Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Ethiopia imezindua rasmi Bwawa la Grand Renaissance (GERD), mradi mkubwa zaidi wa umeme wa maji barani Afrika / Jeshi la Israel limeagiza wakaazi wa Gaza City kuondoka mara moja wakati ambapo linazidisha mashambulizi makubwa kabisa kwenye Ukanda wa Gaza hadi pale kundi la Hamas litakapowachia mateka waliosalia.