SK2 / S02S24 Septemba 2025

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema, amani ya kudumu huko Gaza haitawezekana kujengwa kwa kuendeleza ghasia / Kansela Friedrich Merz amesema Ujerumani inakabiliana na moja ya vipindi vigumu kabisa katika historia ya sasa, kufuatia misukosuko ya kilimwengu.

https://p.dw.com/p/5100f

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *