.
Bellingham atemwa England, Tuchel ataja sababu
Katika kikosi cha nyota 24 ambao Tuchel amewaita, jina la Bellingham halipo huku Tuchel akisema...
Venezuela yailaumu Marekanikwa kufanya uvamizi haramu
Venezuela imeinyooshea kidole cha lawama Marekani kwa kile ilichokiita "uvamizi haramu " uliofanywa na ndege za kivita za Marekani katika eneo inalolidhibiti.
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
#HABARI: Kufuatia tukio la moto kutekeza bweni la shule ya sekondari Asha Rose Migiro Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, na ku…
#HABARI: Kufuatia tukio la moto kutekeza bweni la shule ya sekondari Asha Rose Migiro Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, na kupelekea vifaa vya wanafunzi kuteketea, Serikali imeanza hatua ya kukarabati…