Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Marekani Donald Trump amelaani hatua zilizochukuliwa na mataifa ya Magharibi kulitambua taifa huru la Palestina / Utafiti mpya uliochapishwa katika jarida la The Lancet Global Health unaonyesha kuwa zaidi ya watu milioni 25 duniani wanaishi na aina mpya ya ugonjwa wa kisukari inayosababishwa na njaa