“Kwetu mteja ni zaidi ya mfalme, kwa sasa tunazingatia wateja kwa kutoa huduma kwa wakati, na tumewekeza katika vifaa vya usafiri kwa kununua magari 100, pikipiki 284 na bajaji ambazo zilisambazwa maeneo yote nchini, ili wateja wetu wafurahi,” – Kaimu Mkurugenzi Mawasiliano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO), Irene Gowelle.

✍Nifa Omary
Mhariri | @ claud_jm

#AzamTVUpdates #UTV108 #MorningTrumpet

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *