Katika kuendeleza juhudi za kukuza ujumuishaji wa kifedha na kuhamasisha matumizi ya huduma za kidigitali nchini, Benki ya DCB Commercial Bank Plc imezindua kampeni mpya iitwayo “Tuko Ground na Wenyewe”.

Kampeni hiyo inawawezesha wateja kufungua akaunti mtandaoni na kutuma fedha bure kwenda benki nyingine au mitandao ya simu, hatua inayolenga kurahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha kwa wananchi wa kipato cha chini na cha kati.

Mhariri @claud_jm
#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *